Yani hizi simulizi mwanzo ukikaa kuziskiza hutabanduka hadi tamati tena kwa makini sana unaskiliza,shukran sana @Annanias nakuskiza nkiwa Qatar🇶🇦 lakni jirani yenu kutoka 🇰🇪
@bonaventuremuswi10673 ай бұрын
Very true
@qaltumsaid30954 ай бұрын
Much love from 🇶🇦🇹🇿❤️❤️ mwenzio
@Shadia5447 ай бұрын
Mkasa huu wa kujifunza mazuri na sio mabaya ✌️✌️✌️✌️