Yanga SC 4-1 Azam FC | Highlights | Fainali | Ngao ya Jamii 11/08/2024

  Рет қаралды 623,297

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Magoli matano yamefungwa, Yanga ikishinda 4-1 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa fainali #NgaoYaJamii2024 ikipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar s Salaam.
Magoli ya Yanga yametoka kwa Prince Dube 19', Yoro Diaby 28' goli la kujifunga, Stephane Aziz Ki 31' na Clement Mzize 90’+3 , huku Azam FC wakitangulia kwa goli la Feisal Salum Feitoto 13'.

Пікірлер: 282
@user-li4ce3ge3d
@user-li4ce3ge3d Ай бұрын
Asante Mungu,..asant my team mzize umeiva Baba💚💚💚
@rukiakyaka1827
@rukiakyaka1827 29 күн бұрын
Alhamndulilah Kwa Timu hii M/Mungu ameijaalia uwezo mkubwa na namuomba M/Mungu aijaalie zaidi Inshaallah
@shivobs4485
@shivobs4485 Ай бұрын
Assist ya chama mmeiona like zake hapa
@aminaomari2312
@aminaomari2312 Ай бұрын
Combination ya Chama na Mzinze itawasumbua sana wapinzani.
@shivobs4485
@shivobs4485 Ай бұрын
@@aminaomari2312 yaaan sanaaaa
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 29 күн бұрын
Watajua. Hawajui
@shivobs4485
@shivobs4485 29 күн бұрын
@@joycemmassi5046 😂😂😂
@RoseGeofrey
@RoseGeofrey Ай бұрын
Ila jamani tuwe wawazi Aziz ki ni zaidi ya coach mtarajiwa 😅reaction yake ni zaidi coach gamondi😅😅mi nampenda jinsi alivyo na uchungu na team copa zake hizi hapaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💚💚💚💚💛💛🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤🖤
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Mtoto kautaka mtoto kautaka mtoto kautaka 😂😂😂Ila fei kawaponza wezake 😂😂😂LIKE 10 KAMA NA WEWE UNAIRUDIA HII MECHI 😂
@chadi-v4v
@chadi-v4v 17 күн бұрын
Hii yanga naomba msimuuze ibra baca na diara wengine mbadala utapatikana tupambane wananchiiiiiii 💚💚💚💚💛💛💛💛💯💯💯💯
@lirastanley390
@lirastanley390 14 күн бұрын
@@chadi-v4v hv nyie ni washabiki wa soka au Wa timu? Hv katika Tanzania hii kuna beki Bora kumzidi mamnyeto...zimbwe jr??hapa Wa ndani Tu namaanisha...mamnyeto ni beki bora tena sana Sana haspocheza tu utaona pengo lake akiwepo team inaupiga mwing kuanzia nyuma na anakaba sana hapo sijmkataa baka ila mwamnyeto mtulivu sana ila haimbwi na ndio sbb hakosi namba watu wanasema mzito sio mzito bali ni asili ya watu warefu wenye mwili kwenye kugeuka ghafla tena ni mara chache Sana wanakua wazito hasipocheza mwamnyeto timu inapata shda kupiga pas nyuma na pia kuruka mipira ya juu na kunakua na kiongozi mmoja...kuhusu baka ni bora Sana ila mwamnyto ni zaid sema nyota hana mwingine mzur Sana job hlf ndio baka
@nullynullytv3398
@nullynullytv3398 Ай бұрын
Mkisikia kuna kombe jingine msisite kutuambia #DaimaMbeleNyumaMwiko 💚🔰💛
@Basagamp4
@Basagamp4 Ай бұрын
@@nullynullytv3398 Hahahhahahah Ubaya Ubwelaaaa Kuuuuubaabaaabaaaaake
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Ай бұрын
@@Basagamp4 Umesahau kidogo, ni "ubaya ubwege!".
@cchuwa6980
@cchuwa6980 29 күн бұрын
Ila Boka unamoto baba weeeeeeeh 💚💛🧡
@LovelyBlueLake-sg9tz
@LovelyBlueLake-sg9tz 29 күн бұрын
Yanga
@user-mi4gh6uq7h
@user-mi4gh6uq7h Ай бұрын
Mpira mzuri Sanaa jamani watani hongereni sana mpo vzr kweli naamini mtafika mbali sana
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Afadhali wew umeliona hiliiii
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Mimi nisimba ila nimenyenyua miko juuu Kwa utoporo kiukweli 😭😭
@FatumaKitambuu
@FatumaKitambuu Ай бұрын
😂😂😂😂na bd
@user-is1cw9ce3q
@user-is1cw9ce3q Ай бұрын
Leo wakwanza nipeni like Zang wananchi twende saw
@phina8058
@phina8058 Ай бұрын
Dube ni yule mchezaje anakua kwenye position alafu ni hatari muda wowote. Alafu akifunga kama sio yeye vile.
@comfortbenard8526
@comfortbenard8526 Ай бұрын
Wanayanga tukusanyike hapa 🔥🔥🔥🔥🥂
@rlh-tz
@rlh-tz Ай бұрын
Azam wana onyesha jinsi azam alivyochapwa na mwananchi safi sana uzalendo huu
@Basagamp4
@Basagamp4 Ай бұрын
Hata kama mimi ni shabiki wa Simba ila Kwa Yanga hii nina uhakika itafika mbali kama Viongozi wakiendelea kuwa na Mshkamano na Kuongea Lugha moja ktk usajili na jinsi wanavocop na Mashabiki wake ndio Inatokea INTERNATIONAL COMBO😊❤ VIVA WANANCHI #SIMBANGUVUMOJA #UBAYAUBWELA
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Kabisaaa
@SaidiAyubu-of8zt
@SaidiAyubu-of8zt Ай бұрын
Mbona Azam awajaeka viuno vya feisal
@johbinm2b218
@johbinm2b218 Ай бұрын
Yanga bingwa, ila boka ni mashine
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
Usajiri wa yanga ni kiboko sana
@LeylaSaria
@LeylaSaria 2 күн бұрын
Sichoki kuiangalia hii mechi jamn😂ila fei ulikosea san kukata mauno😂
@kaminambeho
@kaminambeho 5 күн бұрын
Leo nimeirudia tena😂😂😂
@sadahamad6158
@sadahamad6158 27 күн бұрын
Yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa ww huogopi 💛💛💚💚💪 azam aliingia kwenye mfumo mechi tamu hii 😂😂😂😂
@GucciJackson-sw6pg
@GucciJackson-sw6pg Ай бұрын
Au Yanga freemason 😢
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx Ай бұрын
Hapana ni chemistry mzuri tuu
@marysaimon2213
@marysaimon2213 Ай бұрын
Bado hamjasema na mtasema
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Ай бұрын
Jamani, watu wanawekeza halafu bado mnashangaa???
@JamesAugustine-n7r
@JamesAugustine-n7r Ай бұрын
Na nyie kueni Freemason
@HajiHamis-mm9jp
@HajiHamis-mm9jp Ай бұрын
Nina mashaka
@barakasamson6356
@barakasamson6356 Ай бұрын
Mzize kaivaa wakuuu
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 Ай бұрын
Anazidi kuiva.Yuko na wakali wengi kazi kwake kujinogesha
@mariej6962
@mariej6962 Ай бұрын
Huyu kaka aliyejifunga ni beki mzuri sana, still ameokoa magoli mengi tu na anajituma. I hope club imsaidie ssijisikie vibaya, he is not bad at all, ni bahati mbaya tu, na kama haitoshi akapewa na kadi ya njano.
@ezekielmkinga7773
@ezekielmkinga7773 Ай бұрын
Ili uifunge yanga inabd ufunge kwanza mdomo🤭
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Ай бұрын
Hata ukifunga mdomo unapigwa tu! Sana sana zinaweza pungua, lakini kipigo kiko palepale!
@mamuumamuu7743
@mamuumamuu7743 20 күн бұрын
Kama umerudia kama mm nipe likes
@stevendevid
@stevendevid Ай бұрын
Yanga juuuuuuuuuj 😊
@pamelanyanduga5102
@pamelanyanduga5102 Ай бұрын
Ila chama😮
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h Ай бұрын
Chama mzee heee???????.😊
@johnmanase2874
@johnmanase2874 Ай бұрын
Kale kagoli ka fei kalituuzi Sana, lkn hili jogoli la nne lomewauma mno makolo .. maana Alie assist wanamjua.... Tripo C mwamba waliesema n mzee. 😂
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Ай бұрын
Yah! Standard mliyoiset Yanga kwenye soka hapa Tz ni kubwa mno. Wengine waache uongo na visingizio, wachukue kalamu na karatasi wajifunze. Basi!!!
@user-nu1mv8pj8t
@user-nu1mv8pj8t Ай бұрын
Love yanga naipenda sn
@lidyamhova8528
@lidyamhova8528 Ай бұрын
Naiyoigopa hiii yanga mmmh
@swalehlikongo1512
@swalehlikongo1512 Ай бұрын
Mmi nagunduoa Kuna Siri Walid mzize aliambiwa na president saidi now analifanyia kazi since from south Africa Kuna balaa kubwa atalifanya
@WitinessKitomary
@WitinessKitomary 29 күн бұрын
Yanga keep on my lovely team
@rugijofrey3685
@rugijofrey3685 Ай бұрын
Yanga hii mhmmm😂😂
@user-fc9gg4of3h
@user-fc9gg4of3h Ай бұрын
Yanga power
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Yanga bingwa💛🖤💚🔰
@sadahamad6158
@sadahamad6158 Ай бұрын
Azam kautaka 😂😂😂😂 yanga bingwa yanga tamu yanga rahaa 💚💚💚💚💛💛💛💪💪 pija kelele kwa yanga ake weuweee 🗣🗣🗣🗣
@NurdinSaleh-jf8so
@NurdinSaleh-jf8so Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉😂😂😂
@IssaMuhamed-sg6np
@IssaMuhamed-sg6np Ай бұрын
Yanga🎉🎉🎉🎉🎉
@KelvinA.Tarimo
@KelvinA.Tarimo Ай бұрын
Machampion yanga🎉🎉🎉
@sadickworld3428
@sadickworld3428 Ай бұрын
Azam wauza ukwajuuu😂
@alexshambutu5927
@alexshambutu5927 Ай бұрын
Huyu Boka ni jitu la hatari sana
@user-db4cq6vb9x
@user-db4cq6vb9x Ай бұрын
Tunawaza club bingwa dunia ,sio Africa tena
@ZaaD31
@ZaaD31 Ай бұрын
😂Magoli ya Kurujuani 😂
@jangwanjaphet9400
@jangwanjaphet9400 Ай бұрын
Boka kakimbia Kam ng'0mbe katoroka zizini,
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu Ай бұрын
Umenifanya nicheke 😂😂😂😂
@consolathamlimi7883
@consolathamlimi7883 Ай бұрын
😂😂😂 hatariiiiiiiiii
@fabiandanielkatikiro1478
@fabiandanielkatikiro1478 Ай бұрын
Chamaaaaaaa💛💛💛💛
@Lucashunter-sr3qn
@Lucashunter-sr3qn Ай бұрын
Nilicho penda mm baada ya fei tu dubeeee huyoooo yaan fai vs dubee mnasemaje
@magrethyeremia2279
@magrethyeremia2279 Ай бұрын
Saaaaaaaafiii
@consolathamlimi7883
@consolathamlimi7883 11 күн бұрын
Hatariiiiiiiiii yan nipe nikupe
@kolosii4351
@kolosii4351 Ай бұрын
Hawa wachezaji wa yanga wako addicted tazama Aziz akiwa nje.
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt Ай бұрын
Nyie hamuogopi Yanga hiiiiiii😅
@tungaraza7794
@tungaraza7794 Ай бұрын
MAUMIVU WANAYOPITIA MAKOLO SIO YA NCHI HII
@linahmacha370
@linahmacha370 Ай бұрын
Jamanii nazidiwa na furaha mim, Yanga hii mmmmh kisukari kinanihusu 🧡🧡🧡💚👌
@KelvinA.Tarimo
@KelvinA.Tarimo Ай бұрын
Hamuogopiiiiiiiii😮😮😮
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Ай бұрын
Dharau za FEI ndizo ziliwatia hasira wananchi na hiyo ndo tofauti ya mchezaji mwenye akili kama Dube ameifunga Azam alafu hajashangilia
@sadickworld3428
@sadickworld3428 Ай бұрын
Afu mwambieni Feisal asiingie na matokeo kwenye mechi kama hiz
@MustafaSaid-m4e
@MustafaSaid-m4e 20 күн бұрын
Kweri yanga tamu🎉🎉🎉🎉
@josephnyakunga9273
@josephnyakunga9273 Ай бұрын
Sema azam sijui mnafeli wp highlights zinawashinda kuzipangilia vzr alaf low quality utasema imechukuliwa na cm isiyo na ubora mbn kwenye tv quality ni nzur kuliko za highlights
@ianak4
@ianak4 Ай бұрын
Azam huwa wanafanya ovyo mechi za Yanga kwa sababu ya wivu na chuki, fuatilia utaona, hata uzinduzi wa kitabu cha historia ya Yanga walihakikisha recording haitakaa iangaliwe tena
@adhalkhrokhamis7433
@adhalkhrokhamis7433 Ай бұрын
Setti simu yko quality ya picha
@mariej6962
@mariej6962 Ай бұрын
Simu yako tu dear, quality iko vizuri hadi kiwango cha mwisho kabisa
@mwanahawanyambi9440
@mwanahawanyambi9440 Ай бұрын
Asante team yangu Kila la kheri uongozi na wachezaji manara sijukuona ukicheza mziki wa furaha YANGA HII INAFUNGWAJEEE😂😂
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f Ай бұрын
Chama ni mchezaji makubwa sio wakumdharau
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Ай бұрын
Alhamdulillah,💚💛big congratulations to Dar young Africans
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Ай бұрын
DUH!! HUO MTOBO WA GOLI LA NNE MMEUONA?! AMEMANULIWA KAMA ALIVYOMANULIWA KIPA WA SIMBA... 😂😂😂 MAMMAEEE
@user-fk1vt9cd3i
@user-fk1vt9cd3i 10 күн бұрын
Hizi ndio match za kumuoneshaaa kachangaaa kanguuu
@MossesiMosessilaizerlaizer
@MossesiMosessilaizerlaizer Ай бұрын
yaan iyo ndy young afrcan wasipo kufunga wao utajifunga mwenyew 😂😂😂😂
@ANAFIMATUMLA
@ANAFIMATUMLA 3 күн бұрын
Yanga ukimfunga inakuwa kama nyuki
@lucypeter8725
@lucypeter8725 2 күн бұрын
Huyo mtotoiooo😅😅😅😅😅
@simeontwiyogohe2727
@simeontwiyogohe2727 Ай бұрын
Feisal alikatika kwa upwiru akaliwa uroda
@FatmaLyego
@FatmaLyego Ай бұрын
Kuna vichaa wamesahau eti Azam kibonde. 😂😂😂😂 Kumbe Azam kibonde kama wao
@juliadade4621
@juliadade4621 Ай бұрын
Yanga ☑️☑️☑️☑️
@NestoryMapunda-gq3kb
@NestoryMapunda-gq3kb Ай бұрын
Fei toto fanya kazi acha izo pigo mbona dube kafunga na aja weka mamb ayo fanya kaz acha mbwembw
@malietamaliet
@malietamaliet Ай бұрын
😂😂😂😂Azam they singing mtoto kautaka kubababake watuambie muda Bado vip tunawazee ama wanaume wa shoka ao B7fc na 🧁fc
@cytocromeoxidase8670
@cytocromeoxidase8670 Ай бұрын
Oohh❤
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc Ай бұрын
Respect for yanga...
@makejamaduhu7618
@makejamaduhu7618 Ай бұрын
Feisal mara ya pili unaigharimu Azam na tabia zako. Yanga uliwanyamazisha Zanzibar moto ukakutana nao, Leo unakata mauno daikia ya 13 ndo maana wananchi wakaamua kuwaadhibu
@simeontwiyogohe2727
@simeontwiyogohe2727 Ай бұрын
Feisal ana upwiru wa kuliwa
@yangacongosupporter6051
@yangacongosupporter6051 29 күн бұрын
Yanga bingwa
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 Ай бұрын
Matokeo haya ni yale ya mechi yetu iliyopita dhidi ya Sanda FC 😂😅😊. Azam imeponzwa na Coastal Union 😂
@KhamisiHilali
@KhamisiHilali Ай бұрын
Sio kujifunga tu Azam fc beki hazijipangi zikatika ovyo hakuna timu hapa inapotea pesa tu
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Ай бұрын
Azam na simba labda waanzishe Debora Cup ndo watashinda😂
@titoshilinde1913
@titoshilinde1913 Ай бұрын
Ibrahim baka anatakiwa aende Chelsea akakipige uko
@user-nu1mv8pj8t
@user-nu1mv8pj8t Ай бұрын
Sahh hiii yanga yamoto
@suleimanjokoro
@suleimanjokoro 27 күн бұрын
Hadi mlie meeeee.....😂😂
@AminaTanzania
@AminaTanzania Ай бұрын
Uchawi mama enu karogeni na yie mkizidiwatuu uchawi Mungu anawaona ndoomaana hamufanikiwi
@aminachayoa4193
@aminachayoa4193 27 күн бұрын
❤😅ni hata yangaaaaa😅
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Ай бұрын
Hii inaitwa mtoto akilia wembe apewe sasa huyu mtumzia tunampa msumeno😢
@AkidaIbunjumaa
@AkidaIbunjumaa Ай бұрын
Young Africans SC
@NdekejaGibuyi
@NdekejaGibuyi Ай бұрын
Yanga noma!
@Ommywhity7
@Ommywhity7 29 күн бұрын
Mwamba chama kama chamaa balaaaaaaaaa
@suleimanzimbwe373
@suleimanzimbwe373 2 күн бұрын
Hakuna Mechi nkiangalia napata machizi kwa furaha kubwa sana kama hii mechi ...mechi ya furaha ya ajabu
@dreusebiusjmikongoti248
@dreusebiusjmikongoti248 Ай бұрын
Hawa watangazaji/wasiluliaji wanavyoisifia yanga utadhani hawajaajiriwa na azam😂
@checkchannel3876
@checkchannel3876 Ай бұрын
Unafiki na wivu wako tu. Hamna zaidi ya hapo!
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc Ай бұрын
Mtangazaji tumempenda mno ktk mashangilizi hakuwa mmimi kamsifia fei vzr sn pia yanga walipo rudisha kawasifia mno akiwemo mfarme dubeeeee...mnyonge mnyongeni haki zake apewe ningemuona mtangazaji soda 5 zingemuhusu...
@imanisekwao4268
@imanisekwao4268 Ай бұрын
💛💚💛💚💛💚💛💚💛
@IshaeryMwampyate
@IshaeryMwampyate Ай бұрын
😂😂😂😂😂 ila yanga naipendaa sn 💛💚💛💚💛💚💛💚
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro Ай бұрын
mzinga🔥🔥🔥
@RamadhaniIssa-b5j
@RamadhaniIssa-b5j 15 күн бұрын
Chamaa
@ntihanabayojanvier1820
@ntihanabayojanvier1820 Ай бұрын
APRFC next week 😅😅😅
@GervasMwageni
@GervasMwageni 29 күн бұрын
Maforwad msiwaze hudumia ya chama mtaipata tuu😅
@Adaraberthlaurean
@Adaraberthlaurean Ай бұрын
Teimu hii hakuna mpinzani kwenye makombe
@josephngwega7398
@josephngwega7398 Ай бұрын
Huyu kijana hana adabu kabisa
@ppcltdppc3402
@ppcltdppc3402 12 сағат бұрын
mwenzake dube hata hajafanya manjonjo. halafu azam wakae na fei kila akiwakebehi yanga ndio wanafungwa mbona ile mechi aliyowaoomba msamaha nyanga baada ya kuwafunga walishinda tena nasikia walishangilia kweli na pesa wakapewa.
@user-fy3cf1ri8m
@user-fy3cf1ri8m Ай бұрын
Hvi NYIE AMUOGOPI.??😂😮😅
@PhilemonElisha-b4v
@PhilemonElisha-b4v Ай бұрын
Dogo Mauno yali mpoza
@OctaJohn-ov9gc
@OctaJohn-ov9gc Ай бұрын
Ahsnte sana MUNGU
Yanga SC 6-0 Vital'O FC | Highlights | CAF CL 24/08/2024
11:56
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 36 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 121 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 28 МЛН
JAMBAZI SUGU LILIVYOULIWA
7:39
RobbyMedia
Рет қаралды 412 М.
STEVE NDARO NIMEMFANANISHA HUYU MWANAMKE KIMEUMANA
16:03
Steve Mweusi
Рет қаралды 193 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,7 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 36 МЛН