Hao waamuzi wanalipwa mshahara mdogo na wanapewa bahasha nene na faini wanapigwa ndogo, mshahara laki 2 failni laki 5 bahasha anapewa zaidi ya m arafu unamfungia mechi 3 ambazo hata asingepigwa faini asingechezesha.
@Kimjongun4996Күн бұрын
Msitupe pressure tu hapa bhana
@piuskusenge-jf2ob19 сағат бұрын
Style yenu ya utangazaji sijaipenda mnamuiga Sana Mzee wa za ndaaaani, MOMO
@mfalmewasoka94915 сағат бұрын
Nenda kamsikilize huko
@TheresiaMhagama23 сағат бұрын
We muongo sana
@mwesigyeglory21520 сағат бұрын
Kwan ww hautaki kuimbwa na kuzungumzwa ?? hata unavoongea ivo ni kutafta tention ya watu
@ANNAKISIGA-pc5qs22 сағат бұрын
Katika wachambuz mimi kama mimi nakuamin sana hujawahi kukosea kabisa na hauna hbar za kubumba
@SangaliPower21 сағат бұрын
Huyu jamaa namkubali saana kwasababu huwa hafichi ukizingua anakuchana bila kuficha
@elishuaisaya41763 минут бұрын
Waje na zoazoa atulegezee mashart tuishi naye msimbazi tupate Raha ya kutukuka kutoka na Debora,ateba na kamara waengezee utam msimbazi licha ya mi kutotaka kusajili kwa kumwangalia nini yanga afanya
@TheresiaFransic21 сағат бұрын
Jamn tajir wet fany ivyo tupet furah na xx
@alfredmlema592820 сағат бұрын
Acha kijana aje acheze na vijana wenzie aende mbali jombaa
@JacksonHamis-eg8by5 сағат бұрын
Af nyie wachambuz n wa michongo sana uwongo tuu kuoga aah