Friji bovu ujue Yanga kafungiwa tena kusajili kisa case ya Okrah na team yake ya Zamani. Okrah anaidai na team yake inadai. Hukumu kutoka FIFA ishatoka Yanga alipe ili afunguliwe usajili
@saidymbagalla662220 күн бұрын
Hili timu lishushwe tu daraja mana ishakua too much
@NdayishimiyeEvelyne-ws6ts21 күн бұрын
Sira atoke azam akiwa huru aje zake jangwani
@MalaleShambuli15 күн бұрын
Mbona Kila mchezaji anaeda yaga
@RockyMbwana21 күн бұрын
Hawez kuj kula ugal na sukari
@AbisinaRashidi-c8d21 күн бұрын
Washalipa madeni ya vikoma maana wana madeni kibao
@musamshema783820 күн бұрын
Umafyaganisasa hiyo azam ni Academy yasimba nani asiejua?
@boazgodfrey86520 күн бұрын
Kumbe hujitambui,sasa mchzj kujibrand si ndo mafanikio?,au angeshindaje makombe wakati alionao ni hOyahoi