Ww fala unaongea utopolo tu,, kwanza kabla ya faulo yule beki wa jkt alishika mpira, unaongea usenge tu
@OmarHamis-e2d2 күн бұрын
Nakubali kazi alli kamwe
@AsilaDaudi3 күн бұрын
5:27
@AsilaDaudi3 күн бұрын
Yanga Hatari sanaaaaa yawa umiza wapizani
@Maxmilianmgimba3 күн бұрын
Ally kamwe.vijana yanga wapo tena wazuri sana .lakini tunataka mpira wakasi mwanzo mwisho.kwanini mpira unapoa sana??
@MereMbunda-n5n4 күн бұрын
M nakupenda Sana yanga jamani Ila leo nikiboko ya viboko 1:54
@BrendaMussa-l4e4 күн бұрын
Yanga bigwa love so much 💛💛💛💛💚💚💚
@iddynjonjo4 күн бұрын
Unavunja mkataba wa nani?hela umemlipa?au ndo Yale yakina okra?
@VictoriaMagongo4 күн бұрын
Sema.baba.
@SarahFrank-w7n4 күн бұрын
Kaka kama skudu mmefeli jamani
@HalunaMajaliwa4 күн бұрын
kweli kaka
@FloraIkwabe-qy3yb5 күн бұрын
Naipenda yanga sana kuliko
@AniphaKalonge5 күн бұрын
Munguuu mbeleeeeeeee
@AniphaKalonge5 күн бұрын
Ali kamwe tunataka makombe
@AniphaKalonge5 күн бұрын
Jamani Ali kocha ko CV ha
@CASTUSGOZBERT5 күн бұрын
Yanga oye
@JohnKilingo-s6w6 күн бұрын
Pamoja sanaa yanga
@casiuspaulo6938 күн бұрын
MOROGORO VETERANS FC stand up
@PeterThomasi-n2i9 күн бұрын
Simb wanachez tar ngap
@edgarcruzee522312 күн бұрын
Mwl wa Mazoezi ni ya Hovyo wachezaji Awana mazoezi ya nguvu na mikimbio ya kutosha
@edgarcruzee522312 күн бұрын
ATEBA anakosa watu 3 wakucheza nao NO 10 ni bure NO 8 Acheze Mavambo mwl msaidie Mavambo ana Uwezo shida ni Mazoezi ya kitoto
@edgarcruzee522312 күн бұрын
ATEBA nimchezaji Makini anaguvu anakibua anakili ana Uwezo mkubwa saaaaaana
@edgarcruzee522312 күн бұрын
AHUWA atufai kucheza mchezo ya Kimataifa Uonendio Ukweri
@edgarcruzee522312 күн бұрын
NO10 AHUWA ancheza na watoto atufai. MWL Ongeza wachezaji wenye kazi na nguvu na Akili
@edgarcruzee522312 күн бұрын
Mwl wa Simba Wachezaji wacheze Dk 60 na wengine kwa 30 na wengine 10 na wenaoweza kufosi kwa nguvu Kasi basi ndefu na kukaba
@edgarcruzee522312 күн бұрын
Mwl Achana na wachezaji wazembe kama NO 10 AHUWA NO 8 Ngoma. Awatufai Kabisa Awakabi awakimbii pasi mbovu na fupi wasicheze Kabisa
@salehepolle12 күн бұрын
Ya leo utasema mazembe wabovu ndio uchambuzi wako mchambuzi wa mchongo
@andrewsalufu12 күн бұрын
Vipi umeangalia mpira leo wewe....!!!!!????
@hawamasanje958912 күн бұрын
Wewe Friji bovu ipasue na Azam iliofungwa na Tabora mbona husemi acha umbea baba iseme tu Yanga atashangaa
@ThePlants-zc3rp12 күн бұрын
utopol wanafungw mbil bila
@kakore_jr12 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣📥📥📥
@KelvinIsrael-c2h12 күн бұрын
Jina lenyewe friji bovu, kazi kula luku tu
@reginaldmapunda670212 күн бұрын
Hivi hawa wachambuzi wa mbuzi mnawatoa wapi?
@jaffarishabani12 күн бұрын
friji bovu acha ivo unaongelea yanga vibaya weka akiba ya maneno usije kusitwa mpira unamatokeo matatu
@SuzanKameta12 күн бұрын
Kwani hamkushanglia? 😅😅😅😅
@marcobulili434112 күн бұрын
Friji bovu ni bovu kweli! Nyie ni vigeugeu ya ga ikishinda mnageukia yanga. LEO mpira utapigwa! YANGA BINGWA!
@Emanuel-zc2el12 күн бұрын
Wachambuz weng watanzania ni ovyo saan naweza sema iv kwa ninachokion baadhi yao hawan msimamo kabs wnawai kubadilik kulingan na upepo leo kuna wachambuz wanakwambia yang ni mbov saan sas btashangaa kuon leo yanga anashind kwa mazembe alaf hao hao wachambuz watarudi kusema yanga ni bora
@emmanuelmayunga151812 күн бұрын
Ni kwel hasa wale wa EFM ila siyo kwa huyu jamaa
@browntv111912 күн бұрын
Hawachelewi kubadili maneno hao
@WallaceMhina12 күн бұрын
@@browntv1119 nashukuru Ndugu yangu kwa kuwajua
@WallaceMhina12 күн бұрын
kuna mdaa sio wote tuwe wachambuzi wengine mnaweza kubaki mashabiki sio kuvaa miwani ndio kujua mpira kazi zipo nyingi sio lazima mpira mnajitia aibu maana hamjui kuchambua
@MuthannaNgondi12 күн бұрын
Njoo uchambue ww bax
@chiefnumborecords481912 күн бұрын
Daaaah ila kweli umeongea friji Ivii mwendaa na KIBWANA nani mkali najiuliza hapa sipati jibu Joseph Guede n Jean OTHOSI Baleke nani mkali hapa tunajichanganya viongozi wetu Kuna muda wanajichanganya kwanini walimtoa J Guede why wakati gari lilishawakaa? Aaaaaah wachaga yatukute mambo bhana
@AlexSimba-d2y13 күн бұрын
Safi Sana keep up the good job God bless you always...
@AishaMpenda-y2q13 күн бұрын
Ukimpinga mandonga we utakua choko
@MalaleShambuli14 күн бұрын
Mbona Kila mchezaji anaeda yaga
@josephgalandu12814 күн бұрын
Hata Aucho na mayele mlisema hivyo hivyo kwamba wa kawaida,hata Max mpia,hata Boka,hayo tumeyazoea,ila matokeo uwanjani haohao mliowaponda WANAWAPIGA 5😂😂😂😂
@ramadhanichubi913914 күн бұрын
Uko viziri maemaji
@LucyMwaibula14 күн бұрын
Kaka unatisha ukweli mtupu unatusaidia Simba na Yanga
@kolosii435114 күн бұрын
Uko more professional. Wengine wajifunze kitu hapo.