Wao wananguvu katika ...... lakini sisi tuna nguvu katika Mungu wetu ambaye anatusikiliza kila tumwombapo. Mungu akawatie nguvu na kuwalinda na kuwashindia. Kazi yetu sisi kuisapoti timu kwa maombi na kwenda uwanjani.
@TwahirMohammed-x2h4 ай бұрын
Nashauri wachezaji wetu na mashabiki wenzangu wa yanga tusiwazarau wapinzani wetu hata kidogo ila tuiombee timu ili tupate ushindi daima mbele nyuma mwiko
@HoseaNguge4 ай бұрын
Uhakika man
@lahdadibrahim50064 ай бұрын
Kumama mako mkundu ww utomkundu
@amaniomar17554 ай бұрын
Ameen
@selemanmussa34594 ай бұрын
@lahdadibrahim Wapuuzi kama wewe wote ni mashoga, unachukizwa na maisha ya wengine kwa kipi ng'ombe wewe? Katukakane kwa mama ako na baba ako siyo hapa.
@Mr.A_Shark4 ай бұрын
@@lahdadibrahim5006 kama unadaiwa kodi useme nikuwezeshe hasira hazisaidii😂😂😂😂😂😂
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Hongera semaji Ali kamwe 🎉🎉🎉🎉
@naliakafatuma98704 ай бұрын
MUNGU ni mwema ni mwema kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Allah awatangulie kesho😊🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@josephminja79534 ай бұрын
EEE MWENYEZI MUNGU kesho tukapate furaha wananchi ❤
@SAIDIATHUMANINGOMA4 ай бұрын
Mungu awajalie wachezaji wetu kesho wawe fiti wote
@Raphaelkeneth4 ай бұрын
Mungubalikiyangayetu mungu ubaliki kochawetu na wachezajiwetupiah
@MhangwaBunzal4 ай бұрын
Kila la kheri wananchi mungu awatanguliye katika mchezo wa Kesho
@KingimmaKelela4 ай бұрын
Kila la kheri yanga hapo kesho mungu tujalie ushindi siku ya kesho dhidi ya mutani ijarie timu yangu ya yanga ushindi wape upambanaji wachezaji wetu kala mmoja We bwana wa majeshi usikie kuomba kwangu ameen.🙏🙏💛💚
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Kila la kheri kesho ushindi uwe kwa wananchi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MariamZanzibari4 ай бұрын
Allah awabariki ushindi cku.ya kesho inshaallah
@EdsonMartin-e3k4 ай бұрын
Ali kamwe ,fikisha hii kaka !! Mwambie Baleke icho kitambi hatukitaki sisi ,..aisee afanye mazoez akikateee
@DanieliGibson4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@williamruto-c9m4 ай бұрын
Wa kwanza kukoment like kama kesho tunampiga nane kolo
@Shongonilekerere-br5ps4 ай бұрын
😂😂😂😂nane
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉🎉
@amaniomar17554 ай бұрын
Safi sana wanajeshi wetu endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi Daima mbele nyuma mwiko
@yudapeter47104 ай бұрын
Mungu ibariki yanga🔰
@maxmiliankadawiibalaja21984 ай бұрын
Inshallah 🙏💚💚💛💛 Tutashinda mechi kesho lakini hizo jezi tuuzieni wananchiii💚💚💛😂
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Dube anajambo lake kesho🎉🎉🎉🎉🎉
@kabulakmusa31314 ай бұрын
All the best my team
@JoshuaZakariaLevys4 ай бұрын
Wana yanga wenzangu msi hofu kuhusu kesho hii iko wazi ushindi ni lazima ❤❤❤ YANGA
@FrankCharles-fq4qq4 ай бұрын
Leo wakwanza mm naombeni like kama kesho tunashinda
@HijjaanamsaidOneman4 ай бұрын
Zikusaidie nn
@Zubedasumaily14 күн бұрын
Naamini yanga ni bora nazan niwakati tu time yetu inapitia mungu awajaalie afya njema kesho namungo anakaa kwa gold 3
@ZaiMbilo4 ай бұрын
mungu ibariki yanga kwa siku ya kesho ipate ushindi inshaallah
@rukiakyaka18274 ай бұрын
Nakuomba Allah tujaalie mafanikio kwwnye Timu yetu na wajaalie wachezaji wetu na afya waondolee Khusda Inshaallah
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Yanga 🎉🎉🎉
@stivenmasawe30214 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤ hizo nigoli yanga yangu😂
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
8/8🎉🎉🎉🎉yanga 🎉
@FESTOAKARO4 ай бұрын
Ni kweli kabisa tusiwadharau be wapinzani wetu. kwani Simba mbovu ndio huwa inatufunga. Tuwe makini sana na mchezo wa kesho. Gamondi take note plse. All the best yuo all.
@BahatiJohn-f2x4 ай бұрын
Yan hii tim hata kwa kuiangalia tu iv inatish😊
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Ila 😂yanga tunatimu mapema tunamfunga mtani😅😅😅😅😅
@YusuphBupamba4 ай бұрын
Mimi kama shabiki wa Yanga naiombea Timu yangu ishinde hapo kesho
@Alexismadimo4 ай бұрын
Mungu pamoja nasi
@ABADI_MEDIA4 ай бұрын
Kila la heri chama langu
@yasrikomba78744 ай бұрын
Kila la kheri leo ❤
@MalinoKadwame-u1c4 ай бұрын
Wajiandae kisaikolojia
@ismailitogolani74094 ай бұрын
Kila la kheri wananchi yangasc
@Sumaiyafisoo4 ай бұрын
Mchezo mgumu wachezaji mkapambane
@AdrianSawe4 ай бұрын
Tunashida ushid wowote yan hiyo nirazima
@hamadigwau4 ай бұрын
Allah awabariki ushindi inshaallah
@careemdulla16294 ай бұрын
Chama la wana Yanga Africa
@chollejr_4 ай бұрын
Kibabage 😂😂katoka nakuingia mamae
@speciallvoice80914 ай бұрын
Mungu ibariki tim yangu pendwa kesho tuibuke washindi Inshaallah 🙏🙏🙏🙏🙏
@EnockSDady4 ай бұрын
Uzuri Gamondi hajimini sana kama Fadlu anamuheshimu mpinzani na anaamini kila mpinzani ni bora
@chollejr_4 ай бұрын
Kweny dimba la kina azizi ki sio la kuingia ovyo ovyoo😂😂😂😂
@marycianaernest4 ай бұрын
💚💛
@IzukuM-x8j4 ай бұрын
🔥🔥🔥💛💛💛💚💚
@rachelcheyo-p5z4 ай бұрын
All the best
@MtashobyaJosia-wt9jq4 ай бұрын
mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata iyo atari sanaa
@MajaliwaJuma-c5g4 ай бұрын
Kesho nikesho
@josephgalandu1284 ай бұрын
Wahurumieni damu changa jamaniiiiii😮
@DonManyanda4 ай бұрын
Mungu wape akili nguvu na maalifa wachezaji wetu wajitoe hili tupate matokeo mazuri
@pachamalota44554 ай бұрын
Mazoezi mazuri lakini mpira unapotea kilaisi, hata pasi kumi azifiki
@nicolastshilobo83044 ай бұрын
Inshaallah kesho sisi Yanga tutapata ushindi
@pacomezouzoua91754 ай бұрын
Mwambie aziz andembwile akiwa uwanjani asijasahau kama yupo uwanjani alafu awe anachangamka iyo yanga ukipoteza nafasi kuipata ni ngumu hatuna muda wakumsubiri mtu huku mashindano yanaendelea pia mkumbusheni boka akipanda kushambulia awe anarudi faster chini
@chiconinde81354 ай бұрын
BOKA ni muongo muongo sana😅
@JorahmKatigizu4 ай бұрын
Mungu ibalik yanga
@chacha-2554 ай бұрын
Pesa zote zinaenda tff kwenye ngao ya jamii lakini hatujawai kuona wakitumia pesa hizo kurudisha kwenye jamii
@MafuxBoy-uj4ns25 күн бұрын
Nauliza swali kweli gamondi kafukuzwa
@nicolastshilobo83044 ай бұрын
Yanga ni kali na koloo waji angalie kesho tarehe 8 isi fanane na tarehe 5
@ElizabethKujerwa-qs3pl4 ай бұрын
My team😊
@ColinKalekezi4 ай бұрын
kesho ushindi tu
@ABADI_MEDIA4 ай бұрын
Kaabisa
@DonManyanda4 ай бұрын
❤❤❤
@ABADI_MEDIA4 ай бұрын
Wa pili ku coment 💚💛🙏💪
@lahdadibrahim50064 ай бұрын
Ss tufanyaje kama wakwanza kumalamamaako ww
@chollejr_4 ай бұрын
Leo wasomeni Hawa watakuja na njia ipi😂😂😂mkishawajua t pigeni kama mbwaaa
@hemedbakari89974 ай бұрын
Jamani sijamuona Juman4 Baleke
@shaibusaady24204 ай бұрын
Allaah Akbar
@DeusGoray-wh8op4 ай бұрын
Aucho Kesho Pale Katikati Tunakutegemea Ww
@gsplundi13274 ай бұрын
Naomba tusiingie kichwa kichwa uwanjani maana wenzetu Wanaamini siraha za kenyeje yasije tukuta ya mbali.