Waandishi nyie msiwe wachochezi mwachieni manara yaliyotokea kwake kila mmoja anaweza kukosea cha jawabu nn maswali yanaonesha MTU schukie
@hemedbakari899717 күн бұрын
Manara mimi nina ugonjwa wa presha naumwa sana ila nakuomba na wewe kesho uende uwanjani labda moyo wangu utatulia nakuomba sana ufike uwanjani
@hemedbakari899717 күн бұрын
Sasa hivi nimelala nyumbani nina presha ya kupanda ilifikia mpaka 243-154 mpaka nilizimia kwahiyo ili nitulie moyo wangu nisikie upo uwanjani
@LindaMbilinyi-n3n17 күн бұрын
Nafk zee hili😂😂😂😂😂😂
@elizabethkalinga082217 күн бұрын
Mwanangu Haji ni Kichwa haswa, isipokuwa ?????
@HamadMahenya17 күн бұрын
Walingia Bure acha uongo
@Stellastella-yi5vu17 күн бұрын
Manara please wape yanga kauli mbiu wanahangaika sana, eti we huogopi? Mara gusa achia, wasaidie basi
@musapfute660817 күн бұрын
Ww unaumia na nn
@AlexiaMilao17 күн бұрын
Wewe mbona una majina 3?lako la baba yako na la ukoo wa babu yako mbona hatujauliza kwnn unatumia yote sasa ahida ipo wapi tukiwa na kauli mbiu zaidi ya 2 mvivu wa kunya wewe 😅