Bro Fred Vunja naskia raha sana unavo jibu maswali bila dharau wala nn na unajibu kisooomi sana Big Up bro ALLAH akujalia kila ulitakalo upate Amin Amin Amin 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ibraimoissiaca60583 жыл бұрын
Alafu anajibu very simple
@khamisshee51313 жыл бұрын
Smart sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anuarynassor44693 жыл бұрын
Ulistahili kuwa bilionear kitambo sana broo. Ila msoto ni moja ya elimu nyengine ambayo nayo mungu aliipanga uijue ili uzidi kukuwa kiakili na maarifa. kiukweli broo wewe ni genius. Na unastahili kuwa zaidi ya hapo ulipo. Mungu akubariki sana broo. Endelea kutuwakikisha vijana wa mtaani broo.
@jimmykimotuo80653 жыл бұрын
Huyu jamaa yuko very smart kichwani, he's worth-listening to,
@justinekakobe77793 жыл бұрын
Appriciet..👏 Fredy..Unajua Man 👏 Hauna mapicha Picha....Wakanyagie TO Mch GANG & MONEY kawaida ytu..🎤🎤🎧
@trillhappybeautypoint98742 жыл бұрын
Nampenda sana huyu kaka huwa hana majivuno alafu so intelligent 💪
@nelsonnyamle Жыл бұрын
Kaka Fred mungu akubariki zaidi kwa hekima uliyonayo kwani niwachache sana wanaoweza kujumuika na watu wa hali ya chini.Mungu akuinue zaidi ya hapo ulipo
Yan hyu kk Yuko smart sna big up wanaume wote wangekuwa kma ww maisha yangekuwa pow sna❤❤
@mwanaidseleman45473 жыл бұрын
Kwa kifupi vunja bei ...umekubarikaaa uko vzuri sanaa big up bro
@severinakanemela87932 жыл бұрын
Napata mawazo mapya kila nikimsikiliza huyu bro. big up sana
@lusekelodaison81593 жыл бұрын
Simply huyu jamaa ni icon ya Taifa kwa sisi vijana!!🙏
@mwanashagladys45813 жыл бұрын
Namupenda sana uyu jamaa nimejifunza kakitu .🇰🇪🇰🇪
@ajuayeofficial3 жыл бұрын
Sawa
@abigailmini99923 жыл бұрын
Jamani I really love this Man Vunja bei nganjiro ❤
@shangazizaynyenzi31213 жыл бұрын
safi sna mapembelo vavene Bro.umeaongea vizuri sana
@vicentsumbi-ln5bf Жыл бұрын
Brother Fred uko vizuri mnooo Mungu akubariki sana natamani nikutafute nipate elimu kidogo.
@sammwakalinga27058 күн бұрын
Vunja bei ni genius kweli🎉🎉
@richmapenz55593 жыл бұрын
Dah! Nimeipenda hi bro mungu akuzidishie kaka naamini namimi nitafanikiwa
@tatumzelela66313 жыл бұрын
Fredy nakupenda Sana hujawahi niangusha unaueledi mkubwa Sana brother 🙌🙌🙌
@avitrujweka21133 жыл бұрын
Jamaa ni kichwa balaa, simply iconic!
@howwasmade33143 жыл бұрын
Best interviewer ever heard
@kingazishekalaghe95982 жыл бұрын
Huyu jamaa + Ruge mutahaba ilikuwa Ni Tanzania ya viwanda RIP Ruge now tuna Fred
@twahirsaid65253 жыл бұрын
Mtangazaji yupo powa na maswali anouliza biga up
@PatrickLimu14 күн бұрын
Mwandishi uko vzur sana kwa maswi yamaana sana❤
@aminaomary55672 жыл бұрын
Safi sana,kwanza mkinga bahiri hatari wezi kupata ela yake ovyo ovyo.
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Unajuwa hadi una kera🥰🥰🥰
@willyfinest14853 жыл бұрын
Jamaa uko na hoja Moto...I can listen you the whole day.
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
MashaaAllah upo vinzuli vunja bei
@nyimbizikamtima9673 жыл бұрын
Mzee baba salute kwako nimekuelewa sana
@fredymbawala62913 жыл бұрын
Broo uko vzr saana na kingine napenda jinc unavyojibu maswal kwa nizamu na heshima mno, wajina respect you.
@vicetech29203 жыл бұрын
Smart is an understatement. His intelligence is on another level.
@sulemanmndeme8961 Жыл бұрын
Hongera. Uko bright my bro.
@juniveraisaya16243 жыл бұрын
Uko vizur bro Fred
@archkeels37533 жыл бұрын
Mwanangu napenda Sana interview ko mshikaj unaye muoji vunja nimekuelewa
@itikabukuku1043 жыл бұрын
Ila wakati mwingine ujue kuwa mtu anatafuta kwa nguvu na anapata tusiweke kila aliyefanikiwa ni mchawi tujue kuna kutafuta na kupata kama Mungu alimuumba mtu aje kuwa mwalimu anaweza kuumba mtu na kuwa tajiri pia tusikalili umasikini tu
@mariamsulley54733 жыл бұрын
Mungu akubariki sana uendelee mbele zaidi
@ignasiissaya17183 жыл бұрын
Daa safi sana kaka umeuelezea vizuri ..ujasiria mali...i never seen ur so calm bro,keep it up!!
@mbarakkhalid1179 ай бұрын
Brother uko vizuri maneno ya hekima
@johnbenedict95903 жыл бұрын
Fredy yuko smart sana big up they way anajibu maswali positive way
@patrickKitambo3 жыл бұрын
siku moja namimi ntahojiwa hivi na waanidhi wa habari wakitaka kujua madini ya biashara
@kombakomba79222 жыл бұрын
Amen
@faustineluswetula27783 жыл бұрын
Iko powa San hii interview 🤝
@ramadhanseif45643 жыл бұрын
Hili jamaa genius sana
@aishaissa25122 жыл бұрын
Upo vizuri brother 🙏
@seffsamwel56493 жыл бұрын
Kweli kaka yangu hapo umesema point, God bless you all the time
@edwinnmusa21573 жыл бұрын
Kesho ni kesho
@musaraufu19092 жыл бұрын
Safi broo vunja Bei unajua kujieleza iyo shule inakubeba
@mohamedfaris30003 жыл бұрын
Sasa unataka turudi shuleni 😂😂😍😍❤
@dutchkijiko16353 жыл бұрын
I like u bro you the man standing may god bless u long life
@ausonikamugisha66393 жыл бұрын
Da uko smart mzee akili mingi
@الرعدالصغير-ت1ش2 жыл бұрын
Fred sauti yako tu💓💓💓
@flova7022 Жыл бұрын
Dooh kazi imeanza, Mimi nimeona kuni, wewe dawa, na mwingine mboga
@BalakaSanga-jb8un9 ай бұрын
Asante kwa Somo
@happyodran43473 жыл бұрын
Dis guy is very smart , Mungu akusadie
@mussakitanzi36463 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua kuongea sana da! piga kazi kaka
@jeniffermartin57193 жыл бұрын
Waoooo nakukubali sana Fred hasa kwenye biashara ni mbunifu.
@sumecute25133 жыл бұрын
Ana ubunifu sana mashallah,,yani huchoki kumsikiza kwakweli
@prosperleslie97353 жыл бұрын
Safi fred nakubali sn
@imamasngi58643 жыл бұрын
Umenifundosha Jambo ambalo nimuhimu kwangu ubarikiwe
@mr.graphics32133 жыл бұрын
Huyu jamaaa anajiamini sana... Namkubali sana anaongea kama hataki hawazi kuhusu maswali.. Anajibu anavyojisikia yeye tuuuu
@dorispatrick4622 жыл бұрын
Just listening to him is a lesson 💜💜
@swahililandtv12 жыл бұрын
faham zaidi jinsi mtu anavyo chukuliwa msukule, aina ya misukule, jisi ya kujikinga usichuliwe
@husseinmahenge31763 жыл бұрын
Pamoja sana mkinga mwenzangu
@florasanga98483 жыл бұрын
Anatupa nguvu ya kupambana na sisi tutoke
@NDESHILO3 жыл бұрын
Appreciated man
@fredrickmwakila12843 жыл бұрын
Kasoma BCOM VZR sana
@simonitaagesti36573 жыл бұрын
Utajiri wa mtu siri ya mtu mwenyewe mengine hayo maneno tu
@alisele52993 жыл бұрын
True
@sospetershijah56193 жыл бұрын
Wabongo hamchelewi ku judge
@julihanjosephyjs63613 жыл бұрын
Huyu mkinga bwana mmmmhh nyanda za juu za kusini hao usipime .mtani wangu huyo ila nimempenda Sana huyu kaka Yuko vizuri kwa maelezo yake.
@sadahgullam82283 жыл бұрын
@@sospetershijah5619 ivi we unawajua wakinga wewe ni nomaaa
@leonardchapa38363 жыл бұрын
Uko sahihi sn
@swdaalii68923 жыл бұрын
Jamaa Yuko makini Sana Masha Allah
@homeofvideos88933 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 tunakata jina si ndo ivo.... Fred bhna
@emmanicko15352 жыл бұрын
Big up sana mzee baba upo vizuri mkinga
@dwellekennedy58593 жыл бұрын
This guy is smart upstairs
@viviankatomari41403 жыл бұрын
Waoo
@HashimuRashid-j1c4 ай бұрын
My idol
@hakusfakir73642 жыл бұрын
Hahahaaa.....fredy.....nice.....nice....💪
@nasmabanda63403 жыл бұрын
Kweli my love brother
@denismvile64023 жыл бұрын
Big up vunja bei
@kimbyarungwe49592 жыл бұрын
Good point
@mcblife243 жыл бұрын
Brother unajua sana Next dela boss of Tz
@djmossikahayodjmossikahayo8537 Жыл бұрын
Fred lesson ✍🏿✅
@billnassnenga69263 жыл бұрын
Brother nkbli xn
@shammhagama25273 жыл бұрын
Good homeboy 🤣🤣naona Kuna kama elements flani hivi za Masanja hata mfanano
@mussamc641 Жыл бұрын
Fred broo nakulew sana .nachota sana madini yako ya future
@Everything_Foreign5 ай бұрын
Anko ana maseke sana💯
@muhsiniissa81513 жыл бұрын
Uyu jamaa ni genius
@fatmaabeid96683 жыл бұрын
Jamaa yuko makini
@smileboy89793 жыл бұрын
interview kama hizi huwa hatuzielewi kabisa lakin ndio zinamaterial uakutosha
@donsteven67303 жыл бұрын
Yn huyu bro namkubar kipawa alich nach katk kujbu maswal dah mungu akujrie na kutngulie kwenye maleng n mafnikio yk a afy tel brother
@pilliepilly69193 жыл бұрын
Fred anatoa. Michongooo.. mumeskia nyinyi machawa🤣🤣🤣😌
@joelnyanja72343 жыл бұрын
Big up sana mwamba
@aminamtikaonlinetv73053 жыл бұрын
Hongera sana Fred,but rai yangu kwa vijana ni kwamba UTAJIRI WA MTU NI SIRI YA MTU.
@mashakampembela25523 жыл бұрын
Brother ume ni inspire sana. But hongera kwa hatua hyo.
@nyamwinukankwera37493 жыл бұрын
Hongera sana Fred
@ericron61153 жыл бұрын
Namimi nikupe ushauri Ijapokuwa sina hela, kamwe usioe mwanamke Mwenye mtoto, utaharibu kila kitu hata kama anajua Biashara. Labda kama mtoto ni wako. Hata kama Mtoto wakike, kuna mataifa haswa huku marekani wakinamama wanacheza dili na mabinti zao waseme Baba alitaka kunibaka, hapo unalipa mpaka unakoma. Stay away from single mothers
part from that. kuwa na mahusiano au kuoa mwanamke ambae tayali ana mtoto ni changamoto.
@yordanyona12343 жыл бұрын
Wengine wanakuwa wametoa mimba
@hidayaswai31192 жыл бұрын
Khaaaaa
@benignajosephwatendewao20652 жыл бұрын
@@nizarkatunda9662 vipi kuwa na mwanaume tayari anamtoto?
@felixthomas6433 жыл бұрын
pamoja sana bro
@zainabkiluwa86502 жыл бұрын
Big up Fred🙏🙏
@olivanooraladin54363 жыл бұрын
Yaan yuko smart san
@mohammedrashid29063 жыл бұрын
Safi sana
@dantarian9963 жыл бұрын
Napenda sana kuwa na mienendo kama yake fred na nataman kuwa kama yeye
@g14summit192 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@hamidujuma72633 жыл бұрын
Daaahhh hiki kichwa achana nacho kabisa
@hanceclassic29183 жыл бұрын
Big up broo
@mybabyarchive21043 жыл бұрын
Naskia wakinga ni watu wenye long term plan na wako strict sana kwenye malengo yao huwezi kumhamisha kwenye reli anaweza akawa na wazo ambalo atalitekeleza miaka 20 baadae
@johnchale10733 жыл бұрын
Na hilo ndio watu weupe WALIFANYALO huwa wanatazama miaka mia mbele na wanaanza mdogomdogo mpaka wanafika,kweli ndugu yangu
@ommyp7rajaa4153 жыл бұрын
Broo Fred Nakukubali kinyama broo
@mwamengele3 жыл бұрын
Mwijaku ashafika kwa Freddy 13:35 hahaaa
@florakaaya45593 жыл бұрын
Ila wakinga kwa Uchawi looo hawafai. Nilikuwa na jirani analala mlango wazi pesa kaweka mezani anatuambia sisi Wakinga.Hatuibiwi.na biashara tunatoaga sadaka.