Nilikuwa darasabla pili movie hii inatoka now 2024 naingalia Tena Yani ni nzuri kwa kweli
@JabuKishoka5 ай бұрын
Kama mimi pia nilikua la pili
@ramadhanimpapalika71314 ай бұрын
Umeshaolewa sasa???
@zuphermuhidin56414 ай бұрын
Mimi nilikua na mwaka mmoja 😂💔
@khansaabakar93374 ай бұрын
Mi pia nilikuw class 2 Nyie 😂😂😂😂
@edwinjohn63342 жыл бұрын
Kutoka 2003 mpaka tunao angalia 2022 bado tunacheki filamu hii tujuane hapa kwa like
@fettymsuya7765 Жыл бұрын
Nikiwa darasa la 4 siyo poa
@leticiajohn3114 Жыл бұрын
MUNGU ANA PENDA BADO TUENDELEE KUISHI NA KUTANGAZA UKUU WAKE DUNIANI
@AzizaJuma-p7x3 ай бұрын
Yaani riyama mfogo
@aishahamis16093 ай бұрын
Tupooo
@ibrahimconte6012 ай бұрын
tupo 2024 na tutaendelea kuwepo
@twalibndauka14513 жыл бұрын
Dada Riyama nakukubali hii movie umeitendea haki dada hongera Sana.
@furahambuya18614 жыл бұрын
Daaaah hii move niliitafuta mpaka bas nashukuru kuikuta tena.
@abdallahamad8554 жыл бұрын
Da mumetisha san mumetukumbusha mbali sana bigap kwenu
@gracekayumba-z9l4 ай бұрын
Leo 2024 mwez 9 ndo naitazama tena nakumbk mbali kweny banda 50 watot 100 wakubwa ,,,Zamani waliinvest sana kwenye sanaa ingaw hawkupata mafanikio kivile magar wanabadilisha siy sasa ukimwn na gar hili ndo hil hilo mpak mv kuish
@aishal19534 жыл бұрын
Jamani kitambo sana nilikuwa naitafuta hii movies tuwekeeni Na My darling
@yvesyveldinhomzee.56822 ай бұрын
Fungo lakukosa Mussa banzi umekua unapanga movie vizuri sana ♥️👍🏻
@miltonmachage24624 жыл бұрын
Hawa jamaaa wanajua kuigiza ya hatuzichok kuangaliaaa
@nassorhaji26374 жыл бұрын
Daaah safii sanaa..nilikua darasa la 2 ..2003 hii kweli old bongo movie
@Jescajosephat-w1c5 күн бұрын
Tunao angali 2025
@martinswai80313 жыл бұрын
Riyama ni Legend, ajengewe sanamu pia
@naimasaid77634 жыл бұрын
Niliitafuta sana hii movie baada ya kuangalia kipindi cha salama na Riyama Niliitafuta hii movie bila ya mafanikio, lkn nashukuru leo hii mmetuletea asanteni sana Tunaomba muendelezo
@aishanatamaniningekuepoktk50624 жыл бұрын
Na mm pia nimeitafuta sana ata leo naiyona nimefurah sana
@celestinanile75514 жыл бұрын
👍
@bintsaid37303 жыл бұрын
💕💕💕💕👍
@AngelNakapila5 ай бұрын
❤
@wizerepamella576210 ай бұрын
Kutoka 2003 mpaka tunao angalia 2024 tujuwane apa
@neemamnanga9 ай бұрын
❤❤❤
@NeemaMwita-g1j4 ай бұрын
Watu mmezeeka 2003 ndio Nina miaka 2😂@@neemamnanga
@SophiaYasini-w7oАй бұрын
Tupo😅
@NajjatySaid3 ай бұрын
Niliwaikuangalia miaka mingi niliipenda sana adileo mnaipendaaaa
@sleimanmkubwa13123 жыл бұрын
Haaa! Jmni mm 2003 ndokwanza nakaumli Wa miaka 4 ata shure sijaanzaga hadi rleo talehe 4/3/2021 give up hongeleni
@RichardRikamupe8 ай бұрын
Wenye tukohapa 2024 tujuane kwenye like tafazali nawaomba kutoka Congo drc
@aishamatangamatangamatanga13443 жыл бұрын
Daaaaa move ya zaman sana nilikua darasa la kwanza
@obedimwakagali77554 ай бұрын
Toka 2003😅Ina trend 2024😅
@nelisonshirima-ib5hl Жыл бұрын
Hii movie niliiangalia Mara ya kwanz 2005 nikiw LA sits move ya 2003 sasa 2023 naiangalia move za zaman zilikuwa nzuri sana walikuwa wanajituma wanagharamkia mno tofaut na sasa hongera riyama huzeeki we ni wa zaman but you look beautiful till now
@hamidarizikimohammed57334 жыл бұрын
Yaani we ulioeka hi I movie nakupa hongera mno nmeitafta mpaka nmechka asante sana
@ChitindiAmidu8 ай бұрын
fungu la kukosa
@suleimansalim87444 жыл бұрын
Ahsanteni naamin yupo riyama mambo ni moto wameeka baada ya interview ya salama na riyama part two wapendwaa basi
@richbird.1233 ай бұрын
Lkn wanawake wa zamani walikuwa wembamba sai dah
@hilalijafari74054 жыл бұрын
Filam ni nzuri enzi hizo riyama alikuwa mwembamba
@amoremio69853 ай бұрын
Jamani hii movie nzuri mpka leo
@Njenjekakoso3 ай бұрын
Tupo hapa zinafundisha sana hiz movie
@LucyAugust-f7u3 ай бұрын
Kipind cha Liama jaman tunaoangalia mpaka Leo 2024 mikono juuu inafundisha
@michaelmbatayaanikanumbani60664 жыл бұрын
Dah kiukweli uyu jamaa ana moyo wapekee sana japo kwa sasa hakuna mwanaume atakae beba majukumu ya kuudumia mtoto ambae sio wake kiukweli hapa kwa akina dada inabidi wajifunze jambo kwamba wasichague wanaume na sisi pia vijana tujifunze kitu kupitia filam hii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Inauma sana kiukweli
@neemacharles22418 ай бұрын
Tunao Angalia 😂 hii fungus la kukosa tujuane Toka 2003 mpaka 2024 jamani 😅
@Mohammedyasia3 ай бұрын
Hahaaa mm
@lizybrian60974 жыл бұрын
Hongera kwa kuiweka hii movie aissee nmefurah,
@nas28004 жыл бұрын
Nikiwa darasa la tatu hadi saa hii na bado inanoga tu riama shikamoo asante kwa kutuekea umetukumbusha utotoni
@petromgaya18174 жыл бұрын
nimezikubari sana
@kulwashabani33284 жыл бұрын
Pamoja nami
@nas28004 жыл бұрын
@@kulwashabani3328 🥰🥰zama hizo ikianza tuu waambiwa mida ndio hiyo kalale
@Lizzah_Media2 жыл бұрын
Da nilikuwaga darasa la tatu enzi hzo kibanda cha video sh50 kuangalia hyo mikanda😁😁😁😁mweeeh miaka inaenda
@Gift-kijiti6 ай бұрын
Mwenzenu ndio nimefika leo 2024 mwezi wa 7 tarehe 8 dhuu nimefrai❤❤❤❤ karibuni 2024 nakuendelea.........nawapendaga ❤
@nuruabdallah90314 жыл бұрын
Move za zaman mzuri sanaaa ....muendelezo jaman
@hilalijafari74054 жыл бұрын
Tuwekee kihongwe mzee wa busara party one na filam ya Marehem sajuki na wastara inaitwa vita
@salmasaeed93574 жыл бұрын
Na briefcase ya marehemu sajuki na wastara
@aminaabduli84474 ай бұрын
nice long time
@mohamedshineni2122 Жыл бұрын
Iko poa mpaka leo. Mafundisho yako sawa
@ChristineKesi-k9r5 ай бұрын
This is great movie l watched it 20yrs ago, nko kenya
@stanleynkane56663 жыл бұрын
Kipind hikoo anaitwa mama mateso, mdada mwenye machoz yakee kwasasa ni mama wa michamboo riyama ally
@Kalthoom-ru3mq Жыл бұрын
Kutok 2003 adi 2023 tujuan like
@Lumegilemukata3 жыл бұрын
Asante kwa kutuletea movie za kizamani🙏💚
@gloriambulingwe69342 жыл бұрын
Asante
@mauwarashid48234 жыл бұрын
mashaailaah.movie.tamu.sana
@naomikembo54942 жыл бұрын
Makerere hyooo mtoto siatamukaaa mm namuonea huruma mtoto2
@albertamos72854 жыл бұрын
Duh kweli movie za zaman ndo nilizaliwa Nina umri sawa nayo
@HarunaAbrahaman Жыл бұрын
Kitambo sana one of the best
@miltonmachage24623 ай бұрын
Hizi ndo movies zakuangaliaaa yan toka nikiwa mtoto mpk Leo
@slimmy.b15204 жыл бұрын
Dada riyama kipindi hicho ulikua msichana kweli ya mungu ni mengi
@marcomasanja90624 жыл бұрын
Movie za zamani ni nzuri sana, tunaomba ututafutie movie ya My darling (kifo cha penzi) alicheza Riyama ally . Lakini pia kuna movie ya comedy inaitwa Kanjibahi aliigiza marehemu mzee majuto, hizi movie hazipo kabsa you tube, tusaidie utuletee hapa
@beatusmhanuzi45584 жыл бұрын
Kweli kabisa nzuri sana,tunaomba na Sarafina ya kibongo,alicheza mshindo Jumanne na wasanii wengine wengi.
@joycekalago5322 жыл бұрын
Hiv ile aliyocheza mazoea na musa banz iliitwaje? Ni fake promise au unbroken promise naipenda ila siielew
@JoinaMilton3 ай бұрын
Mlangoni hili pazia si shuka hili😂,leo tar 30,9,2024 ndo naangalia baada ya miaka ming kusepa
@BabyulaJaneth4 ай бұрын
Dah kitambo san😅❤
@salmaalimusa5474 жыл бұрын
Riyama kalikua kaxuri Masha Allah bila mamek up
@frenkjulius1044 Жыл бұрын
Uk vzrii dada yetu jamn nakpnda saaan
@AlameiAlamri2 ай бұрын
Daah nna miaka minne kipind icho😂 2003
@dieudonnemasumbuko14044 жыл бұрын
Tunashukuru kwa movie hii ,tunahitaji maiti ya mwanangu, chozi la urithi.
@faudhiasalum72794 жыл бұрын
Riama jaman.. Nampend Musa banzi cjui yuko wapi sahv
@farouqjames95713 жыл бұрын
Unataka kumjua
@miltonmachage24624 жыл бұрын
Kuna filamu jmn inaitwa joanita jmn aneijua atusaidie
@twalibndauka14513 жыл бұрын
Ni bonge la filamu iyo.
@miltonmachage24623 жыл бұрын
@@twalibndauka1451 haipatikan kweny youtube xx nitaipataje
@rehemaseif17854 жыл бұрын
Movie za zamani zilikuwa nzur sana, tuwekee na kihongwe, mzee wa busara na pete
@augustinojonas58704 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali mzee Wa busara
@gracengunga1894 жыл бұрын
Uyo mtt atakua mkubwa saizi
@mahijamwwchaga78644 жыл бұрын
Nzuri filamu za zamani
@Shamsi-z5b4 ай бұрын
Nilikuwa dalasa la kwanza now nina mke
@IrenewillyMwenda6 ай бұрын
Niliiuw natambaa😁😁😁😁
@baimarrajahbuayan62374 жыл бұрын
Nzur Sana jmn part 2 please Twaomba Na harusi ya candy jamaniiii
@emmykisigelile44123 жыл бұрын
Jaman m naitafuta xana harusi ya Candy
@pastorrichardgama34727 ай бұрын
Movie walijua sana hii now 2024❤
@BongoZaKitambo554 жыл бұрын
Au Jitaidi Utuweke na Comedy Za Enzi Hizo Za Kina King Majuto, kingwendu, Chil na Ringo, Zimwi mfano Mume bwege
@augustinojonas58704 жыл бұрын
Muvi flani hivi amazing tamu sana
@shabanimaulidi1533 ай бұрын
kipindi hicho mim nipo darasa la 3 mwaka 2003
@rehemasahwi55304 жыл бұрын
Mastar wa enzi hizo jmn tamuuuuu
@SalmaChungu5 ай бұрын
Kumbesidi wa kwenye uba ndie halikua mamake yule mtoto sawaka
@Hajri188 Жыл бұрын
Tupo wengi
@JacqulineDaniel-h3w4 ай бұрын
Ila jmn wanajua kuigiza sio move za skuiz mapenz mwanzo mwisho
@BongoZaKitambo554 жыл бұрын
BOSS WEKA COMEDY YA KANJIBHAI ILE YA KING MAJUTO
@AshfainaNyakunga5 ай бұрын
Nilikuwa sijazaliwa
@lupandesimukindje81704 жыл бұрын
Tuwekee my darling na sikitiko langu
@fidesbenard28364 жыл бұрын
Mateso Ana umri gani sasaivi siatakua amekua
@prettyaysha78924 жыл бұрын
Hahahaha aki tena😅
@stevenjoshua1894 Жыл бұрын
Hiyi movi imenifulahisha kipindi hico,Bujumbura tumeipenda saaaaana.mpaka Sasa sijagoma kuiona.
@roseeliasi43394 жыл бұрын
Hadi raha kipindi hicho anaitwa Riyama hivi Sasa anaitwa Ryama hatariiiii 😜
@songatv89 Жыл бұрын
Naombeni like zenu
@vichekeshotv5260 Жыл бұрын
Tuwekee itunyama, safari ya chiku na kapili
@TrMesh72 ай бұрын
khaii was one year hii movie ikichezwa
@bonfacemarube6196 Жыл бұрын
Mara ya kwanza kuiona hii filamu nilikuwa miaka tisa.
@veronicapangaya20353 жыл бұрын
Thank you for uploading it. Please upload my Darling with riyama Aly about a blind guy