Рет қаралды 41
Jifunze kiingereza na Teacher Othman
📚 katika somo la leo tutajifunza jinsi ya kusema nitakuwa nime... kwa lugha ya kiingereza, pia tutaangalia jinsi ya kuuliza maswali na majibu yake ☑️#englishgrammertips #jifunzekiingereza #learnenglish