FURSA kwa VIJANA WABUNIFU, COSTECH YATANGAZA KONGAMANO KUBWA la SAYANSI na UBUNIFU DAR

  Рет қаралды 202

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

FURSA kwa VIJANA WABUNIFU, COSTECH YATANGAZA KONGAMANO KUBWA la SAYANSI na UBUNIFU DAR
TUME ya Sayansi na Teknolojia -COSTECH imeiomba Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kumualika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Muungano wa Tanzania Samia Suluh Hassan kushiriki kwenye Kongamano la Kitaifa la maonyesho ya Sayansi na Ubunifu linalotarajiwa kufanyika Juni 14-16 mwaka huu.
Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH Dkt. Amos Nungu ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kutambulisha uwepo wa kokangamano hilo litakalokuwa na kauli mbiu i'sayansi na ubunifu Kwa maendeleo endelevu' litakalofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
Dkt. Nungu amesema, Kongamano hilo ni mkakati wa Tume katika kutekeleza majukumu yake ya msingi kwa kuhabarisha umma wa Tanzania na Dunia kwa ujumla juu ya kazi zake na ushirikiano uliopo kati ya watafiti wa ndani na nje ya nchi.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 2
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@aronmwambapa5250
@aronmwambapa5250 Жыл бұрын
Good l' wait for it
COSTECH YATANGAZA FURSA KWA WATAFITI
8:08
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 219
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 16 МЛН
FULL VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM
10:49
COSTECH Wafanya Maonesho ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu
27:54
Global TV Online
Рет қаралды 2,1 М.
Vijana wa Tanzania wabuni mashine ya kuchakata mazao aina tisa.
1:29
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН