From nairobi kenya nawapenda wananchi namimi kuanzia leo ni mwananchi
@laoiyadi117618 күн бұрын
Karibu sana mwananchii 🎉 mm pia Nairobi hapa
@anathshabani295218 күн бұрын
Karibu sana natokea Rwanda
@laoiyadi117617 күн бұрын
@@anathshabani2952 ooh ok mm ni Tanzania bt naishi hapa Nairobi
@anathshabani295217 күн бұрын
@@laoiyadi1176 Tanzanian ila naishi Rwanda kwa sasa
@francepaul771117 күн бұрын
Karibuni Nyumbani Kwa Mabingwa💚💛🙌🙌🙌
@malietamaliet18 күн бұрын
😂😂😂umewajibu vzr kocha asante sana naona umeanza kuwaelewa wabongo na umbea
@nicodemusmemba140218 күн бұрын
Wa Kenya tunawapenda sana, karibuni Kwa wananchi. Young Africans
@EustakiMandela18 күн бұрын
Thank you so much Gamond
@brightontheogenes509318 күн бұрын
Sometime u put all..yes if u we do that we will loose the game ....😅😅 Gamond is very genius
@allankashoro207718 күн бұрын
Coach Gamondi 🎉🎉🎉
@asifznz18 күн бұрын
KHALID AUCHO ANAZARAU SANA KURIPOTI KAMBINI MIAKA YOTE TANGU ASAJILIWE ,VIONGOZI YANGA SIJUI KWANINI WAKO SOFT ,
@sofiamsuya225418 күн бұрын
Ana ruhusa , kuna lingine 😂😂😂
@PatrickMwakalosi18 күн бұрын
Muulize vipi anayo card ya uwanachama??😂😂😂@@sofiamsuya2254
@elipidhugotesha190918 күн бұрын
😂 ni vizur wakaongea.kiswahili akatafutwa.translator Mfano apo.why.you.add.one.year contract instead of more contracts😊. May be instead of two or three years contract acha nirud shule ya grammer😂