GAVANA ASISITIZA WATU KUHESHIMU UAMUZI ALIOUFANYA JUU YA MOGOKAA

  Рет қаралды 5,489

Al Ihsaan TV

Al Ihsaan TV

Ай бұрын

GAVANA ASISITIZA WATU KUHESHIMU UAMUZI ALIOUFANYA JUU YA MOGOKAA

Пікірлер: 62
@manchesterunited6076
@manchesterunited6076 28 күн бұрын
This is the true leader huwezi kuka vijana wako wanapoteza madili unangalia mungu yupamoja nawe history umeweka mungu yupamoja nawe
@bentybenty2343
@bentybenty2343 28 күн бұрын
Masha ALLAH ❤❤❤100% ov my support Mr.GOVERNOR🎉🎉🎉
@FatmaSuleiman-cy4fu
@FatmaSuleiman-cy4fu 28 күн бұрын
Inshallah mungu akupe ikhlasi we na msimamo huwo huwo walk wasikupe chchte nyuma ya pazia ill unyamze
@biishemzee6833
@biishemzee6833 27 күн бұрын
🤲🤲🤲
@ahmedmanhalf3990
@ahmedmanhalf3990 28 күн бұрын
"Its time for us to heal as well" What a man! What a way to end the interview! Thats my governor. There is no turning back.. We got your back ASN.
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 28 күн бұрын
Usiogope waja kusema lawama cheo kkangu Abduswadh
@eshasaid3258
@eshasaid3258 25 күн бұрын
Mashaallah nisawa kwawatu wote hujakosa❤❤❤❤ tumiya huniwakati wako na wetu pwani❤❤❤ tumefuhiya jambohili kwetu❤❤❤❤ naujapiya hatulaumu ❤❤❤gavana abduswamad pogezi kwa wote ❤❤❤ akuifadhi pote❤❤❤allah❤❤❤ lshaallah ❤❤❤amini❤❤❤mini❤❤❤❤
@did3462
@did3462 28 күн бұрын
Keep moving usirudi nyuma
@aooshosho4255
@aooshosho4255 28 күн бұрын
You are doing okay you don't have to explain it we your people we are with you si lazima MSA let them sale elsewhere...wajakuja wasikupe pressure.
@higahassib6614
@higahassib6614 28 күн бұрын
Baraka Allahufi bwana governor fanya kaziyakoena Allah yuko
@omaryakub5387
@omaryakub5387 28 күн бұрын
saffy sana kiongozi
@papaamularfins599
@papaamularfins599 28 күн бұрын
Uko sahihi @Kiongozi
@AlishariffidinmohamedMoh-sx9vn
@AlishariffidinmohamedMoh-sx9vn 28 күн бұрын
Shukran governor Abdulswamad
@aminahussein9482
@aminahussein9482 27 күн бұрын
Hogera simba
@mohamedhamdan4956
@mohamedhamdan4956 26 күн бұрын
ASN very polite words
@kuschprince3216
@kuschprince3216 28 күн бұрын
" Wallahi kana mimi ningekua gava. Mombasa, i would have deported those idiots/ kafiris selling miraa and hiyo mavi ingine!! Take that kafir who threatened to kill you to court, au tufanye mob justice! Taka taka zinakuja pwani zinanuka kama maiti, wakipata upepo wa pwani wakinawiri na kufura matako/ mikundu wanatoa vitisho!! Jaribuni hata kutupa mchanga/ mawe kwa gava wetu, " MTAJUTA" Bro Abuswamadi, i liked your well articulate interview!! Huyu mmeru mshenzi/ Kafir lazima tumpate in any way!!
@Proffyumz
@Proffyumz 28 күн бұрын
wewe ni senge la kawaida tu
@Boarderboy001
@Boarderboy001 28 күн бұрын
Mbwa wewe unatusi watu,maiti inatembea wewe,
@Alakhyasirabuammar
@Alakhyasirabuammar 27 күн бұрын
ممتاز
@kuschprince3216
@kuschprince3216 27 күн бұрын
@@Boarderboy001 Hauja sikia walking dead!!
@Kacmbillionaire
@Kacmbillionaire 28 күн бұрын
Wameru wengine wameanza uza Miraa 70bob , still the shops are still selling miraa at 70 bob near our schools , churches and mosques
@biishemzee6833
@biishemzee6833 27 күн бұрын
Govern usirudi nyuma na usiuziwe uoga. Kila county kwa mjibu wa katiba inaruhsiwa kufanya uamuzi wao. Hii kash crop ya uzwa coast tuu. Wapeleke kisumu , migori, baringo, kisii, uwasingishu ect Walisema tutakufanjaa mbona bado tuuuupooo😃😃😃
@Kacmbillionaire
@Kacmbillionaire 28 күн бұрын
Mugokaa bado wauzwa mikindani near mikindani primary school. Kuna maduka mengi ya wameru wanauza from 6:30pm. It’s better wa close all shops za meru near schools,
@almeidhalu3238
@almeidhalu3238 28 күн бұрын
Piga Picha tupa Kwa polisi
@lamutamu5492
@lamutamu5492 26 күн бұрын
Welldone Governor 001, waende wauze kwa counties 44 zilioko Kenya. Pia wamuombe prezo apeleke Amerika wakauze. Ss twataka chakula, fruits, etc not Mugukaaaaa
@MohamedNyundo
@MohamedNyundo 23 күн бұрын
Sawa,gavana
@user-zq6dw1zv4g
@user-zq6dw1zv4g 27 күн бұрын
So he needs permission to stop A class drugs...😅😅😅 d he need permission to ban MOGOKA hio sio ujinga...
@naomikrause1762
@naomikrause1762 28 күн бұрын
HONGERAA SANA HUO NIHUAMUSI WA MAANA SANA🙏🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪👏👏👏👏👏👏
@shhjab3621
@shhjab3621 26 күн бұрын
😢 governor hata bangi pia hatutaki.tunakunga mkono.but aina za bangi zote zimemaliza watoto.tunakuomba
@user-zq6dw1zv4g
@user-zq6dw1zv4g 27 күн бұрын
Its A class drugs who r in Port Ritz
@abdiabassi8857
@abdiabassi8857 28 күн бұрын
Asante bwana Gavana umefanya jambo ya maana Sana pia nakushauri tafuta hakari kumi ndani ya National park halafu jengea Rehaab hawa mateja hawaona ona Tena mambo ya unga. 8:38
@AshrafBunu
@AshrafBunu 28 күн бұрын
Stand with your stand 💪
@abdulrahimali2639
@abdulrahimali2639 28 күн бұрын
Bwana gavana iwapo utapata kupitia hii vedio basi faham fika hujatenda kosa bali upo sahihi . Watu walio bara linapokuja suala la faida kwao wao hupambana kila anwai na taasisi au asasi za ki sheria . Tujali umma lakini sio kutafuta pesa haramu
@user-bh9my1wz1h
@user-bh9my1wz1h 28 күн бұрын
Allahuma ighfiri lahu wahfidhhu
@user-vc2bb2ji6y
@user-vc2bb2ji6y 28 күн бұрын
what about cocain???
@user-zq6dw1zv4g
@user-zq6dw1zv4g 27 күн бұрын
Let him see the Former President of Iran ..his so humbke even wen he the president n even now...ley him prove he just said to live poor..
@user-mg3ws9ud6n
@user-mg3ws9ud6n 28 күн бұрын
Kiboko govana ALLAH Akupe ushujaa na akili akulinde
@user-mm3ie2vf9t
@user-mm3ie2vf9t 27 күн бұрын
Ukosawa kuzuiliya mgoka ila pganiya unga na ushoga pia icwe mgoka tu.
@salimbilali5174
@salimbilali5174 28 күн бұрын
Na maafisa pia wanaisha kwa jaba
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 28 күн бұрын
Na kubaliana kabisa na gavana mogoka ni hatari na unaiharibu future ya vijana , watoto akili Zina haribika.
@bonfacegitonga6743
@bonfacegitonga6743 24 күн бұрын
Hautoboi
@answarsalim220
@answarsalim220 28 күн бұрын
Muheshimiwa angalia na immigration wengine tuna maliza mwaka passport kurenew hazijatoka na hajira Kenya hamna
@mohamadali-3350
@mohamadali-3350 28 күн бұрын
Siasa mbaya maisha mbaya.
@Aunty254
@Aunty254 28 күн бұрын
What about kwale county?does it mean vijana wataingia diani kula muguka?
@mzurijora6247
@mzurijora6247 28 күн бұрын
Kwale county ni zone ya KK..😂😂😂..
@jaybrashikhamis3970
@jaybrashikhamis3970 27 күн бұрын
Alafu pia kiswaili kitukuzwe bwana governor... Sio wote wanaelewa wt ur talking about mhesh... Sasa wazee itabidi Google translate ama
@mohamadali-3350
@mohamadali-3350 28 күн бұрын
Je baa zilzo wazi asubuhi na kuuza vikali mbona usifanye uamuzi?
@higahassib6614
@higahassib6614 28 күн бұрын
Baadae huo ni muanzo
@user-pn1dp2ee9x
@user-pn1dp2ee9x 28 күн бұрын
Cocaine na mukokaa ni gani hatari,mbaya sana?
@alwysaggaf
@alwysaggaf 28 күн бұрын
Zote mbaya na hatari na zote zinapigwa vita. Hatutaki mugokaa na tutapambana kivovote. Governor ASN usiregee nyuma!
@froma3732
@froma3732 28 күн бұрын
Wewe ndio utuambie ipi ni bora
@user-pn1dp2ee9x
@user-pn1dp2ee9x 28 күн бұрын
@@froma3732 cocaine ni mbaya kaka,ndugu yangu aliitumia kwa miaka sita akafutwa kazi KPA
@user-hg4xu2st6w
@user-hg4xu2st6w 28 күн бұрын
Kataza bangi na unga bona uja sema ujafanya kitu
@user-pn1dp2ee9x
@user-pn1dp2ee9x 28 күн бұрын
Wenyewe wanajijua
@higahassib6614
@higahassib6614 28 күн бұрын
Tuna kuja huko usiwe na haraka mdogo mdogo
@mamlomamlo9064
@mamlomamlo9064 28 күн бұрын
Safi sana hata hapa dsm mtaa wa amana Kuna machotara na waarabu wengi wanatumia miraa na wanauziwa na weusi
@johngeorge4834
@johngeorge4834 28 күн бұрын
Huyu muindi atarundi kwao India aache biashara za wakenya pekeake period....unga na bangi sio mihadarati nongwe hii
@alwysaggaf
@alwysaggaf 28 күн бұрын
Sisi hatutukani na kuleta ukabila kama wewe ndugu. Muhindi, Kamba, Kikuyu au kabila nyengine yooyote ile tunawakubali. Hatatuaki mukokaa hapa na iko na madhara na imepigwa marufuku hapa county yetu.
@johngeorge4834
@johngeorge4834 28 күн бұрын
@@alwysaggaf muguka tutauza Mombasa by fire by force,hata sahii iko Kwa njia inakuja
@muhammadhariz1100
@muhammadhariz1100 28 күн бұрын
Tutawaonsha taratibu tu wacheni upuzi wenu Governor hoyee tuko pamoja na wewe inshallah
@MaimunaHamza-cx2dc
@MaimunaHamza-cx2dc 27 күн бұрын
​@@johngeorge4834 Hii mongokaa inathiri pia wapandaji na wauzaji pindi wa kiishika kwa mkono,ndio maana out of all the crops wana'nga'ngania tu hii,na wanajuwa vlivyo uovu wake
@user-zq6dw1zv4g
@user-zq6dw1zv4g 27 күн бұрын
His full of bullshit...why dies nit go for the cartels who are selling Hard Core A CLASS DRUGS...because his partner in Crime... U are milking the mombasa county funds...SHAME ON HIM..
DELETE TOXICITY = 5 LEGENDARY STARR DROPS!
02:20
Brawl Stars
Рет қаралды 22 МЛН
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 8 МЛН
Luck Decides My Future Again 🍀🍀🍀 #katebrush #shorts
00:19
Kate Brush
Рет қаралды 3 МЛН
MAZINGE ASHINDWA KUVUMILIA AMUULIZA SWALI SH MUHAMMAD BACHU ?
5:03
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 35 М.
KEMIKALI NDANI YA MUGOKAA | ENGINEER LAHMADY BIN LAHMADY
36:33
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 2,4 М.
GAVANA ABDUSWAMAD   HATUTATISHWA MSIMAMO WETU NI ULE ULE JUU YA MUGOKAA
7:29
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
WAPWANI WAMEAMUA KIVOVOTE KUPINGA MUGUKAA
20:37
Ahmad Badawy Tv
Рет қаралды 34 М.
DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.
19:15
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 25 М.
UTATAMANI KULIA: MSICHANA WA MIAKA 27 ALIVYOPELEKA UISLAMU KIJIJINI KWAO
7:05
KISA CHA MTUME NA DHUL-KHUWEISIRA | SHEIKH MUHAMMAD BUTE
6:44
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
0:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 4,7 МЛН
Не плавайте тут!😨🌊
0:26
Взрывная История
Рет қаралды 2,2 МЛН
Какой «Привет» самый прикольный?😂🤌@NastenkaKosh
0:14
Софья Земляная
Рет қаралды 1,4 МЛН
Stick Man Is NOT Having A Good Day 😢 | Shorts
0:37
Gruffalo World
Рет қаралды 15 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
0:54
INO
Рет қаралды 61 МЛН