*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA* TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo. wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
@MussaMsangawale10 ай бұрын
😂🎉
@abdallaomar5810 ай бұрын
kwl
@JoshuaWilliam-p7nАй бұрын
Napenda sana kulisha kuku shukrani mwalimu
@ZakiaJafari-b4o8 сағат бұрын
Asante sana
@CharlesNestor-j3x Жыл бұрын
Nimeipenda
@JUMAMASANJA-t7m Жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuli.
@JenipherBaraka6 ай бұрын
Nmeelewa sana SOMO lako nami nitafuga
@flaviafaustine433 ай бұрын
Mungu akutangulie nakujua vyema chuo ulikuwa mpambanaji.
@BarakaMnisi11 ай бұрын
Nimekupata vyema sana mwalimu,, natamani na napendelea sana kuwa mfugaji wa kuku.
@rizikiedward7468 Жыл бұрын
Asante kwa somo🙏
@felixmagulu61423 жыл бұрын
Asante sana ndugu kwa hili somo ulilolitoa.
@lilymatoli71173 жыл бұрын
Bonge la elimu aisee thankx alot
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Pamoja sana
@OmaryIbrahim-i6y2 ай бұрын
Napendaa ufugaji but ndio naanzaa
@AbedaAbdallah-m6t4 ай бұрын
Nimeelewa sana.naomba nami nijiunge na groop la ufugaji wa kuku
@SarahKaaya-z9w3 ай бұрын
Iko njema sanaa
@siabasefu7494 Жыл бұрын
Napenda Sana jamani
@Jane-qj6oy8 ай бұрын
Je kuku wa kienyeji wana faida mwalimu
@YohanaOm8 ай бұрын
Hongereni sana mnatoa ushauri mzur
@flaviafaustine433 ай бұрын
Nimekuelewa sana rafiki
@yamungumwemba-mn2qv11 ай бұрын
Nimependa
@Augustinrajabuag9413 жыл бұрын
Asante. Nime penda kuingia ndani ya iyi group. Sasa niko inchini Congo DRC. Namna gani ntafanya. Niko na swali mingi. Muni rehemu kwa swahili yangu
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Pamoja sana
@Lumatotraveling6 ай бұрын
😂
@ramazanindege87223 жыл бұрын
Assante saana mwalim, naendelea vizuri katika shuhuli yangu ya ufugaji kutokana na maelekezo yako🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Peace and love 🇹🇿
@GeraldJoseph-m5g3 ай бұрын
Vipi kaka siwezi kupata vifalanga wa kienyeji
@fatmahemed21892 жыл бұрын
Somo zuri mashallha
@emasilagomi2629 Жыл бұрын
Mwakahuu2023 Darasa linaanza lini?
@salhaotty74342 жыл бұрын
Asante hili somo limetusaidia sana
@ElvinMwombeki-pu3em Жыл бұрын
Nimeyapenda Maelezo yako nitalifuatilia darasa lako
@TimothyKaume-e9c Жыл бұрын
Very educative
@katapaj2336 Жыл бұрын
Naijua io 😂😂😂tuma pesa
@JamaldinMpinga Жыл бұрын
hatari sanaaaaaaa
@venerandamasunga67893 жыл бұрын
inshallah mwszi wa 10 naanza kufunga kuku wakienyeji
@MajidiChinankoko-g7x6 ай бұрын
Naomba nijiunge kenywe group la ufugaji wa kuku
@hassannyanduga79642 жыл бұрын
Thanks
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Unauza au
@AminaYahaya-d7gАй бұрын
Ili darsa bd lipo mpk leo???
@mamanahumu86372 жыл бұрын
asantenisana
@barakambwile4159Ай бұрын
🙏🙏
@aFricain116 Жыл бұрын
Nyc
@robertabell20582 жыл бұрын
Naihitaji kuwasiliana nanyinyi
@NeemaKabila-gd3nu3 ай бұрын
Nahtaj mafunzo zaid ilinnifuge na mm nataman kua mfugj mzr
@monicambaabu74353 жыл бұрын
Excellent job.
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Asante dada
@annakambelenje94104 ай бұрын
Azola inapatikana wapi!kaka
@muscatcaurse35483 жыл бұрын
Mm nataka nianze kufunga
@merinaemmanuel2062 жыл бұрын
Napemda kujifunza kila wakati
@zabronkbilahi83855 ай бұрын
Naitaji kujuwa jinsi ya kufunga kuku
@suleimanmsalum Жыл бұрын
Bosi wangu nataka kuanza kufuga kuku
@Shuwea-u5d7 күн бұрын
Vifaranga vyangu vinakufa tu kila vikitotolewa
@jeremiahowili27252 жыл бұрын
Nataka niwe barozi
@edsonnelson446411 ай бұрын
Changamoto ni wizi tunakatishwa tamaaa na wezi
@RoseMbwana9 ай бұрын
😅pole jitahidi kujenga bada lenye ulinzi
@JacobMarco-r2t10 күн бұрын
Kwakweli ndg yangu watu hawapendi tuwe na maendeleo kbsa mm pia uwiz ni changamoto kubwa
@nissamwapoladi73452 жыл бұрын
Mmepotea cku hizi jamani
@tabeamwakalinga70813 жыл бұрын
Mawasiliano naomba
@samiaarimkonekonko50962 жыл бұрын
Naomba namba kaka
@ammakhan22396 ай бұрын
Asante kwa darasa zuri mbona napiga namba hailatikani.. Mnapatikana wapi
@emasilagomi2629 Жыл бұрын
Darasa litaanza lini mwezi ujao w kumi
@SAFITV-n5j4 ай бұрын
❤❤
@anivachari39322 жыл бұрын
Somo nzr Ni chakula gani niwape vifaranga maana mm nawapaga pumba tu
@BenithoMwalongo-e6f3 ай бұрын
Je nimchanga nyiko gani wachakula utakao mfanya kuku kutaga mayai mengi nakwawat
@carolinetoto870611 ай бұрын
Asantee ila naitaji mamba yenyu ya simu napataje
@dullyhaleem69623 жыл бұрын
naomba kuuliza vifaranga vya kienyeji naweza kuvikuza kwa kutumia chakula gan had kufkia miez 3-4
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Walishe stater kwa wiki 6-8 baada ya hapo wape mchanganyiko wa concentrate na pumba
@gastordominic4103 жыл бұрын
Nice
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Pamoja
@AhmedAthuman-x9t26 күн бұрын
Vifaranga changu vinavaa koti dawa gani niwape wa wiki 2
@JUMAMASANJA-t7m Жыл бұрын
sasa kwa wale ambao wamechelewa kuanza kusoma wafanye nin ili wapate elimu.
@carolinetev26313 жыл бұрын
Nawasalim ndugu.mie naomba hawa kuku aina ya chotara na sasso tafadhali
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Karibu. Wasiliana nasi
@WilsonNgilangwa Жыл бұрын
Mtaji wake ni shingapi?
@maryamhamad91493 жыл бұрын
hao funza ulosema wapewe kuku wanapatikanaje na wapi
@dismasminja15922 жыл бұрын
Unapatikana mkoa gani?
@JUMAMASANJA-t7m Жыл бұрын
nawezaje kuku wakienyeji kuwafuga ili niweze kuzalisha wengi.
@SaxtonCarter-k8l3 ай бұрын
Harrison Tunnel
@LonnieRhoades-z2b3 ай бұрын
Ratke Pike
@erastoshelukindo9323 жыл бұрын
Vifaranga unawalisha. chakula gani ?
@rashidsudi46543 жыл бұрын
Darasa linaanza lini
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Jumatatu ya Tarehe 8
@benjaminmollel30053 жыл бұрын
Darasa litakuwa wapi?
@lailatmuya37039 ай бұрын
Naitaji no yako ili tuweze kufanya biashara
@muscatcaurse35483 жыл бұрын
Asalam alekum kaka naomba namba yako
@catekate5183 жыл бұрын
Nita Mimi wapi unahuzaa let me kn Send email
@hellenmuiru52113 жыл бұрын
Kuku wangu wana pupu damu mbona?
@makokhamaxwel Жыл бұрын
Nimeona Ni vyema nifuge kuku haklta kuliko myu kuniajiri
@ignasmahundi47343 жыл бұрын
Jogoo akimpanda mama yake nini kinstokea?
@bacumijuvenalniyibigira35432 жыл бұрын
ninahitaji kitabı cha muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ni shiliüngi ngapi/
@emelianasanga11 ай бұрын
Je darasa hili bado lipo?
@mahmoudmjengo93062 жыл бұрын
nimependa kazi zenu ingawa leo ni cku yangu ya kwanza kuona hii fursa naomba number zenu za cm ili tuwasiliane vyema
@JoharyOmary-lr7vv8 ай бұрын
Johary Omary
@kassimhatibu86592 жыл бұрын
Nikitaka vifaranga 100 ntapa Vya kuku wa kiswaili
@changamkiafursa2 жыл бұрын
Unapata
@kassimhatibu86592 жыл бұрын
@@changamkiafursa napatake sasa
@husseinbiganda32283 жыл бұрын
Asante sana, je jogo aina ya kuku ma mayai aki rutubisha awa kuku wetu wa kienyeji nina weza pata vifaranga vyenye afia bora?
@changamkiafursa3 жыл бұрын
Ndio, tena watakuwa chotara wazuri tu
@laliapamba41873 жыл бұрын
Nikitaka Makoo kama kumi unaweza kuniuzia? Majogoo ninayo mengi,nipo Dar
@JUMAMASANJA-t7m Жыл бұрын
Asante kwa elimu nzuli.
@Haulat-yc9gz29 күн бұрын
❤❤
@SaidKhamis-gm5kq Жыл бұрын
Nice
@JUMAMASANJA-t7m Жыл бұрын
sasa kwa wale ambao wamechelewa kuanza kusoma wafanye nin ili wapate elimu.
@husseinbiganda32283 жыл бұрын
Asante sana, je jogo aina ya kuku ma mayai aki rutubisha awa kuku wetu wa kienyeji nina weza pata vifaranga vyenye afia bora?
@omaryhabibu51442 жыл бұрын
Dallasa linaanza lini
@omaryhabibu51442 жыл бұрын
Pia nilikuwa nauliza nina vifalanga 21,vinamwez na wiki moja sijawpa chanjo yyt nimalze ngan