Asante Mungu Kwa kazi Uliyo tubariki, Nakuombea Mme wangu ufke mbali zaidi❤
@fedrickdaudfamily98376 ай бұрын
Hata mimi ni mme wako bana usisahau😂😂😂
@casmieguda Жыл бұрын
Safi
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Barikiwa sana
@EmieliHamisi Жыл бұрын
Amina kupitia wimbo huu ziporoho zitakazo okoka Basi mungu Kama uishivyo rohozitakazo okoka kupitia wimbo huu zifanyikekuwa sadaka kwako katika hitajilake
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Amina sana sana saaana 🙌🙌🙌🙌
@amoskalama7421 Жыл бұрын
Amazing job man of God,the message !Toba ni muhimu kila wakati na lipo tumaini mungu anasamehe yoyote anaemrudia ..More Grace
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Ameen Ameen Ameen,Thanks man of God, Mungu atukuzwe na utukufu mkuu uwe na yeye tu.🙌🙌🙌🙌.
@samsonlutogisha3525 Жыл бұрын
Waooooo.... Ubarikiwe sana Mtumishi Wa Mungu Mwenyezi Mungu akuogezee marifa
@ronnyshine2312 Жыл бұрын
Mungu atusamehe wanna wapotevu amee
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Kweli kabsa Mungu atusaidie tu🙏
@beatricephoebe7960 Жыл бұрын
Amina Kwa kweli anasamehe🙏🙏
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Asante Beatrice Abito😀😀🙏🙏
@bhnveotv187 Жыл бұрын
Umeupiga mwingi 😂 hongera sana
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Asante sana kaka 🙏🙏
@EmmanuelyMajula Жыл бұрын
Mlam mungu akujaze baraka uzidi kufikisha ujumbe kwa neema ya bwana ubarikiwe
@nicholasotienowuodkingi21 күн бұрын
Ubarikiwe sana bro
@VincentMkolwe4 ай бұрын
Kazi nzuri sana kaka wa kamoga🎉
@IreneJohn-bp7qm Жыл бұрын
Barikiwa kaka ujumbe mzuri sanaaaaa
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Ameeen,Asante sana utukufu kwa Mungu aliye mweza wa yote
@SteveInnocent-s8k Жыл бұрын
Umeupiga mwingi mtumishi
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾Asante sana kaka
@MundhirKhamis-bi9uf5 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@fredrickngwalolela38895 ай бұрын
Ameen sana barikiwa sana ndg yangu 🙏🏻
@abdullabdalatif28345 ай бұрын
Barikiwa sana Mzee wa WD 1, naona Zabroni kasamehewa
@fredrickngwalolela38895 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Yeahh nakwambia ni balaa
@bernadethadouglasmbala2392 Жыл бұрын
Ubarikiwe ni ujumbe mzuri sana
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Jina na Bwana Yesu liinuliwe kabsa,Asante sana karibu sana🙌
@spiaemason549011 ай бұрын
Blessed mtumishi
@davynyakwaradori Жыл бұрын
This is great bro, keep shinning and blessing us with God's message.
@fredrickngwalolela3889 Жыл бұрын
Ameeen,Ameen🙌🙌🙌
@TinahMathias28 күн бұрын
Mkuu, hii mbona naona ni kama ya muda mrefu au umefanya remix, ila ni Kali, Ni kweli ANASAMEHE!!