GHANA NA UKRAINE WANASHIRIKIANA KUENDELEZA UGAIDI BURKINABE,MALI NA NIGER

  Рет қаралды 3,907

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

Күн бұрын

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Пікірлер: 22
@SalumMasengwa-b9s
@SalumMasengwa-b9s 11 күн бұрын
Ukuu wa Muwafrika udumu milele kati yetu ktk imani zetu pamoja From Uroa school Zanzibar nikipata upepo mwanana kutoka baharini
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb 10 күн бұрын
Upo sawa,unavyochambua😊
@ShabaniMbwana-fz3rm
@ShabaniMbwana-fz3rm 10 күн бұрын
Mungu wape nguvu viongozi hao wa kijeshi waweze kushinda udhalimu huu amiina yarabi
@MahdouMomba
@MahdouMomba 11 күн бұрын
Daaah, Nana Akufo Addo mbona anaturudisha nyuma tena, mbona Nana Akufo Addo anafanana na Diomaye Faye, mbona hana upande maalum, Ghanians need to expel him
@nsabimanamoussa3364
@nsabimanamoussa3364 11 күн бұрын
Taifa hilo munaosema kuwa ni la Mungu bali nitaifa la shetani. ikiwa unyama wao na ushoga number one duniani kwote.
@Jal210
@Jal210 11 күн бұрын
Mbwa sana huyo Ghana
@MahdouMomba
@MahdouMomba 11 күн бұрын
Tutapiga hatua ila Coup-detat ifanyike ili imng'oe Nana Akufo Addo
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 10 күн бұрын
Huyo akufo ana uso mbaya hebu mtizame na mdomo wake puppet kama ruto
@nsabimanamoussa3364
@nsabimanamoussa3364 11 күн бұрын
nikweli huyu president wa Ghana ni hovyo sana.tena kibalaka mtifu wa western. kwanza huu inchi yake ilipiga kula ya kuilani urusi. tena hata ule mkutano wa Russia Africa summit hawakwenda. tena mimi nimemusikia siku Blinken alipo zuru Ghana pamoja na delegation yawa America na Akufo Addo akiwa na delegation yake ameomba America walete kambi ya kijeshi yawa marekani inchini Ghana. tena akasema kwamba wale wa Sahele state kwamba nikama majambazi. ndio maana nasema Yule katika maraisi wote wa Africa Yule pamoja na Ruko siwapendi ni kibalaka wa America na Uraya.
@TwahaAliMtumbi
@TwahaAliMtumbi 11 күн бұрын
Ata utumwa ulianzishwa na waghana. Hawa watu waghana msiwaamini kabisa vibaraka haswa
@kahemachowdry7346
@kahemachowdry7346 11 күн бұрын
Mtumwa wa asili ni Mtumwa wa milele
@Sixtus-k7v
@Sixtus-k7v 10 күн бұрын
Nanaa adofu ni kibaraka hapo ikulu hastahii hata kidogo apishe hapo afrika ijitawale
@babuuosama8752
@babuuosama8752 10 күн бұрын
Jitu zima ovyo Wagana mshulikieani Kibaraka chawa wa mabepari weupe 😅
@simbahussein4416
@simbahussein4416 10 күн бұрын
Kwani kama wata kuchukiya kwa ni kuna shida gani una skiya hoga wa nini hata Gana ni ma shoga umbwa mjinga huyo mzee.
@FarajaKihembwe
@FarajaKihembwe 9 күн бұрын
Viongozi wetu ni madalali kwa njia nyingi
@ndayishimiyeinnocent4441
@ndayishimiyeinnocent4441 11 күн бұрын
Tutasongambele bwana,wewe usijari
@maryamtan682
@maryamtan682 10 күн бұрын
Huyo ni wakuliwa kichwa tu. Asitupotezee muda.
@FarajaKihembwe
@FarajaKihembwe 9 күн бұрын
Mambo ya ajabu yanafanyika upande mwengine 😂
@HeriDunia-i7m
@HeriDunia-i7m 10 күн бұрын
Ghana choko
@ericosambi2736
@ericosambi2736 10 күн бұрын
Ghana jamaa apinduliwee ndoo dawaa tuu
@RIDHIWANLEMA
@RIDHIWANLEMA 10 күн бұрын
TUTAFIKA
@machindafadhili3186
@machindafadhili3186 10 күн бұрын
Kwa nini hauchambui ya TANZANIA? unaogopa nini? Maana dhambi ni nyinhingi zinazopitika hapo ila hujapngea.😂😂😂 Unakimbia vita mchambizi
SISI SIO OMBA OMBA, MALI NIGER NA BURKINA FASO WAMEMUAMBIA MCHINA
15:15
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 28 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 20 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3 МЛН
SIMBA DANGOTE ALIJIPELEKA MWENYEWE KWA DIDDY ANAFICHA MAOVU WALIYOFANYA HUKO
12:37
PUTIN AMEMPA TRAORE HILI NDEGE KUPAMBANA NA MAGAIDI UKANDA WA SAHEL
13:06
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 31 М.
ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE
8:52
Mbengo Tv
Рет қаралды 195 М.
P DIDDY ALICHOMFANYIA DIAMOND NI AIBU KUBWA
12:44
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 27 М.
IRAN NA BURKINA FASO WAMESAINI MKATABA WA NYUKLIA: NATO HAWANA HAMU
10:49
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 22 М.
TRAORE AMEIFANYA MAKUBWA BURKINABE NDANI YA MUDA MFUPI SANA.
48:04
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 9 М.
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12