Friji bovu ni bovu kweli! Nyie ni vigeugeu ya ga ikishinda mnageukia yanga. LEO mpira utapigwa! YANGA BINGWA!
@kakore_jr13 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣📥📥📥
@hawamasanje958913 күн бұрын
Wewe Friji bovu ipasue na Azam iliofungwa na Tabora mbona husemi acha umbea baba iseme tu Yanga atashangaa
@Emanuel-zc2el13 күн бұрын
Wachambuz weng watanzania ni ovyo saan naweza sema iv kwa ninachokion baadhi yao hawan msimamo kabs wnawai kubadilik kulingan na upepo leo kuna wachambuz wanakwambia yang ni mbov saan sas btashangaa kuon leo yanga anashind kwa mazembe alaf hao hao wachambuz watarudi kusema yanga ni bora
@emmanuelmayunga151813 күн бұрын
Ni kwel hasa wale wa EFM ila siyo kwa huyu jamaa
@reginaldmapunda670213 күн бұрын
Hivi hawa wachambuzi wa mbuzi mnawatoa wapi?
@WallaceMhina13 күн бұрын
kuna mdaa sio wote tuwe wachambuzi wengine mnaweza kubaki mashabiki sio kuvaa miwani ndio kujua mpira kazi zipo nyingi sio lazima mpira mnajitia aibu maana hamjui kuchambua
@MuthannaNgondi13 күн бұрын
Njoo uchambue ww bax
@salehepolle13 күн бұрын
Ya leo utasema mazembe wabovu ndio uchambuzi wako mchambuzi wa mchongo
@ThePlants-zc3rp13 күн бұрын
utopol wanafungw mbil bila
@browntv111913 күн бұрын
Hawachelewi kubadili maneno hao
@WallaceMhina13 күн бұрын
@@browntv1119 nashukuru Ndugu yangu kwa kuwajua
@jaffarishabani13 күн бұрын
friji bovu acha ivo unaongelea yanga vibaya weka akiba ya maneno usije kusitwa mpira unamatokeo matatu