FUNGA! KILICHOZIKUTA BAADHI YA BAR ZANZIBAR, USIKU

  Рет қаралды 10,077

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #Zanzibar #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
cc: Sadia Rashid
cc: Masoud Maganga

Пікірлер: 93
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 5 жыл бұрын
Hongera Muheshimiwa mkuu wa mkowa kwa juhudi zako zakuongoza inavopaswa fanya kazi Muheshimiwa mkuu wa mkowa Allah Akuzidishie umri na Afya njema uzidi kuongoza vzr kwa niaba ya wote
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
SAMSUNG NJOO BAS KIDOTI
@mohdissa8973
@mohdissa8973 5 жыл бұрын
Alhamdilillah Allah akupe nguvu na moyo WA kuisimamia vizr kazi yako pamoja na sheria napenda utendaji wako WA kazi Allah akuhifadhi na kila Shari usizoziona na utakazoziona Allah akuhifadhi Nazo na akupe taufikii uirudishe kama.ilivyokuwa mwanzo znz katika mkowa wako pia iwe mfano mwema.kwa jamii na viongoziii vilazaaaa
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Mohd Issa nkusubrini kidoti🙄
@abalqassimhalli6731
@abalqassimhalli6731 5 жыл бұрын
Hongera Mheshmiwa Ayoub endelea hivyo hivyo
@galayagalaya48
@galayagalaya48 5 жыл бұрын
Allah akubark mkuu wa mkoa zidi kufanya kaz yako inshaallah allah atakupa. Nguvu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Msiwe wanafik. Allah ameahidi adhabu kali kwa wanafik! Km unafungia bar fungia zote, si unajitia kuhalalisha baadhi ya bar na kuharamisha baadhi, Unafik tu. Na ndio mana Tanganyika wanatudhulum na tunakosa msaada kwa Allah, kwa sababu ya unafik! Viongozi takriban wote wanafik, na baadhi ya wananchi ndio hivyo hivyo. Yale aliyoyakataza Allah ndio tunayoyafanya kwa kisingizio cha haki na kujipatia chumo japo kua ni laharam.
@zulfatdidas369
@zulfatdidas369 5 жыл бұрын
Love Mummy bora umelfham hl
@hamishamis9905
@hamishamis9905 5 жыл бұрын
Safi sanaaa mkuu wa mkoa nakupenda bureeeeeee
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 5 жыл бұрын
Maa sha Allah plz mkuu wa mkoa kakaetu ayoub tunakuomba in bora uyafungie mabaa yote Zanzibar hao ndio wanaotutilia ukame nchi yetu
@mammymim3909
@mammymim3909 5 жыл бұрын
MashaAllah Allah azidi kukupa nguvu na uwezo uzidi kuyaondoa maovu. Not up mkuu Wa mkoa
@rahimabdull3677
@rahimabdull3677 5 жыл бұрын
Rudisha tanganyika asitule mambo ya kishenzi shenzi zanzibar yetuu.
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Shukran ktz tz online hakika hii ni fahari yetu
@salummkubwa
@salummkubwa 5 жыл бұрын
Piga kazi brother pamoja sana tu, nanyi viongozi wengine muige mfano wa kuongoza wa RC Ayub, Zanzibar ingepata maendeleo ya haraka kama ingelipata more no nonsense leaders kama huyu RC Ayub
@mwakahassan8742
@mwakahassan8742 5 жыл бұрын
Ati pauzwa kahawa ndio kahawa ya kwenu bara iyo? Hongera kwa hili mkuu mungu azid kukuongoza
@aishanassor8057
@aishanassor8057 5 жыл бұрын
Hongera baba nakupongeza na mm kwa kazi yako hii nzuri sana! Allah akuwezeshe zaid katika kazi zako! Akupe mwongozo zaid nashuhudia kazi zako na nimefurahishwa na utendaji wa kazi wako Allah akupe ulinzi na mwongozo zaid Amin
@salmajadi9109
@salmajadi9109 5 жыл бұрын
Safi sana muheshimiwa love u bureeee
@iddisalum4988
@iddisalum4988 5 жыл бұрын
Vizur mkuu wa mkoa bora ufanye ivo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 жыл бұрын
Zanzibar mmeiharibu kila kona kuna mabaa na madaguro, huu sio UISLAAM, eaachieni warudi bara wakafunguwe kila mtaa.
@adamabui6121
@adamabui6121 5 жыл бұрын
Safi sanaaaa mheshimiwa
@noreenalriyam2892
@noreenalriyam2892 5 жыл бұрын
Mheshimiwa hongera sanaa Allah akuhifadhi na akulinde in shaa Allah Zaid ningekuomba ivi vinywaji vya kilevi znz visiruhusiwe, tutaepukana na mengi sana na kuirejeshe Heshma ya Zanzibar na maadili yake ..
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Hilo cjui km litawezekana. Ni wanafik tu hawa, hawapo ktk kuutokomeza ulevi znz. Wao wapo kwenye vibali, ukiwa na kibali chako umeruhusiwa. Sisi raia wanatufumba macho ili tuwaone wanafanya kazi ya dini (kuangamiza maovu) lkn wao hawapo huko wapo kwenye dunia na matumbo yao, basi!
@mumybhay4984
@mumybhay4984 5 жыл бұрын
NDIO BABU AYOUB.. FANYA KAZI.
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Allah akuhifadhi. tunajua umejitolea
@salmajadi9109
@salmajadi9109 5 жыл бұрын
Yani tungekuwa na viongozi kama hawa watatu tu tungewini Zanzibar
@umaimaalharthy3581
@umaimaalharthy3581 5 жыл бұрын
Hongera sana mkuu wa mkoa jazaqallahu.
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 5 жыл бұрын
Kiukweli uongoz ni kipaji. Mm namkubalisana mkuu huyu wa mkoa. Najua kuna vtu vingi vinamkera ila katiba na sheria uongoz tulionao ndio unambana kiukweli. Mh unatumia elimu yako inavyotakiwa. Kiumkweli sasaiv nchi nyingi za kiislam zina haribiwa na neno utanda waz na democracy. Hii ndio sababu hasa yakutaka znz ibaki kwenye mikono ya makafir ila kwa uwezo wa Allah tutashinda tu. Ni jambo geni znz kuona glossary leo hadi lessen wana pewa inna lillah wa inna ilayh rajiuna. Allah awape muamko viongoz mupiganie hali hii kisha tuna jiuliza mambo ya ubakaj na uawaj wa wtt ulitokea waap. Maneno ya Allah haya xpre. Mkizipuuza aya zangu nitawajaalieni maisha ya ziki. Allah atuhurumie hatujui tulitendalo. Hongera mh. Ikibidi futeni kabisa na hio sheria ya vileo vya ulevi.
@aliarkam1413
@aliarkam1413 5 жыл бұрын
Hongera sana Mkuu wa mkoa wetu
@khamisabdalla7709
@khamisabdalla7709 5 жыл бұрын
Ww uko sawa allah akuongoze
@harithrashid5314
@harithrashid5314 5 жыл бұрын
Zifungwe zote Zanzibar hatuzitaki hapa
@UmmyilhamUmmyilham
@UmmyilhamUmmyilham 5 жыл бұрын
Allah akupe husnil khatima babu Ayoub
@stonetown578
@stonetown578 5 жыл бұрын
Big up mh Ayoub
@asiakheir6406
@asiakheir6406 5 жыл бұрын
safi mkuu wa mkoa
@hapapetu7018
@hapapetu7018 5 жыл бұрын
Hongera. Sana. Mkuuu. Wangu
@khamisijuma4842
@khamisijuma4842 5 жыл бұрын
Kikubwa tuwambie tu Zanzibar hatutaki mambo ya anasa
@kitalechapombe6602
@kitalechapombe6602 5 жыл бұрын
Kama hamutaki mambo ya hanasa basi msiruhusu utalii,sasa utalii mmeruhusu alafu hamtaki hanasa,je unajua negative ya utaliii weye au unakurukupuka tu.
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 5 жыл бұрын
Izo pombe zao wapeleke kwao bara wasituharibie zanzibar yetu
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 5 жыл бұрын
Safi
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 5 жыл бұрын
Hongera ayoub kamata wotee
@mariamzani650
@mariamzani650 5 жыл бұрын
Hongera mkuu wa mkoa kama zoteeeee
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 жыл бұрын
Mungu akupe Umjri mrefu
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 5 жыл бұрын
Kauze kwenu usituharibie culture zetu
@fatmamohamed1099
@fatmamohamed1099 5 жыл бұрын
funga awooo
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 жыл бұрын
Warudisheni Tanganyika .
@moodyzanzibar4336
@moodyzanzibar4336 5 жыл бұрын
Acheni ujinga wa kuchanganya siasa na ujinga huu wewe zungumzia Muheshimiwa asaidie kuondosha uchafu zanzibar achana na habari za kuanza kutaja sijui Utanganyika mjinga wewe usichanganye siaasa kama ni hayo Zanzibar pia wapo wazanzibar wanao fanya mabaya si wabara tuu , mbona nyie wapemba mmejaaa Dar es salaam ni kwenu wacha ujinga wako
@masoudrashid8381
@masoudrashid8381 5 жыл бұрын
Mkuu was mkoa wetu plz fungia mabaa yote Zanzibar ndio chachu ya maradhi mbali mbali ktk nchi yetu
@blacksonismael2501
@blacksonismael2501 5 жыл бұрын
Bana zifungeni baa zote msiangalie vibali MTU akita starehe si aoe au aolewe vileo vya nini?
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa hata zinaa itapungua. Mana kwakuondoka kabisa mpaka mitandao na mavideo machafu yashughulikiwe. Lkn ukikata ulevi asaa kheir wale wanaolewa wakafanya wasiyoyatarijia watapungua.
@thabitmohamed8744
@thabitmohamed8744 5 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe kwa hil la baa na madanguro but sijakuona ukiwatembelea au kuhamasisha watu wa mkoa kuwashauri wafanye lambo litalowaletea kipato halali au huna upeo wambali kwenye maendeleo ya watu wako
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 5 жыл бұрын
Safi sana
@abrahimali3628
@abrahimali3628 5 жыл бұрын
Nawewe urejeshe kiwanja cha mayatima, muda wowote tunarejea kwa M/MUNGU
@mohamedjuma423
@mohamedjuma423 5 жыл бұрын
Hakuna na cha pombe halali wala haram Mungu kashakataza acheni kuhalalisha haramu
@mimamelchior7821
@mimamelchior7821 5 жыл бұрын
Hongera unajitahidi Sana lkn mbona kina vilingo wapo matukio yanaendelea
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 5 жыл бұрын
Jaman muogopeni Allaah ulevi ni Haram kwasharia ya din yetu Haram
@kitalechapombe6602
@kitalechapombe6602 5 жыл бұрын
Udhinifu jeee
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
@@kitalechapombe6602, Yote hayafai. Na yote viongozi wanafik wanayahalalisha kwa vibali. Mana mitaani wasonavibali vya uzinifu wanakamatwa lkn mahotelini wamejaa tele na vyumba wanapewa. Allah awaongoze viongozi wetu
@georginamushi5698
@georginamushi5698 5 жыл бұрын
Abuu Maryam na kufilana je na madawa ya kulevya so zambi
@abuumaryam1922
@abuumaryam1922 5 жыл бұрын
Georgina Mushi hayo yote madhambi mada kuhusu hili tulionalo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
@@georginamushi5698, Ulevi ndio baba wa maovu na machafu yote.
@haithamrubeabuhet2637
@haithamrubeabuhet2637 5 жыл бұрын
Babu ayoub safisha safisha tunataka zanzibar ya zaman irudi
@fatmajumaa1069
@fatmajumaa1069 5 жыл бұрын
Mkuuu wa mkoa fyekelea ndani
@yussufally8668
@yussufally8668 5 жыл бұрын
Piga kazi baba
@ommytamir2783
@ommytamir2783 5 жыл бұрын
Hapa uko sawa haya ndio wajibu
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 жыл бұрын
Sio utaratibu pombe hasa zisiuzwe zanzibar na nyumba yoyote tukiikuta au baa tunatia moto hata kama anakibali
@hmedmaulid2069
@hmedmaulid2069 5 жыл бұрын
Mbona mahoteli umeyaacha ndugu nayo yanauza pombe pia.asililia ya mahoteli yote zanzibar yanauza pombe.ukimaliza kuchoma moto mabaa uanze kuchoma na mahateli pia.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
@@hmedmaulid2069, km kweli viongozi wapo serious na wanakhofu ya Mungu na sio ya matumbo yao tunataka waanze na mahoteli, mana wakianzwa mahotelini hawa wa vichochoroni watafunga wenyewe watafute njia. Kila mmoja atarudi alipotoka km alikuja kwa daladala, boti, miguu ilimradi kila mmoja atajua kwao.
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 5 жыл бұрын
Mungu akujaalie uwe na moyo huo huo
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Moyo wa unafik. Mana km kiongozi anaefanya kwa kumuogopa Allah angekwisha kujiuzulu. Anahangaika na matawi (mitaani) wakti mashina (mahotelini) anayaacha?
@hassanturky7511
@hassanturky7511 5 жыл бұрын
Jamani hamna dini Wala akili inayosema watu wanaweza kunywa pombe. Haramisheni TU. Ah. Nyie ndo mnasababisha watu waamue wenyewe. Allah anakupeni cheo halafu nyie mnachezea vyeo vyenu
@mawlidiabdallah7287
@mawlidiabdallah7287 5 жыл бұрын
Hunger kka unauwa kufanya kazi mungu akupe Kila laheri.
@kakekofarniture.5375
@kakekofarniture.5375 5 жыл бұрын
Nenda uko
@kakekofarniture.5375
@kakekofarniture.5375 5 жыл бұрын
Nani Hana dini kaweke kwenu cc kwetu hatutaki hayo Mambo sawa
@sultannassor3757
@sultannassor3757 5 жыл бұрын
Fanya Nazi baba
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Funga funga kote mkuu wa mkoa asije onja tena mdhungu hiyo thupu. Hiyo sauti mmemsitua kwenye chupa nn?
@xunguyounus9273
@xunguyounus9273 5 жыл бұрын
Vizuri baba
@tamussaonlinetv47
@tamussaonlinetv47 5 жыл бұрын
Jamaaa... namkubali sanaa daah why asiwe rahis
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
@@tamussaonlinetv47, Ni mnafik tu
@muawiyajamali2557
@muawiyajamali2557 5 жыл бұрын
Nnataka huyu ayubu kma kweli anatakahasa znz isafike afatilie ishu zidi ya dawa za kulivya znz ndio kumeoza
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Hizo bar zinamshinda, afatilie madawa tena. Usije ukaona ajabu hata hayo madawa ya kulevya ukaambiwa kuna wenye vibali na wasionavyo. Wanafik tu hawa hawana wanalojali zaidi ya matumbo yao. Ikiwa ulevi wanahalalisha kwa maslahi yao wataacha kipi?
@bindawood978
@bindawood978 5 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 ,Love Mummy uko sawa nakukubali siku zote.
@eenpaard3915
@eenpaard3915 5 жыл бұрын
Tunataka ugombanie Uraisi Mwakani
@bxrkeshorts738
@bxrkeshorts738 5 жыл бұрын
Yaani huyu makuu wa mkoa nampenda vyote vyote
@albassamjjamali9286
@albassamjjamali9286 5 жыл бұрын
we muheshimiwa uwe raisi znz unafaa
@vinehots3114
@vinehots3114 5 жыл бұрын
Hakuna sherıa wala nını pombe na aına yakılevı chochote nı haramu haıfaı hata kuuzwa kama kuna sherıa ya vılevı ety mtuafate utaratıbu ılı aruhusuwe afanye bıashara yakılevı na mnaıfata bası bado babaa ataukıfunga hıyo baa nyengıne zınafanya kazı mmeruhusu kwaıyo vıongozı nyote mnafungu lenu la dhambı
@hussainomar1849
@hussainomar1849 5 жыл бұрын
Mola akutie nguvu usimamie yaliyo haki na yanayomridhisha mola wetu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Hawezi labda ajiuzulu. Ukiwa kiongozi ufuate sharia na katiba za nchi na sio za Allah. Hayo anayoyafanya yy anafuata sharia za nchi ndio mana akawa anaangalia kibali.
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
😂😂😂maji ya kunywa
@alihamad6046
@alihamad6046 5 жыл бұрын
Eeh
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
Baa zishatosha,kila kit kina kiasi chake,zanzibar ni nchi ya kiislamu, wasituharibie utamaduni wetu wa kiislamu,hawa wanavyoachiwa ndivyo zanzibar inavyoangamia,muheshimiwa naamini unaungwa mkono na wazanzibari asilimia 99%,hao wasiokuunga mkono ni wageni,wasiyoitakia mema nchi yeti,hizo baa zingine zifungwe.iundwe kamati ya wazanzibari halisi,chini ya mufti na wazee wa busara,kuaimamia hilo.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Sio nyengine, zote zifungwe. Na wale wanaouza pombe za kienyeji na wao wasakwe km zamani wakipatikana washughulikiwe.
@khamisabdalla7709
@khamisabdalla7709 5 жыл бұрын
Kwann ww mkuu wa mkoa ucwe raisi wa zanzibar 2020
@muawiyajamali2557
@muawiyajamali2557 5 жыл бұрын
Paige mfano wa makonda
@smithjones4099
@smithjones4099 5 жыл бұрын
Kama wewe kweli mkuu wa mkoa funga bar zote znzibar tunavotaka
UCHIMBAJI WA MCHANGA WAZUA TAFRANI ZANZIBAR
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 7 М.
WANANCHI ZANZIBAR WALIA NA DK SHEIN, HII NDIO SABABU
6:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 17 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 40 МЛН
What happens to your brain when you burn out?
1:29
The Economist
Рет қаралды 25 М.
MAMA AIBIWA LAKI SABA KWENYE MSONGAMANO WA DARAJANI
5:09
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 14 М.
BIASHARA YA KUJIUZA MWILI INAYOLETWA NA WAGENI ZANZIBAR
5:49
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 10 М.
KAMA UPO ZANZIBAR HII NI HABARI NJEMA KWAKO KUANZIA SASA
4:42
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 9 М.
JENGO JIPYA LA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR SI LA KAWAIDA
4:06
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 8 М.
JIONEE JINSI ZANZIBAR SASA INAVYOKUA KWA VIWANDA
4:06
Karafuu Media
Рет қаралды 10 М.
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН