Hongera sana dada Mungu akubariki sana natamani hilo darasa ila niko mbali.niko mwanza sijui nifanyeje
@susanikisinza37206 жыл бұрын
Daaaah. Elimu nzuri. Unatufanya nasi wafugaji wadogo tuzid kujipa moyo. Asante saana kwa elimu.
@hasnaahmed68773 жыл бұрын
Jmn nimependa sn mama maelezo yako niko arusha naweza kupat vifarag naelem zaidi
@witnessmallya51145 ай бұрын
Somo zuri, ila mtangazaji anadakia sana hamwachi mtu akamaliza point yake
@EstherMeshack-b9u Жыл бұрын
Hongera sana dada naipenda sana hii kazi. Naomba namba ya simu kwa ajili ya vifarangas
@kitunduwiston38195 жыл бұрын
Ahsante sana kwa Elimu juu ya ujasiliamali,nimeelimika.
@edgartemu82992 жыл бұрын
Huyu mama anaonekana hanaga masihara kabisa Yani nahisi ukiishi nae lazma unyooke
@lukresiajohn39393 жыл бұрын
Hongera sana dada kwa ufungaji wa kroiler mimi niko manyara nahitaji vifaranga namna ya kuwapata
@MussaJuma-rq4ht5 ай бұрын
Uko vizuri dada
@twororeturimekijambere54912 жыл бұрын
Napenda Sana 🇧🇮🙏
@josephnjellah2805 жыл бұрын
Kweli wew no mfugaji umemjibu vizuri mtangazaji kusemea biashara ya mwenzako in mbaya
@jacklinecharles12523 жыл бұрын
Hongreni sana kwamwanza mnapatikana wapi?
@justinestanley84345 жыл бұрын
Mradi mzuri sana hongera sana anti umenipa ujasiri mkubwa
@Johnson-r9n3 ай бұрын
Naitaji mafunzo ya ufugaji Mimi ni muhitimu wa chuo
@robsonswai22084 жыл бұрын
Hili liko vizuri. Nitafanyaje nipate vifaranga kutoka kwenu au mayai ya kuangua? Niko Moshi Kilimanjaro.
@ganganainfochannel6 жыл бұрын
HABARI WADAU NAMBA YA MAMA MFUGA KUKU NI 0783 833 335
@josephmathew44186 жыл бұрын
Asante sana broo
@babalois72406 жыл бұрын
Tnkx
@bahatisulusi76445 жыл бұрын
Gangana Info Channel Nawezaje kupata vifaranga nipo Kahama?
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Tumekuwekea namba ya Mama hapo
@bonusrobert73166 ай бұрын
Hongera sana dada,vifaranga mnauza bei gani
@KADALAtv2553 жыл бұрын
GANGANA AGAIN. Asante Sana, wanauza shilingi ngapi kifaranga? Ni aina gani ya kukuwanapatikanaje? Mimi nataka 200
@ricardomusk67914 жыл бұрын
Tanzania nawapenda vyenye munasongesha luga ya kyafirika mbere
@gloriamichael79356 жыл бұрын
hongera kiongozi unanipa raha najenga mabanda nitakutafuta
@lolanimals72065 жыл бұрын
12:32 We mtangazaji unauliza maswali na kujijibu mwenyewe duh! Alafu maswali yako mengine unayauliza kiajabu ajabu nikama ulikua hujajiandaa sijui. Afu unamkatisha katisha, yani anaelezea kitu hata hajamaliza unamkatisha unauliza swali jingine dah!
@Raysam-ki1rc4 жыл бұрын
Napenda sana kufuga kuku 0777040468
@SuperKibwana6 жыл бұрын
Asante sana ndugu Gangana kwa elimu hii ya ufugaji, lakini pia shukrani sana kwa mgeni wako Dada Elizabeth Swai, kwa hakika ametuelimisha vya kutosha. Labda swali moja hukuliuliza pale aliposema kuwa ukitaka kupata faida ni lazima uanze na kuku mia tano, tungependa kujua sababu zote kwa ujumla za kuanzia na idadi hiyo ingawa alifafanua kidogo lakini majibu yake hayakumalizia dukuduku tulilonalo. Ukipata nafasi ni vyema ukalishughulikia hilo. Na namba ya simu ya whatsapp haikuwa ikionekana vizuri mwisho wake.
@dismaswisso63844 жыл бұрын
dada hongera hongera hongera sanaa napenda kuona mwanamke anadhubutu kuliko hata mwanaume,
@athumanimhina18694 ай бұрын
Mtangazaji hujui hata maswali yakuuliza mpaka itarveu imeisha sijui vifaranga tutavipataje
@ganganainfochannel4 ай бұрын
Njoo uulize wewe mtaalamu
@aminalaizer92305 жыл бұрын
Dada nimekupenda bure nimefurahi mnooo nina shamba langu ekari 5 Arusha naomba no ya wakala wa Arusha
@filipinadaud88515 күн бұрын
Nahitaji vifaranga naomba maeasiliano
@filipinadaud8853 ай бұрын
Nipo Kilimanjaro naomba wakala wenu
@filipinadaud8853 ай бұрын
Napiga cm hampokei nahitaji vifaranga msaada tafadhali
@filipinadaud8853 ай бұрын
nahitaji vifaranga vya kroila tafadhali
@utaani15 жыл бұрын
Mimi nilipokuwa mdogo nilikuwa na kuku huyu mmoja mdogo jike baada ya miaka miwili nilikuwa na kuku 30.
@emmanuelwasike37805 жыл бұрын
Elimu bora
@emmanuelwasike37805 жыл бұрын
Hiyo nielimu bora from kenya
@emmamarijani66572 жыл бұрын
Bi up liz
@emmanuelfrancisrojala5816 жыл бұрын
Asante Kwa elimu
@akeem12215 жыл бұрын
23.35 Swala linaudhi sanaa. Ah!
@tululililomo47065 жыл бұрын
Mahojiano kama haya inatakiwa kueleza ukweli na uwazi ni vigumu sana kloiler kumzidi utamu kuku wa kienyeji kama ni biashara itafanyika tu hofu ya nini wewe mfugaji
Namba tumekuwekea hapo ,hatukua na nia ya kutangaza biashara ,kamabhujaelimika hata kidogo rudi darasa la kwanza
@veronicamwanasenga73405 жыл бұрын
dada uko vzr lkn mtangazaji alishindwa kukuuliza maswali ya msingi kukidhi haja ya watazamaji kuna mambo tumeshindwa kuyafahamu. unauliza kabila unataka kutambika
@azamansur70865 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@DonMC0075 жыл бұрын
Veronica Mwanasenga Jina lako la kati ni Japhet ?
@ngurapoultrycare4 жыл бұрын
Hongera kwa channel hii.Pokea salamu kutoka Kenya.Karibuni kwenye channel yangu.
@hasnaahmed68773 жыл бұрын
Kun nn
@ngurapoultrycare3 жыл бұрын
@@hasnaahmed6877 Kuna mengi tu ya kujifunza kuhusu ufugaji wa kuku.
@mushjosephat5 жыл бұрын
We mtangazaji unauliza maswali na kujijibu mwenyewe duh! Alafu maswali yako mengine unayauliza kiajabu ajabu nikama ulikua hujajiandaa sijui. Afu unamkatisha katisha, yani anaelezea kitu hata hajamaliza unamkatisha unauliza swali jingine dah
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Kesho njoo uonyeshe mfano. Tusamehe kama hujaelewa na kuona hata zuri Moja hapo kwenye hiyo interview.
@mushjosephat5 жыл бұрын
@@ganganainfochannel yapo mazuri mengi lakini ungetulia tungepata mazuri zaidi....ila ahsante kwa kutuletea huyu mama
@allanjack5004 жыл бұрын
ONE CHOICE SMAMIA
@anafisuleimani70836 жыл бұрын
Hongera sana Dada nitakuja hapo ofisini
@mpegesaaswile65815 жыл бұрын
Ufugaji wa kuku siyo kazi ndogo kama tunavyofikilia
@omarysingano36525 жыл бұрын
Safi gangana
@rmonlinetv65336 жыл бұрын
ufugaji wa KUKU ni kilimo bora na cha haraka ktk kuleta mafanikio.Natamani kujifunza hii kitu...So,Khalid Gangana hebu tuletee vipindi vya kutosha sana kuhusu jambo hili ili tupate ufahamu zaidi
@justinnyoni94985 жыл бұрын
Ayo macho
@faisalsuleiman38065 жыл бұрын
Tatizo la watangazaji hawafati utaratibu wa kuuliza maswali we jumamosi na weekend yake ya nn?tunataka utaratibu wa ufugaji vipi kaanza mpaka kafikia hapo changamoto zinazomkumba na mengineyo
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Sorry kama hujaelimika hata kidogo, hicho kipindi Lengo lake ni hayo maswali ya kijumamos na jumapili, kuna maisha baada na tofauti na kazi. Hata Akija JPM hataulizwa masuala ya maendeleo bali tutamuuliza kuhusu utani zaidi. Fuatilia kipindi hicho cha nipe5 kwa undani kimejaa jokes na ndio lengo lake. Lakini pamoja na yote hatuwezi kuuliza maswali kadhaa ya msingi mfano hayo uliouloza yameulizwa na kujibiwa humo. Usiwe unakurupuka na kupenda kulaumu
@hosianamollel3163 жыл бұрын
Niko Arusha naomba mawasiliano ya wakala wa Arusha tafadhali
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
+255685833335
@hamzabakari61605 жыл бұрын
Elimu iko poa vifaranga ua mayai kwajiri ya kutokoresha napatikana wapi
@ericjonstz31205 жыл бұрын
Njema
@akeem12215 жыл бұрын
10:32 majogoo hawana manyoa na wamechoka hawako wachangamfu. Kitu ni mbaya hapo.
@jbjb95804 жыл бұрын
Sorry dada angu kama Dawa hamtumii,vp kuhusu chanjo??
@petermuganda37065 жыл бұрын
hakuna group la ufugaji mkurugenzi
@mercye.42772 жыл бұрын
Mkurugenzi naomba kuongea na wewe. Pls naomb number zako
@ladislaustuma90945 жыл бұрын
naomba mawasiliano jamani ili tuweze kujikwamua kiuchumi na sisi
@sadikikatima47836 жыл бұрын
hongera
@yasinikateula66056 жыл бұрын
ongera
@rajabshaban6896 жыл бұрын
Kwa mtu Alieko mwanza anawezapata vifaranga na bei yenu Hipo vip kwa kifaranga kimoja?
@martinapanga1766 жыл бұрын
Safi. Toeni mawasiliano
@stevenkambeytz24596 жыл бұрын
Ahsante ila brother hauulizi maswali ya msingi yan kama vile haupo serious ..
@jumanneilwarioba57616 жыл бұрын
Mtangazaji hujui kutumia fursa, masihara mengi.
@chobalikosimon64595 жыл бұрын
Kweri huyu mtangazaji kama anapiga stor tu
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Usikariri sana vipindi vinatofautiana ,Nature ya Kipindi cha Nipe5 uwasilishwaji wake ni wa namna hiyo, ni kipindi chenye elimu inayowasilishwa kwa njia ya jokes nyingi, maisha binafsi na hata burudani. Fuatilia vipindi vyote vya Nipe5 utagundua hilo. Hata hivyo kama hujaelimika kwa lolote hapo pole. Vipo vipindi vinavyoitwa vya serious ni vyema ukavifuatilia lakini Nipe5 haipo hivyo ila tunahakikisha ujembe wa elimu unafika. @@jumanneilwarioba5761
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Hata hivyo kanunni za utangazaji inaleta maana hapo, usitangaze kama unasoma tanganza kama unapigastori au mazungumzo ya kawaida kila siku. Pole kama hujaelimika kwa mtangazaji kuwasilisha kazi yake akiwa kama anapiga stori @@chobalikosimon6459
@akeem12215 жыл бұрын
Gangana jifunze ku interview watu. Eye contact very important, facial expression is not good, interupting the guest not good, stop looking in your laptop and other places.
@ashamuhammed87794 жыл бұрын
Ebwana nahitaji elemu zaid bado mgeni kwenye ufugaji pande za unguja hongera sana ndug
@Kmaryam4 жыл бұрын
Mtangazaji Sifuri 😏
@kpetres28724 жыл бұрын
Naona hajasoma mambo ya carieer guidance and counselling
@rmonlinetv65336 жыл бұрын
pia nampongeza huyo dada kwa elimu hii
@salmamohammedyahaya60983 жыл бұрын
Nitakutafuta dada
@peterkiriaku75623 жыл бұрын
Nata usaidisi, wamasomo
@SelemanMvula-l9u2 ай бұрын
Saf
@eliakimsando29194 жыл бұрын
Honestly enda ujifunze jinsi ya kufanya interview ,hukujipanga,maswali unayohoji ni kama uko mahakamani
@ganganainfochannel4 жыл бұрын
Kweli kabisa .
@noahmwaipopo91426 жыл бұрын
@Magesa Majogoro
@suleimanislam77776 жыл бұрын
Fursa nzuri hii niko nje naomba nipate maelezo zaidi kwani nina mpango wa ufugaji namba yangu +966566212408 suleiman huwel
@georgematahimba52423 жыл бұрын
Ninazalisha maggot watokanao na nzi aina ya Bsf ambacho ni chakula bora sana kwa kuku. Nipe tenda niwe nakuletea kwenye huo mradi wako
@dottokibogoti8865 жыл бұрын
Mm nahitaji mashine ya kutoresha
@hassanbinally71275 жыл бұрын
We mtangazaji umesomea wp mi sielewi utaratibu wako wa uulizaji wa maswali
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Endelea kukariri uliposoma wewe
@josephnjellah2805 жыл бұрын
Nitapateje mayai ya kutotoa nipo mbeya
@jacklinemathew21276 жыл бұрын
Dada una majibu mazuri,huwa sipendi mtu aniulize kabila gani,hili swali huwa sio zuri kwakweli coz jibu lake huwa ni ubaguzi.
@kibemassao54884 жыл бұрын
Ubaguzi gani sasa, hata ukitaka kazi lazima uulizwe jina, kabila, dini na makazi ili ukifa ijulikane unatokea wapi na utazikwaje. Mtu anayehisi kuulizwa kabila ni ubaguzi yy ndo mbaguzi, wasiwasi wa nn???
@fortantkalonji72176 жыл бұрын
Very good
@metodymkamila34584 жыл бұрын
Mimi nimeshaaza navifalanga 300 Ila cmzoefu sana naomben ushauli wenu
@noelywiriam6163 жыл бұрын
Asante kwa elim zuri
@emmanuelwasike37805 жыл бұрын
Maswali hayaridishi tunataka kujua mwanzo ,wake gharama na jinsi ya kukabiliana Nazi.Pia wewe nimogasana unaogopa kutazama mgeni.Wasike kenya
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Tusalimie kenya
@ndimirimanafelixnesta52046 жыл бұрын
Ninapenda sana hiyi life kama muhusika ata soma comment yangu naomba anipe mafunzo flani number yangu ya watsap 0781283407 kiukweli kabisa nikitu nakipenda sana nataka kujuwa kuhusu cakula madawa navingine shukran sana
@dastanfussy48985 жыл бұрын
Mtafute ametoa namba yake
@allymkamba11156 жыл бұрын
Ata mm napenda kufuga kuku naombeni munipe somo Dada naomba kwanamba zasim 0653653291
@ufugajiwauhakika21146 жыл бұрын
Naomba namba 0752037367
@ahmedally72255 жыл бұрын
Mtangazaji hayupo serious
@raphaelikisaka50784 жыл бұрын
Mambo vp 0766531991
@hassanmassaga24765 жыл бұрын
Mtangazaji sio makini....mjingamjinga tu
@ganganainfochannel5 жыл бұрын
Zuzu kabisa
@Kmaryam4 жыл бұрын
Nimeshindwa kuangalia video hadi mwisho sababu ya huyu mtangazaji .. hii video angekuwa mtangazaji makini tungepata elimu yakutosha kabisa