Magufuli angekuwepo ukweli usemwe, kutoka Dar mpaka Moro Sasa hivi watu wangeanza safari tokea mwaka 2021
@hijazhija316 Жыл бұрын
Ndo hayupo sasa
@victorndunguru1016 Жыл бұрын
Hivi hii Dar Moro Haimaliziki tu? Kuna Kitui Kimepungua ki utendaji wenu. Nikisema mtaingiza siasa mnifunge, ila hata nyiewenyewe mnajua nini mmepunguza mpaka kazi haimalizxiki. Tumeanza kutowaamini.
@berthatz Жыл бұрын
Yaani kila siku wako kipande cha KAMATA…Mabehewa hadi yatashika kutu..Na umeme ndo shida ya kudumu..Hii hadi tutakapopata kiongozi mzalendo haswa ndo kazi itamalizika.
@jamesjames2368 Жыл бұрын
Sasa mnatuchanganya, hivi hi project itakwisha lini!!!
@skunking9254 Жыл бұрын
Nyie mnazingua tu Nendeni zenu😏😏😏
@noahmadali7150 Жыл бұрын
Mwaka wa 3 asilimia 95 duh au kuna mtu kabonyeza pause bila kujua
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Tatizo letu watanzania tumekuwa wabinafsi sana hatuangalii miradi kama hii na umuhimu wake kwa jamii nzima, mtu anajari yakwake tu wala haangalii kuwa kwa kufanya hivyo anachangia katika kuzorotesha ukamilikaji wa miradi. Tuna kazi kubwa ya kuwafundisha raia Utanzania na Uzalendo, vitu ambavyo ni viwili muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
@kamanda007 Жыл бұрын
Mnatuchosha tuu
@HamisLICHOMBO Жыл бұрын
Upuuz tu siasa tu
@mkude Жыл бұрын
Hongereni TRC hongereni serikali.kazi iendelee
@matheobaha773 Жыл бұрын
Mpiga picha anatufanya tusielewee kinachoelezwa kwenye video
@sammyibrahim8626 Жыл бұрын
Kila siku wanatuambia hili na lile hakuna kitu
@hashimshaban4675 Жыл бұрын
Nyie subirini uchaguzi ukikaribia mambo yote yatakuwa bambam 😂😂😂😂
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Kipande cha Dar Moro tayari kwanini usafiri usianze wakurungwaaa
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Hivi vivuko mbona imekuwa hadithi ya sungura? Yaani vivuko vitatu mwaka mzima, vingekuwa kumi je ingekuwaje?
@backlinemgongolwa568 Жыл бұрын
Mmefer
@machaggechacha243 Жыл бұрын
Uongo wizi na uvivu. Acheni kutudanganya.!!!! Kiongozi wa nchi ni mvivu na muongo akiongoza wezi. Unadhani kuna kitu au miradi itamalizika kwa wakati???? Mfano wa awamu ya nne, uwanja wa ndege ulikwamishwa na uvivu wizi na uongo mpaka Magufuli kaja kuumalizia. Kikwete na majizi wenzake walikuwa wanaiba kila hela inayotolewa kujenga nchi.
@omarymkamba3045 Жыл бұрын
Magufuli ameongoza miaka mitano na hakumaliza hiyo reli halafu unataka Rais aliyepo sasa amalize kwa miaka miwili tu ?Huyo magufuli unayemsifia alimaliza mradi gani mkubwa zaidi ya maneno mengi tu.Kosa kubwa lilifanywa mwanzo wakati wa kuchagua Mkandarasi huu mradi alitakiwa apewe china badala ya Uturuki.Uturuki hawana uwezo mkubwa kama china
@shinipapaya846 Жыл бұрын
RIP mzee baba Magufuli wazio huku ni mwendo wa nguo KANIKI mbele yetu 😢😢😭😭😭