GEORGE AMBANGILE AFUNGUKA KUHUSU CHAMA / KOCHA FADLU DAVIDS ANAFAIDA / SIMBA WAWE WAWAZI KWA KOCHA

  Рет қаралды 10,443

Simba SC Fans Tv

Simba SC Fans Tv

24 күн бұрын

Karibu Simba SC Fans Tv,
Simba ni klabu iliyofanikiwa zaidi katika nchi za Afrika Mashariki,Hapa utapata wasaa wa kutazama Marudio ya mechi, na mahojiano.
Usisahau kujiunga nasi .
Karibuni sana.

Пікірлер: 12
@nasseraljahwri6310
@nasseraljahwri6310 22 күн бұрын
George Ambagile, cool & composure, you're simply the best, napenda unavyo chambua mpira cool as you like, keep it up bro.. Love all the way from Oman
@abelephraim1527
@abelephraim1527 22 күн бұрын
Keep up mzee ambangile uendelee kuwa na weledi .......uko vizuri..
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 22 күн бұрын
Haya tena tukayaona kwa waliokosa deal. Eng. Hersi wakalitengeneza yeye na Azizi Ki wakifikiri yule kungru aliyekuwa anawinda vifaranga vya kuku bado yup kumbe yule kunguru kagundua Kuna mtego Kapaa kuelekea mashariki ya Kati waliko kunguru walioshiba hawakamari vifaranga tena. Ikabidi vlkifaranga cha mtego kikarudi kwa mama yake kunguru waliposhitukia mtego.
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 22 күн бұрын
Nimekuelewa Ambangile
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf 22 күн бұрын
Ambangile unatakiwa uwepo katika shirikisho kutoa ushauri wa kiufundi una kipaji kikubwa
@methuselaemmanuel1950
@methuselaemmanuel1950 17 күн бұрын
😂😂😂 ich kipara kinaakil san
@hashimhassanimassawe8366
@hashimhassanimassawe8366 20 күн бұрын
Kwaniyeyemnamsikilizaga.vizurikweli.hhuyu.jamaa.kasoro.utopolonakumwelewa.mpakauwe.umesoma.kyuba.ajawaige.kuongeleakizuri.chasimba.huyu.kaziyakekubwa.kuisifia.yanga.kuiponda.simbanawenzake.wote.baba.mmoja.mama.mmojauzurisikuizi.siwasikilizaji.muda.maanahuwa.wakoupande.mmojatu
@MajidMajid-ll8mf
@MajidMajid-ll8mf 22 күн бұрын
Katika watu ninao wakubali ambangile ni mtu mwenye weledi
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 22 күн бұрын
Ss wanasimba hata tusikie chama kafa hatushtuki labda tusikie mtanzania kapombe au shabalala
@SophiaJoseph-gz6gk
@SophiaJoseph-gz6gk 22 күн бұрын
Katika wachambuzi wote wewe ni mchambuzi mahili Sana
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA 22 күн бұрын
JE NI SAWA katika WELEDI WAKO Mwandishi au mtu wa MEDIA KATIKA ENEO LA MAHOJIANO,Kwasababu NYUMA KWA JICHO LANGU NINAONA NEMBO YA WASAFI wakati wewe ni SF TV?
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 52 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 36 МЛН
Amateka ya RUGANGURA Axel. mbega ibintu yihariyeho bitangaje!!🤔
14:05
Eng Regis SOUVENIR
Рет қаралды 3,7 М.
MZEE KAMWE ATINGA MKAPA | NINA UGOMVI NA ALLY KAMWE KWENYE MPIRA
11:16
Knee Slide Fails 😂
0:26
footpanna
Рет қаралды 7 МЛН
Dad's disbelief turns to pride as daughter scores as a boy #shorts
0:32
Fabiosa Animated
Рет қаралды 3,3 МЛН
KARATE JANGI VAQTIDA HALOK BOLDI YOKI XUSHINI YUQOTDI
0:23
XO'JA UZ
Рет қаралды 3,1 МЛН
Вот так улетает Ута Абе от Келдиеровой! Лучшие моменты ДЗЮДО, из сети.
0:19
Андрей Шидловский Оздоровительная Борьба.
Рет қаралды 1,5 МЛН