FURAHA YAREJEA|UTAPENDA MANENO YA HUYU MTOTO

  Рет қаралды 4,253

DTV

DTV

Ай бұрын

Пікірлер: 54
@AminaLibisa
@AminaLibisa Ай бұрын
Mmmh uyu mtoto ameniliza kwa kweli ana maneno ya busara kama mtu mzima mashallah ❤❤
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
Kaka fabie na team yako nawaombea dua kwa allaah ajitokeze mtu mwenye roho ya mapenzi na iman awanunulie gari kazi mnaofanya ni kubwa sana mbele ya allaah mungu atawalipa kwa kazi mnaofanya
@user-sh9jl2hx4u
@user-sh9jl2hx4u Ай бұрын
Ya ALLAH! Ipokee Dua ya mtoto huyu na kwa baraka ya Dua hiyo walipe mazuri wote wale wadau wa DTV Amin
@leylam2121
@leylam2121 Ай бұрын
Mashallah mashallah mtoto anamaneno ya hekma allah akujalie kila lakher mwanangu
@erinestangowi7785
@erinestangowi7785 Ай бұрын
Mama yetu msafi mashaAllah mpe hongera kwa usafi sio watu wengine unashida mbaka usafi wanashindwa kufanya usafi ni muhimu hatakama unashida wajitahidi usafi
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Ай бұрын
Mashaaallah Allah Awazidishie baraka tele katika utafutaji wa Riziki Tunayoiomba ni Furaha tuu
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu Ай бұрын
Alhamdulillah nashukuru mungu kwa wote mliyojitolea kwenye hii family hii mtalipwa mara mbili kwa mlichokitoa
@AwzaMstafa
@AwzaMstafa Ай бұрын
Nimefurahi sana mwanangu usome kwa bidii Mungu atakusimamia
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
😢😢😢😢mungu awalipeni wote mlie jitolea kwa ajili ya allaah
@fatumamasudi4963
@fatumamasudi4963 Ай бұрын
Mashallah kaka feiba na kampunu yako, Allah atawalioa kila lakhery
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
❤❤❤❤ mashallah hongeren fabi na Adam pamoja na wanaotoa misaada mola awazidishie mlipo mtoa awaongezee inshallah shukuran kwa kuongea furaha ya hii family
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
❤❤❤❤❤ninacho mpmpendea bibi nimsema kweli kwaungine mtu angesema nina umwa lakini yeye haseni uongo
@AAs-qw7fs
@AAs-qw7fs Ай бұрын
Masha Allah yuajibu vzr nimependa kwa kwel jmn❤
@tato8979
@tato8979 Ай бұрын
Kazi nzuri fabi mungu akubariki sana
@UmJibreel-fo2gr
@UmJibreel-fo2gr Ай бұрын
Mashallah Allah awalip Kila mweny amejitolea
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Mtoto anahekima mashaallah ❤❤
@Aminahlamranl420-hw2ie
@Aminahlamranl420-hw2ie Ай бұрын
Maashaallah huyo mtt yako vizr. Fab ,Adam na wengne wote Allah awalipe kheir
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤ Alhamdulillah
@user-uo3xz4do6l
@user-uo3xz4do6l Ай бұрын
Mashaallah ❤
@user-cb2us2nu2m
@user-cb2us2nu2m Ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI FABY
@user-yb6wh1bk9d
@user-yb6wh1bk9d Ай бұрын
Allah atakupa nguvu zaidi
@khadijasayeed3381
@khadijasayeed3381 Ай бұрын
huyu mtoto jaman anaongea kama mtu mzima hadi machozi yamenitoka❤️
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 Ай бұрын
Ni mdogo ila anajitambua Mashaallah, malezi ya bibi ni mazuri mno
@khadijasayeed3381
@khadijasayeed3381 Ай бұрын
@@zuhrazuhra637 Kabisa yaan kalelewa vzr sana
@azaniasaidi93
@azaniasaidi93 Ай бұрын
Mashaa'Allah mtoto mzur leo kafurahi ❤
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m Ай бұрын
Mtoto anamaneno ya busara mpaka machozi yamenitoke😢😢
@hyy4114
@hyy4114 Ай бұрын
Allahumma Ameen hbbty uliniliza sana nashukuru sana leo kuona umepata fraha
@munirasallim6450
@munirasallim6450 Ай бұрын
Kumbe huyu mtoto n msichana interview Ile nyingine nilimuona kma mvulana
@navioma4882
@navioma4882 Ай бұрын
Bibi ni msafi sana mashaa allha
@DativaMbowe
@DativaMbowe Ай бұрын
Aminaa❤❤❤❤ mungu akubariki ndugu mwandishi
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry Ай бұрын
Mashaallah allahumma barik mwenyzimungu ni mkubwa wallah kila alie toa alla amzidishie ameen
@SalmaSamiry
@SalmaSamiry Ай бұрын
Mashaallah mtoto anajua kujieleza vizuri Allah ambariki 😢😢😢
@JohanMwambage
@JohanMwambage Ай бұрын
Jamani mungu ni mwema nililia sana sikuile mtoto aliniliza asante mungu
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
Manshallaah bibi leo kaipata furaha kisha bibi aonyesha ni msafi ni juu maisha yanampiga lakini usijali bibi inshallaah huo ndo mwanzo
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Mwaambie awe anasoma dua kilasiku akiamka asubuhi najioni pia aswali sana ajitahidi
@omanmct135
@omanmct135 Ай бұрын
Aaallahmdulilah
@omanmct135
@omanmct135 Ай бұрын
Nimefurahi sana
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 Ай бұрын
MashaAllah na shule ya likoni
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Ай бұрын
Allaah humma amiin
@mariamissa4029
@mariamissa4029 Ай бұрын
mashaallah mtoto ananeno mazuri na hekma❤❤
@zuhrazuhra637
@zuhrazuhra637 Ай бұрын
Malezi ya bibi mazuri mno Mashaallah
@user-ft2vq5on6l
@user-ft2vq5on6l Ай бұрын
Wenye uwezo wanunulieni gari kaka fabi wanatembea sana kwa miguu
@user-fh8gh5ws5g
@user-fh8gh5ws5g Ай бұрын
😢😢
@fatuma5208
@fatuma5208 Ай бұрын
Mashallah ❤❤
@aishajuma7813
@aishajuma7813 Ай бұрын
🙏🙏🙏
@oman1oman179
@oman1oman179 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ manshallaah tabarakallaah
@khadijatanzania8040
@khadijatanzania8040 Ай бұрын
Yaan huyu wakiume kafanana na bibi yake balaa
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Ай бұрын
Huyo kaka akumpa lodi ya miezi minne ampe na ushaidi binadamu atuaminiki na pia watangazaji lazima muwepo ata kumlikodi kinyemela ili ushaidi
@dtvonline2099
@dtvonline2099 Ай бұрын
Amepewa pesa mbele yangu
@yusraahmed4414
@yusraahmed4414 Ай бұрын
Kaa fabi Kwa Sisi watu wa Kenya mchango wetu twatumana vipi?tafadhali naomba kujuwa
@dtvonline2099
@dtvonline2099 Ай бұрын
Safari com tumia
@halimasawa611
@halimasawa611 Ай бұрын
Number Ya kutuma mana me pia nko kenya nathamn sana kutoaa kidgo changu
@AsiyaahamzaHassan
@AsiyaahamzaHassan Ай бұрын
Ukiwa Kenya unafanya hv *840#
@fatumamasudi4963
@fatumamasudi4963 Ай бұрын
Mashallah kaka feiba na kampunu yako, Allah atawalioa kila lakhery
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 32 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 189 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 16 МЛН
MAMA SAMIRI APATA MKONO WA IDI | ANATEMBEA KWASASA
16:55
ujenzi unaendelea
2:12
Jiver Kasigara
Рет қаралды 1,1 М.
MASKINI DADA HUYU |SINA TUMAINI TENA|NISAIDIENI
16:18
DTV
Рет қаралды 2,1 М.
FAMILIA YA VIPOFU YAPATA MKONO WA IDDI
18:06
DTV
Рет қаралды 2,3 М.
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН