ONA HALI ILIVYO SASA MICHENZANI Z’BAR BAADA WAFANYABIASHARA KUONDOLEWA

  Рет қаралды 22,514

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
cc: Masoud Maganga
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 77
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 3 жыл бұрын
Na wazungu muwavalishe nguo wasiingie na nguo za kulalia pia mji utazidi kuwa safi zaidi InnshaAllah. Dumisha tamaduni na silka za Zanzibar ni stara na vazi la heshima. Leo imekuwa ni uchafu watu wanaenda uchi.
@mundhiribrahim6292
@mundhiribrahim6292 3 жыл бұрын
Kabisa wavae nguo wazungu wasijunje sheria kwao hawakubali tuvunje sheria
@abedomar5183
@abedomar5183 3 жыл бұрын
Vizuri kabisa sehemu ipo very clean, muweke taa sass za barabarani na mji uwe safi
@muliksuleiman1633
@muliksuleiman1633 3 жыл бұрын
Nimependa sanaaaa kulikuwa kuchafuu
@abdullayahya8717
@abdullayahya8717 3 жыл бұрын
Nakubaliana na serikali ya SMZ lakini jambo la kunishangaza kwanini kila ikifika Mwezi wa ramadhani ndio mnawahamisha!! Jambo la ajabu sana maana mwaka jana mmewaondoa darajani Siku kama hii na mara hii tena. Basi alau mngewaachia wajipatie riziki zao kipindi hichi cha ramadhani baadae ndio mkawaondoa
@jumafundi2871
@jumafundi2871 3 жыл бұрын
Watafanikiwa na hawatakiwi wafanikiwe kunawatu speshel ndio wanatoa amri ili waondoshwe.
@kshdbzjnxksksw6567
@kshdbzjnxksksw6567 3 жыл бұрын
@@jumafundi2871 wacha uongo wewe nimuislam n.a. Allah anakuona walirudi kwasababu walikua hawajaandaliwa mazingira mazuri ila kwasasa washaekewa mazingira yakufanyia biashara kwani wewe hujui Allah kila mja kashampangia than zake kwaivo see popote itamfikia tu
@jumafundi2871
@jumafundi2871 3 жыл бұрын
@@kshdbzjnxksksw6567 nikweli zanzibar kilaramadhani ikifika ndio kunatokea mambohaya c ilikua wawaache hadi ipite ramadhani kunamangapi hatuyataki mbaona yanalazimishwa haizuru wauliwewatu,
@salimsalimali8285
@salimsalimali8285 3 жыл бұрын
"CHEO CHANGU HAKIWEZI KUWA THREATS KWA WATU WENGINE" ni maneno mazuri kutoka kwa Mkuu Wa Mkoa, ahsante Allah awape nguvu zaidi ya kutenda haki🙏🙏.
@garrettluis3960
@garrettluis3960 3 жыл бұрын
i know it's pretty randomly asking but does anybody know of a good site to watch new movies online ?
@vivaanbo3905
@vivaanbo3905 3 жыл бұрын
@Garrett Luis i use Flixzone. You can find it on google =)
@jimmytrenton623
@jimmytrenton623 3 жыл бұрын
@Vivaan Bo yup, have been using FlixZone for since april myself :D
@garrettluis3960
@garrettluis3960 3 жыл бұрын
@Vivaan Bo thank you, signed up and it seems to work =) I appreciate it!!
@vivaanbo3905
@vivaanbo3905 3 жыл бұрын
@Garrett Luis glad I could help :D
@jumamatao3628
@jumamatao3628 3 жыл бұрын
Mhe mkuu wa mkoa mshauri Dr mwinyi hapa Darajani kwenye hii parking ya sharjah opposite na Donge restaurant ya zamani , hili eneo ni kubwa km serikali itaamua kujenga Bazaar moja kubwa bas bila shaka serikali itaingiza pesa nyingi.sana kupitia kwa wafanya biashara kuwakodisha milango.
@muliksuleiman1633
@muliksuleiman1633 3 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah
@alimakame5645
@alimakame5645 3 жыл бұрын
Haya ndio maendeleo ya Zanzibar kuwahangaisha na kuwatesa wafanya biashara wadogo wadogo lakini ukiuangalia mji kila siku upo vile vile.
@suhamdistributors5934
@suhamdistributors5934 3 жыл бұрын
Hongera nakukubali
@shebyboy2809
@shebyboy2809 3 жыл бұрын
Ww mkubali
@rmssydina1157
@rmssydina1157 3 жыл бұрын
Hilo eneo ikiwa halikuwekewa strategic basi watawez kurud na hata kuona kama wamenyanyaswa inabid ichkuliwe hatuwa za haraka kuwekwa good infrstrction
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
Inshalla
@josej9888
@josej9888 3 жыл бұрын
Panda maua wekeni uzio kazi imeisha.
@yasminjuma663
@yasminjuma663 3 жыл бұрын
Ni vizuri mtu kusifiwa. ???Kama Raisi wetu hajisifu lkn sisi wananchi wake tunamsifu na kumuombea dua.
@binzid9046
@binzid9046 3 жыл бұрын
Ni jambo zuri kbs
@khuwaylidsalum6697
@khuwaylidsalum6697 3 жыл бұрын
Ktv jitahidini kwenda na mazingira halisi juu ya munaowahoji wajue lugha wanazotumia zifahamike na sio lugha mseto wengine hatujui lugha ya kiingereza ikiwa munaemuhoji ni lugha yake ni kiswahili tunashindwa kufahamu maneno mengine na hakuna ulazima wa kuchanganya lugha aamue moja aidha kiswahili au kiingereza. Ni ombi tu au ushauri!!!!
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Apo safi angalau hee kulikuwa kuchafu hutambui mjini wapi
@fatallyomar1476
@fatallyomar1476 3 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@mrbnaid5447
@mrbnaid5447 3 жыл бұрын
Poleni
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 3 жыл бұрын
Safi sana mh mk umeongea point sana
@yunusali7617
@yunusali7617 3 жыл бұрын
Safisana mkuu nakubali kazi tupo pamoja utendaji wako hatuna mashaka nao tunakujua mkuu.
@mundhiribrahim6292
@mundhiribrahim6292 3 жыл бұрын
Mm naona vitukama nguo nidarajani kibanda maiti nivitu kama mbogamboga fikirieni bizuri viongozi wetu munge wapa kiwanja karibu na darajani
@khamisihaji2905
@khamisihaji2905 3 жыл бұрын
Sawa sawa baba uchumi blue hata bando ndio baba watieni bakora
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Zanzibar kuna maua ya kila namna hebu pandishesi maua mji utakuwa mzuri mandhar yake. Jamani tunashindwa na Nchi za njee utaona mtu anaishi kwenye nyumba ndogo lakini njee mlangoni kweke kapandiaha mauwa. Mji unapendeza. Na sisi tufanye...
@mmadiausiy9810
@mmadiausiy9810 3 жыл бұрын
Sawa wache tuone kama kazi au majigambo tu
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 3 жыл бұрын
Leo umeonGea fact sana ukiwa jeuri tunakuhesabia miezi ugongo utakuita
@salummussa1139
@salummussa1139 3 жыл бұрын
mh kweupeee
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Kweli mana walikuwa wanaweka uchafu to toka hapo majumba yate machafu na majumba mabovu machafu munashindwa hata kuyapaka chokaa aibu kweli hasa munakera serekali
@aaahadventures4214
@aaahadventures4214 3 жыл бұрын
Keep on doing this... Hii nchi isifanywe Ghetto..
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 жыл бұрын
Badae miezi miwili wataondoshwa hii ndo Zanzibar
@awadhtevez2918
@awadhtevez2918 3 жыл бұрын
Mambo lazima yabadilike watu wanatakia waache haya mazoea yakufanya vitu kienyeji enyeji biashara ipo sehemu yoyote la msingi ni kujengewa mazingira mazuri yabiashara sio kila jambo muhisi km mnaonewa tuu
@zainababdullsadik1247
@zainababdullsadik1247 3 жыл бұрын
Boraaa akaaa kama ulikua uchafu
@aminamasoud6059
@aminamasoud6059 3 жыл бұрын
Subhanallah
@nassirkhalid428
@nassirkhalid428 3 жыл бұрын
Sasa mbona hao vokosi mliowatuma wawaondoshe hao wafanya biashara wadogo wadogo wanaoweka vitu vyao chini, mbona wanatusumbuwa mpaka sisi wenye maduka pale, ambao sisi tunalipia kodi za kila zote.
@smithjones4099
@smithjones4099 3 жыл бұрын
bandari pia ipelekwe shamba
@rahakesho5550
@rahakesho5550 3 жыл бұрын
Dah na ssi kusafishwe kkoo watafutiwe sehemu pazuri wizi upungue.
@zahorsalum663
@zahorsalum663 3 жыл бұрын
Kwani huomji mnao zanzibar.???au nikusema tuu.
@ahmedomar804
@ahmedomar804 3 жыл бұрын
Jamaa Anasema vyombo vyake
@jumafundi2871
@jumafundi2871 3 жыл бұрын
Huko kibandamsiti kukishakua kuzuri tu na kutulia mutawaprlekea manispaa nakama hamuamini wekeni kumbukumbu hii ndiokawidayenu.
@khalidtvoloenali1117
@khalidtvoloenali1117 3 жыл бұрын
Masikini masikini t2 ata afanye nnn hana chake
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Maskini wanataka kuongozwa wasiachwe kuishi kwenye umasikini...kwenye maisha yao yote... Mambo kidogo kidogo na wao wenyewe watafute maendeleo na Mungu atawasaidia.
@aishasaid6749
@aishasaid6749 3 жыл бұрын
Pandeni maua ya bustani papendeze na hayo majumba yapakeni japo chokaa
@salfatvonline4930
@salfatvonline4930 3 жыл бұрын
bado wapo ukifuatilia channel yangu kesho nitawapiga video muwaone
@eenpaard3915
@eenpaard3915 3 жыл бұрын
Darajani turejesheni standdddddd
@abassking8296
@abassking8296 3 жыл бұрын
Umesema kweli darajani stand irejeshwe mtu kwenda bandarini mtihani
@maryamhassanameen1790
@maryamhassanameen1790 3 жыл бұрын
Walah waturejeshee kulikua senta wanatutesa kwel walah waturudishie haswaa
@omarhusna1766
@omarhusna1766 3 жыл бұрын
TUME furahi sana kwani walikua Wanakera na kusumbua sana umefanya la maana sana muheshimiwa
@khamisihaji2905
@khamisihaji2905 3 жыл бұрын
Baba wiki kidogo mwezi ndio
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Sasa umo jengeni wekeni sawa ekeni pustani
@amanmohd9435
@amanmohd9435 3 жыл бұрын
Huu upumbavu wakuwasaidia wanyonge mmeutolea wapi wewe IDRISA KITWANA .
@sharifaabdallah2248
@sharifaabdallah2248 3 жыл бұрын
Acha maneno machafu khaa hampndeki
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 3 жыл бұрын
Kesho kutwa wanarudi hapo hapo
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Subutuu...
@modricseif1018
@modricseif1018 3 жыл бұрын
Darajani pia kunaleta kero kwa wakaazi? Kibanda maiti hakuna biashara, kila kitu ni mjini
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Hakuna sehemu ambayo haina biashara labda kuwe hakuna w2
@aliabdalla9297
@aliabdalla9297 3 жыл бұрын
@@zaytunhijja6771 lakin itachukua muda hivyo kwa kipindi hichi bora wangeachiwa angalau ikamaliza ramadhan na biashara ni eneo ambalo lina mzunguko wa watu wengi kama hakuna watu hakuna biashara
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
@@aliabdalla9297 Inshallah ALLAH awafanyie wepes waweze kukimu mahitaji yao
@modricseif1018
@modricseif1018 3 жыл бұрын
Kikubwa kinachotakiwanna wazanzibar maa hasa wafanyabiashara wakubwa na wadogo, serekali ijenge vizur stand nankuleta muenekano mzuri, waache watu wafanye biashara ma hasa wadogowado, kubwa wasimamie t usafi
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
@@modricseif1018 Swadakta
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 3 жыл бұрын
Kumbe Una vyombo vyako
@khamissalum8906
@khamissalum8906 3 жыл бұрын
kumbe sio pekeyangu niliyosikia hilo 😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Serikali ni lazima iwe na vyombo tena vya kutumia nguvu ikibidi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 жыл бұрын
Serikali ni lazima iwe na vyombo tena vya kutumia nguvu ikibidi.
@khamissalum8906
@khamissalum8906 3 жыл бұрын
@@hajihassan5433 ila sio vyake ni vyetu.. yeye hapo kasema vyombo vyake.. ndo mana tumekuja kucomment
@khamisihaji2905
@khamisihaji2905 3 жыл бұрын
Munapachika mpaka kwenye milango na madirisha ya watu bora tena hapo kibanda maiti ni karibu mulikua mupelekwe kibele huko na njoni tena makaumakuu muandamanane tena tunawakaribisha.
@jumafundi2871
@jumafundi2871 3 жыл бұрын
Kawapelekewewe huko utakako wacha kiburi au wewe niwalemazombi rohombaya?
@aliymuhammed2240
@aliymuhammed2240 3 жыл бұрын
Mji unaekwa safi ramadhani tu upumbavu mtupu
@rashadalharas4080
@rashadalharas4080 3 жыл бұрын
Heko kiongozi Allah azidi kukupa busara na akulinde
WANANCHI ZANZIBAR WALIA NA DK SHEIN, HII NDIO SABABU
6:50
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 17 М.
BIASHARA YA KUJIUZA MWILI INAYOLETWA NA WAGENI ZANZIBAR
5:49
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 10 М.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,3 МЛН
Why Spain's Socialists are U-Turning on Immigration
10:51
TLDR News EU
Рет қаралды 164 М.
AGIZO LA "DKT MWINYI" LAIBUWA FURAHA KATIKA MJII MKONGWE ZANZIBAR
6:26
JIONEE JINSI ZANZIBAR SASA INAVYOKUA KWA VIWANDA
4:06
Karafuu Media
Рет қаралды 10 М.
TAZAMA HILI ENEO HATARI KWA WANAFUNZI WETU HAPA ZANZIBAR
6:00
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 7 М.
JENGO JIPYA LA BENKI YA WATU WA ZANZIBAR SI LA KAWAIDA
4:06
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 8 М.
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН