Jemedary ana akili timamu sana plus maarifa. Hongereni sana Crown FM mnajua mnachokifanya.
@RAJABWADIGOGOАй бұрын
Jemedari wew upo sawa san kaka
@Sampovoice8088Ай бұрын
Jemadari yupo vzr
@PwezaАй бұрын
Jemedari anajielewa sana... Hongera sana Dingi kwa ubongo uliobarikiwa
@pena_tzАй бұрын
Bongo watu wanasepa sana na idea za watu. Ukijichanganya utume email tuu kusema una mawazo flani watu hawakujibu utakutana nalo limeenda mjini 😅😅
@HamisiMwazikeniАй бұрын
Nomaaa
@verickkabyemela1691Ай бұрын
Jemedari umeongea kitu safi sana na unatoa na mifano kabisa
@hajimnubi4581Ай бұрын
Kws mara ya kwanza leo jemedari nimemuelewa
@ananiauhes5168Ай бұрын
Geof Lea wakat mwenzako anaongea never interrupt ili kupata flow nzur ya mwenzako wakat anazungumza
@othumanlorenzo260Ай бұрын
juma yuko sawa waandishi hawajui kabisa mambo ya haki miliki na haki shiriki naomba muwe mnaalika watalamu... waje kudadavua sheria ya haki miliki na haki shiriki na hiki hukumu...
@FiftyCommoditiesАй бұрын
Chuki tu za waTz but uyo jemedari hakuna mchambuz bongo hii anaknowledge kama yake the reason nasikiliza michezo kill siku ni huyu jamaa
@fredylucas2484Ай бұрын
Unamlaum sababu uelewa wako mdogo. Simon Cowell alipelekwa mahakamani akaamua kumalizia nje ya mahakamani na rafiki yake anaitwa Simon Fuller. Xfactor
@SaidiIduriАй бұрын
Tunahitaji kuwa na watu wa michezo na sio wajuaji wa Kila jambo
@SaidiIduriАй бұрын
Yeyee ndo amebeba chuki baada kukuona Hana ukubwa kwnye hii tasnia
@sickyfigter3274Ай бұрын
Ivi juma ayo mbna kama anabishana ovyo
@Boka-cf3reАй бұрын
Ishu ni kwamba mwamakula ana ushahidi hadi wa email na meseji,..ndicho kimembeba mahakamani
@saltechnologiesco.ltd.2377Ай бұрын
Wizi hautetewi hata kama mwizi ni tajiri! Inasikitisha sana mawazo ya watu kutothaminiwa na kupewa haki zao