🇱🇷🇱🇷Sasa hizo kucha unaweza kujiosha sehemu zasiri kweli
@ibrahbzz85163 жыл бұрын
hizo ni kucha za kuvaa na hivyo zinatoka muda wowote.
@tousihhhh67653 жыл бұрын
umeniwai ndug🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@priscajube42399 ай бұрын
Yani mnawazaga sehemu za siri tuu. 😅
@hukuUJERUMANI4 жыл бұрын
Sky, I think this is one of the most entertaining interviews I've watched here, especially how she explains her time in school & how she was ,admittedly, a hopeless student, hahaa. I've also watched the MB Dogg interview here, & it's funny too, especially when he talks about the fella from Mwanza with whom he did a song with.
@ndimilaalbert66714 жыл бұрын
Very BRIGHT
@hamedabashir93 жыл бұрын
Hii sikuiona kabsa duh
@mwanaidikashoda40173 жыл бұрын
Frida mtoto wangu mmefanana huo mwanya
@chidybwax80804 жыл бұрын
Kucha ss aseee dah hip hop unazingua
@emmamikate47414 жыл бұрын
Frida✌️
@isomerdumelahisabati48324 жыл бұрын
Koti safi
@NancyMrangu4 күн бұрын
Kwa kina vaileth lema
@sophiekanyengele32414 жыл бұрын
Hizo kucha sio urembo tena ni uchafuuuu
@beatricemshiu28164 жыл бұрын
Na silaha
@danneismail54424 жыл бұрын
Kwa wale hawajui hizo kucha ni bandia na zaweza kutolewa kwa hivyo punguzeni ushambaaa