Gachagua awataka vijana kumpa rais muda wa kutimiza ahadi alizotoa

  Рет қаралды 36,408

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaka kundi la vijana la Gen Z kuwa na subira wakati Rais William Ruto anatekeleza mabadiliko kwenye serikali ikiwemo baraza la mawaziri. Hata hivyo, kiongozi wa chama cha DAP - K Eugene Wamalwa ameshikilia kwamba hatajihusisha kamwe na serikali ya rais William Ruto.

Пікірлер: 99
@Kipash
@Kipash Ай бұрын
We GenZs said we wanted whole Cabinet sacked for Good. Sasa Kindiki, Duale, Wahome, Chirchir etc stand rejected.
@enaz283
@enaz283 Ай бұрын
Run for the post of presidency in Kenya...aacha nyeff nyeff..ati una advice Ruto??😢😅
@KELVIVKIPKEMOI
@KELVIVKIPKEMOI Ай бұрын
​@@enaz283 bro tell him the hell does he think he is
@Kipash
@Kipash Ай бұрын
@@enaz283 Clap for yourself.
@AnnChebet-u9h
@AnnChebet-u9h Ай бұрын
Very ready for Tuesday 😂😂😂
@mjmutisya3312
@mjmutisya3312 Ай бұрын
Vijana kaeni ngumu. Don't retrieve. Keep the pressure on
@MA-ht7po
@MA-ht7po Ай бұрын
Sawasawa joho sio mwizi,naipenda hiyo
@brendawafula6592
@brendawafula6592 Ай бұрын
Tukutane Monday same time same place we don't want Kindiki ,,Duale,,Wahome,,Chirchir
@user-eu1pq2fb9x
@user-eu1pq2fb9x Ай бұрын
Tupatane Tuesday kama kawa
@InfiniteIgris
@InfiniteIgris Ай бұрын
We ni kama huna kitu ya maana kufanya.. Let's give it a rest kiasi tuone kama Kuna progress cause tunafaa kuangalia pia state ya country..Kuandamana Si kama kazi ya kila siku, Kuna more important things za kufanya brathe
@user-eu1pq2fb9x
@user-eu1pq2fb9x Ай бұрын
Are you gen z
@InfiniteIgris
@InfiniteIgris Ай бұрын
@@user-eu1pq2fb9x of course bro
@oumacalvin4756
@oumacalvin4756 Ай бұрын
Hon Eugene Wamalwa ako sawa
@viralkenyan6249
@viralkenyan6249 Ай бұрын
"Joho sio mwizi". 🤣🤣
@sellyraps2057
@sellyraps2057 Ай бұрын
Watu wamekaa Kwa serikali wakati wa Moi hadi sai kwani hakuna vijana wenye wamesoma. Ruto hakuna siku utawaiskia sauti ya wakenya
@DavidMessi-h9c
@DavidMessi-h9c Ай бұрын
@@sellyraps2057 kusoma sioupate kanzi, kubaki alidai hata nyumbani kwenu kunakanzi, niwangapi wamesoma Ila wamejiajili?
@AnkoLolo-mv5bk
@AnkoLolo-mv5bk Ай бұрын
Huyu mama mzee wamalwa Nani amesema ana takikana na serikali
@MikeJohn-hk6td
@MikeJohn-hk6td Ай бұрын
Hii si nimatusi surly
@wilsonkinyua2154
@wilsonkinyua2154 Ай бұрын
Mama ni wewe njinga hii can yu c Kenya is going wrong direction through corruption and tribalism,just think mama mzee wewe
@tatujuma8781
@tatujuma8781 Ай бұрын
Sio vizuri...shame on u
@phylisboat6726
@phylisboat6726 Ай бұрын
There's something seriously wrong with our moral fabric. That's why someone like you feels so comfortable to write insensitive comments about someone else. You are not only insulting Eugene but also the entire female gender! Same reason why we are comfortable electing corrupt leaders because we are just like them! All of us need serious introspection before we attack these leaders because they are a reflection of our moral standards!!
@DavidMessi-h9c
@DavidMessi-h9c Ай бұрын
@@AnkoLolo-mv5bk sula Kama nyani, Hana hata wafuasi.
@alexomari6081
@alexomari6081 Ай бұрын
Noo kwanza gashagua n mtoto wa moi sababu sura hata wakikuyu wameanzaa kushutuka
@evansogutu4167
@evansogutu4167 Ай бұрын
Inafaa amwambie Raisi vijana wanataka nafasi za KAZI kwa Baraza lako mawaziri
@user-gv1sw7zf5d
@user-gv1sw7zf5d Ай бұрын
Mabadiliko ya mauaji 😢 Ruto jiuzulu
@sabasabinibinsaba356
@sabasabinibinsaba356 Ай бұрын
Muda zaidi wa kupora na kuchagua vibaraka baadala ya wachapa kazi bure kabisa!!!
@drjuniordurete422
@drjuniordurete422 Ай бұрын
Karungo senator huko sawa , Gen z wakireject serikali inafaa itii.
@lemonlifes8515
@lemonlifes8515 Ай бұрын
Ruto hawezi kutimiza ahadi yoyote, hata apewa miaka miamoja akiwa madarakani. Uwongo umeshaingia hadi ndani ya mifupa yake na uwongo ukifika kiasi hicho ahadi hawezi kutekeleza
@AMSDriver2
@AMSDriver2 Ай бұрын
Tuesday ndiyo siku kuu
@wilsonkinyua2154
@wilsonkinyua2154 Ай бұрын
This man gachagua is a man who plays with people minds,now he has a military chopper,he has now changed tone from a man with no voice,to a man with voice for Ruto
@antibiotic7238
@antibiotic7238 Ай бұрын
And 2027 the Kikuyus will vote for ruto in large numbers than before.Kikuyus are the problem we are facing now
@Wekeaudi-hc3cp
@Wekeaudi-hc3cp Ай бұрын
Tuesday reloded, no turning back
@ntegrity277
@ntegrity277 Ай бұрын
Wamalwa hana maana yeyote
@moshenefm
@moshenefm Ай бұрын
Yes dad, let's meet on Tuesday 😂😂
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Ай бұрын
😂😂😂Mutaanyooka tu Round hii Tumbo zenu zimeja kiburi 😂
@DavidMessi-h9c
@DavidMessi-h9c Ай бұрын
Uyo anawafuaji wangapi sula Kama ngorila
@wanjirumungai3912
@wanjirumungai3912 Ай бұрын
Matusi inakusaidia nini? Hapa ulaya tunaitwa tunaangaliwa kama ngorila sote waafrika tembea dunia muone mengi nyinyi gen Z.
@hamisimzara1698
@hamisimzara1698 Ай бұрын
@@wanjirumungai3912mshamba uyu kila muache
@DavidMessi-h9c
@DavidMessi-h9c Ай бұрын
@@wanjirumungai3912 Hanamaana, manake Kila kitu anachakifanya ruto inaonekanika ciyo, watu wakawaida Dio wanaumia, vijana wanakufa, wakati watoto wao wako ulaya.
@AnnChebet-u9h
@AnnChebet-u9h Ай бұрын
Let's see those mp who will vote for the rejected CA,S alafuu watapata salamu moto moto 😂😂😂
@thomasronoh539
@thomasronoh539 Ай бұрын
God love Kenya we will not go Sudan way .....
@Justus-ch4bg
@Justus-ch4bg Ай бұрын
HUYU WAMALWA NAYE SIMPENDI, NA ANAPENDA SANA KIKI
@resusmugithimusic
@resusmugithimusic Ай бұрын
even if all competent ministers can come from one family and serve in honor..nobody cares, we care about competence na sio kutoka mahali Fulani.
@rosewambo1158
@rosewambo1158 Ай бұрын
Ruto must go with all this 🐖
@noahson7164
@noahson7164 Ай бұрын
No more negotiation,Ruto is mocking us
@braniceadika5077
@braniceadika5077 Ай бұрын
No way why is he recycling people
@ianmuthaka1912
@ianmuthaka1912 Ай бұрын
RUTO MUST GO!!!!!..........
@FrancisAudi
@FrancisAudi Ай бұрын
We want change in government
@josephmudaki5443
@josephmudaki5443 Ай бұрын
Anguka nalo😅
@enaz283
@enaz283 Ай бұрын
Who is eunice wamalwa in this country??😅😅😅
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 Ай бұрын
Who is Gakagua?au yeye ndiye spoksman
@christine848
@christine848 Ай бұрын
NO!
@el-roiwingstv3909
@el-roiwingstv3909 Ай бұрын
Kwanza huyo Eugine ndio hatukutaka aingia serikali kabisaa afadhali amekataa
@briodiaz-qv1iv
@briodiaz-qv1iv Ай бұрын
Very ready for Tuesday
@InfiniteIgris
@InfiniteIgris Ай бұрын
🤦🏽‍♂️
@iambogitah
@iambogitah Ай бұрын
But the president doesn't realize he is repeating the same mistake GenZ saved him from coz he couldn't save himself, let's wait and see the MP who will vote in Kindiki, wahome, Duale, Chirchir and Soipan we have so many qualified Kenyans not this Character Questionable we kicked out
@christine848
@christine848 Ай бұрын
Ka chonjo Rigiji, Ruto na Raila washaelewana..wamekuweka kando...
@robertmarwa2750
@robertmarwa2750 Ай бұрын
Ruto na gachagua waende.
@kennetholuoch1723
@kennetholuoch1723 Ай бұрын
Baba ako mlimani waking for the 10 commandments
@DominicMwania-q4c
@DominicMwania-q4c Ай бұрын
True lies ziko na huyu
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Ай бұрын
But Ruto how do you dissolve an entire cabinet only to again return them. Gachagua tell your police to take care of those hijacking the protests because i don't see the protests stoppolibg just yet
@jameskihonge7449
@jameskihonge7449 Ай бұрын
Kanisa na serenading wanaoana tena .
@micaangote2138
@micaangote2138 Ай бұрын
HAMJASKIA ..
@kitamisiofficial5150
@kitamisiofficial5150 Ай бұрын
Tupatane Tuesday 😂😅
@Georgegichiagg
@Georgegichiagg Ай бұрын
Still unaogea ukiwa church we need to fix the church mbona wanapea liars and manipulaters chance ya kuongea remove mudavadi remove duale remove kindiki no recycling
@MARKNZIOKI-yy2ff
@MARKNZIOKI-yy2ff Ай бұрын
Kenya kwisha tapeli wauaji
@evansaggreyonyango1988
@evansaggreyonyango1988 Ай бұрын
Who is Eugine who is this woman in men's apparel
@gaichingaesam
@gaichingaesam Ай бұрын
Dalili ya mvua ni mawingu. Ruto has not given us a reason to trust him. He's doing things the same old way. We want a fundamental shift on how the government administered
@antibiotic7238
@antibiotic7238 Ай бұрын
You will still vote for him in coming election.Count yourself as a fool walking!
@gaichingaesam
@gaichingaesam Ай бұрын
@@antibiotic7238 I have never voted for him ever. Am not that stupid
@FatiMa-nb5ps
@FatiMa-nb5ps Ай бұрын
Mbona.watu..wa.mombasa.wanamtaka.joho.hakuna.wasomi..pka.joho
@RozzyGoldmukami
@RozzyGoldmukami Ай бұрын
All these politicians are the same,Ati joho and oparanya ,what about other kenyans,hii nchi iuzwe maramoja kila mtu apewe share yake,AM TIRED
@annemungai4562
@annemungai4562 Ай бұрын
Gachagua mimi nimekurejeck. Kama ungekua mzuri ungekataa ile pesa bibi yako alikua anapewa. We want competent leaders, not trible leaders. They are all the same. They don't care about us!
@flilechi
@flilechi Ай бұрын
What happened to in 100 days theatrics
@SusanKolela
@SusanKolela Ай бұрын
Dp rg wewe ndio uko na akili kwa hiyo mbunge advice Mr zakayo ackize Kenyans watoto wetu walikufa Bado mnarudisha wale mlifukuza why why ilifanyika wapi why why why fikirieni
@gladyskerubo6075
@gladyskerubo6075 Ай бұрын
Tupatane Tuesday
@user-fo9tz4vx6f
@user-fo9tz4vx6f Ай бұрын
𝐊𝐢𝐧𝐚𝐰𝐚𝐫𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐌𝐨𝐬 𝐌𝐨𝐬
@imwas3429
@imwas3429 Ай бұрын
What's making this guys think we have all the time in the world
@fatumaadam7970
@fatumaadam7970 Ай бұрын
Why are you sending snipers?
@HellenKosgei-lz5wl
@HellenKosgei-lz5wl Ай бұрын
Eunice wamalwa wewe nyamaza hujawai tusaidia anything
@pattiz4876
@pattiz4876 Ай бұрын
Wote hata wewe mwende na ruto
@aliabdurahman4245
@aliabdurahman4245 Ай бұрын
Gachagua aongee kama yeye ni part of government
@saidhashi2856
@saidhashi2856 Ай бұрын
Hakuna criminal wakubwa kuliko nyinyi... mashetani
@user-yf5kp5kh3u
@user-yf5kp5kh3u Ай бұрын
We are not your sons and daughters bro
@jonahsanga9150
@jonahsanga9150 Ай бұрын
Eugene yuko opposition kwani ni lazima awe katika serikali?
@flilechi
@flilechi Ай бұрын
Wewe na hii akili baba yako angemwaga tu nje
@jonahsanga9150
@jonahsanga9150 Ай бұрын
Ukitaka kujua wewe ndio uko na akili punguani,angalia vitu chenye unapost social media ? Kwani unadhani babako akuwest hizo vitu kuzaa ngombe kama wewe?
@ruthkarimi2646
@ruthkarimi2646 Ай бұрын
Kweli kabisa wache mchafuko😊
@pattiz4876
@pattiz4876 Ай бұрын
Joker
@njirumwaura6201
@njirumwaura6201 Ай бұрын
Idiocy
@enaz283
@enaz283 Ай бұрын
Amole Booker the gensii😂😂😂
@jamilkassim2437
@jamilkassim2437 Ай бұрын
How may years now. Sisi sio wajinga
@fatumaadam7970
@fatumaadam7970 Ай бұрын
Anza kufunga virago hata wewe.
@JaneWaweru-gs9by
@JaneWaweru-gs9by Ай бұрын
Hata yy ameanza kuwa a different person from whom we knew
Gachagua awataka wanasiasa kuacha siasa zisizo na msingi
1:41
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 264
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 50 МЛН
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 2 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 11 МЛН
سیاست با مراد ویسی: ضربات تاریخی روسیه به ایران در ۲۰۰ سال اخیر
25:51
Iran International ايران اينترنشنال
Рет қаралды 41 М.
Raila aingia serikalini kwa mlango wa nyuma
4:38
NTV Kenya
Рет қаралды 162 М.
Uchaguzi wa mwenyekiti wa boda boda mjini Maralal waibua msukosuko
3:30
48-Year-Old DAVID BECKHAM still destroyed Bayern 99 legends
11:29
Vituko na sarakasi za makala ya mirindimo
4:35
KTN News Kenya
Рет қаралды 171 М.
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 304 М.
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН