FUMANIZI MTAANI/MUME AMFUMANIA MKEWE NA HAWARA/WAAMUA KUBADILISHANA KAMCHUKUA MKE WA HAWARA

  Рет қаралды 90,863

Geah Habibu

Geah Habibu

Күн бұрын

#Fumanizi #geahhabibu #GeahTv

Пікірлер: 554
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Jaman watu Tunatafuta ndoa wengine wanazichezea 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Dada weeee utajutia
@judymmuinde9321
@judymmuinde9321 4 жыл бұрын
Aki umesema kwl sisi tunaililia tuipate yeye anaichezea
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
@@judymmuinde9321 ngoja aje ulaian aone joto la jiwe Kama hajakumbuka ndoa yake🙄
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
Yaan acha tuu , lakini hii tabia mbaya na si adabu yaani unaleta hawara ndani kweli daaaa!!!
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 4 жыл бұрын
Natafuta mke niko mbali lakini sifa kubwa maelewano na upendo na uaminifu kama unataka weka namba au email yako
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 жыл бұрын
Wallahi mwenzangu wenzetu tunaomba ndoa ila wengine wana chezea
@ashaldinho5465
@ashaldinho5465 4 жыл бұрын
ya allah nijaliye ndoa iliyo kuwa bora na mume mwenye huruma na mapenzi ya allah waliyo kuwa kwenye ndoa wanazichezeya waliyo kuwa nje wanataka ndoa jamn dunia hiii allah mwenyew
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
Aamin
@Pedeshee01
@Pedeshee01 4 жыл бұрын
In shaa Allah atakujaalia ila japo wengine wanazichezea
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
Mtihani sana my watu tunaomba mungu kila siku tupate nusra
@asaaomar4315
@asaaomar4315 4 жыл бұрын
Ishallah amiina
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 4 жыл бұрын
Njoo nikuoe
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Mungu wangu 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️wewe mwanamke usio nahaya tusitili yaarabi wanawake. Wanawake mnatutia aibu msiotosheka na waume zenu
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 жыл бұрын
Geah uhondo kama huu uwe unatuonyesheaga live kabisa 👌👌🙌😂😂😂😂
@faridaiddi104
@faridaiddi104 4 жыл бұрын
Dah geah anatufelisha my🤣
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 4 жыл бұрын
Kweli aisee
@marydaffa8205
@marydaffa8205 4 жыл бұрын
Aliyemsikia mpiga mruzi like hapa jmn😂😂😂👌👌👌👌 mnaokaa masaki huu utamu mnaukosa wallah😜😜😜😜
@Boaz22
@Boaz22 4 жыл бұрын
Dada geah tungepata hii video ingenoga sana..
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@hakikahoman615
@hakikahoman615 4 жыл бұрын
sana
@keynasseib9999
@keynasseib9999 4 жыл бұрын
Haswaaah tungekonga nyoyo
@saniajuma6123
@saniajuma6123 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁👌👌👌umeona eeeee
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
@@nurafedrick378 🤣🤣🤣🤣
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Da geah hii ingekua live ingenoga kweli 😂😂😂😂wallah dar sihami
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 жыл бұрын
Kwa kweli hii nimeipenda sana. Mjini hakuna stress kabisa. Geah ya leo imekaa njema.
@melisaantony1033
@melisaantony1033 4 жыл бұрын
Hiii kama game imetengenezwa vile ili mwenzao haumbuke
@daynesswillium9618
@daynesswillium9618 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 aise kweli kua uyaone,mama kamwaga mboga baba kamwaga ugali.nawaonea huruma watoto wao tu jamani uwiii.
@azizaalmas9624
@azizaalmas9624 4 жыл бұрын
Oenii wanaake wenye Iman zadini angarau wakikosea mna jua kuwa nikosa na Allah anakataza zinaa, lkn mnajibebea tuu mijutu hajui haram Wala halali, uki gombana nae tuu anaenda kulala kwa bwanaake Mwanamke asienadin au Iman ni mzigo sababu anafanya bila majutoo anajiona nisawa tuu, kumbe zinaa ya mume au mke walio oana, nimbaya saana na haina msamaha kwa Allah.
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 4 жыл бұрын
kabisa wa2 hawaliangalii hili
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@asaaomar4315
@asaaomar4315 4 жыл бұрын
Hakika umeongea vizur mke asiyekua nadini ya allah wala hofu ya allah huo ni mzigo mkubwa
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
@@asaaomar4315, si mke tu hata mume.
@batulijuma7332
@batulijuma7332 4 жыл бұрын
Kuita mijitu unakisea coz wameumbwa na kila mwanadam anamaoungufu yake unaweza ukawa na din na ukafunaniwa vile vile
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 4 жыл бұрын
Da #geahabibu mkojo mume anaonekana muongeaji sana chumbani kweupe babuee
@doristo2597
@doristo2597 4 жыл бұрын
Gea Leo umetuuzia mbuzi kwny gunia mmh ungetuwekea videos
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@cindymodel3127
@cindymodel3127 4 жыл бұрын
ni kweli mie nilikuwepo saa 4 usiku ilitokea mburahat
@doristo2597
@doristo2597 4 жыл бұрын
@@cindymodel3127 ulifaidi hahahaaa
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 4 жыл бұрын
Wanawake wengine akili zero ndio maana UKIMWI hautoisha watu hawana woga dah 🙏🙏🙏
@IsmuaminaAbdulla
@IsmuaminaAbdulla 7 ай бұрын
Kweli kabisa hawezi kuisha maana kuna wanawake wajinga sana unakulisha akuvalisha kila kitu unataka nini 😢😢😢😢 inauma sana
@OfficialA83640
@OfficialA83640 4 жыл бұрын
Toba wee haya mambo yakufunga mwaka jaman da Geah unatukosha
@mdzainb3722
@mdzainb3722 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣wanawake tukome mmmmh aya jiudumie mwenyewe ndo ushaaribu dar patam
@twahaanyoni6117
@twahaanyoni6117 4 жыл бұрын
Dada Geah heka heka hiii hapana Sija Erewa Kabisa Bila ya Videos
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 4 жыл бұрын
😂😂😂hii kali Sana geah yn mwaka unaishaa vizurii
@aisharamadhan5257
@aisharamadhan5257 4 жыл бұрын
Subuhanallah yani sie tunazitafta ndoa afu kuna jimwanamke linachezea ndoa ivi ivi,,,, ama kweli mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono miwili Haya karibu mtaani kudangaa
@asaaomar4315
@asaaomar4315 4 жыл бұрын
Tatizo miwanawake mengine haina akili ishazowea kuzini mimalaya hiyo
@nas2800
@nas2800 4 жыл бұрын
Waah bongo hakuishi vioja
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Nilikuwa nampenda ila sijawahi kumtakia... wamempiga chura teke😂😂😂😂mamaeee
@ashahahahahatwendenikwetut3826
@ashahahahahatwendenikwetut3826 4 жыл бұрын
Hahahaha...dunia hii
@NuruZebedayombise-ie5zb
@NuruZebedayombise-ie5zb 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 4 жыл бұрын
Aibu gani hii wanawake wenzangu Tujiheshimu jamani...alafu uyo dada namsifu amewezaje kuongea hivyo Khaa ningekua mimi ningejinyea maana Nimuoga atar😂
@simonitaagesti3657
@simonitaagesti3657 4 жыл бұрын
Huyu mwanamke nae azimtoshi 😂😂
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 4 жыл бұрын
Mewahi leooo jamn khaaaaaa
@jabiraxmed7898
@jabiraxmed7898 4 жыл бұрын
Huyo mwanamume mjinga huwezi hata siku moja kwenda kwenye nyumba ya mwanamke mwenye mume nyumbani kwake. Ni kosa la jinai hata ikiwa mume wake kasafiri kama kula akupikie akuletee sio wende kwake
@annievibes8794
@annievibes8794 3 жыл бұрын
Halafu uswahilini sasa
@Taindy
@Taindy 4 жыл бұрын
Udaku huu bila video jamani imekosa ladha kidogo. Geah asante.
@themagadir
@themagadir 4 жыл бұрын
Sana tu
@mwangazaakilimali238
@mwangazaakilimali238 4 жыл бұрын
Ni hatari kabisa Wanadamu hatuna uaminifu tena siku hizi Udangaji na umalaya umezidi
@fatmahamis2154
@fatmahamis2154 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@leahsilau6983
@leahsilau6983 4 жыл бұрын
😁😁😁haha Geah au ni wanatengeneza Movie bwana usitutanie Geah.
@faudhiaramadhani4675
@faudhiaramadhani4675 4 жыл бұрын
Mungu tunusuru na huu mtihan yarab wanawake sie
@vanessadahnilly8551
@vanessadahnilly8551 4 жыл бұрын
Wanaume tu t.............beni vizur tukjoooèe ...
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 4 жыл бұрын
Umemalizaaaaaa....nashangaanwatu wanamsema huyu dada...sema hajabehave poa..lakin doan huko ni kwikwi
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂nimeipenda hiyooooooooo................
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Wachaaaaaaa weeeeee🤣🤣🤣
@aishaally2730
@aishaally2730 4 жыл бұрын
Astaghfir watu wanajua kuchezea ndoa simsiba huu ALLAH atawafanyia wepesi
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 жыл бұрын
Amiiiiiin
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 жыл бұрын
Je weye ume olewa ao
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 4 жыл бұрын
yenyewe sio vizuri inauma sana Mwanaume kumnyemelea Mke wa Mwanaume mwizako Sio Sawa nasisi wanawake hatulijui ilo
@mamawawili4069
@mamawawili4069 4 жыл бұрын
Da gea lazima kaka wawat aseme ukweli sasa akatae 🤣🤣
@alinependo7273
@alinependo7273 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani huo mwanaum alikuwa anaogopa kupigwa 🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmakhanii1676
@fatmakhanii1676 4 жыл бұрын
Wa ndoa ya rabil lghalamina🤣🤣🤣fumanizi hii pambee hatariii👌👌
@emeldamodest7039
@emeldamodest7039 2 жыл бұрын
Nzuri sana hiyo nimeipenda hiyo jamani
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 4 жыл бұрын
Mwenzang mwanakulidelete mwana kulidownload etiiiiii uyooo dada kayatakaaaaaa heheee na wanaume mwenyew ndo pangu pakavuuuu wanawake cjui twatafutagaaaa nn jamn khaaaa
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
Kali ya mwisho wa mwaka hiii duuu!! Ila bora walivo badilishana kuliko wangeuana
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 4 жыл бұрын
subbuhanna llah yamenikuta hayo mm jmn yallab nijalie ndoa yangu yenye kudum na kizazi chema
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 жыл бұрын
@@kiehbhzh7044 Ameen
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
Mwanaume aliefumania katishaa.Eti nilikuwa nampenda ila sijawahi kumtamkia hapo nisawa na kumpiga chura teke jmn huyu mwanaume nona🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌👌👌👌
@ruthbaby1982
@ruthbaby1982 4 жыл бұрын
Hhhhh
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 4 жыл бұрын
@@ruthbaby1982 Eee 🤔🤔😂😂
@ndudusuleiman3480
@ndudusuleiman3480 4 жыл бұрын
Hatari fire 🔥 yani mwanamke undaganywe ligi kubwa na visokolokwinyo uende ligi ndogo nenda ukale dagaa sasa na kuadza maisha mkekani
@khadijahali4837
@khadijahali4837 4 жыл бұрын
Mie sijaielewa hii bila ya video Geah 😓😓
@helenamusa432
@helenamusa432 4 жыл бұрын
geah Asante kwa nipashe
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣alikuwa akila ugali akimaliza anakula ugali upande wapilii😂😂😂🕺🕺🕺
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣anakula ugali anamla na mke wake.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
@@tatuhongeranurushaus485 🤣🤣🤣🤣🤣
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Kuachika sio kaz, kaz kuolewa tena
@lovemyselflovemyself8201
@lovemyselflovemyself8201 4 жыл бұрын
Daaah iyi kama movie ivi 🙉🙉
@nabu.barbim9219
@nabu.barbim9219 4 жыл бұрын
😂😂🤣Dawa yakee na yy aliweee 😂😂😂unapataa nguvu gan yakulaa jasho laa mwanaume mwenzio ataa uogaa unaaa dada geah unafaidigi sanaa nikiludii nitajiunga na ww 🤣🤣nijionee mengiiii maana
@anitamageni3487
@anitamageni3487 4 жыл бұрын
Nimeisikia hiyo radio clauds fm nashukuru sasa nimeiona tena you tube asante sana da geah
@marydaffa8205
@marydaffa8205 4 жыл бұрын
Subscribe dear ili utamu uckupite
@agathathobias8690
@agathathobias8690 4 жыл бұрын
Kwenye kubadilishana ndo nimechoka
@hammerQ954
@hammerQ954 4 жыл бұрын
Wenye matege tunacoment wapi?😁
@elesiahaule7606
@elesiahaule7606 4 жыл бұрын
Ni sisi ndio tungekulikana
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 4 жыл бұрын
Hiyo ya kubadilishana nimeipenda.
@nurafedrick378
@nurafedrick378 4 жыл бұрын
Bora kubadilishana watu wawe naamani yamoyoo😄😄😂😂😂
@nyasolina5364
@nyasolina5364 2 жыл бұрын
Uyo mwanaume alofumaniwa atakuwa anashida kichwani🤣🤣🤣
@kulthumsalim7070
@kulthumsalim7070 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Jamani jamani khaaa
@lovvy854
@lovvy854 4 жыл бұрын
Acha ngoma itambaeee sasa 🤣🤣maisha ya uswazii ndo maanake
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani Jamani, Halafu Mke Msindani,Mjuaji,Sasa Wamwbadilishana Eti 🤣🤣🤣🤣🤣.Vioja Mahakamani.
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Angeeka video 🤣🤣🤣🤣🤣🕺🕺
@sabrinaamour9081
@sabrinaamour9081 4 жыл бұрын
Haaahaa yani ni shidaaa nachekaa kamaa vizurii jaamanii
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 жыл бұрын
gea kamavile amini kwakweli
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 жыл бұрын
hmmm shida hiyi kwakweli 🙏
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 4 жыл бұрын
Hahaaaaa LA kusudi haambiwi pole 💃 🤣🤣🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Kabsa🤣🤣🤣🤣🤣🕺🕺
@sapnaabdallah1084
@sapnaabdallah1084 4 жыл бұрын
Umeonaa eeh Kumbe na Huku upo mpenzi 😍😍
@olimpiamaskini3900
@olimpiamaskini3900 3 жыл бұрын
Hehehe huyo mwanaume kamfunga Hy Dada
@linahsemindu9575
@linahsemindu9575 4 жыл бұрын
Huyo mwanamke Malaya Sana hata Kama hajakutwa ndani kwako mtu anahisiwa muda mrefu alafu anakutwa kwako nje anakula dah 😆 we mwanamke muuaji Sana co sir
@rechomc220
@rechomc220 4 жыл бұрын
Dah nmecheka sana walah
@aquarianknight
@aquarianknight 4 жыл бұрын
ETI GEAH MNATAKA ALIEFUMANIWA ADANGANYE ‼️, AMEFANYA JAMBO LA BUSARA KASEMA UKWELI, UMEMTAKA BAKI NAYE
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 жыл бұрын
Kuna watu jeuri hyo mwanaume kaamuwa liwalo naliwe😁😁😁🙌
@shahama6663
@shahama6663 4 жыл бұрын
Wanawake sisi atuliziki daaa aibu amakweli kwenye mitiakuna wajenzi
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 4 жыл бұрын
Dar raha sihami ng''oo kila siku starehe
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 4 жыл бұрын
😂😂Jamaa jasiri mbaya. Sema mwanamke alikuwa anafaidi vyabure tu kutoka upande mmoja.
@milkamugomo218
@milkamugomo218 4 жыл бұрын
Yani kisa kma hiki kiliwai tokea kwetu Kenya wakabadilishana wake kila moja kaondoka na wake finish
@chainbre275
@chainbre275 4 жыл бұрын
Hahahaha but at the end moja alitaka kuregeshewa mke wake
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 4 жыл бұрын
Mama mijengo wanajidharilisha sanaaa wanaume wa hivyo wapo wachache tu
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 жыл бұрын
Hii yakufungia mwaka huu wa heka heka, khaa. Mabadilishano hapo, kwa hapo. Ila bora kuliko kuchukua maamuzi yakuua.
@hawasaid8262
@hawasaid8262 4 жыл бұрын
Makubwa mwenzangu du kubadirishana wanawake 😂😂😂
@bintkijangwa4305
@bintkijangwa4305 4 жыл бұрын
Hapo ni zinaa tu zinaendelea hatari sana
@hidayamakuka5819
@hidayamakuka5819 4 жыл бұрын
Ugali kapikiw Kama kwake jomoni
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 4 жыл бұрын
Fanyeni kazi acheni uzinzi !.
@akrammahtabi935
@akrammahtabi935 4 жыл бұрын
Huyo mwanamke msungo ndani ya nyumba ya mumeo somo yake kamfundisha tabia mbaya
@doramkolo1745
@doramkolo1745 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣dah nacheka ka mazuri....yan bongo kuna mambo....hiz ndo jaman khaaaaa
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Ingekuwa raha zaidi kama tungewaona 😁😁
@nadyahamisi2763
@nadyahamisi2763 4 жыл бұрын
Mungu aniepushe nikijalie kuingia kwenye ndoa nitulie na mume wangu Mh aibu jmn wanawake hizi story ikisikika kwa manaume aku mbona kawaida tu
@saidabdul5586
@saidabdul5586 4 жыл бұрын
Nadya
@nadyahamisi2763
@nadyahamisi2763 4 жыл бұрын
@@saidabdul5586 naaam
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Kufumaniwa si jambo la kawaida kwa m'me ni kawaida kwa kila mzinzi awe m'me awe m'ke kwa sabbu tayari hawana aibu.
@nasrafadhili8941
@nasrafadhili8941 4 жыл бұрын
Yn limemshuka huyo. Dada
@missangela6720
@missangela6720 4 жыл бұрын
Geah naye siku hizi kaanza mapichapicha ya Isidingo
@ramlamohammed1661
@ramlamohammed1661 4 жыл бұрын
😂😂😂😂 daaaaaaah kubdilishana tena mke
@naahpretty3079
@naahpretty3079 4 жыл бұрын
Dunia ina mambo hii 😂😂😂😂😂😂kwenye kubadirishana kumeniuwaa
@kuruthumusaidi1645
@kuruthumusaidi1645 4 жыл бұрын
Dah kiboko apo kwenye kubadilishana Nimecheka kwa sauti
@carolmuchiri9921
@carolmuchiri9921 4 жыл бұрын
Dada Geah Ungetuonyesha liveu, Uhondo si Uhondo bila kutizama Isitoshe kubadilizana Kuna raha yani Mna badilishana Utamu, Uswahilini Kuna matamu 😂😂😂😂
@denizamahongo8557
@denizamahongo8557 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume aliyefumaniwa na huyu mwanamke aliyefumaniwa yaani wote ni vituko kabisa.
@charleslukoa9661
@charleslukoa9661 4 жыл бұрын
Jaman ndug zang vtu vngne mnaweza kutuona wanaume hatar kumbe nyie wanamke ndio tatizo
@hawasaid8262
@hawasaid8262 4 жыл бұрын
Utakoma mimba utareya mwenyewe👌
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 жыл бұрын
Uyo mume alie fumaniwa chizi😅😅😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣🙌🙌🙌🙌🙌🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 жыл бұрын
Uyo mke fara sana anatuzalilisha wanawake mpuuzi sana ungemfiria mbali
@aaa64sa13
@aaa64sa13 4 жыл бұрын
🤣🤣 yaani ampige tigooo😘
@scholasticamethod4400
@scholasticamethod4400 4 жыл бұрын
Mmmh mbona kama mchezo huwoo jmn...yaani huyo mwanaume akubali kirahisi tuu
@francinercaliste4474
@francinercaliste4474 3 жыл бұрын
Hawa walikua wapenzi toka zamani ,cyo rahic kuondoka kiivyo
@ayshachondo9090
@ayshachondo9090 4 жыл бұрын
Kama movie lakihind
@abedichande2497
@abedichande2497 4 жыл бұрын
Et kofiiiiiii hahahaha daah....hv unatoa wap ujasr wa kwenda kwanye nyumba ya kidume mzenzio uo ni USHAMBAA
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
Eeeh mbona kama movie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 4 жыл бұрын
Asante sana
@nurahabibunurahabibuhamed5018
@nurahabibunurahabibuhamed5018 4 жыл бұрын
Dada geah jmn siku zingine mtuwekee na video jamani
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Huyu dada kauzu kweli abishana na mume eti umenikuta wapi
@kweka14l35
@kweka14l35 4 жыл бұрын
Tena ashukuru Mungu mume sio mpigaji angepigwa mpaka afe
@msalimsali9240
@msalimsali9240 4 жыл бұрын
Jaamaa mwenywe matege
@jamilanyakibali5174
@jamilanyakibali5174 4 жыл бұрын
Dada. Gea. Uyo. Malaya. Hana. Haya. Umaraya. Gani. Ndani. Kwa. Mumeo. Jaman
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 жыл бұрын
wanamke wa izi zama atari sana sijui tuta owa wapi
@nourathymsolwa6239
@nourathymsolwa6239 4 жыл бұрын
Aibuu jamani uwiii sijui ilikuwaje
@shammxtv5608
@shammxtv5608 4 жыл бұрын
Katumwa uyo mwanaume😂ckwa ctahli hyo
@aishaaaisha3815
@aishaaaisha3815 4 жыл бұрын
Sana uyo katumwa
@rubenprince8990
@rubenprince8990 4 жыл бұрын
Shari beauty huyo mwanaume hajatumwa tatzo ni huyo mke mwenzenu chup yake imekufa lastik ndio maana haon tabu kuivuwa
INASIKITISHA MUME ALIVYOMUUA MKEWE KIKATILI MBELE YA DADA YAKE
25:43
Trump made a decision / North Korea withdraws troops
13:03
NEXTA Live
Рет қаралды 889 М.
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
HEKAHEKA: DSM haiishiwi mambo, isikupite hii ya Kawe
25:45
Millard Ayo
Рет қаралды 28 М.
MISSION IMPOSSIBLE [43] SEASON 2 FINAL
31:24
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 23 М.
В Швеции ищут, кто разорвал подводный кабель
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 27 М.
УЛИЧНЫЕ МУЗЫКАНТЫ В СОЧИ 🤘🏻
0:33
РОК ЗАВОД
Рет қаралды 7 МЛН