Hii ndo hali halisi ya uchawa, haswa kwa wale huwa wanamchukulia poa mwijaku au ety sijui ana kiherehere... kwakweli hongera sana kaka🎉
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Hongera sana mwijaku, ukiambiwa uchawa wenye faida basi ndio huu saf kbs
@rajimuashirafa8265 Жыл бұрын
Nilichogundua Mwijaku mkewake anampenda na anamsupport sanaaa ndio maana huyu mwamba atafika mbaliii
@laurentraphael5470 Жыл бұрын
You are right.
@rehemamcharo8693 Жыл бұрын
Mwijiku ww ndyo mwanaume heshima yamwamaume kuonesha heshima jwajamii na kwenye famili
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Uhakika nipo upande wako
@veronicamhanga2548 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wanaume wengi wanadhani kumshilikisha mke ni ujinga lahasha. Hata kama kipato chako ni kidogo shilikianeni, yatatokea matokeo chanya sana barikiwe. Hongera sana mwijaku
@JosephLukumaiLukumai Жыл бұрын
Alafu huyu mke anamuheshimu sana
@user-gc8jc1sh4z Жыл бұрын
❤❤Hongera sana DC mwijaku kwa mjengo mkubwa mungu yupo pamoja na nyinyii❤❤❤❤
@patricknamangoa6468 Жыл бұрын
Congratulations Mwemba a.k.a Mwijaku. What's been done by you should completely be imitated by every smart Tanzanian youth! May God keep blessing you!
@gladistaemanueliy6336 Жыл бұрын
Mwijaku na worlper funga kazi ya mwaka 2023 nawapenda sana
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Kaka hongeraaaaaaaa❤❤❤❤ yaani hiyo ndo Fungal kalomo
Huyu jamaa alivyo na utani na vichekesho hata akizungumza akiwa serious bado naona anafanya utani na vichekesho vile, ila Hongera sana kwa kujenga nyumba nzuri.
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Kuna mda anaongea yupo serious
@FabianTebeka9 ай бұрын
Brother unafanya mambo vizuri lakini Acha kumsema vibaya diamond kwa kuwa wewe muislamu kwani Mtume Muhammad alisema eli ya mchawi kuliko mnafiki piga kazi achana na mambo ya Dunia my brother respect
@MaingwaAbdalah Жыл бұрын
Dah masikini wengi tumejaa makasiriko tumuombe mungu atupe ridhiki nzuri nasi tufikie ndoto zetu
@nuhumhagama2132 Жыл бұрын
Daaahhh hongera sana bro mwijaku Mungu awabariki sana
@fransiscongonyani- Жыл бұрын
Hongera sanaaaa boss🎉🎉🎉🎉 piah shemej nawe ni kichwa Kwa kumshaur Mwamba kufanya makubwa🎉🎉🎉🌹🌹🌹
@Kabwela776 Жыл бұрын
Hongera sana Mwijaku ndio faida ya kwenda shule hata ukiuza vitumbua ukiwa umesoma na umeelimika unatoboa , madogo wengine wanapata hela ila bado wako kwenye nyumba za kupanga sababu shule zao ndogo !
@AnnahMushi Жыл бұрын
Tatzo sio shule nijins yakutumia hela unaweza umesoma lakin hunamatumiz yahela
@Kabwela776 Жыл бұрын
@@AnnahMushi elimu inasadia sana huyo ana masters degree na unaona ana mipango mizuri ni shule hiyo mfano baba Levo hamna shule pale tofauti Na Mwijaku
@thebmcblackmiccatcher3949 Жыл бұрын
Aliyekufunza elimu ni hela na nyumba alisahau kukufunza sababu ya diamond kukuzidi hela pamoja na elimu yako
@hassanimwiyombo338510 ай бұрын
Assalamu aleikum warehematulah wabarakatuh baba hongera kwa mafanikio yako mwenyezi mungu akujaalie majaliwa mengine zaidi ktk dunia na akhera maana yote ndio mapitio yetu Mwijaku mm nahitajia sana kufika clous hasa ktk kipindi chenu cha leo tena kwa haja ya kuwaona live na ni kipindi ambacho hakinipiti naomba nifanyie mchakato nipo manyara
@MengiMengi-o6r Жыл бұрын
Kaka hongera xan One. Day ntakuj kuish nyumb Kama hiyo🎉❤
@MengiMengi-o6r Жыл бұрын
Congratulations to you
@menalikechildren8836 Жыл бұрын
wanawake njoon uku muna mengi sana yakujifunza kwa mke wa mwijaku
@GoodluckLameck-nh9tq Жыл бұрын
Hongera mwijaku umepiga hatua God bless you
@juliaskasiaka Жыл бұрын
Congratulations Mr mwijaku mungu azidi kukutia nguvu,,,, one day nitakuja kuishi nyumba kama hiyo
@janetnyanchera1252 Жыл бұрын
Congratulations Mwijaku's absolutely amazing guys God Is Faithful always 🙌🙏❤
@CelestinIlunga-z1n20 күн бұрын
Courage brother njo kazi ile uki pata njiya ya kutobola we tobowa
@emmanuelmwaipopo3039 Жыл бұрын
Uchawa unalipa mwaka huu lazima na Mimi niwe chawa. Hongera sana mwijaku
@LloydsTech Жыл бұрын
Hongera sana #DC Ila namba umetupiga 1.3 B
@mswakisaid2320 Жыл бұрын
Hahahaaa Mwijakuu asante kaka kazi nzuri. Inawezekana Mwaka huu kuwa wa kwangu.
@Ramaamuzic Жыл бұрын
Aki wacha niweke comment..kwahii story because bibi ya bro mwijaku amenigusia moyo wangu unacho tamani yani mwanamke mwema niyule anae sikizana na mme wake na ningependa kumpongeza bro mwijaku kwakupata jiko jema ...much love kwa wote bro na shem late me say i love this family god bless them....be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
@ezekieljustine8241 Жыл бұрын
Kazi nidhamu na kujituma❤ respect mwijaku
@kennyraphael9839 Жыл бұрын
Hongera sana D.C 💯big up bro👍🏾
@JohnCars-p3r Жыл бұрын
Daaah hili funzo kubwa ukiona Mwanaume amefanikiwa ujue Kuna mwanamke shujaa nyuma yake Congratulations bro mwijaku
@CoptogangGang Жыл бұрын
Ongera mungu akujalie naminatamani niwekamawewe mungu asaidie nifanikiwe amina
@davidmichael8748 Жыл бұрын
Mwijaku shikamoo skudharau tena nisamehee🙏🙏
@sergebaleke695 Жыл бұрын
Hongera sana brother Mwijaku
@hamisyusuph2519 Жыл бұрын
hongera kwake ila aache kusema kaiheshimisha kigamboni,kigamboni ni next level kuna nyumba hyo ya kwake ni takataka
@DjumaShabani-d6w Жыл бұрын
big up my DC mwijaku djuma shaban from cape Town south Africa ❤❤❤❤
@goodluckalistides31274 ай бұрын
Umetisha safi sana
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Hongera sana home boy 🎉
@zainabufaidhi4799 Жыл бұрын
MA Shaa Allah hongera Sana Kaka mwijaku umeupiga mwingi sana
@faizG254 Жыл бұрын
Congratulations to Mwijaku.I respect you bro
@edwardfaraji1133 Жыл бұрын
Hongera sana kaka Mwijaku uchawi unalipa aisee...
@pendolymo9354 Жыл бұрын
Uku juu weka uzio Kwa sababu y usalama zaid hasa watoto😊
@crispinmsongole8875 Жыл бұрын
Hilo nalo neno
@leokamil6284 Жыл бұрын
Hongera nakushauri kuzunguka pool weka vizuizi maana utelezi wa maji na mkao wa hilo pool ni hatari sana
@didamugya6039 Жыл бұрын
Nilikuwa naitafuta hii comment
@إلىاللهمرجعناجميعا Жыл бұрын
Mungu akusimamie Kaka hongera Sanaa
@ZalfaOthman Жыл бұрын
Masha allah masha allah mungu awabarik wewe na mkeo maisha ya furaha kwenye nyumba yenu mpya Mungo awaondoshee hasad aamin thuma amin
@masanja9256 Жыл бұрын
Mwijaku hongera kaka pamoja na shemeji yangu ila wanaowaona mnaelezea mafanikio yenu wanadhani kuwa ukimuona nyani kazeeka hawajui kama karuka mishare mingi, pengne hebu uwe na kipnditu cha kuwaeleza au kutoa magum kidogo ili wajifunze kuvumilia kwenye familia vijana hata mababa wakileo ,
@TitoMwenda-jw2ig Жыл бұрын
Kumbe mdomo unafaida ira inatakiwa ujuwe kuutumoa hongera sana dc
@TALLUBOY Жыл бұрын
Ongera sana kaka mwijaku Umeuwa sana lakin kaka Lakin jiandae wasanii kutokukuripa ovyo ovyo Kwa pale utakapo waongelea Maana tayari wamesha stuka Kuwa wanakutajirisha Yabila wao kujua kwaiyo Kaka mwijaku jiandae vzr Kwa hilo broh wangu
@ericfelician79966 ай бұрын
Nyumba kali mkuu,🙌🙌
@adamizlewaiz9099 Жыл бұрын
Love from Kenya u have mentor many including myself ❤❤
@masanja9256 Жыл бұрын
Mama mwijaku mm nakuchakugua kuwa balozi wa wanawake tanzanzania kuelezea nakushauri wanawake na mabinti kutokukimbilia maisha ya wanaume wenyekipato,simama tembea nch nzima waelezee 1 mafanikio mazuri ya kuwa wawili 2 waache kukimbilia waume ambao tayr wapo na kipato 3 malengo kwenye familia pindi waanzapo safri ya maiaha-nk 1
@afropanorama4730 Жыл бұрын
uchawa unalipa kumbe,hongera👏👏👏
@Jibambeshow254k Жыл бұрын
😂😂waonaee mjini maokoto
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Maokoto yapo
@AmissiDeo-p1s Жыл бұрын
Mashaallah mjomba wangu laweza Allah akuzidishie barka
@ChenchiKing Жыл бұрын
I'm So Proud For This D.C Wa Insta Mungu Awabariki Kweli Kweli🎉🎉🎉
@AminaNgade Жыл бұрын
Du hongera sana DC umejitahidi sana nyumba nzuri sana
@lilyNakamura4993 Жыл бұрын
Hongera Kaka Yangu Mwijaku Karibu Japan 🇹🇿🇯🇵 👍
@thekobsmedia9793 Жыл бұрын
Nikaribishe pia😂
@mustafatsomba6178 Жыл бұрын
Hapo nimekukubali Mwijaku wewe ni zaidi ya Baba Levo ongera sana bro much ❤from D.R.CONGO. Tunawafatilia sana
@BrysonTz Жыл бұрын
Nice broo your top in town
@StevenWangwe Жыл бұрын
Hongela mwijaku
@Iamnanapeak Жыл бұрын
Congratulations 🎉👏 mwinjaku from KENYA 🇰🇪🇰🇪🙏
@MariaSigani25 күн бұрын
Chawa kama chawa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@naimaabdu8012 Жыл бұрын
Apewe hongera zake. Achunge tu asikwame kwenye kuingiza kipato. Mil. 3 kwa umeme tu si kazi ndogo. Ajumlishe chakula cha mbwa na kadhalika. Aangalie ndoto isibomoke.
@crispinmsongole8875 Жыл бұрын
Wewe kwako unalipa shilingi ngapi umeme?
@MasukaWilson-j3r2 ай бұрын
Kaxi nzuri
@michaelmwimule1001 Жыл бұрын
Mwijaku baba kazi ipo. congratulations bro
@boscomwambapa8584 Жыл бұрын
Pongezi sana kaka mwijaku hongela sana pia kwa shem mkisapotiana mambo hayakwami
@bakarmsangi963 Жыл бұрын
Mashaallah mungu atuongezee kwa wote amin
@StanleyMwai-v6s Жыл бұрын
❤❤❤ hongereni sana DC mwijaku mwenyezi mungu awabaliki sana
@SharifaSelemani-ix4xs Жыл бұрын
Hongereni Sana Masha Allah
@wankurumasanja4764 Жыл бұрын
Inshallah mr mwijaku..nvzri mjengo wako
@RAHELNJEYE Жыл бұрын
Hongera Sana tunakitu kikubwa cha kujifunza sisi Vijana hongera Sana brooo
@Reema12-v5j10 ай бұрын
Masha Allah blessed
@MuhammadHassan-xp6dc Жыл бұрын
mashalaah ongera sana kk,wale waliokuona wajichetua lazima wajiulize.
@Asiamohammed1317 Жыл бұрын
Ushirikiano na mawasiliano yao mazuri ni matokeo mazuri sana hongereni wapendwa
@NeemaMchopa Жыл бұрын
Big up DC,
@esterfrenk4198 Жыл бұрын
Umeupga mwingi brother mwijaku
@jovinmancomedytz Жыл бұрын
Hongera sana mwijaju bana hiki ndicho kinacho tufanya tunapambana vijana kilasiku
@maishathomas148 Жыл бұрын
Safi sana, mke unaye
@biasharaonline693 Жыл бұрын
Congratulations brother and sister you both made it 💪
@kellykawageme3273 Жыл бұрын
Brother umetisha hongera
@vickystephano224 Жыл бұрын
Hongrà Sanaa kaka anguu
@santinosabugo2114 Жыл бұрын
mwijakua kumbe alikuwa anatafuta kitu akili nyingi sana big up
@Carolina-sm5zt Жыл бұрын
Usimdharau usiye mjua,tukikuona mtandaoni na usemaji wako tunakuchukulia poa, big up Bro
@Abuusalma995 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah inshaAllah me na mke wang one day yes pia
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Yaaaaan leo mwijaku umejua kujiangaisha na hii mitandao hongera sana mwijaku ❤
@congratulationmayunga3833 Жыл бұрын
Hongera saaana DC Mwijaku umeupiga mwiiingi
@suzandavid2096 Жыл бұрын
Una utani mwingi lakini unafanya mambo ya maana. Hongera sana bro
@josiacharles2778 Жыл бұрын
Ongera sana M mwijaku, mwanamke anajitambua sana uyo.
@YasinOmar-i1k Жыл бұрын
Jambo la kher kila hatua dua Mungu akutangulie
@Boskarii Жыл бұрын
Street ICON 🙌🏽
@felistersmejumaa5188 Жыл бұрын
Mashallah kweli wanakuona chizi lkn upo vizuri sana hongera 😘😘😘😘
@ISMAILNASHON-zh3sg Жыл бұрын
Waha ni wachakalikaji kwahiyo sishangaiiii mwijaku kutoboa