Uyu kila siku tunamuhitaji maana tunafadika na mengi. Hongereni sana
@samchris82163 жыл бұрын
keep the great work Gangana na huyu jamaa ni hatari..
@changarawemichael55563 жыл бұрын
TISS please wekeni mtu huyu kwenye system ya serikali asaidie nchi yetu . Msiachie watu wasio na weredi watuongoze
@sembuakimbosho33193 жыл бұрын
a man is highly educated
@simonmwashambela32333 жыл бұрын
huyu jamaa anaweza tuache utani
@seliusfasa82493 жыл бұрын
Kweli kama kuna wazazi waliopeleka watoto shule ni wazazi wa huyu kijana
@kaundasutikaunda77693 жыл бұрын
Asante sana Ndg Gangana kwa kumhoji Ndg Thabit kuhusu hii mada. Ubarikiwe sana.
@milkabelias4482 жыл бұрын
Asante unastahili sifa munguakutie nguvu
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Elimu ni kupata maarifa na ujuzi wa kutatua changamoto kwa level ya mtu husika na wala sio vyeti
@radhiasalum71563 жыл бұрын
Kweli kabisa maana wa darasa la saba ukiangalia wengi wanamaarifa na maisha yao wametajifika wenye yeti wanaangaika tu😃😃
@peaceisrael81583 жыл бұрын
Ninaishi hapa ujerumani katika institution unaeza usikute mwenye masters /phd ila training tu za miaka mi3 Ausbildung ila wako smart sana to be honest
@stanfordshombe13793 жыл бұрын
Nimemfuatilia kwa mda vipindi vyake sijaona chenga hata kodogo
@yuathmtenzi21143 жыл бұрын
Mr.Thabit your my lecture
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
NYERERE KUMBE ALIKUWA SAHIHI
@bensonjr48793 жыл бұрын
Huyu jamaaa he so smart...
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
THABITI UNAONGEA MAMBO VERY DEEP MBONA MAMLAKA HAZIYAONI HAYA?
@zaidiissa37143 жыл бұрын
Mamlaka zetu zisha haribu mambokibao Kwa hiyo wakimwingiza kwao huyu niadui mkubwa kwao
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Gangana thabit anapendwa sana tunataka umuweke mara kwa mara old is gold gangana
@siwamasokolo47823 жыл бұрын
Upo sahihi Mkuu Baba, wewe ni kielelezo kuwa kusoma ni kuelewa.
@afropatriot77693 жыл бұрын
Well said brother Mungu akutunze daima
@rosmenykikoti13723 жыл бұрын
Mimi nashauri serikali tupeleke baadhi ya vijana isirael wakachukue technolojia tofauti hii alifanya hata kenyata ndiyo maana wenzetu wana maarifa kutuzidi.
@kubakema3 жыл бұрын
Inauma sana kuona sisi hatuna mbele wala nyuma, sisi ni hohe hahe . Elimu yetu haieleweki, wasomi wetu hawaeleweki, yaani ni mbumbumbu Mzungu wa Reli. Binafsi Wakenya siwapendi kabisa yani, sijui ndiyo hiyo radicalism. Hata hivyo, ukweli ni kuwa isingewezekana kuwatumia wakulima wetu kama kielelezo cha jinsi tunavyowachukia wakenya. Wakulima walikuwa na hali mbaya na soko letu la haraka haraka ni Kenya. Serikali ni muhimu kuangalia masoko mengine ya hiyari, haya makenya haya ni mamtu mabaya sana
@sleifikhajjir2623 жыл бұрын
yani kila siku najifunza kitu kusoma kwa huyu kaka
@jemsedikabonge57863 жыл бұрын
Naomba namba yake
@margarethpolepole74383 жыл бұрын
Sisi shuleni tulikuwa na mchepuo wa kilimo na tulikuwa tunalima sana tulikuwa tunajilisha wenyewe shule za bweni korogwe girls na mwalimu mkuu wetu alikuwa mama siwale
@mohamedsaid28823 жыл бұрын
Hamna nchi iliyoendelea bila ya stem tunabobea sana kwenye arts na miziki ndio maana vitu hivi vinatuoiga chenga
@gerkombo65122 жыл бұрын
Wabongo tumebobea kwenye kukamata nyoka.
@benjaminlijongwa37153 жыл бұрын
KWA AKILI ZA KIBONGO SIJUI KAMA WANAELEWA HII
@peterdeus60933 жыл бұрын
Wachache saana hasa vijana hawaelewi
@Mpakauseme3 жыл бұрын
@@peterdeus6093 Sana sikuizi vijana wengi si wahelewa
@lukullikiwamba64943 жыл бұрын
Watu wanashinda vijiweni tu na kusema maneno ya uwongo tu ndo maana fikra zao zimepunguwa, watanzania watu wavivu kujifunza na kufanya kazi , wanapenda vitu vizuri lkn awataki kuvifanyia kazi, uwezi kwenda peponi bila ya kufa
@milkabelias4482 жыл бұрын
Huko Vizuri acha atufumbuea macho
@swahilimoves33483 жыл бұрын
Iko poa
@mbuyutv82713 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa amenifnua macho, nimemuelewa sana. Shukran
@mshangimasanja5403 жыл бұрын
Mjomba una madini,mi nadhani wakupe vipindi vyakutufudisha
@dorothmungure93933 жыл бұрын
Huyu afundishe vyuo vya ualimu wa shule za msingi ili wao wakafundishe watoto wa shule ya awali na shule za msingi
@mbarakalikati52283 жыл бұрын
Inabidi tuludi kwenye mzimu yetu kama ustaalabu wa dili umetushinda wakati tunawaapisha kuwe na uganga mtu akizingua lipite nalo
@Masterplan6963 жыл бұрын
acha kudanganya maka ndio katikati ya dunia
@nindimsaso56943 жыл бұрын
God bless you Thabit Mlangi
@yassinyusuph96432 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji, mnapatikana kwa namba ipi? Kwa mawasiliano zaidi
@ganganainfochannel2 жыл бұрын
Thabit 0652079640
@kudrachristopher46403 жыл бұрын
Mtalaamu 😎
@nazirshivji7693 жыл бұрын
Well Said Bwana Thabit.
@amzamrid35713 жыл бұрын
Kwa kweli unachambua vizuri San mpaka mtu anaelewa
@peterdeus60933 жыл бұрын
Hiv nivitabu vip vya uchumi huwa unasoma wew tusaidie nas maana kusoma ni vizur zaid maana madini hayo ni adimu
@sleifikhajjir2623 жыл бұрын
yani broo ukija zanzibar tunakupa nchi
@hadijamandanje61893 жыл бұрын
Iwe yake au awe rais naomba ufafanuzi zaidi
@japheteliatosha47103 жыл бұрын
Haya unayoyasema viongozi wetu ambao in washauri wa serikali waone mawazo ya ndugu huyu
@peterdeus6093 Жыл бұрын
Watayaona sasa mawazo yako kwa V80
@loner_wolf3 жыл бұрын
Mr Thabit nataka kujua kwann mathematics ni mitihani yake imekuwa multiple choice siku hizi na hawa watawala wamekaa kimya tu.
@queenmwasanguti23703 жыл бұрын
Kweli wazazi walikusomesha.
@sarllemmtunze4053 жыл бұрын
Kukosa Bei na soko kwa mahindi ya Tanzania ni mkakati maalumu wa wakenya na wamefanikiwa na sasa wanatucheka. Na kwanini tuuze Mahindi wakati kiwanda Cha unga sio big deal. Mahindi ni mali ghafi ya vitu tele Kama vyakula vya wanyama nakadhaika. Kwanini tukubali kulanguliwa Mahindi yetu na Kenya kila siku. Mahindi haya haya ya Tanzania, Kenya wanayachakata kwenye bidhaa mbali mbali kwa jina la mahindi ya Kenya. Watanzania alieturoga nani?
@siwamasokolo47823 жыл бұрын
Ndugu Serllem, ulitaka wakulima wetu waendelee kupata hasara?. Soko la haraka kwa jiografia yetu ni Kenya, ni kweli wakenya ni jirani wabaya lakini wewe unavyoona ingekuwa ni sahihi kuwatumia wakulima wetu kuridhisha nafsi zetu au kuonesha msimamo wetu dhidi ya kenya?. Nakubaliana na wewe kuwa sasa Serikali iangalie namna ya kuzuia hii kitu isitokee tena. Kutafuta masoko ni jukumu la Serikali, Kuwezesha usindikaji wa mazao ni jukumu la Serikali. Niiombe Serikali itambue umuhimu wa hali bora ya maisha kwa watanzania
@omanabcd92493 жыл бұрын
asante
@loner_wolf3 жыл бұрын
Mr Gangana amekuwa na wasiwasi sana kwenye inshu ya dini hapo anajitahid kufafanua sana tusielewane tofauti maana wananzengo hawachelewagi kuunga habari 😂😂😂😂
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
😀
@alfaninyambo37493 жыл бұрын
Chaneli yako inatufundisha menge sana ila wasitumie luga ya kigeni sana wanatufundisha sana
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Waisrael kiboko
@loner_wolf3 жыл бұрын
Liverpool player Benayoun was israel 🙄🙄🙄
@josephlugala31823 жыл бұрын
Thabit wewe
@risktaker41113 жыл бұрын
Huyu kaathiriwa na propaganda ya Wayahudi.. japo nakiri kwamba mfumo wetu wa elimu ni mbovu