FULL MATCH HIGHLIGHTS | YANGA SC 2-0 US MONASTIR | ALL GOALS,MISS,SAVES | CAF CONFEDERATION CUP

  Рет қаралды 219,116

TV3 TANZANIA

TV3 TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@mysaramohamed4832
@mysaramohamed4832 Жыл бұрын
Huyu Musonda huyu tumelamba Dume🙌🙌🙌Baka Baka Lomalisa Nikuambie tu wananchi tumeenjoy ball💚💛💚
@halimatanzania7869
@halimatanzania7869 Жыл бұрын
si baca tu mpenzi ni wote wachezaj tume enjoiy
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Жыл бұрын
Miye niko Lubumbashi ni mukongo nasema musoda njo muchejaji atari sana afrique kwasaivi. Siye wakongo tunamupeda sana na twayipeda Yanga itachukuwa bigwa ya silikisho
@dianajeremiah1547
@dianajeremiah1547 Жыл бұрын
😊 yangaaaaaa
@SelemanAron-ij1fo
@SelemanAron-ij1fo Жыл бұрын
Dah!angalien swala la mtangazaji bana,amepoa sana yani,anajing'atang'ata sana
@ismailmasanilo7018
@ismailmasanilo7018 Жыл бұрын
😂😂😂
@asyashariffu7717
@asyashariffu7717 Жыл бұрын
Leo kajitahd tumvumilien atajrkbsha taratb taratb
@GodlistenSamwel-r8p
@GodlistenSamwel-r8p 4 ай бұрын
uyu ngereza n kenge
@JamesReuben-gt8up
@JamesReuben-gt8up 7 ай бұрын
Sema watangazaji wa TV3 wamepooza sanaaa
@carlosn_tz
@carlosn_tz Жыл бұрын
Benja la dimba dah!
@PankrasNyigu-fx8xm
@PankrasNyigu-fx8xm Жыл бұрын
Mtangazaji Dah
@wilsonkahamba7702
@wilsonkahamba7702 Жыл бұрын
Hapo hii Tv Haina mtangazaji anakua kama ana soma gazette
@saidibrahim5263
@saidibrahim5263 Жыл бұрын
Mtangazaji Yuko kawaida Sanaa leo
@sallyeliya5213
@sallyeliya5213 6 ай бұрын
Hapa hamna mtangazaji,mechi jiwe kama hii wekeni watangazaji wa moto🎉🎉🎉
@malataogtz2080
@malataogtz2080 Жыл бұрын
Jesus Moloko fayaaaaaaa
@rahmatonystan2691
@rahmatonystan2691 Жыл бұрын
Mtangazaji umepowa Sana bwan
@agathamatambula538
@agathamatambula538 Жыл бұрын
Limalisa tena mtangazaji nae😊😊
@makosatwalibu3132
@makosatwalibu3132 Жыл бұрын
Mtangazaji unajizuka sana na mambo yaliyopita kuliko yaliyopo dah
@mortencegeorge8003
@mortencegeorge8003 Жыл бұрын
Ila uyu mtangazaji bado sana😮
@frankgeorgemadiwa
@frankgeorgemadiwa Жыл бұрын
Jamani TV3 huyo mtangazaji anaboa sana wekeni mwingine
@sierraminingltd1590
@sierraminingltd1590 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji wa Rede ama nn😂😂😂😂😂
@calskim4173
@calskim4173 Жыл бұрын
Uyu mtangazaji bhna 😀😀kama anasoma magazet
@Ngwea_Crazy
@Ngwea_Crazy Жыл бұрын
Huyu anatangaza mpira au anatangaza ratiba ya mazishi..😂😂😂😂
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 10 ай бұрын
Kuna dunduka katetema vzr 😃😃😃😃😃😃😃
@hamidayanga8224
@hamidayanga8224 Жыл бұрын
👌💃
@athumankinguji5863
@athumankinguji5863 Жыл бұрын
Yanga juu,sema Mayer ukiwa kwenye goli ujapata nafasi nibora utoe Assist kuliko kufos ushinde wkt aupo vcur Leo tungeshinda hta mrngi sema Mayer ulizingua ila ongela kwa kujitaid kushnda
@charitymkombozi5900
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
Watangazaj wa media zingine mna la kujifunza kutoka kwa watangazaj wa azam tv
@HappynessSaid-mr9og
@HappynessSaid-mr9og Жыл бұрын
We hujui kutangaza hiyo kazi huwez
@dengahmediatz3113
@dengahmediatz3113 Жыл бұрын
Oa wanangu wa vitochi😁😁😁
@naomimwandu6825
@naomimwandu6825 Жыл бұрын
Maneno mengi
@barakaisack267
@barakaisack267 Жыл бұрын
Tafuteni mtangazaji ambaye yupo serious na kaz
@cosmaheptas8089
@cosmaheptas8089 6 ай бұрын
Mtangazaji mavi huyo
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Hatutaki simulizi zako bhana
@mauricebaraka9119
@mauricebaraka9119 Жыл бұрын
Hamna mtangazaji hapa
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
Tv3 hakuna watangzaji wa mpira mamaeee
@gracegofrey4677
@gracegofrey4677 Жыл бұрын
Lomalisa nyie 🙌🙌🙌🙌 huyu musonda ndo yule tuliemuona Zambia magoli ya kichwa ya kushtukiza nyie💪💪💪 hii inatufundisha subra ndo kila kitu na kumpa mchezaji muda
@gidietitle2694
@gidietitle2694 Жыл бұрын
Lufufu ndani futiboli😂tangazaji la fifa
@AfricaYangu
@AfricaYangu Жыл бұрын
Ukitaka kujua kizuri ni kipi uone kwanza kibaya, Huyu mtangazaji jaman hapana .... Bora tu uangalia kimya kimya
@scholarhaule9956
@scholarhaule9956 Жыл бұрын
JOYCE MUTAMBALA TUSAMEHE BABA KAMA TULISEMA WW NI GARASA😂😂😂😂😂
@dclassTurpin-jx3wh
@dclassTurpin-jx3wh Жыл бұрын
watani
@lailatmalik7515
@lailatmalik7515 Жыл бұрын
Sauti za mashabiki mnatoa,haipendezi
@lainesmwasote-ff5mn
@lainesmwasote-ff5mn Жыл бұрын
Mtangazaji ni kolo,wanashindwa kujizuia kabisa.
@kitutemwachali
@kitutemwachali Жыл бұрын
Unapiga sana Story kuliko kutangaza Mpira dah
@carlosn_tz
@carlosn_tz Жыл бұрын
Huyu mtangazaji sio mtanzania nini!mbona hayajui majina!
@paschalmhagama7033
@paschalmhagama7033 Жыл бұрын
Next time msitutania na huyu mtangazaji
@nyakunga
@nyakunga Жыл бұрын
Mtangazaji bhana unapiga stori haukuwa unatangaza
@jangwanjaphet9400
@jangwanjaphet9400 Жыл бұрын
Limolisa et baada ya lomalisa
@nestorykija2517
@nestorykija2517 Жыл бұрын
Hujui kutangaza mpira ww
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu Жыл бұрын
Mpira mzuri mtangazaji msenge
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
Hahahaha😂😂😂
@phina8058
@phina8058 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@charleskanuda9559
@charleskanuda9559 Жыл бұрын
MTANGAZAJI ANAKERAN
@nickdon8969
@nickdon8969 Жыл бұрын
TV3 tafuteni mtangazaji
@saidibrahim5263
@saidibrahim5263 Жыл бұрын
Mtangazaji anachapia Sanaa ni mtangazaji wa mechi ndogo
@sadikiabdulmayosa9033
@sadikiabdulmayosa9033 Жыл бұрын
Huyu jamaa kaanza FIELD TU KAPEWA MECHI ATANGAZE MAMAEE WALLAH.....Sijui channel ya shemeji yake
@hermanmbaga4648
@hermanmbaga4648 Жыл бұрын
Mtangazaji kama anatafisili movie
@brathonisanga8391
@brathonisanga8391 Жыл бұрын
mtangazaji hovyo kabisa😅😅😅😅😅😅
@Malekanojr
@Malekanojr Жыл бұрын
simulizi za nn bana kuna google kil kitu tutapata we mpira unaendelea unaleta story kmtupo class
@MalikSaid-i6j
@MalikSaid-i6j 4 ай бұрын
DUUH HUYU MTANGAZAJI HAJUI KABISA HADI AKARE
@dianajeremiah1547
@dianajeremiah1547 Жыл бұрын
Wananchi ivo vitochi vinauzwa wap na mm nika nunue 😅😅😅😊
@JamallyJuma-mg3gl
@JamallyJuma-mg3gl Жыл бұрын
Mtangazaji wamichongo
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 Жыл бұрын
ndo hawa watangazaji wa mchongo
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@amanijampion3045
@amanijampion3045 Жыл бұрын
Mbona yuko poa
@sadikiabdulmayosa9033
@sadikiabdulmayosa9033 Жыл бұрын
UKISIKIA ASANTE SHEMEJI A.K.A KAMLETE NDO hawa sasa wanaoambiwa njoo jumatatu uanze kazi @tv3tanzania fukuza huyu hakuna kitu MAMAAAE
@StellaMwaulambo
@StellaMwaulambo 6 ай бұрын
Hivii huyu mtangazaji wamemtoa wapii
@jimmysuddy7494
@jimmysuddy7494 Жыл бұрын
Hamna mtangazaji
@sbr231
@sbr231 Жыл бұрын
Eti Joyce limolisa 😊😅😅😅😅
@moviekaa
@moviekaa Жыл бұрын
huyu mtangazaji wamemtoa wap.. anatangaza mpira kama yupo kwenye mnada wa vijora. 😂😂
@maestro_keysdcloopsbrand8372
@maestro_keysdcloopsbrand8372 Жыл бұрын
Hawa watangazaji banaa sjui wanakunywaa wanzuki kwanza hahaha
@husseinmassawa7186
@husseinmassawa7186 Жыл бұрын
Mtangazaji angekuwa mpenja ingekuwa hatari zaidi, uyu kapoa sana😅, tunamfunga mwarabu afu unapoa hivyo
@asyashariffu7717
@asyashariffu7717 Жыл бұрын
Leo kajitahd tofaut na cku za nyum..tumvumilien atajrkbsha kidf kdg ndo mwendo
@MWEBAZEGEOFREY-l4h
@MWEBAZEGEOFREY-l4h 10 күн бұрын
Kiukweli tulipoteza japo hakuwa na jins tulikuwa maskin
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jmn nimecheka huyu Mtangazaji, kama anatafsiri movie
@moviekaa
@moviekaa Жыл бұрын
huyu mtangazaji wamepigwa... 😂
@kulwazunzu-dw2lf
@kulwazunzu-dw2lf Жыл бұрын
Huyu mtangazaji hata hajui
@bakarkhamis5369
@bakarkhamis5369 Жыл бұрын
Mtangazaji Gani mnatuletea TFF Mnazngua
@josepeter8033
@josepeter8033 Жыл бұрын
Huyu mtangaza mpir
@iddimasika1173
@iddimasika1173 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji kw kusema anachuwa pale 😅😅😅😅
@AwadhOmary
@AwadhOmary 7 ай бұрын
Unatangaza usenge hata hueleweki
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj Жыл бұрын
Et ef50😂 ila huyu mtangazaj kichekesho
@msafirizaphania8774
@msafirizaphania8774 Жыл бұрын
Pas 15 + goal yanga Atari san
@adofood9013
@adofood9013 Жыл бұрын
Mtangazaji apanakabisa
@manysimanoko1009
@manysimanoko1009 Жыл бұрын
Jesus moloko
@kulwazunzu-dw2lf
@kulwazunzu-dw2lf Жыл бұрын
Mara achambue Mara atangaze hata hafai
@Ba63828
@Ba63828 Жыл бұрын
Wananchi tunaleta kombe wapende wasipende
@obeidpol-qp5su
@obeidpol-qp5su Жыл бұрын
Jaman huo utangazaj
@nduwimanaradjabu6574
@nduwimanaradjabu6574 Жыл бұрын
Mtangazaji Rudi shule kajifunze Kutangaza Yaani hufai Kabisa 😢😢😢
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 Жыл бұрын
timu iko vizuri kisha mtangazaji kapoa kma uji wa kiporo kwani mpenja na ghalib wko wpi jamani nimeudhika leo .
@sbr231
@sbr231 Жыл бұрын
Nimepiga stop kidg ila niandike alichosema mtangazaji. Golikipa ana punguwa 😅😅😅😅. Uyu mtangazaji wawapi jamani. Au anasoma gazeti.
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Pasi tamu zinapigwa unaacha kuzitangaza unatusimulia habari za kiiza diego
@robertmboya7842
@robertmboya7842 Жыл бұрын
HATUFUNGI MENGI ILA DUNIA INAFURAHI
@jofreybaltazar6776
@jofreybaltazar6776 Жыл бұрын
Woyoooo
@saidimrope5120
@saidimrope5120 Жыл бұрын
Hamna mtangazaji anasimulia historia anaacha kutangaza move ya mpira arudi darasani
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Жыл бұрын
Yanga Kila mchezaji yupo vizuri, Kanifurahisha sana Baka alivyocheza kacheza Kwa mara ya kwanza, lakini anaonekana kama mzoefu.
@nasirkilapo6041
@nasirkilapo6041 Жыл бұрын
Jamaa waovyoo uyu ndokutangaza gani uku ata mimi nakuzidi🤔🤔
@geldabenezeth9929
@geldabenezeth9929 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji kapooza kama yupo msibani bado sana kama @mechi ikitangazwa hivi akuna atakaye isikiliza
@KasamPaida
@KasamPaida 6 ай бұрын
Tafuten watangazaji mpira umepoa
@jacksontenga3504
@jacksontenga3504 Жыл бұрын
Jamaaa kwanza umezidi story nyiiingi afu umepoa afu haujui ata majina ya wachezaji 🙄
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 Жыл бұрын
Hizi slide tacklin watu wa Zanzibar wanaziwezea kweli yaani kuanzia abdul kadir tash mpaka kanavaro Abdallah ninja na leo Ibrahim Baka.
@omaribazanga7967
@omaribazanga7967 Жыл бұрын
Mtangazaji 😂Eti. Katika benja la dimba
@lainesmwasote-ff5mn
@lainesmwasote-ff5mn Жыл бұрын
😂😂🤣🤣
@lepa3tv832
@lepa3tv832 Жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋😋
@lainacemmmwasote1862
@lainacemmmwasote1862 Жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Hujui kutangaza mpira, majina yenyewe unamumunya, huna mzuka , sauti za mashabiki mmezizima
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Жыл бұрын
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
@simonshija2476
@simonshija2476 Жыл бұрын
sijui kwanini haweki sauti ya watu uwanjani kuna haja gani ya hizo mic utadhani nasikiliza redio tena inanafuu halafu mtangazaji jifunze kutangaza tena unatoka sana nje ya utangazaji hadi goli linafungwa ndo unakurupuka gooooooo na aliyefunga humjui utataja halidi aucho daaaaaah!!!!
@godwinwilliam5228
@godwinwilliam5228 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji mmemtoa wap mbona km anatangaza habari
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 Жыл бұрын
Yaani mpira utangazwe na Azam
@dansonchristian8874
@dansonchristian8874 Жыл бұрын
Uyu commentator anamambo ya kujifunza maana anaongea sana na kusahau kuutangaza mpira na radha n kama inapotea ivi ni ushaur tu au mwasemaje nyie
@charitymkombozi5900
@charitymkombozi5900 Жыл бұрын
Mtangazaj kapoooa hata hainogi angekuwa sauti ya radi ingekuwa balaa, halaf hizo saut za mashabiki ndo huwa zinanogesha sasa nyie mnazipunguza mpaka mwisho
@braisonijohnsoni7542
@braisonijohnsoni7542 Жыл бұрын
mtangazaji ni wa mchongo
@godlistenorio5950
@godlistenorio5950 Жыл бұрын
Huyu mtangazaji poor poor kabisa
@maestro_keysdcloopsbrand8372
@maestro_keysdcloopsbrand8372 Жыл бұрын
Hilo li madevu lilikua linaruka ruka tu leo, fala hili alafu airport linajifanyaa halitaki kuhojiwaa senge hili
@omaribazanga7967
@omaribazanga7967 Жыл бұрын
Kwani wewe mshabiki wa timu gani?😂
@phina8058
@phina8058 Жыл бұрын
Musonda alipotea kupiga head hawakuamini.
@aishasuleman1136
@aishasuleman1136 Жыл бұрын
Umezidi kuongea kuliko kutangaza mpira
@aliyussuf8068
@aliyussuf8068 Жыл бұрын
huyu mtangazaji ni mwanafunzi au
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 5 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 735 М.
DUNIA (Ep 11)
23:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 495 М.
YANGA KUFUNGUA TAWI DR CONGO
3:46
PACHO TV1
Рет қаралды 3,8 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН