Рет қаралды 5,026
Fursa mpya ya Soko la Tangawizi imeanzishwa Mkoani Arusha kutokana na uwepo Kituo cha ukusanyaji wa Zao hilo kutoka maeneo mbalimbali hapa Nchini.
Upatikanaji wa Soko hilo la uhakika la zao la Tangawizi unatokana na jitihada za taasisi kilele ya TAHA inayojihusiasha na Kilimo cha Maua,Mbogamboga,Mtunda na Viungo kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleleo la Umoja wa Mataifa (UNDP),Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz