Hii ngoma ni kali sana, imebamba kinoma. kuhusu video naona niwaachie wengine wacomment. . . . .
@shukuruissa55252 ай бұрын
Nikaenda race sikushtuka kwamba huyu sio demu wa majina na material 😂😂😂 nako huna baya October 3 2024 tupo ndani
@zerochanneltanzania379711 ай бұрын
Moja ya kitu ili muua nisher ni Hii video. Tanzania tunachulia vitu simple sana Ila ki ukweli…tunaunafki wakuua.
@yahyasuleiman2729 ай бұрын
kivipi mzee
@gitrasolutions39976 ай бұрын
kweli kabisa
@gilbertmayani1369 Жыл бұрын
2023....still hitting like a hitter G nako the A town finest 💥🤟🤘🤜💪👍
@seniormussa82438 жыл бұрын
WEUSI kama mmeikubali hii Basi hamjui video nzuri,NISHER KATISHAAAA
@avithegbert90464 жыл бұрын
Namkubali sana
@fasanitztiri537111 ай бұрын
Light
@Ezekiel-rh2ni11 ай бұрын
Ile video ya nisher ilikuwa Kali jmn
@emanuelnicodemus117311 ай бұрын
Video mbovu bora ile aliyoshoot nisher sasa hiphop na hayo marangi ya kindergarten wapi na wapi
@valeriansixbert94288 жыл бұрын
Gnako warawara hapa umezngua am your number one fan acha nikuchane mzee umetupa dhahabu umefwata jiwe hanscana kazingua sana ya nisher iko dope man but kwa audio your a killer men video hii noooooooo ya nisher yessssss mara 10000000000000000
@mohamedkissima48938 жыл бұрын
aaaaaaam ma x wangu nawadis maaana ma x wangu wote walikuwa Rahisi, sikujua kutongoza kuwa ni ngumu like this,sikujua mi sijui kutongoza like this. alosto
@jogookichaa90638 жыл бұрын
bonge la ngoma, video c kaz yangu mi naskiliza muziki mzuri cpendelei vid
@gilbertkavishe66478 жыл бұрын
Really lyk that girl aliyecheza na chin bees.. Yuko charming, kacheza vzri with great mood na full confidence akicheza Kwa beat... Safii snaaa
@tinootinee58988 жыл бұрын
Hi video naona kama Hanscana ameifanya juu juu.. Au kapewa hela ndogo.. Ya Nisher kali zaidi..
@simonseyongwe8 жыл бұрын
eeeehe bhn eeehe kweli akuna play list kali bila WEUSII mr OG umetsha bro #shikamoooo
@BabzBabz-dt8pv8 жыл бұрын
waaaaaah!wara wara big up for tekng it to the next level ....hizi ndio vitu raia wanataka chali
@dismaschunguri13414 жыл бұрын
I love khalighraph Jones,octo, and kikg kaka but chin bees will always be my favourite in East Africa
@modyboas32828 жыл бұрын
UmetishAa kaka yupo mdogo wangu namuitagaa hili jina arosto basii haamin kama imetokeaa wimbo wa jinaa lake big up
@vicmassluodollar8 жыл бұрын
kazi safi loving it from Kisumu City Kenya
@darcoplanetkenya94443 жыл бұрын
Pesa otas baba 😂😂😂
@lwazimujuni50238 жыл бұрын
asanteeee Gnako........nimeikubali,,,,,,,,naomb upewe tuzo huu mwaka
@maduga91798 жыл бұрын
daaaaah alosto....bonge LA ngoma,,,kideo balaaaa naona ma dab kibao mixer ma whip Nene salute ......alostooooo
@allenvitalic2 жыл бұрын
2022 still a hit in my ear man, you guys should market your music further, this is very nice songs but marketing is low my Gs, i enjoy the hits by you guys
@mitterrandmomanyi6582 жыл бұрын
It's quite sad it hasn't reached a million views yet
@clemy154 Жыл бұрын
😊
@davidhanc57688 жыл бұрын
g nako umejishusha hii c vdeo ni mavi umejishusha hiki ni kama kipindi cha watoto show ITV pole sana
@gaitanprinceprince10198 жыл бұрын
Video IPO fresh hongera kwa kushoot kwa hanscana
@pagallohumphrey7228 жыл бұрын
Mkuuu video ya Nisher imekaa kizazi sanaaaa...hii imekaaa kitoto sanaaa ingekua kaifanya shilore ingekua kali sanaaa coz ime kaa ki mama mnooo
@ejaaysaleem6888 жыл бұрын
Video yaki kuma sana... mrudishie nisher mpunga wake G
@siaelykileopowerful10988 жыл бұрын
mi nlijua bongo fleva kumbe hiphop....respect nisher
@d-maxScarlageKe2 ай бұрын
wangapi tupo ku 2024
@salumkaporo77758 жыл бұрын
waliokosoa wengi wamekosoa kwa chuki sio kukosoa kitaalamu ingekua busara kama unakosoa kwa ajili ya kujenga ukasema kitu gani kibovu specifically na sio kusema video nzima mbovu sio kweli itakua unakosoa kama umekunywa kiroba mimi nimetazama zote ni nzuri sana kila mmoja ameweka utundu wake na ubunifu kwa uwezo wake kwakifupi zote nzuri sana
@LifeAbout_Hustler8 жыл бұрын
weusi brotherz nawakubali sanaaaaaa ila kwa hii mmepuyanga yaaaaani mme feli cio kitoto
@mettycodes59668 жыл бұрын
Nimekushushia respect man umezingua video hamna kitu bora nisha angesimamia
@lilianmollel53558 жыл бұрын
bby bby bby uuuh Arosto!! usiniache na Arosto
@dazedconfused55948 жыл бұрын
Asee hans rudi skul ukasome udirector upya man kama ulishasomeaga Ili wakufundishe tofauti Ya kudirect tangazo la tomato na track Ya hiphop
@frankgavana94488 жыл бұрын
be a nigga bob hanscana kakusea nn yeye n kaz yake penda mziki mzuri #lovegoodmusic #ihateteam team make our industry todrop down
@iamzillahx69018 жыл бұрын
msanii na director wote wana Arosto kwny hii ngoma yan imepoa saaaaaana,, salute kwa @NisherX hyu @Hanscana tupa kuleeeeee
@frankgavana94488 жыл бұрын
KUMA LAKO MAFUTA YA NYUMA WW TENGENEZA YAKO
@universalcreativestudio84888 жыл бұрын
wewe yako iko api?... ama ni laana za babu zenu?..... "wabongo bana"...
@halimaabdallah9567 Жыл бұрын
Where is luffa now😢?
@geopolitics948 жыл бұрын
hahaaa...bangi aliokula chin beez ni hatariii....
@goodlucklinusi3768 жыл бұрын
oh yeah! bonge moja la ngoma nimelikubali kinoumaaaaa!!! big up kwa kazi nzuri
@mpongweamed6028 жыл бұрын
Huyu ndio G.Nako ninayemfahamu..... salute Hanscana
@JacksonLazaro-v4q12 күн бұрын
ngoma kali sana 2024💥💥
@wibonelawalid82208 жыл бұрын
telling the truth umeiacha ngoma kali sana aliyo fanya @nisherx
@dazedconfused55948 жыл бұрын
ameacha dhahabu kafata jiwe
@saidikikoko8 жыл бұрын
mimi naona video ya hascan ndio dope kwa kwel dogo kashusha video nzuri kuliko ya nisher x labda challenge kwenye upande wa sound mixing hascan low quality wakati nisher kamix poa sana
@vasleyoutfity51579 ай бұрын
2024-2025❤❤❤❤
@rosekamau315 Жыл бұрын
2023 oyaaaaa wanachuga mambo ni yente always
@habibuanga3478 жыл бұрын
alafu video hii haiifikii ile balaa aliyoifanya nisher, hanscana nakukubali sana ila hapa umezingua
@mohammedsaalum99988 жыл бұрын
nimependa nilichokiona, ngoma kali video imetulia.
@hilalmohd89413 жыл бұрын
ngoma kubwa sana nipo na wanangu toka France wamekubali michano mbaya2021/06/7
@christianluvanga26738 жыл бұрын
uuuwiiiii hii sasa ni mazishiiii eeeh shikamoo hanscanaaaA
@skm11432 жыл бұрын
LANGA huyo wamekuja na libenz wanalisukuma halina mafuta😅😅.....
@alexmkumbo48318 жыл бұрын
Video nizuri nisher ila ile ya kwanza nimbaya sana Hascana shoot zake nzr ila story bado sio zuri sana
@Cmsemelwa8 жыл бұрын
muziki muzuri sana, nimeupenda. wote wameeeeeeuuuuuuuuuuuuuaaaaaaaaaaaaa. Arooooooooooooooosto
@ibrahimjuma7588 жыл бұрын
hii nimeipenda kwasababu ina hd ila s time nisher anazingua japokuwa ni drct mzuri shida nisha anamambo yaa ajabu ashawahi kuwazingua B.O.B
@Bongoyoungstar8 жыл бұрын
its fire kwa mic and more fire on a camera....dope work.
@frankuisso91318 жыл бұрын
Mchanganyiko wa rangi uko bye! Good work ...
@eansatale40618 жыл бұрын
Nisher's. Version is BOOOOOOOOOOOMB😍😍😂😂😂💃🏽💃🏽💃🏽
@hitmanhunter95578 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ndio ndio ndio mum... sasa vitanda kama tupo dormitory bhana... rangi za kindergarten zimetumikaa...
@zumainc72298 жыл бұрын
yeah nisher kaitendea haki booooom
@kapembaali74303 жыл бұрын
@@hitmanhunter9557 p
@kapembaali74303 жыл бұрын
@@hitmanhunter9557 zazzp
@godfreykiama19308 жыл бұрын
Nakuapia this is hit song...much respect to bees kwa ragga iliyosimama...am predit his gud music future...
@mahamudmhawi56358 жыл бұрын
Nice video sasa TZ tunazidi kuwa juu for nice videos
@mahamudmhawi56358 жыл бұрын
Sio video nzuri kwa ajili ya tomato ni uboreshwaji upo njemaaa lakini....
@SweetAniimal8 жыл бұрын
huyu cheen beez anakosa management nzuri tu lakini ni kichwa flan amaizing kwenye hii new generation music
@heriagripa78438 жыл бұрын
+Sweet Animal jamaa ni mkali asee sema management tu
@valentinetesha79158 жыл бұрын
Acheni ufala wa kishamba nyie hii video ni Kali sana kuliko ya Nisher kwanza ile imepoa kinoma yani ila hii ni noma ila watu chuki tu sijui...BigUp HanscanA for this
@hellyinechriss514611 ай бұрын
Naon hujui kutazama nisher katishaa
@40kstore2 жыл бұрын
Nimerudi 2022 bado ni Hit hili dude 🔥🔥🔥🔥
@brynamran93368 жыл бұрын
kazi nzr hyo ya hanscn Broo god video god music
@introvertideas37138 жыл бұрын
Video chenga sana hiyo.....marangi rangi mengiiiiiiiii.........kama ile ya oskido na vitoto vyake.....Nisher u good bro....Hanscana mtafute Nicki Dizzo au Adam Juma akuelekeze hizo....ushachoka sasa kama Yebo yebo.....Buuuuuuuuuuuuuu
@mafitalujuo38308 жыл бұрын
video ya hyu chalii ni kali..mekremu hiphop lazima iwe giza na bastola tu...hapa watu wanakula raha kwa playground na watoto wazuri...seems legittt
@evancerwamugata10642 жыл бұрын
Chin Bees killed the hook🔥🔥🔥
@richardkazungu15198 жыл бұрын
nenda inst ya nisher uone final edition ...kali balaa..hansca badoo kk
@TygerPixels8 жыл бұрын
#kwenda kwenda dar sana umeanza kuwa bishoo G
@edsoncavan42908 жыл бұрын
Chali hataree ile kinoma #Arosto
@matamba168boy88 жыл бұрын
G nako kaka unazingua kwa audio nikili lkn kwa upande wa video kwa hanscana umezingua. rudi kwa nisher ukamalizie kazi kwa Nisher ametisha sana japo kazi ilifanyika kwenye mazingira magumu. Bro uclewe cfa na umaarufu heshimu kilamtu
@tammugawe68067 жыл бұрын
Wow I have been looking for this song but God has sent it to me
@officialtiger47229 ай бұрын
2024 Let’s Gooooooooooooooo🫥
@universalcreativestudio84888 жыл бұрын
wapenda vya bure "kama unapenda vya bure basi kueni mashoga... hahahaha respect nay wa mitego" amna kitu apo... tustafutane jamani... ni mtazamo tuu....
@alibinali_2 жыл бұрын
🔥 📛 goma kali sana
@octaviansilvester80367 жыл бұрын
vídeo Kma bday party..... nisher ndo kauwa..... hanscana back off 2.....
@mussahamadi97848 жыл бұрын
tambala hili ni hatari..... bless up?
@idrismagodoro47618 жыл бұрын
Kwangu mimi hanscana ni director bora kuwahi kutokea kwa tz hii. no one like hanscan tz
@geogambi14608 жыл бұрын
kazi za hans huwa ni nzuri, bt nimeicheki na ya nisher kwa upande wangu ni bora kuliko hii,
@jerryzedon96428 жыл бұрын
asee video ya nisher ndio kali sana kwa hii mmeharibu majamaa..
@shaphyvuai68057 жыл бұрын
daaaah lufa aaaaaaa ndio nini bit izo utauaaaaaa
@angedizzle18 жыл бұрын
Huyo China Bees ni Mgodi unaotembea
@kingmaina11518 жыл бұрын
Kali kuliko ile ya kwanza hii ndo video...
@dennondech55002 жыл бұрын
Keeping it hot like a frying pan🔥🔥
@habibuanga3478 жыл бұрын
weusi mmezingua bhana!! niliwaonaga wastaarabu alafu nikahisi mnajielewa kumbe masnitch tu.. mpeni basi nisher mtonyo wake!! aisee mkimzima jamaa hela yake mi sio shabiki wenu tena.. snitches
@gadysonbaita67798 жыл бұрын
video ya nisher imekaa poa na kihiphop zaidi tofaut na hii iko kama tangazo la tomato sauce
@mbesherejoh42198 жыл бұрын
We ndo unajua mziki sasa ila video ya mwanzo ilikuwa kali Sana ukiichek kwenye nhd
@emmanuelmwakalinga19718 жыл бұрын
+Gadyson Baita kudadeq..kacheki ooficial video aliyo upload nw nisher..hahahaha hapa weusi mpe potea hii video ya tomato
TWENTY TWENTY FOUR STILL THIS HIT ON MY MIND BIG UPS TO MY Gs Chin Bees & G Nako❤🔥
@lwazimujuni50238 жыл бұрын
bt rud kwa nisher hhiii video mbovuu balaaaa
@mgundamalinda60324 жыл бұрын
Who what this in 2020
@AlvinAllan8 жыл бұрын
Now this video inaeza...big up on this one.
@nakuambiaukweli32428 жыл бұрын
jamaa video imekaa kidemu+kitoto hahahahah......pale mgumu anapoigwa swaga za nickminaj....video queens wana vitambi alafu watu wazima....hahah nick hilo jimama ni noma
@pascalmsuyajr.79803 жыл бұрын
Hii ngoma ilibamba 🔥 🔥
@kelvinmartin53023 жыл бұрын
Sana chalii
@jamesmachibyamaganga52018 жыл бұрын
hascana what have did in that videi broo????Nisher big up mkubwa.G release hela ya watu kumbuja wewe ni org.
@kamisiabdul48338 жыл бұрын
nisher katisha hanscan akasome g you may beleave
@swangaconsciousmindtz8 жыл бұрын
kazkaz mzeee nakubalii....
@greatest_of_africa2 ай бұрын
😁2024 napuuzi wake leo mtoto kapotea🙌
@SangyLive8 жыл бұрын
duh! sikuona hii video.. real bro video mbovu, kavu ya kawaida sana... nahisi ilifanyika tu basi video na Audio ya Arosto nayo ipate video...
@jacksonvincent58468 жыл бұрын
Nisher yuko. fanya video ya Nisher iwe official #G_nako
@lovelyheaven20278 жыл бұрын
Good audio asee about video nilidhani sasa weusi wataanza kwenda level za don bother constantly lakini sio mbaya zote mbili
@tihunelson76988 жыл бұрын
Hii video nyingine dope kuliko ile ingine
@sirgomahojoa9696 жыл бұрын
G Nako nakukubali jamaa goooooood job
@edmundisaack69028 жыл бұрын
Video mbaya ile ya nisher kama angeifanyia finalized ni bonge la kioo ila apo mmchemka marangi rangi kama shule ya watoto
@jaystar10048 жыл бұрын
hapa kuna utofauti sehem 1 tu.....video ya #NISHER nzur bt haina #HD hii ya #HANSCANA mbovu ila ina #HD
@tatuhamisi20494 жыл бұрын
2020 inabamba sana J nako 2ma mzigo kama uwoo Tena upate kuishi miaka yote Usi2ache na alostoooooooooooooooooo