Mashalah mogokaa hatutaki ni chaafu saana mokojwa sheytaani
@Nora-v1m3p7 ай бұрын
Ma sha Allah tabaraka Rahman shairi zuri . Wapwani hatutaki mughoka mira na ulevi wowote marufuku haswa mighoka chafu sana
@mohamedahmed-gt1qv7 ай бұрын
In Shaa Allah Mungu Atatufaulisha na mungu atupe umojs ndio tuushinde kwa haraka
@bilalomar11857 ай бұрын
MashaAllah❤❤❤❤ i Umoja ninguvu🎉🎉🎉🎉
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@mzurijora62477 ай бұрын
Very good...very very good...Ni wazi kabisa uongozi wa national government, tulio nao kwa sasa, hauna HESHIMA kabisa na wapwani. Na sio wapwani pekee, hauna HESHIMA hata kwa UBINADAMU kwa jumla.. 😊😊
@soloibrahim96737 ай бұрын
Good move do all your best to protect your future generations as those merciless politicians are protecting protecting their farmers .
@AishaFamau-kb6mq7 ай бұрын
Hakuna kuogopa hakuna kurdi nyuma wao angalie kwao na sisi tunahaki kwetu hongera magavana wetu Big up.
@isagreg84827 ай бұрын
Jicho pevu ako wapi mbona amenyamaza 😂😂😂😂
@andallaathman38567 ай бұрын
Hyo NI mtu WA chuki tuu anajifanya kma nimtu anapiga vita mihadharati but Leo haonekani kabisa
@Khalid-mf3iu7 ай бұрын
Ako safari
@andallaathman38567 ай бұрын
@@Khalid-mf3iu atarudi utasikia akiimba nyimbo ya ruto kma duale ,miraj,na fatma achani
@williemzazi20307 ай бұрын
Jicho pevu anachungulia kwa dirisha😂😂
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@Kijosh8547 ай бұрын
Hatutaki mugokaa pwani InshaAllah Allah atawaalani wote wenye kulazimisha kutaka kuaribia wapwani maisha yao kwakuwauzia mugokaa
@naomikrause17627 ай бұрын
HONGERAAAAAA WAPWANI MUSIMAMO NI HUOHUO HAKUNA MUKUGA PWANI 🙏🙏🙏💪💪💪👏👏👏✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
@jumaahmadi7 ай бұрын
Mashallah tupo pamoja form tz
@HASSANNzai-y8g7 ай бұрын
MashaAllah Allah akukhifadhi kwakuitetea khaqi inshaAllah.
@chiwayamruche94157 ай бұрын
Pamoja sana wapwani wenzangu💪💪💪💪💪💪💪💪
@kabwere7 ай бұрын
Alhamdhulilahi....muda ni sasa. Tupingeni kabisa. Mugukaa ni sumu kwenye kizazi chetu.
In shaa Allah Allah atupe nguvu wapwani tulinde vizazi vyetu
@halimamistri86387 ай бұрын
Hongera wa pwani misimamo ni huyo huyo Hatutaki Muguka na Miraa ni ulevi .
@Fays20107 ай бұрын
They should produce maize instead of Maguka and Mira. Why they produce hazadous leaves instead.
@abousadallah35637 ай бұрын
gaweni nchi tuu,mumbasa igitegeme
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@HansChuma7 ай бұрын
Tanga kwetu tanzania na Mombasa bibi moja mama moja baba moja shangazi moja bora muwe kwetu turudi kama zaman kweli wanataka wakumalizeni nduguzetu😢😢😢😢
@SophiaMbogo-in7yt7 ай бұрын
MashaaAllah tabaraka Allah Mola akuzidishie umri wenye kher nanyi I'm very happy to see the crash of mugokaa and miraa Allah awasimamie muweze kushinda InshaaAllah
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@MombasaKwetu-ft9ky7 ай бұрын
Kwani nilazima wauze pwani wauze huko kwao
@farjallahubeydabdulrahman48457 ай бұрын
Tuko pamoja kupinga muguka waah kumbe wanatuuzia sumu hatutakubali kabisa ikiwa wanataka waende bara wauzie watu wao hatutaki kwani lazima wauze pwani ole wao siku zao zimefikia mwisho miti yote iteleze HATUKUBALI KAMWE
@rosekadzokillian97007 ай бұрын
Hii ngoma ni kali, ..... 2027 mpigien Tena,...
@selinaapondi53877 ай бұрын
We support you full
@HaidarMzee7 ай бұрын
Sisi kama wapwani hatutaki mugoka sio lazima mugoka ulete pwani uende huko bara
@ummiissaabdulissaabdul81177 ай бұрын
Allah ataleta ukweli na ambao waumga mkono huu ujinga Allah ataumbua inshaaallah shida wapwani hawana umoja washerekea ujinga sasa
@mamitomamita62847 ай бұрын
ALLAH KAREEM
@ranoxranduh97437 ай бұрын
Kama n mzuri wakiwa bunge wachonge huku wakiendeleza vikao vya bunge
@MwakachiMwamvumbo7 ай бұрын
Ahsanta, mungu atatubariki na maombi yetu yote atayaitikia aaamin aamin
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@sierabravo8487 ай бұрын
Kazeni Kamba Wazee na gavaner.tanzania ni marfuku miraa angalia watu wao wanajishughulisha na kazi na mashaalah watu wana nidhamu na busara.lkn Kenya ni balaa
@ramlajeffah98317 ай бұрын
Kabsa mumesema kweli babazetu pia sisi twasimama na nyinyi hatutaki mugokaa kenya
@adokaish7 ай бұрын
Watu wa pwani wamewaka moto
@RehemaMbito-j1m7 ай бұрын
Wanataka kumaliza wapwani wanatumia kila njia,lakini Allah atatusimamia in shaa Allah.
@nchimbuke72617 ай бұрын
Ikibidi Sana Bakora Zitembee Tu Wasitutawale Kila Kona
@dorinewanyonyi1167 ай бұрын
Pole sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmaabdul28737 ай бұрын
Wapwani tushikane tuungane no mugokaa it's now or never
@hassanshaaban-gpp7 ай бұрын
الله معكم و يسدد خطاكم
@alimasha-qh3vn7 ай бұрын
Kweli mzee hawa watu wanatubeba ufala sana
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@pacificabaursch44307 ай бұрын
Big Support to Coast Pro. NO NO Muguka 🇧🇪
@mwanashamzee27127 ай бұрын
La msingi ni kuacha muguka
@georgendungu22477 ай бұрын
Hapo Sasa raisi ni Moja
@mwanakombopopo51177 ай бұрын
Pammoja nko Bahrain
@nuriaahmed99867 ай бұрын
wapwani msimamo ni huo huo musirudi nyuma mungu atawasaidia
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@adokaish7 ай бұрын
All fired up
@PaulKisui7 ай бұрын
umeshelewa,elewa sheria kuuu na sheria ya kaunty ni tofauti kabisa
@z-1il7 ай бұрын
Allahu Akbar
@eliasbinmusah41987 ай бұрын
Anaitwa Abu mwenyewe
@Zainab-f9w5x7 ай бұрын
Ruto hana dini
@oyay28217 ай бұрын
Huyu ndie Sultan wetu
@lordenoughforme44177 ай бұрын
Viongozo Wasiende kwa ruto.raisi dectator.anaangalia wabara wake hataki kujua wapwani.tutachoma magari yataokuja yamugokaa shenz kabisa
@bakarikenga44267 ай бұрын
Tuandamaneeeeee
@adokaish7 ай бұрын
The right will reign God is on our side ..the evil ruto gava wil not win
@adokaish7 ай бұрын
I love the shahiri
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@mwangimuhammad-sx9hb7 ай бұрын
Huyo zakayo aliegemea upande wa kisiasa coz huko miguuka itokapo, zakayo kapoteza uungwaji mkono, so anajaribu kuwafurahisha
@BiashaElefu7 ай бұрын
🎉🎉🎉💃💃💃🌹🌹
@HansChuma7 ай бұрын
Mashallah
@arostoboy7 ай бұрын
Warudi Oman pwani ni Kenya, kama wanaona bado ya Sultan hamud ama mazrui wanaota, Mombasa ni Kenya n wakenya ni wamoja
@z-1il7 ай бұрын
Mungu awazidishieni
@andallaathman38567 ай бұрын
🎉abuu bakar mashaa llah umeongea kma watu Mia
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@andallaathman38567 ай бұрын
@@noahwamalwa4385 ndio wambie wenzio watubu BC uchafu umezidi kupitia nyinyi kwenu hamjali
@elinamkare-vw2ro7 ай бұрын
Mombasa tumekataa hatutakii mogokaaaa
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@IbrahimWare-ge2qz7 ай бұрын
Sawa😂❤ 1:45
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@HalimaMusa-e3k7 ай бұрын
Mbona wanatuonea watu wa pwani
@adokaish7 ай бұрын
Hatotaweza ...lamu swa nice
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@KoomeNzima-e2v7 ай бұрын
Wanasema pwani si kenya
@Blackmuslimtiger30257 ай бұрын
Yeah sio kenya uta do????
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@sophiaesmarcharo97757 ай бұрын
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@josephmikae797 ай бұрын
Hapo kweli tuta finya hizo gari za migokaa😅😅😅😅😅
@adokaish7 ай бұрын
Suala .. bwenyenye ...ubaya ni tama ya hela...
@MohammedAli-fp9vn7 ай бұрын
Hupewa pesa wao wavuvi walamu mpaka leo hawajapata ridhaa zao
@angle36007 ай бұрын
Wakileta nywenywe nywenywe wapwani wafanyieni kile kitu hao watu wa gokaa,na Ruto Mungu atamuona
@abdallasarai63277 ай бұрын
❤❤❤
@iddiyrashid16827 ай бұрын
Ingekuwa mugokaa unatokwa pwani wangekubali usitumike lakini unatoka kwao kazi ipo
@babuuosama87527 ай бұрын
Ruto pesa pesa pesa Mungu wake Ruto anahabudu pesa sio Mungu Ruto billions 16 za baiden za kukubali ushoga kenya Ruto kwa Baiden ni kipenzi Rafiki .Ruto mokoga ushuru million 500 ni borah borah kuliko Maisha ya vijana viongozi wa kesho wa taifa la kenya . Zakayo money made him ....... Almighty Allah GOD Enemy .
@pacificabaursch44307 ай бұрын
Mugoka is not vegatable leaves, that can be cocked use to eat together with Meal, but drugs. Mugoka are not like coffee or tea leaves to be chewed but to be taken or drinking.🇧🇪❤❤
@bigmanfish63467 ай бұрын
Lakini nashangaa na kitu kimoja. Mbona hata siku moja hamujasimama hivi kuzuia unga na bangi?? Sielewi bado mimi
@rezzahjuma81197 ай бұрын
Mgokaa usitishwe kabisaaaa
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@RacusLove7 ай бұрын
STOP 🛑 Mugokaa. Atleast not to supply to Pwani. It's not late wa pwani waungane waokoe future ya Jamii.
@fardoshnassor78477 ай бұрын
🙏🏽💯💖💖💖
@awashomar56067 ай бұрын
kweli kabisa twahitaji haki itendeke mongokaa ni sumu kali.
@adokaish7 ай бұрын
Agenda nikuangamiza wa costo...😂
@AishaFamau-kb6mq7 ай бұрын
Magavana wetu tuko nyuma yenu mungu atawapa nguvu mungu hayuko madhalimu.
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@madrassatulihyaa-ilislaami29117 ай бұрын
Wakikataa kutuskiza tupigeni kututi kila msikiti kuwaalani kwanzia Rais na wote wanaounga mkono katika serikali, tuwapigie kunuti wote wafee pumbavu sana
@MableGayi7 ай бұрын
Mbona huyo ruto wasiuze mogoka kwao
@ummiissaabdulissaabdul81177 ай бұрын
Ruto nshoga na Achani malaya tu wakawaida mbwa awa yule mwanamke Achani wa kwale ndio nalauni mkubwa msaliti wa pwani yani. hana muelekeo mbea sana yuaogopa mumewe ruto awezi kupiga lilote uyu
@nixonmwanguni30947 ай бұрын
Kwengine mwapinga,na kwengine mwataka mogoka
@fatumajuma5927 ай бұрын
Umesema kweli
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@adokaish7 ай бұрын
Ruto is mtu mzuri..bottomline
@fatumamwalimu57657 ай бұрын
Chakushangaza madaktari wamegoma zaidi ya miezi 4, Ruto kila siku yuasema serikali haina pesa ,sasa million 500 amechota tu akapeana hivyo !!!! Kweli serikali ya Kenya kwa sasa inaongozwa na raisi mlimbukeni na asiejitambua na wingi wa kutaka sifa
@IsmailBaya7 ай бұрын
Wapwani hatutatishwa na mtu yeyote.No mogoka in mombasa
@idirisdowla7 ай бұрын
Asc
@ramadhansoud24417 ай бұрын
Boycott ya marungi na mukuga itakua best solution tukipambana na kesi
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@alfredkoleta40547 ай бұрын
Songeni mbele kabisa
@adriankenyan79387 ай бұрын
😂😂😂 mbele ya pesa. Watu wasimama kusema Mugoka lakini kina Joho waingiza madawa ya kulevya hawaongelei . Pesa kweli haina adabu .
@arafatally37237 ай бұрын
Anti narcotic police wako wapi wadeal na drug barons?Vp madawa ya kulevya yamo mijini mwetu ilhali mipaka inalindwa?
@adriankenyan79387 ай бұрын
@@arafatally3723 Joho everyone knows Kua does drugs his brother too na Abdulswamad has been with them the whole time in their deals . No border controls cos they hold diplomatic passports na ni kitu wengi wako nao . This fight is all about who deals with what . Miraa and mugokaa now brings lot of money for them it’s a threat in Mombasa for their businesses
@halimamistri86387 ай бұрын
Marufuku Muguka na Miraa.!!!!
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@makhanguwakhutu24087 ай бұрын
Jicho pevu anasemaje
@arafatally37237 ай бұрын
Aongee nini na Ruto ashaongea?Analinda maslahi yake
@aishaamran72967 ай бұрын
moto uendeleee kuwashwa huo usizime
@noahwamalwa43857 ай бұрын
Ufalme wa Mungu Baba umekaribia. Tubuni na kuiamini injili. Hivi karibuni Issa Mwana wa wa Maryam, Mungu Mukuu na Mwokozi wetu atashuka na kuihukumu dunia. Yeyote na aliye na masikio na asikie.
@yusufsaid89117 ай бұрын
HUYU MOHD ALI NA HASSAN SARAI WAMEPOTEA WAPI WAKATI HUU WA KUPAMBANA NA MIHADHARATI. NA NDIO WALIOKUA WAKIPIGA KELELE KUHUSU MIHADHARATI WAKATI WA JOHO AMA SABABU WAKO KWA SERIKALI
@princefeisla36927 ай бұрын
Wako na rais wao😂
@abdallahakida79087 ай бұрын
Tena hatutaki mogokaa kabisaa na tafadhalini magari yenu tutachoma malory wananchi hatutaki