ahsante sana mr Gangana kwa intavyu nzur as always,me ningeomba next time mchambuz Thabit aongelee ile vita ya mapinduzi ya Haiti(1804) namna watumwa wa kiAfrika walivyogaragaza majeshi ya Napoleon. pia ningeomba aongelee significance ya historia hiyo na kwann hatufundishwi mashulen
@yuathmtenzi21142 жыл бұрын
Shukrani bro. Your my mentor of all time
@badilikakijana40322 жыл бұрын
Tupo chuo.... Mzee baba
@msangodiesel31322 жыл бұрын
Huyu jamaa salute kwake
@emmanuelmayombo36212 жыл бұрын
Sio mchezo kichwa kipo humu asante
@hassanhassan30212 жыл бұрын
Gangana naomba utupatie donation box ,kwa sababu hii kitu hatuwezi kupata chuo wala kokote. mm niko tayari
@fredrickkagwa88532 жыл бұрын
Akili nyingi huyu jamaa
@suleimanhamadi50992 жыл бұрын
Mchambuzi THABIT na GANGANA tuko pamoja
@kisakamangachi4768 Жыл бұрын
Watu wengi hawaelewi maana ya neno MKAKATI ndo maana hatuendelei.
@user-dg7wf6fg2j5 ай бұрын
Naomba msaada wa kuchambulia wagriki wa zamani walikuwa na nguvu kwa sasa wameyumba siwasiki tena walifeli wapi naomba mrangi atuchambulie
@ibrahimmacharia50932 жыл бұрын
Mbona hawa watu wasiwe viongozi
@venanceselegebu8566 Жыл бұрын
Hata kama kasome Geoeconomy but this guy anazo akili nyingi za kuzaliwa napenda one day awe Rais wa Tanzania
@roggermwakyanjala35862 жыл бұрын
Brother Gangana huyu msomi aongelee pia kisa cha Hitler kuuwa wayahudi wengi au kuwachukia wayahudi katika history. Na pia aongelee kwann kuna magomvi yasiyoisha katika nchi za middle east kma palestine, Irak na kisa cha kuuliwa kwa Sadamu Hussein na Osama bin laden
@godifalsafa69562 жыл бұрын
This man is extraordinary nimekuwa mchambuzi mkubwa mtaani kwangu na kwenye mitandao Kwa mawazo yake na vitabu ninavyosoma sometime he is great analyst @godifalsafa
@maggiemusemo15302 жыл бұрын
He's a great analyst 👍🙏
@matheomwakisole68192 жыл бұрын
Inamaana wayahudi sio wakristo Wala sio wayahudi "uzayuni ni dini gani?
@matheomwakisole68192 жыл бұрын
Tunaomba utufundishe utofauti Kati ya uzayuni na ukristo