SEMAJI ATUPA JIWE GIZANI/"CLEAN SHEET NI KWAAJILI YA CAMARA TUU/MPANZU UWAKIKA KUCHEZA VS KAGERA"

  Рет қаралды 26,181

Simba SC Tanzania

Simba SC Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 34
@HamiduKiulunga
@HamiduKiulunga 4 күн бұрын
Jamani naipenda simba mm na semaji letu jitu la maana kbs simba nguvu moja❤❤❤
@msabahaissa6201
@msabahaissa6201 4 күн бұрын
Huyo ndiyo msemaji bora Africa Ahmed Ally
@FazzilaMussa
@FazzilaMussa 4 күн бұрын
Kila laheli chama langu LA simba ❤❤❤❤❤❤
@munguamuwekemhalipemapepon9946
@munguamuwekemhalipemapepon9946 4 күн бұрын
Simba ni noma❤
@FedhaJuma-r8k
@FedhaJuma-r8k 4 күн бұрын
Naamini tutashinda j mosi mungu ibariki timu yetu❤❤❤❤❤
@mlekwadaud2530
@mlekwadaud2530 4 күн бұрын
Mnyama wanatisha na timu zinajua hilo lkn maandalizi ni muhimu Hamna kudharau mpinzani japo ana matokeo mabaya Simba Nguvu Moja DAIMA. Ubaya Ubwela tuuuuuu.
@WendeMposola
@WendeMposola 4 күн бұрын
Semaji umeshindikana 😂😂Kila la kheri Simba Sports Club kikubwa kumheshim mpinzani na kumtanguliza Mungu 🙏🙏🙏
@Mumlion2624
@Mumlion2624 4 күн бұрын
Wqchezaji wamuombe mungu sana kwaimn yoa kila mmoj husda ninyingi mno wallah.haswa mutale unaniuma sana .nimchezaji mzur lkn akiwa uwanjani nimadudu omba sana baba
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 4 күн бұрын
Wachezaji wetu wote awe mwislamu awe mkristo anapaswa kumwomba Mungu msamaha kwa makosa aliyoyafanya aither kwa kujua au kutokujua kisha wamwambie Mungu wamlilie Mungu kwa uchungu mkubwa sana maana wanarogwa sana washuke viwango vyao wanakuja wakiwa vizuri wakishacheza tu wanafungwa viwango vyao vinaanza kushuka
@Visionaria_HD
@Visionaria_HD 4 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mafundakhamis1241
@mafundakhamis1241 4 күн бұрын
Sadakta kabisa
@AzizaMayemba-td8po
@AzizaMayemba-td8po 4 күн бұрын
Amina wamtangulize mungu mbele kwa maombi
@reginahechei1978
@reginahechei1978 4 күн бұрын
Wamtangulize Mungu baada ya kuomba toba Hakuna linalomshinda Mungu Uchawi hauwezi kumshinda Mungu wetu Tuombe kwa pamoja kwa ajili ya klabu yetu pendwa SIMBA
@TalkMazito-s7l
@TalkMazito-s7l 3 күн бұрын
❤❤
@vumiliamgendi148
@vumiliamgendi148 3 күн бұрын
Cha msingi tuache tuache maneno mengi wachezaji waimbewe Kila mtu kwa Imani yake wa maombi aende kwenye maombi wa Dua aende kwenye Dua wa mganga aende kwa mganga mutale sio yeye dibra sio yeye na mukwala sio yeye mmewaona wale wachawi united wanavyokuja kwa Kasi ila tukikakie kusema sema eti tuna majasusi tutaangukia pua
@abdalrahamanikapilima
@abdalrahamanikapilima 4 күн бұрын
Waulize zile mbwembe za kusema TP Mazembe walikwenda fundishwa jinsi ya kuongoza soka pale chura churani , sasa mmepigwa mnalia nini na mafinzomewapa wenyewe?
@YohanaJumanne-v3v
@YohanaJumanne-v3v 4 күн бұрын
Mungu isaidie Simba ipate ushindi dhidi ya kagera sugar goli 3-0kagera Amen
@LeapaRoine
@LeapaRoine 3 күн бұрын
Maboresho muhimu nafasi ya Mutale na forward pia bado ni changamoto.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 күн бұрын
"..OBUBI BWAGARUKA.." UBAYA - UBWELA
@ADOKINGDIGITALSATELLITE
@ADOKINGDIGITALSATELLITE 4 күн бұрын
Navyo subiliii
@maigemayasa3382
@maigemayasa3382 4 күн бұрын
Semaji hawezi kuongea maneno yake lazima utacheka tu. Hanaga hasira huyu mtu.
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 күн бұрын
Mimi huwaga natoa ushauli WA kweli juu ya timu YANGU pendwa Simba sc ninacho kusudia mpelekeni MUTALE akafunguliwe macho na miguu mana wamesha mzika tayali
@elimbotoraphael3940
@elimbotoraphael3940 4 күн бұрын
Unajua kusifia wachezaji mpka wanakuwa wapuuzi wakiwa uwanjani
@georgeosima1528
@georgeosima1528 Күн бұрын
Kuna wachezaji waache utoto wanapokuwa uwanjani wawe watu wa kupigana kufa na kupona kwa ajili ya mafanikio yao na mafanikio ya timu pia ndio ushauri wangu
@jumamangombe6493
@jumamangombe6493 4 күн бұрын
Kuhusu timu kutokupata matokeo bukoba ni kwa sababu viongozi hawaipi mechi hiyo uzito. Kuna kitu huwa hawafanyi. Mfano, kuwapanga kisaikolojia benchi la ufundi na wachezaji, motivation kwa wachezaji. Mfano leo kiongozi gani mkubwa kasafiri na timu?
@mobrighttz193
@mobrighttz193 4 күн бұрын
Ubaya Ubwela
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 4 күн бұрын
Obubi Bwagaruka
@franccoz94
@franccoz94 4 күн бұрын
KULE MBELE BADOO ,BWANAA VUNJENI KIBUBU KAMUCHUKUE FEITOTO
@MpandujiJumanne
@MpandujiJumanne Күн бұрын
Simbayetuikovizurkwenye ufungajichangamotokwamabeki
@SelemanJuma-p2l
@SelemanJuma-p2l 4 күн бұрын
ubaya ubwela
@SophiaWanene
@SophiaWanene 4 күн бұрын
Semaji wengi wanatamani wakubalike kama wewe bigap
@SamsonSamsoni-q9s
@SamsonSamsoni-q9s 3 күн бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️🦁🦁♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Lissu Ataja UTAJIRI WAKE, Nchi YATETEMEKAAAAA!!!!!
17:15
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 199 М.
Thamani ya Kitambulisho Cha Nida Miaka 5 Ijayo  | Fireside Chat Podcast
43:27
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН