FULL VIDEO: DIAMOND NA ZARI WALIVYOJIACHIA KWENYE BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WAO TIFFAH

  Рет қаралды 95,108

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 89
@petronillahosoro4828
@petronillahosoro4828 Ай бұрын
Diamond anapenda huyu mwanamke na watoto wake zaidi ya wengine,kuna siku watarudiana na itakuwa historia
@NewNew-ep5dq
@NewNew-ep5dq Ай бұрын
San yani mm natamani ata leo warudiane
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy Ай бұрын
Ndoto hizo
@peacerichard8970
@peacerichard8970 Ай бұрын
Mie nampemda Tanasha tu,wengne mbwembwe
@pendombinga3584
@pendombinga3584 Ай бұрын
​@@peacerichard8970tatizo tanasha kazidi kupooza sana
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt Ай бұрын
Natamani sana Walee watt wao
@najjukolydia9938
@najjukolydia9938 Ай бұрын
Tiffa is da heart of diamond
@aishaahmed5028
@aishaahmed5028 Ай бұрын
Happy birthday 🎈🎉🎂🎊🎁 princess tiffa hongera mama tee na papa tee insha Allah daima muwe pamoja mzidi kupendana melee watoto wetu wenye wivu wazidi kupata vidonda vya tumbo utakuta hapo wanaitizama video kila wakati na huku wanafyonya na kulani mbona kazi mnayo 😂😂😂😂 kwetu ni rahaaa ❤️❤️❤️
@ZainabSimith-ey6vm
@ZainabSimith-ey6vm Ай бұрын
Wazazi hawaachani mumeona hahaha mmependeza mmno❤❤
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Ай бұрын
Mashallah napenda wanavyishi zari na dai kwa watoto ❤❤❤❤❤
@mwajumagomera7609
@mwajumagomera7609 Ай бұрын
Couple yangu pendwa haijawahi tokea ❤❤❤❤❤
@EmanuellVictoria
@EmanuellVictoria Ай бұрын
Wow So lovely Happy Birthday to her Princess tiffa🎉
@BunyenyeziJesca-ru2wd
@BunyenyeziJesca-ru2wd Ай бұрын
Thanks for Creating good memories for your children ❤
@abdulkadershabani4570
@abdulkadershabani4570 Ай бұрын
Happy birthday girl ❤❤❤
@KideNetworks
@KideNetworks Ай бұрын
Ananmnunulia hata vitu hakuwai vipata na kina Esma😢🎉❤...Life bana,hata mkidema ni Freemason muacheni tu
@Oman-cd3zq
@Oman-cd3zq Ай бұрын
Ila bab tee mungu akupe maisha mrefu uzindi ku wangaliya watoto wako na nibab Bora piya❤❤❤ happy birthday tifa
@mwajumagomera7609
@mwajumagomera7609 Ай бұрын
Zari alichowazidi wengine kumzalia D mtoto wa kike ndo maana thaman yake iko juu❤
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Ай бұрын
Couple yangu pendwa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@SyliviaKisakye-ye1gk
@SyliviaKisakye-ye1gk Ай бұрын
Happy birthday princess tiffa❤❤❤❤more blessings 🙌
@moinanizarmfaoume
@moinanizarmfaoume Ай бұрын
Happy birthday Tiffa 🎉
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Zuchu na Shakibu Wana mioyo ya chuma,,,,,
@user-nb7qj7hg6p
@user-nb7qj7hg6p 27 күн бұрын
Umeonaeee😂
@AmanaAmos-hv3yz
@AmanaAmos-hv3yz 29 күн бұрын
Mond na zari forever ❤❤ then wanapenda sana na kupenda family yao,rudianeni tu..mlee watoto na kuongeza❤❤❤❤
@nabatanzijosephine2205
@nabatanzijosephine2205 29 күн бұрын
Baby gal has grown May God bless her
@sseluwuolivia8478
@sseluwuolivia8478 Ай бұрын
Wow my favourite family❤❤🔥
@Lorinekavai
@Lorinekavai Ай бұрын
Happy birthday Tiffa ❤❤❤❤❤
@sharontwijukye4008
@sharontwijukye4008 29 күн бұрын
Zari protects her children's interests against all odds she is a good mother Shakib should move on he doesnt match zari's family vibe. Zari stop wasting his time
@OliviaOlivia-rh1eb
@OliviaOlivia-rh1eb Ай бұрын
Team zari ad damiond ❤❤❤❤
@UnterHero
@UnterHero Ай бұрын
Napenda life style yenuu❤❤❤
@user-ji7sy2wi7b
@user-ji7sy2wi7b Ай бұрын
Happy birthday tiffah❤🎉
@stella8251
@stella8251 27 күн бұрын
Happy birthday tiffah
@carolineamito6709
@carolineamito6709 Ай бұрын
Beautiful, Diamond you are a responsible father, always love your children and remember your wife Zari. Your love story should be acted out.
@user-dx8jl1bd7n
@user-dx8jl1bd7n Ай бұрын
Huyu msichana wa diamond anacheksha sana.. mtoto wa ki tz
@sylviemokosery8701
@sylviemokosery8701 24 күн бұрын
Zari a été, et est tres intelligente ,pour rester en contact avec diamond elle lui a fait des enfants sans etre marier avec lui ,,, ❤❤❤ remettez vous ensemble zari et diamond et c'est tout !!
@MashakaFedrik
@MashakaFedrik Ай бұрын
Happy birthday tee 😂😂😂
@Fatma-rj7vs
@Fatma-rj7vs Ай бұрын
Wachni maneno wivu tu nibaba watoto wake
@joycechilumba2370
@joycechilumba2370 17 күн бұрын
Nampenda sana zali yani
@EliudiJastini
@EliudiJastini Ай бұрын
Amazing 🎉
@user-wi6uk1vz1h
@user-wi6uk1vz1h Ай бұрын
Qu'est-ce qui est incroyable, dans vos familles cela ne se passe pas ? Il ya quoi d'étrange ici , un papa est venu rendre visite aux enfants alors donc vous aimez les parents qui délaisse leur enfant ?
@TheVindcboy
@TheVindcboy Ай бұрын
❤❤❤😢
@MwajumaOkudo
@MwajumaOkudo Ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉❤❤❤❤
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 Ай бұрын
Zuchu azae na yy 😂😂😂 ila kwa tanasha huwa haend jaman kwa zar kil msim yup😂😂
@petronillahosoro4828
@petronillahosoro4828 Ай бұрын
Diamond anapenda Zari sana kuliko wengine,warudiane tu,Zuchu atafute mpenzi wake hao wawili ni wapendzi
@shishgal2274
@shishgal2274 Ай бұрын
​@@petronillahosoro4828mbona huyo Simba hataki kumwacha zuchu?? mbona zuchu akimwacha anamfuata na kuenda kumpigia magoti??sahii zari ameharibu ndoa yake diamond ameridi kwa zuchu
@mtotowamanka
@mtotowamanka Ай бұрын
BOSS MAMA dangote
@juliusgeorge1381
@juliusgeorge1381 Ай бұрын
🎉🎉
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@ashirievara8542
@ashirievara8542 Ай бұрын
💥💥💥🔥🥰
@musaahmed6810
@musaahmed6810 Ай бұрын
Lovely family
@khalidkareem8337
@khalidkareem8337 Ай бұрын
Daaah ❤❤❤mamaee tutafute pesa
@halimaallyazizi4443
@halimaallyazizi4443 Ай бұрын
Mashalwahu mashalwahu.daomond
@MwajumaOkudo
@MwajumaOkudo Ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉
@nishelbeb8822
@nishelbeb8822 Ай бұрын
Happiness in Tz🎉😂❤but In Uganda Mwooto🔥😢😢😢this world no Balance😅😅😅😅😅
@sunyareh
@sunyareh Ай бұрын
Wewe unastarehe na watoto wako na Mimi mnaniibiya hela zangu zote mungu awalaaani na watoto wangu wanateseka kwa ajili yenu, huyo mwantumu mbona usimshike
@Mina.15
@Mina.15 Ай бұрын
Uncle diamonddd😂😂😂 demu ako na vidole 4️⃣ and half 😂😂😂
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 Ай бұрын
Maisha Ya Diamond Ni Burudani kwa Mashabiki zake
@EstarChars
@EstarChars Ай бұрын
Good
@DaramuPlatnumz
@DaramuPlatnumz Ай бұрын
Nikweli
@stellasimon8306
@stellasimon8306 Ай бұрын
Siku hizi Esma yuko wapi?
@MaryOman-tc1nt
@MaryOman-tc1nt Ай бұрын
Yani mm nasema wazungukee mwisho wa siku waoanee
@PaulHernandez-d8i
@PaulHernandez-d8i 28 күн бұрын
Lopez Thomas Clark Patricia Thompson Mark
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 29 күн бұрын
Wazazi wa kiume wote wangekuwa kama mondi wangetusha sana kwa upendo wa watto wao na matunzo na ushirikiano mkishazah ni ndg ila wanaume zetu wa tz na badhi ya wanawake mkiachana inakuwa vita watto wanakuwa kwenye marezi ya mzazi moja tu mma
@kurwapauloukovizurisana.go7861
@kurwapauloukovizurisana.go7861 Ай бұрын
Wakati huu yule mganda wa watu yuko wapi sijui😂😂
@sunyareh
@sunyareh Ай бұрын
Ameniibiya hela zangu zote na kawaibiya watoto wangu hela zote
@user-oy1lo2cw6s
@user-oy1lo2cw6s Ай бұрын
Nani huyo jamani
@OnesmoEmmanuel-xr2rf
@OnesmoEmmanuel-xr2rf Ай бұрын
𝐀𝐧𝐚𝐯𝐢𝐭𝐮𝐤𝐨 𝐭𝐢𝐟𝐚 😂😂😂😂😂
@abudually5444
@abudually5444 Ай бұрын
😂❤ pesa
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 24 күн бұрын
Na ww Dimond ni mnafiki na mvurugaji wa Ndoa za wenzio. Ungekuwa una mapenzi ya kweli mbona hukumuoa huyo mbibi? Domo Unaboa sana.
@josephineamujaro5283
@josephineamujaro5283 24 күн бұрын
Hawa wana nyege wote
@user-yh6mq4ds1m
@user-yh6mq4ds1m Ай бұрын
Hapa ndo hamisa anapoteseka akiona
@priscillardigi3242
@priscillardigi3242 Ай бұрын
Bwana ya Zari Ako wapi?
@vibetz9991
@vibetz9991 Ай бұрын
😏
@CHRISTINAMAGASI
@CHRISTINAMAGASI Ай бұрын
Lazima ampende zari maana yeye ndo alimfamya aitwe baba
@abukizito5560
@abukizito5560 Ай бұрын
Musaja watu shakibu bamukozesa bukozesa
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Ай бұрын
Sasa hapo shakibu kakosewa wapi na diamond kama sio kutaka kiki kupitia baba Tee hapo ni kwake shakib hapo nikwa akina Tee ananyumba au hata chumba hapo SA kwanza aliomba aje SA zari akamkatalia sasa kosa la baba Tee ni nini hebu a dral na mke wake atuachie mond wetu we uliona wapi mume hata kuhemea haemei what are u bringing to the table Shakib kaa utulie tafute size yako mwizi wa mapenzi
@AniaSawaki
@AniaSawaki Ай бұрын
Ila mbona Tiffany kama umbo la kitoto linamuachs au mm ndo naona tofauti
@Lorinekavai
@Lorinekavai Ай бұрын
Ndiyoooo maaana anakuaaaaa
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Ай бұрын
Amekua haraka mpaka nimemshangaa
@Lorinekavai
@Lorinekavai Ай бұрын
@@philemonmagesa5548 sai watoi wanakua haraka sana
@Kwazulu1
@Kwazulu1 Ай бұрын
Tiffa Hongera sanaa.
@King_186
@King_186 Ай бұрын
Sasa si anakua,,ww unataka abaki hivyo hivyo
@sharlharl5890
@sharlharl5890 Ай бұрын
Bi tukinao maskini bado Inlove na simba but simba yubo zake bize😂😂😂
@fatimamtoo9288
@fatimamtoo9288 Ай бұрын
Nyinyi ndio wale mkiachana na baba watoto zenu mwakasilikiana. Acha wivu wewe
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial Ай бұрын
umeandika nini sasa hicho
@OliviaOlivia-rh1eb
@OliviaOlivia-rh1eb Ай бұрын
Happy birthday princess tiffah ❤❤❤❤
@salhaike754
@salhaike754 Ай бұрын
❤❤❤❤🎉
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
Baby Nila & Nitara's Food Routine | Pearle Maaney
56:25
Pearle Maaney
Рет қаралды 1,7 МЛН
BOBRISKY CELEBRATE BIRTHDAY WITH 200MILLION NAIRA CUSTOMIZED CAKE.
2:57
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 93 М.
Diamond Platnumz Kids Blame Him and Zari Hassan For Breaking The Family!
4:25
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17