Mimi ni mkenya. Nimelelewa Mombasa lakini saizi naishi Nairobi. Nimeipenda interview. Nina mambo kadhaa.. 1. Chwani ni sheng na neno hilo halitumiki sana Mombasa. Huko kuna Hamsa/Hamsini =50, Jiti = 100, Tenga = 1000 2. Mnaskia watu wa Nairobi wanaongea Kiswahili kibovu na mnachukulia wakenya wote hawajui Kiswahili. Hilo si sahihi. 3. Hilo shirika lililoiweka Kenya number 1 lenyewe ni international. Dunia nzima Kenya ilikuwa nambari mbili. 4. Msichanganye ukarimu na upole. Karimu = generous. Mpole = kind/polite 5. Camp Mulla waligawanyika kwa sababu wengine kama miss karun walienda kusoma ng'ambo. Camp Mulla wenyewe wametoka kwenye familia za kitajiri. 6. Kuna makundi kama vijana barubaru na wanavokali Show ya Simulizi na Sauti iko juu. Fredrick Mulla yuko juu
@Donjesse16943 ай бұрын
Kabisaa,, ukarimu sio upole,, wakenya niwakarimu ndo maana tuna support wageni wengi Sana haswaa kimziki
@LandrickXl3 ай бұрын
wewe pia upo juu 🔥👏🏼
@West-moran3 ай бұрын
Kenyan here. What an observation! This guy is intelligent and understands our differences as neighbors. Hii interview imeenda shule. Very good content.
@danielmacharia96033 ай бұрын
Niko rada
@thedaveiknow.3 ай бұрын
Woow! I’m surprised by this guy’s depth of knowledge of the Kenyan music industry.Everything he said is si true especially about charisma! I have subbed to his channel ❤
@androidtv42864 ай бұрын
Very intelligent interview. Mnauelewa mziki. Big up.
@nixnovember3 ай бұрын
Mulla my nigga💯🙌🏿 Intelligent rapper ako na catalog ilosheheni madini. Nigga is next level 🙌🏿
@Qqambaa3 ай бұрын
Wakenya wanapenda wabongo sana but wakenya si wapole
@kennedyobiero56973 ай бұрын
Kuna watoto wa familia walilelewa Tanzania, walipokuja Kenya, ilikuwa ni Kila asubuhi watu wakiamka, unaskia "Shikamoo mjomba" (hata sikumbuki kama hio ndio ilikuwa hio salamu ya asubuhi). Tulikuwa tunachoka sana na hio mambo. Saa hizi ni wakubwa, huku Kenya, wako na tabia za Kenya kabisa. Halafu, ile chenye amesema. Hata Mimi nilipotoka Kisumu nikaenda Mombasa, kuongea kwa kiswahili ilikuwa si mchezo. Nakumbuka sijui nikiulizia kitu kwa duka ni shilingi ngapi, na wananiambia "Dala". Na Mimi Dala yenye najua kwa kijaLuo inamaanisha "home". 🤣
@aishabakari46862 ай бұрын
huyu jamaa nimemkubali yuko vizuri 💯💯📌
@Donjesse16943 ай бұрын
Interview nzuri hii🔥🔥 lakini ni vizuri mtofautishe Ukarimu na upole,, wakenya tunapenda wageni sana,,, jiulize mbona tuna kambi mingi za wakimbizi na idadi nyingi ya wageni.
@kennedyobiero56973 ай бұрын
Huyo brother, we wish him all the best, while he is in Kenya. He is our brother because we are all Afrikaans
@TAV_sports4 ай бұрын
Ukarimu ama generosity ya hiyo list, ni ya uwezo wa kusaidia mtu akiwa kwa shida, kama kumchangia hela hivi si ukarimu wa kusalimia watu
@Qqambaa3 ай бұрын
Njoo mombasa salam utapata Hata kama hutaki kwanxa wakigundua we Ni mbongo
@mariamkimtai6934 ай бұрын
The ❤❤i have to my country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️❤
@Qqambaa3 ай бұрын
Nipitie maryam plz nishakupitia
@AnyThingQool3 ай бұрын
WAKENYA SIO WANAFIKI, NA PIA HAWANA USWAHILI, HAWAFUATILII MAISHA YA WATU.
@loner_wolf3 ай бұрын
Sio kingereza kinachosha , wakenya sio wote wanaongea kingereza , mtaani wanaongea kiswahili chao , na kipo kivyao vyao . Wakenya Kingereza wanasoma shuleni , sio mtaani , so mtaani ni kiswahili na makabila yao na kama kunahaja ya kingereza wanaongea kingereza kizur na kibovu . Iko hivyo .
@dastonamichaels18544 ай бұрын
Imebamba ..nawapenda sana tz mulla issa vibe😂
@mwanafalsafa36134 ай бұрын
Huyu ni young Mulla? Wa
@tumainiamani1114 ай бұрын
Maoni yangu Kwenye malipo ya wasani wa njee inabidi wasilipwe kikubwa sana kuliko wa ndani ilikuongeza value yetu kwani hata kenya kuna wakatiwalishuka sana kimuziki kutokana na kuwapa nafasi kubwa wasanii wa njee na sio wa ndani ndio maana wasanii wengi sana wa kenya aliokuwa wakali kipindihiko waliacha mziki na kuangalia kazinyingine za kufanya kuwaingizia kipato. Pia bila kusahau hapa kwenye live preformance kweli tuko nyuma inaitajika tuaalike sana ilitupate kujifunza lakini pia Kuna live preformance alifanyaga Mboso kwenye stage ya Yamaha niliona ilikuwa noma sana. @Fredrick Mulla asee hawa Camp Mulla walikuwa noma sana kipindi chao Kama ile kazi ya # Hold it down ilikuwa noma sana Sharauti sana men
@stanleymatasa99554 ай бұрын
Mbona watanzania mwapenda sana kulinganisha Kenya na Tanzania na wote wamoja
@bryankibet15874 ай бұрын
Sisi ni kimoja but tuko na differences ,we are built different
@williamkirema62543 ай бұрын
Hii tabia itabidi muwache
@johdanny78163 ай бұрын
uko sahihi sisi sote wamoja. We all africans black peoples. I like the way I'm mtu mweusi from Tz nawapenda sana kenya
@danielmacharia96033 ай бұрын
Tunashare boundary na lugha
@spartachize1224 ай бұрын
Kizazi sana, umetusoma vzr❤
@jasiri254 ай бұрын
Kusema ukweli muziki kenya wanalipa poa nliwai kuhisi pia lakn bongo mtu kama mapanchi, kina baraka na wengine apo apaa wana talent na wakufa njaa
@aminmohammed42494 ай бұрын
Mapanch mtu mmoja noma sanaaa
@Qqambaa3 ай бұрын
@aminmohammed4249 Tanzania msanii kulala njaa nikujitakia hususan kama una kipaji
@jmwalimtzafrica37914 ай бұрын
Mimi ni mtanzania naipenda kenya
@Qqambaa3 ай бұрын
Karibu mombasa
@mancholotrasco83504 ай бұрын
Kenya inatuzid mambo mengi tu way bck
@fahadfaraj64744 ай бұрын
Kama
@jonamnyone80144 ай бұрын
Tanzania tupo vizuri kwenye professional football. Timu zetu zinalipa vizuri na league yetu ni Bora.
@mzeke-r9h4 ай бұрын
Kuhusu mlima kilimanjaro na meruserikali yetu ilifeli kitambo na ziwa victoria na ziwa nyasa ziwa tanganyika .sema wacha tunyamaze kwa sababu hatuna ubaguzi.ila tubadilikeni wabongo mm nishazaa nao ulaya wana ubaguzi wa vitu vingi.....mtazamo mimi zitazami maokoto...mitazamo kwa maslah ya taifa...
@paulinewangila-cs6ys3 ай бұрын
Makubwa,ila watu hii bongo wanafiki sanaaa wanakuchekea moyoni🙃
@StrongbowArrow20044 ай бұрын
kusoma tu caption nimekosa hamu ya kutazama, napita mtanisimulia badae🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️ Uzalendo ni pamoja na kupenda taifa lako na kulithamini bila kujali mapungufu yake.🤔🤗 alisema Baba
@kakawamashariki89784 ай бұрын
Pamoja Sana Tr,ni vyema kuwapenda jirani zetu kama nafsi yetu kwakuwa imeandikwa,bila kusahau uzalendo kwanza kama ulivyo tangulia kuwasilisha.
@StrongbowArrow20044 ай бұрын
@@kakawamashariki8978 Mpende akupendae usisahau hilo pia 😅😅 kwa mbili ,mbili hapo
@RamadanPaul4 ай бұрын
Daah🙌🏿 chukua soda mkuu nitakulipia. Mimi pia huwa sipendi mtu kudharau nchi yake. Kwanza huyu anaonekana anatamani sana kuwa mkenya, ona hata anavyoongea😂 eti anadhubutu kutaraba kwa kiswahili kibovu cha kenya😢👀👀
@africanmandetraveler28474 ай бұрын
Sote ni wafrica na ndo maana kuna mwingiiliano wa makabira pande nyingi za Africa.
@StrongbowArrow20044 ай бұрын
@@africanmandetraveler2847 Ulishajiuliza kwann Kenya kuna ukabila tangu enzi na enzi? apo ndo pakuanzia, hata hivyo hakuna aliowabagua ila tunachotaka uzalendo kwanza aibu yetu ni ya kwetu, uwezi kuta kituo chochote cha television huko Kenya ikiandika ati ya kwamba Kenya imezidiwa na nchi fulani why sisi ndo tutukuze wenzetu.🤔
@alexkibe41794 ай бұрын
Kwa ukarimu. Tz mko top. Hakuna vile kenya tuko hapo 😅.
@Movewithdavid4 ай бұрын
🙄🙄
@freddiekipkoech47523 ай бұрын
wee.. ukarimu sio upole, wala heshima ama kusalimiana... ukarimu maana yake, kusaidia na kumuinua mtu aliye chini. haiya. mbona basi, ombaomba toka tz wamejazana katika miji zetu zote, na sio dar ama arusha ama mwanza? jiulize hino swali.. 🤔🤔
@josephevaristi89233 ай бұрын
@@freddiekipkoech4752we jamaa wakalenjin acha kubwabwaja bila facts,,mbn hyo miji ya tz ulioitaja omba omba wamezagaa Kila kona
@michellejuma31292 ай бұрын
ukarimu sio upole
@habari2544 ай бұрын
SAFI SANA
@Ronymante4 ай бұрын
Mziki kenya walipa ,na vile muda wasonga viwango vitazidi kuziacha za Tz ,yaudhi kunq wasanii tulowaskiza tukiwa watoto leo hawana chochote
@Movewithdavid4 ай бұрын
Kenya hata Kuna wasanii mitaani tu,wadogo bt wanapata shows za kama 50k-100k za Kenya per show.
@rojatv1673 ай бұрын
Ndomana alikiba anasemaga ukitaka ambie live pesa inapanda nitofaut na kumbia to heit
@cypriannyamwamu4 ай бұрын
Huyu jamaa ako na Unairobi mob
@Ronymante4 ай бұрын
Streaming Tz hailipi ,KZbin pesq yake kidogo,mfano tu sofiya nzau ambaye alianza mziki mwaka jana pkee,aliunda 75M za Kenya toka tu Spotify pkee,msanii bora Tz , diamond hajaweza kufikia pale ,kazi zake zaenda youtube pkee😢😢
@Movewithdavid4 ай бұрын
Very true,na hivo ndio alipata pesa,hata sahizo asipowachilia hits,ashajitoa Kwa shida zake,na ujuwe shows Kenya hawezi kosa,hata sio lazima afanye show Nairobi pekeake,Kenya unaweza kulia mziki miaka mingi sana hata ukiwa hujulikani sana.
@giftedhand7733 ай бұрын
Fredick mullur is up coming Kendrick Lamar
@King_Of_Everything4 ай бұрын
✌️👍👊.
@Ngudure4 ай бұрын
King Tai
@danielmacharia96033 ай бұрын
Niko kenya
@Selemanian4 ай бұрын
Nakubaliana nae 10% tu
@johnmkatakona64744 ай бұрын
Watoto wa morogoro..mko wapi? mulla uyapa
@ninjaisma79834 ай бұрын
Exposure muhimu waambie wabongo wenzio boi
@samuelmwatsuma44624 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪
@georgekabaka3774 ай бұрын
Sasa mbona wasanii wao wanalalamika malipo ??
@wambuageorgemutua19304 ай бұрын
Sababu wanafahamu wanafaa kupata zaidi kuliko vile wanalipwa. Competition huku iko juu sana
@Movewithdavid4 ай бұрын
Hawataki kulipwa pesa kidogo,wanataka hata ikiwezekana ikuwe standardized,ile ya hakuna kulipa msanii chini ya 50k za Kenya,wanajuwa rights zao boss.
@felixmakinda76893 ай бұрын
Wakenya hawapendi muziki WA Kenya kwa ukubwa. Wakenya wanapenda Bongo na miziki ya kigeni. Inashangaza lakini inaeleweka. Wasanii WA Kenya wengi huimba maneno yeye aibu kubwa. Tasfida hawana hata. Hauwezi sikiza wengi wao ukiwa na mwanao ama mzazi wako.
@nicoledinga99483 ай бұрын
But honestly Swahili started in Kenya, then went to Zanzibar and the rest is history 😂😂
@Brian_J173 ай бұрын
Go back to your history books.
@kingstonbarnaba52543 ай бұрын
@@Brian_J17 Uo ndio ukweli anakwambia. Tofauti ni Tanzania mlikikumbatia kama taifa sisi tunachukulia tu kawaida isipokua kwa wapwani.
@eliasaNgahehwa-l2f4 ай бұрын
Uyo boya tu
@risson_764 ай бұрын
Unamjua adi useme boya??
@eliasaNgahehwa-l2f4 ай бұрын
@@risson_76 namjua boya tu
@joycegacheri51774 ай бұрын
Boya ni kitu gani 😂
@rwenji224 ай бұрын
Provoke. Wrong number na sitakwambia kwa nini. Jijazie mwenyewe. Fanya collabo mob.
@ramermohamedy43444 ай бұрын
Kaka kuna banana zoro
@MrNoNonsenseYes4 ай бұрын
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
@MrNoNonsenseYes4 ай бұрын
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
@MrNoNonsenseYes4 ай бұрын
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
@MrNoNonsenseYes4 ай бұрын
HATA TOP 20 YA KENYA HAWEZI KUINGIA , SI KWA UBAYA. BABU WA TIKTOK MWENYEWE PIA ALILIONGELEA HILI
@abdulkadiradam4773 ай бұрын
Wabongo hamna ukarimu yoyote nmekua uko kwenu mara mbili
@freddiekipkoech47523 ай бұрын
haiya. wasanii wote wa kibongo waliohamia kenya. kisa, kenya inalipa vizuri; -fredrick mulla -mr nice. -lady jaydee -ray c -babalevo -dudubaya -rose muhando -maria shusho -zabron singers (ata Marco alifariki kenya), -fautine munishi
@FrankKashamakula-xb1pc3 ай бұрын
Ray C yupo France
@freddiekipkoech47523 ай бұрын
@@FrankKashamakula-xb1pc awali, alikuwepo kenya🇰🇪 kabla ya kuvuka ughaibuni 🇫🇷
@salimjumaa81804 ай бұрын
Wakenya muache kabisa na mkae kw ku2lia otherwise watachukua wasanii wenu wawe wakenya😂
@freddiekipkoech47523 ай бұрын
kenya sisi wakarimu, ndo maana unakuta wabongo walemavu katika miji zetu kama zote wakiombaomba mitaani. pia utakuta wahamiaji toka uganda, rwanda, burundi, congo, southsudan, ethiopia, somalia, na sahizi wanigeria na wacameroune, wanazidi kujazana kenya, kisa kenya kuna riziki na mapato mazuri. yaani wakenya ni watu wana wasapoti kwenye biashara zao ndogo ndogo, pia wakenya wanawaajiri kazi ndogo ndogo. yaani kenya kuna opportunities