GAMONDI ALIONDOKA WAKATI SAHIHI/TUKAFUNGWA ILI TUJIREKEBISHE HAJI MANARA

  Рет қаралды 17,686

Manara TV

Manara TV

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 2 күн бұрын
Uko vizuri Haji Manara Mungu akulinde huwa ukiongea ni kama unakuwa na ndoto fulani ulizungumza ipo siku tutafungwa tujiandae kisaikolojia na kewli tulifungwa Bugati Mungu akulinde kwa kweli Kibwana enzi za Gamond wengi tulishtuka kwa nini hamchezeshi japo mtoto wa watu kwa wanahabari anawajibu kiukomavu na kimpira Kibwana Mungu awe nawe.
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 2 күн бұрын
Yule jamaa alinikera sana uwezi sema yale maneno ya kipuuzi kama vile
@Jumamajate-is9ii
@Jumamajate-is9ii 2 күн бұрын
Bravo manala ndio maana nakuelewaga
@hidnakirungi6546
@hidnakirungi6546 22 сағат бұрын
Ni saii kabsaa kufuru sio nzuri kabsaa!!
@iddimngazija1957
@iddimngazija1957 2 күн бұрын
Hiki kitoto sikipendi Kifupi fupi kinakuja hapa kinazunguka zungu😂😂 Hiyo sehem nimeirudia x3😂
@Tassyomy
@Tassyomy 2 күн бұрын
Wangap Tunaoamin..Kama Kibwana Kesho Anaanza..Kwenye Kikos Cha Kwanza..!!??😊
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Күн бұрын
Guys raja sio team Bora ni team kongwe tu ndio mana haikuwemo kwenye caf super league
@stanslausmachege2179
@stanslausmachege2179 2 күн бұрын
Kwanini huyu NASRI kama hayupo anadharau au anasoma sms?
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН