FULL MATCH HIGHLIGHTS YANGA 3-1 TP MAZEMBE I CAF CONFEDERATION CUP

  Рет қаралды 601,500

TV3 TANZANIA

TV3 TANZANIA

Күн бұрын

Kwa story zaidi za kimichezo, matukio, vicheko na vilio vya kispoti tufuatilie kupitia Mitandao ya kijamii hii :
►SUBSCRIBE: / @tv3tanzania
►Instagram / tv3tz
►TikTok / tv3tz
►Facebook / tv3tanzania
►Twitter / tv3tanzania
#Tv3Tanzania Katika kisimbuzi cha @startimestz CH 131 (Antena) na CH 197 (Dish)
RATIBA ZA VIPINDI VYETU
DIMBANI JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1 KAMILI ASUBUHI
KIJIWE JUMATATU HADI IJUMAA KUANZIA SAA 1:30 USIKU
BENCHI LAUFUNDI JUMATATU HADI IJUMAA SAA 12 JIONI
TOBOA JUMATATU KUANZIA SAA TATU KAMILI USIKU
#Tv3Tanzania #GameOn#Tv3Tanzania #GameOn #CAFConfederationCup #YangaVSTPMazembe

Пікірлер: 132
@mysaramohamed4832
@mysaramohamed4832 Жыл бұрын
Wachezaji wetu wamejituma sana hongereni sana🙌🙌🙌👏👏👏Km na ww unafuraha km mm weka like yako hapa🔰🔰💛💛💚
@haijatyshaibu2389
@haijatyshaibu2389 Жыл бұрын
😘
@baalawyaljadyd6750
@baalawyaljadyd6750 Жыл бұрын
INSHA ALLAH Yanga Itashinda
@irenemkwizu2041
@irenemkwizu2041 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana Yanga hongereni sana nimefurahi mnoooooo
@assumedprivacy3940
@assumedprivacy3940 16 күн бұрын
One of the best matches for Young Africans
@anikaanikaa7617
@anikaanikaa7617 Жыл бұрын
Yanga inanipa Rahaaa tu😘
@manaseyona9260
@manaseyona9260 Жыл бұрын
Tu mshukuru Mungusana
@bakarimohammed9851
@bakarimohammed9851 Жыл бұрын
The history has been done for mazembe, hongera young Africa hii nikubwa kwetu👏👏👏👏🤝🤝
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Swadakta
@Botepa
@Botepa Жыл бұрын
Magnifique yanga❤
@edwinvictor9236
@edwinvictor9236 Жыл бұрын
Sauti yako iko juu mtangazaji. mashabiki iko chini sana jaribu kuweka balance.
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Merci Professeur Nabi, que Dieu Vous benisse , Vous etes un genie🙏💚
@Ambagaye
@Ambagaye Жыл бұрын
Naona kama watu hawampi sifa zake Jumaa Shabani kwa jinsi alivyopiga kick lile vizuri kwa ufundi wa hali ya juu na kufanya iwe rahisi wa Msonda kufunga bao.
@husseinkoja4986
@husseinkoja4986 Жыл бұрын
Hata wasiposema kitaalam yupo kwenye asist
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Жыл бұрын
Yanga ndio timu ya kwanza kula hela ya mwanamke..😅
@richardnganya2311
@richardnganya2311 Жыл бұрын
Hela ni hela tu. Bila kujali imetoka kwa nani !!
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Жыл бұрын
Ngoja niwachokoze kidogo tanzania tim zenu za kizaramo waarabu wanakukomesheni sana kulikoni mmoja kaliwa mbili mwengine kaliwa tatu mna nini kwani kwa waarabu??
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 shida maelekezo ya waganga wetu ni kurudi kinyumenyume 🤣🤣
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
@@mahengomwenyewe4204 ...mbona husemi yule mwarabu tuliompiga kidude Tunisia...!...tatizo ww umemrudia mwarabu KINYUMENYUME wakati kanywa MAZIWA ya NGAMIA...!... Matokeo yake umekalia RUNGU TATU...!
@mombasa0076
@mombasa0076 Жыл бұрын
SIMA ZAMANI SANA WALISHAKULA PESA YA BARBARA GONZALEZ UPO DUNIA GANI WEWE
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
Alhamdulillah, congratulations my team💚💛
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Fatma
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
@@muddymuzungu4357 naaam
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
@@muddymuzungu4357 naam
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
@@fatmahussein6085 kimya sana
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Жыл бұрын
@@muddymuzungu4357 😃😃nipoo We ndo kimyaaa
@jumakalutwa
@jumakalutwa Жыл бұрын
Nomaaa sana
@rachidnahari2536
@rachidnahari2536 Жыл бұрын
Morocco viva Tansania 🇹🇿
@gracegofrey4677
@gracegofrey4677 Жыл бұрын
Alieona mwamuzi kaanguka tujuane😀😀😀😀
@clarachikojo6399
@clarachikojo6399 Жыл бұрын
Chezea moloko wew 😂😂 anakwep mtu ada Wana mvaa mwamuzi
@sharifabashiru7909
@sharifabashiru7909 Жыл бұрын
Dk ya nga😅
@justinelaizer4252
@justinelaizer4252 Жыл бұрын
nimemwona hahahah 😆
@dianajeremiah1547
@dianajeremiah1547 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mwanalau2457
@mwanalau2457 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@annuurchannel50
@annuurchannel50 Жыл бұрын
Viva Young African
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Tuache utani wananchi Man of the match ni Djigui Diarra
@lightnessmsangi3148
@lightnessmsangi3148 Жыл бұрын
Hapa angekua Mpenjaaaaaaa daaaaa
@matishagabriel5136
@matishagabriel5136 Жыл бұрын
Big up Yanga
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
We MBWA Jemedari umeona hiyo faulo,...Kwa hiyo na MABEKI wa MAZEMBE ni wafupi..?....usiwe unaongea usenge usenge Kwa YANGA...!
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
SISI HAO🔰🏆🙏
@msangitz771
@msangitz771 Жыл бұрын
BAO ZURI LA KISINDA
@lainacemmmwasote1862
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Sanaaaa
@maikokapelo5508
@maikokapelo5508 Жыл бұрын
Hakika.yanga.tamuuuuu
@luganomwaisumo1938
@luganomwaisumo1938 Жыл бұрын
Hii mechi inge tangazwa na Baraka mpenja
@albartsalmon5930
@albartsalmon5930 Жыл бұрын
Hii ndio yanga
@liliannchimbi4186
@liliannchimbi4186 Жыл бұрын
Jaman tunaomba muongeze ukwaliti kwenye video zenu mnazozuonesha huku yaaan hata wachezaji hawaonekani vzr plz mfanye ivo dear
@zahormudi6775
@zahormudi6775 Жыл бұрын
6:14 huyo mshika kibendera kichekesho😀😀😀
@DagharoFM
@DagharoFM Жыл бұрын
😅😅😅
@rajah9328
@rajah9328 Жыл бұрын
Apo kweli Mayele umekua binafsi upo sahihi ndugu mtangazaji
@bnttv8955
@bnttv8955 Жыл бұрын
Nabi ni kocha wa mpira
@shiruclever7453
@shiruclever7453 Жыл бұрын
Mhhhhhh kweli
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Swadakta
@mbalaleshalif8892
@mbalaleshalif8892 Жыл бұрын
Saut ya mtangazaji duu🤔
@lidyachuma2745
@lidyachuma2745 Жыл бұрын
Bora angekuwa mpenja
@angelnkiza7602
@angelnkiza7602 Жыл бұрын
Hongera sana TV3.
@ramsomaro9130
@ramsomaro9130 Жыл бұрын
Mchambuzi ni msenge a naonekana ni mashabiki wa simba
@shiruclever7453
@shiruclever7453 Жыл бұрын
lugha ya matusi hairuhusiwi tafadhari
@carlosn_tz
@carlosn_tz Жыл бұрын
Fiston hakuwa na nafasi nzuri ya kumpa Musonda ndugu mtangazaji.Musonda alikuwa mbali
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
Mtangazaj ndo unatangazaga ivyo au leo umepariwa
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 5 ай бұрын
Hii siku nakumbuka natoka home kufika kibanda umiza 2 -0 sikuamini hapo dk 15
@dianajeremiah1547
@dianajeremiah1547 Жыл бұрын
💚💛💚💛
@paulmasilu1325
@paulmasilu1325 Жыл бұрын
Jezi ya mauaji iyo👆
@justinelaizer4252
@justinelaizer4252 Жыл бұрын
hahhahaahha nimemwona mwamuzi wa pembeni ameangushwa
@richardmgunda375
@richardmgunda375 Жыл бұрын
Hi ndiyo Yanga ya Nabi asie makeke mengi Yule msemaji anayo penda kuikandia Yanga mda wote sijui leo anajisikiaje!
@user-jn8us1qi1z
@user-jn8us1qi1z 7 ай бұрын
Leo tarehe 12 ,2,2024
@hussenhussen3210
@hussenhussen3210 Жыл бұрын
mm mshabiki wa simba hongera mtani kiukwel wenzetu timu yao ni mzuri kwa sasa tuwache ushabiki mtu sifa yake apewe wana viungo wa kazi hata kwenye kushambulia wanaenda wote kukaba wanakaba wote hongera mtani
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Sante Mtani Hussen
@mortencegeorge8003
@mortencegeorge8003 Жыл бұрын
Kazi Moja kubwa na pekee ya namba 9 ni ku score, Sasa ulitaka afanyeje pale , yaani iyo ndo shida yakuchambua soccer ingali hukucheza mpira
@Sirkitwe
@Sirkitwe Жыл бұрын
Mmechelewa sna
@hamisimussa5238
@hamisimussa5238 Жыл бұрын
Wew umewahi wapi
@Johnjoo196
@Johnjoo196 Жыл бұрын
😂😂😂
@fredymfweya1584
@fredymfweya1584 Жыл бұрын
Wamelowaa
@manaseyona9260
@manaseyona9260 Жыл бұрын
Kocha amsajili uyostreka anaetusumbua watp mzmbe
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Umeniwahi Bro Nadhani ni winger wa kushoto Sio striker Ni hatari sanaaaaa huyo Mwamba
@ibrahimmaduka9804
@ibrahimmaduka9804 Жыл бұрын
Mshilanga ndo nn sasa😂
@leyyzmkenda3584
@leyyzmkenda3584 Жыл бұрын
Mtangazj hta havutii mxciiiiuuu hpa angekua mpenja au mzinga doh
@andrewntapala6625
@andrewntapala6625 Жыл бұрын
Et sio mikimbio😅 ni miruko😅🤣😅🤣
@valentinovenant1568
@valentinovenant1568 Жыл бұрын
Wametupa raha jmn😂😂😂😂
@mahengomwenyewe4204
@mahengomwenyewe4204 Жыл бұрын
Shabikia tim za waarabu kabila lilobarikiwa sio wazaramo hao waliosonywa ugonjwa wa moyo huo wakiwakuta waturuki watawafumua kama mmeiba.
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161 Жыл бұрын
Mshiranga,msumari wa 3,na kwamba figa moja haliinjiki chungu 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@gaudentiakabaka7403
@gaudentiakabaka7403 Жыл бұрын
Hii ndo yanga yenyewe sasa
@mariamsuku7021
@mariamsuku7021 Жыл бұрын
Jamn nimerudi tena kutizama hi mechi
@kapelotz9967
@kapelotz9967 Жыл бұрын
Hahahaha uyu mtangazi wa leo nae mtamu kama yanga anavineno vyake vya kufurahisha kwel kwel all in all axanteni wachezaji wetu kwa kujituma na kupambana na kuhakikisha wananchiiiiiii tunapata furaha
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161 Жыл бұрын
🤣😂😂😅 yaani kapelo umenifurahisha kama Goal la pili ☺️💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚🟨🟩🟡🟢🟨🟩🟨🟩🟡🟢🟡🟢🟡🟢💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚😂😂😂😂🤣🤣🤣
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161 Жыл бұрын
🤣😂😂😅 yaani kapelo umenifurahisha kama Goal la pili ☺️💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚🟨🟩🟡🟢🟨🟩🟨🟩🟡🟢🟡🟢🟡🟢💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚😂😂😂😂🤣🤣🤣
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Жыл бұрын
Pia tuwe washangiliaji wa mpira na watia hamasa kwa wachezaji wetu badala ya hivi vitendo vya kuonyesha ishara za kuchinja
@amosnnko7792
@amosnnko7792 Жыл бұрын
Utopoloooooo bhn😂😂😂midomo miiing namko shirikisho
@ramadhanrajabu5861
@ramadhanrajabu5861 6 ай бұрын
Kama umeludia Zaid ya Mara mbili tujuane
@joelteti1464
@joelteti1464 Жыл бұрын
Huyu mukoko anamaanisha kwamba alitaka kutufunga amaa nininiii? Mbona anaonekana kutokuamini?
@stephanocornely130
@stephanocornely130 Жыл бұрын
Dah ila Tuisila Kisinda n chuma. Namkubali sana, kapiga goli tamu sana. Apewe muda
@lainacemmmwasote1862
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Kweli kabisa,ni kipindi tu anapitia,hata wao ni binadamu kuna wakati wanapitia magumu yanayowapa stress,mbona hata sisi wengine tukiwa na stress huwa hatufanyi kazi zetu ipasavyo!!,nao ni binadamu jamniiiii,nampenda Kisinda.
@stephanocornely130
@stephanocornely130 Жыл бұрын
@@lainacemmmwasote1862 yah hata mim naamin atarudi kweny form yake, nafurah mno nikimuona uwanjan
@carlosn_tz
@carlosn_tz Жыл бұрын
Wakati faulu ya Jumaa Shabani inapigwa Mosonda alikuwa on Side na pasi alioipokea wakati anafunga akionekana amezidi ilitoka kwa mlinzi wa Mazembe kwahiyo haikuwa offside kwa goli la kwanza
@yustinayohana4214
@yustinayohana4214 Жыл бұрын
Yaani watangazaji Sasa muh
@florghenc5391
@florghenc5391 Жыл бұрын
Apana jamaan hii mechi iliuzwa tangu lini uliona mchezaji anashangilia kabla ya mpila kuanza
@wimranpatrick
@wimranpatrick Жыл бұрын
Mack yanga mbona haonekani na make up zake za $100 hhh afu tatu
@charitymkombozi5900
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
🤣🤣🤣ila mazembe tuliwapeleka chap chap dak 10 goli 2
@lainacemmmwasote1862
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Mtangazaji namba 2 ni Kolo...Mara ooo..Tp wanauwezo wa kushinda vita ya mchezaji mmoja dhid ya mmoja...mara To Wana vimo virefu....Mara Diara aligongwa kipepsi lkn hakikumfika....mara oooooo...Mara iiiiii,maraaa mbweererereeeee,Mara bwiririririiiiii..ilimradi tu asifie TP mazembe...Kolo ni Kolo tu...ukolo umekujaa hata unashindwa kutimiza majukumu yako Kama mtangazaji..koloooo🤪🤪😜🤪😜🤪😜😜
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Kweli hii ni lig ya malooser ,yaani mpira wa hivyo kweli😏😏😏
@ibrahimngokoe2102
@ibrahimngokoe2102 Жыл бұрын
😂😂😂
@shemsiajuma9113
@shemsiajuma9113 Жыл бұрын
Tuone watafika wapi ! au mashauzi tu ! Hamna kitu apo !!
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
Sawa KOLO
@alikiloko1974
@alikiloko1974 Жыл бұрын
unateseka ukiwa wapi
@tahirnephessalum3678
@tahirnephessalum3678 Жыл бұрын
tushafika robo fainal
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
VIPOFU WAMEONA PUNDA 🤣🤣🤣🤣 NGURUWE FC.
@johnbenedicto8935
@johnbenedicto8935 Жыл бұрын
Ww simb keng ww
@johnbenedicto8935
@johnbenedicto8935 Жыл бұрын
Simba ww
@yazidkarasu2497
@yazidkarasu2497 Жыл бұрын
Na wewe kilema Jana ukaogezewa ukilema MAPANYA FC
@lechiboymaster691
@lechiboymaster691 Жыл бұрын
Unakatwa na wachawi wewe sio bure
@angelcassian8116
@angelcassian8116 Жыл бұрын
Maneno ya mkosaji ya kushindwaaaa
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161
@kingrazzafelaafaluleaafyus5161 Жыл бұрын
Mshiranga,msumari wa 3,na kwamba figa moja haliinjiki chungu 😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 896 М.
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН