Mungu tunaomba usituache mpaka mwisho wa safari💛💚💛💚🙏🙏💪💪😊
@Manyandaevance Жыл бұрын
Amen
@mhojamsafiri2273 Жыл бұрын
AMINA 🙏🏻🙏🏻🙏🏻💚💚💚💛💛💛
@latifalaizer521 Жыл бұрын
Amini💚💛💚💛 inshaallah
@kimsaid5859 Жыл бұрын
Ameen 🙏
@saidemanuel6927 Жыл бұрын
Amina 🙏
@FrankMponda-eg9jr Жыл бұрын
Mmenifuraisha yanga Mungu awabariki katika safari yenu tuandike historia ndani ya Nchi yetu pendwa Tanzania
@scopy0428 Жыл бұрын
Huu ni mwaka wa Yanga kama unaungana nami Gonga like yako hapa
@adolfmathew9698 Жыл бұрын
Mwaka wa Yanga kweli huu
@yohanayohanaadamu6483 Жыл бұрын
Mwaka wa yanga nimashindano gani we pimbi mashindano ya wa2 waliofeli kweli aliyewaambiaga hamunazo hakukosea 😂😂😂😂😂😂😂
@samwelygilyaofficial7160 Жыл бұрын
@@yohanayohanaadamu6483 achana nao maana hawajui nawakitamba sisi tulisha cheza fainali ya hili kombe tena uhuru pale
@hassanchiwambo687 Жыл бұрын
@@yohanayohanaadamu6483 kombe hili lilianza 2004 we fainal hiyo ulicheza mwaka upi na ligi gani.
@jonhdewwis5089 Жыл бұрын
me mwananchi mwenzio safi
@Elineswai155 Жыл бұрын
Leo nimempenda twisila mnooo,katengeneza nafas bomba sana
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Mi nahivi cjawah mkataa pamoja na mda mwingine kufanya makosa..yaan sasa ndo animaliza kabisaaa,unajua kwa timu yetu bado tunamhitaji Sana Tuisila kwasababu ukikutana na timu ambayo wanacheza kwa kasi sana kusaka goli la mapema Sana like Mallumo, e.t.c bila kuw na winga Kama akina Kisinda,Moroko aaaaa...inakua kwisha habari yako.
@Deborahkarebu Жыл бұрын
Love u yanga💛💚💛💚
@christopherngunwa9522 Жыл бұрын
yanga tunatisha Kama🥰🔥🔥🔥🔥🔥
@stivenyoungson2288 Жыл бұрын
Nawakubari yanga
@nicolebitendelo1420 Жыл бұрын
Dahhhhh mwaka jana yanga walikuwa na bahati sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿
@michaelminja Жыл бұрын
Asante sana kwa highlight ndefu
@EliasWasua-ek3wh Жыл бұрын
Ll
@EliasWasua-ek3wh Жыл бұрын
Ll
@EliasWasua-ek3wh Жыл бұрын
L
@EliasWasua-ek3wh Жыл бұрын
P
@octavianmbunda8903 Жыл бұрын
Fainali hiyoooooooooo
@sevarinijrchitandachitanda138 Жыл бұрын
Mwaka wetu 🔥🔥🔥🔥💛💚👍
@sullehtz9327 Жыл бұрын
Mwaka wetu huu🔰🏆🙏
@NeemaKokumo Жыл бұрын
Naipenda yanga❤❤
@IbrahimMohamedally Жыл бұрын
Hersiiii oyeee
@daudiipyana2862 Жыл бұрын
Mungu ibarik yang 👏
@mohamedyOmary-mh3td Жыл бұрын
Wa kwanza leo
@bahatimwangangi7857 Жыл бұрын
Well done my team yanga africans
@lightnesscharlse2281 Жыл бұрын
Mungu tufikishe nchi ya ahadi tunakuomba wanayanga.
@athumanimgumia7209 Жыл бұрын
Inshaalah Mungu tufungulie njia, angalau na sisi tuonekane, wape nguvu yanga wape bahati, wape kila kinachohitajika ili leo wavuke (tuvuke) Mungu tuaidie kwako hili ni dogo sana kwetu sisi ni gumu inshaalah amina, wachezaji wetu jitahidini kufa na kupona Mungu pia tumuombe. Saa inayokuja ni muhimu sana kwa wachezaji woooote hata walio benchi nimuhimu mno kwetu, maana kwa Nabi mchezaji alie nje ndie wa ushindi tunawaheshimu wote,
@Alihamdulil Жыл бұрын
Sio plesha = pressure ❤
@CathyRichard-km8ww Жыл бұрын
Wa pili leo
@martinswai239 Жыл бұрын
Yanga hii unaweza ukafurahi Hadi ukalia. Inshallah msimu unaokuja uwe Bora kama huu
@thadeongongathadeongonga Жыл бұрын
Watatu leo
@YusuphHemed-vv9bp Жыл бұрын
Makolo wamenuna, haooo pyeeee
@graceaabongo7344 Жыл бұрын
Sema nn pia wachezaji wa yanga naona wanapenda sana
@allykhamista5360 Жыл бұрын
Wanapenda nn?
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
Wanapendana sana ndio
@elishagabriel1292 Жыл бұрын
wanayanga kazen
@AdamaOuattara-on9eb Жыл бұрын
🇧🇫🇧🇫❤️❤️❤️
@kondeladuwa8696 Жыл бұрын
Asante Sana mungu wetu kwa kuzid kutujalia ushind
@kimilasayi2626 Жыл бұрын
Yanga wanaupiga mwingi
@bahatirashid6964 Жыл бұрын
Kila la kheri Yanga African's kila hatua dua kama kauri mbiu ya Mwamnyeto de kapten Mwenzi Mungu akawape nguvu ujasiri upambanaji wa hari ya juu na mtoke na matokeo hiyo siku ya tar_ 17-05-2023, tuingie kwenye history ya kucheza fainal namuomba Allah Jallali jalia dua hii Amiiin 🙏 tukisha ingia fainal ndio tuweke dua kubwa kwa ajili ya UBINGWAAA.
@veronicangwale715910 ай бұрын
💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛💛💛
@mohamedyally570 Жыл бұрын
Master k aziz Stephanie
@fettiemaganza1484 Жыл бұрын
Pole kwa feisal wenzie wapo kwenye neema yy ndo anasusa
@mpangaladickson6837 Жыл бұрын
Yangaaa oyeeeerrr
@ednambata9503 Жыл бұрын
Nimechek hy Farther Bernad Morrison
@samwelipima3795 Жыл бұрын
Hii jezi nyeusi ukiiona jua shughuli ipo yanga noma
@IbrahimMohamedally Жыл бұрын
Hersii Kila kitu rer Ahmed juu
@jumakassim8718 Жыл бұрын
Chama la wana young african
@samsonmwankosole375 Жыл бұрын
Father Bernard
@hawahabibu3881 Жыл бұрын
Faisaly😂 NAKUSALIMU KWA HERUF KUBWA
@africatanzaniatours Жыл бұрын
Ameni 🙏
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
Mtangazaji mmojawapo hapo ni Kolo..et ooo Mallumo hawana presha,..oooh wanavdk 90 za kule kwao... Kolo unaumia.
@martonemmanuel9309 Жыл бұрын
Lekebisha HD picha hazionekani
@yohanasapanjo5425 Жыл бұрын
Mwaka wa wananch
@ErickNaftal Жыл бұрын
❤❤❤
@amedeuslyimo2315 Жыл бұрын
mtangazaji hamna kituu kabisa 😮
@salumumwala7151 Жыл бұрын
Yanga timu kumbwa
@hidhirhaji6830 Жыл бұрын
💚💛🖤🥀🌹
@IbrahimMohamedally Жыл бұрын
Hersii isakia juu
@STEPHENKAGOROBA Жыл бұрын
Ukweli Hawa watangazaji hawajui chochote walijikita kutafri lakini nooo kabisa
@allykhamista5360 Жыл бұрын
Deal done
@AllyNyipeta-hi4el Жыл бұрын
Mbona picha haing'ai vizurii why?
@johannmaloda6027 Жыл бұрын
Jigue djiara ana raha hutu
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
We Mtangazaji unazingua tu, bora uache KELELE za uwanjani tu
@husseinyusuph5458 Жыл бұрын
Moloko angekutulia angepata walau goli mbili ila haikuwa siku njema kwake
@zachariamagesa7230 Жыл бұрын
Kocha Nabi ni Wa pekee sana, hana Maneno mengi kama makocha wengine ,ila ni mtu Wa kazi , nanfanaisha na MAGFULI, Maneno kidg kzi kbwa
@bizmangwimo5823 Жыл бұрын
Yanga nomasana
@tungaraza7794 Жыл бұрын
HUYU MTANGAZAJI WA MPIRA HAJUI SIJUI ALIATAJE HII NAFASI YA KUTANGAZA
@fanuelmpakele9764 Жыл бұрын
Yanga oyee niseme nini.
@JackrineAlphone Жыл бұрын
Mm nimefraia golii la Bernad Morson Aliangushwaaa hakutaka kujalii km ameangukaa ameinuka na kwendaaa kufunguaa tenaa
@asyashariffu7717 Жыл бұрын
Ni kwl jamb ambalo si kawaid yke cku zot...ila ivo ndo inavotakiw afany
@elishangoma8235 Жыл бұрын
Mlio tengeneza hii video mmezingua mmetoa sauti ya mashabiki uwanjani mnaongea wenyewe video haina hata hamasa kuitazama jifunzeni vitu vidogo kama hivi otherwise msivamie fani za watu
@deusmoris3036 Жыл бұрын
Mtangazaji mwenyewe huyu
@amedeuslyimo2315 Жыл бұрын
yanii hana maajabu emepoozeshaa kabisa mechi yenye furahaa
@Samwelpascal Жыл бұрын
Hatamimi nitakubali
@ManyonyiCharles Жыл бұрын
Yangaaaaàaaa kweli
@TeacherJohntz Жыл бұрын
Join
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Kombe la walioshindwa!! Walio feli wanapambana kivyao
@galluskanenge4898 Жыл бұрын
Ukiona hivyo ujue kwamba hawa washangilia hivi ujue wataelekea kuchukia kama wale.....................eee (sisi)
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Yani wewe kwa hii sauti yako hii nenda kafanyie mapenzi tu kwe video za ngono ila sio mpira
@thomasbmangwe6807 Жыл бұрын
UNGU MKUBWA. FAINALI NI YETU.
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Ukiisikiliza mitangazaji yote nikama mikima tu yote Yani ukiyasikiliza yote yalijiindaa kuwa marumo atashinda yani yanatangaza huku yanaumia kabisa Yani haya nimakuma kweli nendeni nao basi south mkaolewe kabisa
@billgussy6099 Жыл бұрын
A load to final mtangazaji wa mchongo😂
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
Ahahahahhaha
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Mpira umevamiwa aisee sauti zamademu ndio zinatangaza mpira hata wataokusikiliza labda redio iwe moja tu Tanzania nzima kwanini msiende hata kulima nyanya kumanyoko nyie
@ahmedalsaadi71085 ай бұрын
Nilicho gundua kipindi hik wachezaji walikuwa hawashangilian kam mwaka huu
@shijamakoye6013 Жыл бұрын
Utakunya bure kumanyoko wewe
@androidhms8184 Жыл бұрын
Mtangazaji wa pili Kiswahili hajui Analudi malumo ubola hakutalajiwa Kiufupi arudi Shule kujifunza Kiswahili