Hivi kwanini nyimbo nzuri kama hizi hazipati sapoti kama zile za hovyo....
@ahmedyzo2 жыл бұрын
I wonder same
@mariachisunga10952 жыл бұрын
Achana na akili za watu , watu cc tuna akili za hovyo mnoooo
@mkangaratz8640 Жыл бұрын
We achatu mwanagu 😢
@abuubilal26465 ай бұрын
Dah we acha tu@@mariachisunga1095
@GodfreyMichael-v6e10 ай бұрын
Hii ngoma itaishi kwangu miaka yote
@martinwanyonyi65463 жыл бұрын
hapa umenitoa kiyu kaka... kwa mara ya kwanza natoa like youtube kwa ajili yako
@Devilinintungwawc2vk7 ай бұрын
Tuli itanzama hi nyimbo mwaka efu 2024 tu like hapa jamani
@galatonetz7 ай бұрын
Tuondokeeee!!.
@Devilinintungwawc2vk4 ай бұрын
Pamoja sana@@galatonetz
@NehemiaJeremia-uq1fk Жыл бұрын
Nice song
@josephkiteleja510211 ай бұрын
2024 here
@fanuelmulinda60862 жыл бұрын
Watu wanapenda sana nyimbo za matusi sio vinginevyo ndo maana
@julianapatrick79112 жыл бұрын
Wow! Nitakupa senene unikubalie. Bojooooo
@mckainjoh67943 жыл бұрын
Ngoma inayoishi,saluut galatone June 2021
@complex7582 Жыл бұрын
Nani anasikiliza 2023
@SHABANI_SHABANI10 ай бұрын
NGOMA BADO INATAMBA 2024. 🫡
@lucymmasy1592 Жыл бұрын
am here 2023 listening to this sweet song😀
@mekmani84252 жыл бұрын
Enyewe Bongo muziki unaendanisha na uchawi. Yaani Galatone ashindwe kuhit na hii talent yote halafu wengine wenye talanta duni wanavuma? Aje sasa?
@Abby_Shawn_KE2 ай бұрын
Pindi naishi bongo kuna mchizi alipost wimbo huu JAMII FORUMS kwa wajanja nikakufahamia hapo na hakika mziki unaujua sana
@jordanmbelwa27 күн бұрын
22 Dec 2024 we together ❤❤❤❤❤❤🎉
@sikujuahassan39833 жыл бұрын
Uletwe mizani upimwe upendo wangu utatoka namba 1
@solutionradhiabusiness30162 жыл бұрын
mzuri weweeeeeee hapo ndio balaa
@benjaminimwalimu37504 ай бұрын
Nimekuja huku baada ya mc kutamba na hii nyimbo daa chuma kikali sana ❤❤❤❤
@allymohammed77082 жыл бұрын
Bro upo vzr kaka, hakika una bonge la talanta maana had ktk movie upo vzr. Hii nyimbo imetoka mwaka gn Mbn km mpya Allah akujalie maarifa zaid
@AhmedHumbe-q2bАй бұрын
An utopolo wa cku hzi ndo. unadunda kuliko Ngoma za zaman .zilikuwa nzur aki
@mustafamatata37956 ай бұрын
Tunzi,ala ...mashairi..& tasfida iliyotumika humu nyimbo anasikili mtu yoyote
@mariamfritsi49432 жыл бұрын
Huyu kijana ana Talented sana, pongezi sana kwake anaimba kwa hisia, asante sana. From Switzerland.
@galatonetz2 жыл бұрын
Shukran
@jeremiahsanare87542 жыл бұрын
Visit Tanzania 🇹🇿
@stanslausmteme84552 жыл бұрын
Hana bahati
@fredythomas18485 ай бұрын
Nan anaisikilizanleo 15/08/2024
@jansmusic70452 ай бұрын
❤❤❤blaza ngoma zako zote Kali Hali jans music
@brazzavillyofficial81415 ай бұрын
Nakubalii BRAZZA VILLY BRAND new
@davidmalanda47854 жыл бұрын
This song just kills every time 🤗
@sunieljoseph25714 жыл бұрын
Umepotelea wap broo mbn up vzr
@ZiaraMwatawalaАй бұрын
December 11 , 2024 tuko hapa🎉🎉🎉
@fakihrashid73473 жыл бұрын
Ngoma Kali sana inaishi na haishi ham kuiskiliz 2021
@MamaGay-n8r4 ай бұрын
Naipenda sana hii nyimbo
@jailaninkya89783 жыл бұрын
Galaton hii ngoma uliitengenza uzurii aisee
@benkasandiko4 жыл бұрын
Daah uyo mtoto wa ushungi sasa
@jeremiahlauriahn71645 жыл бұрын
Brooo adim Sana afu pale nilihama kaka
@kazabrazake59112 жыл бұрын
This is super talent, for the first time nimeskiza ngoma yako. This is the dopest song for me, inavuta hisia. Dope talents are underrated in this century, wenye wanaimba non-sense wamepewa kipaumbele sana nkt
@gorgonusshayo9203 жыл бұрын
June . 20.2021. Hizi ndio nyimbo . znaujumbe , maadili, japo v deo normal lakin inamanisha na kutufunza . hongera gala .
@daviesattu5928 Жыл бұрын
I've been vibing with this song since it came out back in 2016, it never gets old!
@westchugagang53232 күн бұрын
2025 MWEZI WA KWANZA🎉
@alexmwankosolwmwankosole75993 жыл бұрын
Upo vizuri garatoni MUNGU akusaidie
@Adinan-z4z3 ай бұрын
Hiii ngoma kiboko yao
@tomdee75045 жыл бұрын
Sawa sawa
@alfrange78863 жыл бұрын
I met my girlfriend when this song was lit. 4years since she departed back to her place mugumu I have never seen her! When I listern to this jam her memories 😢😭
@IsaberaEster5 ай бұрын
Hi nyimbo naikumbuka kipind nilikuw kwe huba zito Leo Iko wapi naikumbuka mbali
@monicamtono22924 жыл бұрын
I can't stop listening to it😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@NapindaSadamu5 ай бұрын
Daaah my favorite song❤
@maximiliankadawiibalaja21982 ай бұрын
tarehe 20/10/2024 na enjoy na wimbo
@godlistenphilemon49313 жыл бұрын
2021 baada ya kukuona kwenye status ya marinooo ikabidi nije uku nikubless kidogo
@christinakaniki91473 жыл бұрын
2021 bado tunapiga hili lisong
@whizzem3 жыл бұрын
Nan anaitazama hii 2022?
@salimsaid25313 жыл бұрын
naukubal sna bro mshenga
@alvinlwitiko10 күн бұрын
Jumatano ya pili kwa mwaka 2025
@hulsasavage79192 жыл бұрын
Nakupenda
@hulsasavage79192 жыл бұрын
Nimependa ulivoimba
@SalumuSimba-r3f5 ай бұрын
nyimbo z hovy nd zinapendw n jamn
@deniwisdomsanga6561 Жыл бұрын
Nipo hapa march 2023. Hit song but underrated one
@omboiobed_scar3 жыл бұрын
2022still living
@drtobias_2 жыл бұрын
Duuu Kazi Nzuri Sana
@NgomaTz1846 ай бұрын
2024 Producer Dunga bravoo sapoti galaton
@ambroseakwabi27903 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@allanmapito36884 ай бұрын
2024 am here from Kenya 🇰🇪
@LoyLee-yd4cr Жыл бұрын
Its 2023 nmekuj tena🌹🌹💖💖💖
@julianapatrick79112 жыл бұрын
Muhaya umeiteka ramani yangu.😍😍
@jemidiastanslaus74488 ай бұрын
May hapa bado inaishi moyon
@minjacsd18747 ай бұрын
Kama mpya vile sisahau hii ngoma
@The_Countdown-02 жыл бұрын
And im still here (November 2022) watching this song
@rashowshine78492 жыл бұрын
Naikumbuka hii goma kipindi hicho nikiwa Moshi majengo nilimpenda msichana mmoja hivi sema nilishindwa kamuambia juu ningempa nini Leo Niko 2022🇰🇪daah mpaka leo Monica moyoni mwangu unaishi
@madiwarongomba63 жыл бұрын
Unafeli wap mzee
@mafiatz5 жыл бұрын
Tulikuwa tunaitafuta hii hatuioni dah
@galatonetz5 жыл бұрын
Ha ha haa jitu la cuf bwana
@williamdamas79204 жыл бұрын
Mafia unaiweka ngoma ndani ile mzee
@mafiatz4 жыл бұрын
Sio mm bwana msanii mwenye data hatulii
@vumykisaka62814 жыл бұрын
nyimbo kali sana da
@SmithJacob-f2rАй бұрын
Niko hapa November 10/2024
@allynyatya25442 жыл бұрын
ngoma inaish mpka 2022 bado kali
@theo_jeezey3 жыл бұрын
Nice sana Galatik's 🔥🔥
@herimwinge-et9eiАй бұрын
02/11/2024 I watched this kichupa 🎉
@muddyaforeal11454 жыл бұрын
Bonge la wimbo lakini WCB wanaharibu muziki nchini
@markezmtenga97934 жыл бұрын
Wanaharibu vipi?
@markezmtenga97934 жыл бұрын
Kwahiyo wao wasifanye mziki wao? Fikiria vzr broo
@omaryabdallah95923 жыл бұрын
Galax boy
@jumagunda8553 жыл бұрын
Daaah 2021 Tupo bado
@ladymoretaboraprincess61902 жыл бұрын
Huu wimbo hauishi ladha
@shafiimaloki60583 жыл бұрын
Masterpiece broo
@budedepambakali45183 жыл бұрын
2022 ngoma inashi sanaa
@brayansechere38334 жыл бұрын
Each time I play these song with my girl it express love
@alenfelix86104 жыл бұрын
I really appreciate your work! Best Melody and very sweet words! Bravo 👏👏✌️
@cryptochathubacademy3 жыл бұрын
2022 Galatone
@breeznation2532 жыл бұрын
hii ngoma naikubali sana
@CeciliaSongola10 ай бұрын
❤❤❤❤
@sunriseradiotz4 жыл бұрын
Wow!....SAMAKI....THE BEST SONG BANA DAH-BARAKA SUNGA , SUNRISE RADIO ARUSHA
@maleek11flacko3 жыл бұрын
My favourite song until 2021 December 💕🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@riyad17334 жыл бұрын
2020 bado tupo?? Like tujuwane basi
@solutionradhiabusiness30162 жыл бұрын
kwakweli hii song is still hot...mzuri weweeee hapo tu
@viviencharlz4045 Жыл бұрын
Umepotea sisi mashabiki zako tunakumiss..
@lodenmicomedia88704 жыл бұрын
Enzi izo
@mishaletv81212 жыл бұрын
2022 still rocking
@fakiibabalao41853 жыл бұрын
2022 im here
@frankkidenya73743 жыл бұрын
Nice nice
@alexmakundi50063 жыл бұрын
Jan 2022 🔥
@madownloadionlinetv759 Жыл бұрын
2023 still pis
@kandygraphicstanzania3 жыл бұрын
WATCHING 2022
@ahmedsalim58054 жыл бұрын
june 2020
@kendrickpallangyo5299 ай бұрын
Tupo apa wa 2024 tar 3 March
@beatricemoshi-od6bu6 ай бұрын
Here 2024 june 29 saturday❤❤❤❤
@kellyjoel3817 Жыл бұрын
2023🔥🔥🔥
@ramadhanijumbe79652 жыл бұрын
My favorite song I met it here again in 2022, I Wana give someone fish too 😅