Yaani Pascal unapochambua mpira pale Simba inaposhinda dah! Natamani usimalize upo vizuri
@SlyvesterAugustine15 сағат бұрын
Sauti inakwaruza Sana friji
@husseinmpuruti1372Күн бұрын
Jaman uwesu ni kama edgar devs wa juvenile mtu ya holand
@abdallahshariff655518 сағат бұрын
Aweso zaidi ya Ahouwa,ila kwa kuwa mzawa hapewi kipu mbele,ila tutamuelewa tu
@peterkabyemela6479Күн бұрын
Uko powa mtu wangu
@shumajrrespect20 сағат бұрын
Simba ya fadlu davs nimefrah san jana
@saidbakari2408Күн бұрын
Uchambuzi Jadid kutoka kwa fundivich
@hemedabdallah6657Күн бұрын
Kweli mchabuzi unajuwa
@MuslihiHassan-bi2nj22 сағат бұрын
Inaonekan Hadi waandishi mna shauku ya kumuona mpanzu😂
@ZakaliaGodeniКүн бұрын
Pamoja sana bro unapita umoumo🤥🤥
@ibrahimally8073Күн бұрын
Huna baya david.. uchambuzi mujarab kabisa.. fadlu ni kocha asiye tabirika kabisa kwenye game.. ni kocha mjanja sana.. awesu ni 🔥.. awesu ana cheche za gaucho.. ateba atafunga sanaa.. salute kwa valentine nouma.. ila mzamiru hazeeki bado yupo ngangari.. ngoma kazaliwa upya.. ebwanaeee swezi kuwamaliza maana kila mmoja ni wa moto.. hii simba hii ni simba moto..
@shumajrrespect20 сағат бұрын
Simba hii ndo tulikua tunaitaka
@kamaratsalimsafari883821 сағат бұрын
Sikuizi umeishiwa na madini
@anthonymilinga8696Күн бұрын
Hielewekagi wewe friji bovu! Siku timu ikifsnya vizuri unasifia ikitokea shida kidogo unaponda. Mwandishi wa mchongo.