ASKARI MZEMBE ALIVYO ANGUKA MBELE YA RAISI, UTACHEKA UFE

  Рет қаралды 456,680

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 183
@shyaka-xu5cv
@shyaka-xu5cv 7 күн бұрын
Good drill I am Rwandan
@helloworldtv3663
@helloworldtv3663 2 ай бұрын
Like from Rwanda 🇷🇼 🇹🇿 ❤
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 2 ай бұрын
Mh 👏👏 kwakweli Hawa maaskari wapo vizuri sana hongera kwao kwakwel
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 ай бұрын
Love you so much ❤
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 2 ай бұрын
@@MaryMichaelMaryMichael-i7o 💓
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 ай бұрын
@@tuzonyava8306 jamni blessd kizur kinaonekana tu Akiii...tunapenda bureee 2..maana ukipewa ww ujaribu kufanya hvoo utoboi
@karangwafred3835
@karangwafred3835 2 ай бұрын
@6:54 nimeceka sana. Tanzania is truly amazing & a great Nation. Ninawapenda sana ndugu zangu. ❤
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
Twakupenda pia boss.
@MadilyneLinzy
@MadilyneLinzy 2 ай бұрын
It's enjoyable. Good comedy❤❤🎉
@lucasmgaya9710
@lucasmgaya9710 3 ай бұрын
Wapo vizuri na ni kumbukumbu nzuri.
@danielmyahudi1339
@danielmyahudi1339 2 ай бұрын
A very nice military presentation ever😅🔥🔥🔥
@LuqmanSalim-e8z
@LuqmanSalim-e8z 5 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💯
@ThomasReginaThomaspresident
@ThomasReginaThomaspresident 2 ай бұрын
Regina Thomas president Uganda s one yellow ❤😂🎉😢😮😅😊
@RAMPA_Dee
@RAMPA_Dee Ай бұрын
😂😂😂😂😂 Naipenda Tz na wa Tanzania pia,muli tufukuza kwenu 2012 i will never forget 😢 unyanyasaji tuliwo fanyiwa na jeshi, police wa Tanzania. Like from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@DavidGiven-c7o
@DavidGiven-c7o 8 күн бұрын
Yaliyotokea tuyasahau maana wote ni binadam tunamapunguf ok bro tupendane na tusiwe na vinyong
@AdamNdaki-n6q
@AdamNdaki-n6q 5 күн бұрын
Poleni ndg wasameheni tu mungu ni mwema
@RAMPA_Dee
@RAMPA_Dee Күн бұрын
@@DavidGiven-c7o kweli kaka mana kipindi hicho sitokisahau kamwe yani ninge pata bahati ya Kukutana na viongozi wa Tz ninge wawomba kitu 1 tu ..wachukuwe wakimbizi kama binadamu wezawo
@RAMPA_Dee
@RAMPA_Dee Күн бұрын
@@AdamNdaki-n6q kweli kabisa walicho tufanyia Mtabila mwaka 2012 mwezi wa 12 daaaa niligunduwa kwamba binadamu wengine hawana hulumu,walicho tufanyia watakilipia
@Bram-b6y
@Bram-b6y 2 ай бұрын
Nzuri kweli.Good enactment,wabongo.
@EricKorir-en3mf
@EricKorir-en3mf 2 ай бұрын
Yaani hii ni mbele ya rais.. ni funny 🤣😂 Huku Kenya nope!!
@GideonKoome-m4w
@GideonKoome-m4w 3 күн бұрын
😂😂 miondoko ya miguu😅😅
@joelkubai4231
@joelkubai4231 2 ай бұрын
Your matching like kenya scouts 😂
@iddikimia4951
@iddikimia4951 3 ай бұрын
Kweli tumetoka mbali well done❤
@robertphilip385
@robertphilip385 2 ай бұрын
Wala hatujatoka mbali Bado tunae mkoloni mwingine ccm anaeteka watu
@MutaliiMika
@MutaliiMika 8 күн бұрын
Nawapeda sana 🇸🇸🇹🇿
@PatrickiGodfrey
@PatrickiGodfrey 5 күн бұрын
Izo step ninomaaa
@gastonpeter4265
@gastonpeter4265 2 ай бұрын
Kumbe Kuna Doria ya kuwatishia Raia na hamsemi☺️
@Yassinseleman
@Yassinseleman 2 ай бұрын
😂😂😂😂usiseme kwa nguvu na wewe hata mm nimeisikia
@benjaminthewiseguy5006
@benjaminthewiseguy5006 2 ай бұрын
good presentation
@seifseif9215
@seifseif9215 2 ай бұрын
Saaafi sana jeshi la tanzania lina vitu vingi
@mzeemombasa.3456
@mzeemombasa.3456 2 ай бұрын
British are outstanding administrators.
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 2 ай бұрын
😂😂😂😂uchawa umeanza miaka mingi.sasa huyu alikuwa anamwokotea mkolon fimbo ya nn?ila nilichokipenda ni uniforms zisiwe na mifuko.hii ingefaa kwa askari wa leo ila mmmm wa siku hizi wataficha hata kwa P.didi.😂😂😂
@kanuniwekeleya8712
@kanuniwekeleya8712 4 күн бұрын
Hahahaha😂😂 kwata zamuguuu
@ButeraIssa
@ButeraIssa 5 күн бұрын
Ooh salaleee, mmenifanyia siku mi kitoka Kigali Rwanda. Tumependa
@Prince-tu8el
@Prince-tu8el 2 ай бұрын
Hii kipindi inaitwaje jamani😅😅😅😅
@Wuod_Lou
@Wuod_Lou Ай бұрын
Kwani jeshi wa Tanzania bado wanavaa kama wa koloni,wavaa kama KAR(kings afriçan rifles)
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 Ай бұрын
Histori ilivyokuwa kale kwa nchi yetu
@Wuod_Lou
@Wuod_Lou Ай бұрын
@husseinallysuleiman4657 Hizo historia mbaya ya utumwa inafaa mwachane nazo,maana ya Uhuru ni mwanzo mpya sio kushikilia mshipi ya wakoloni,a new beginning
@Ben-kc1om
@Ben-kc1om 2 ай бұрын
Kabla ya kazi unakuywa urojo😂😂😂😂😂
@sivera2027
@sivera2027 2 ай бұрын
Waaaa😂😂😂😂hizi ni gani sasa😂😂😂🤦🤦😢😆
@Mghaza-m16
@Mghaza-m16 2 ай бұрын
Je wanalipwa😂😂
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂yani nmecheka wallah😂😂😂😂
@ChrisantJohn-d3l
@ChrisantJohn-d3l 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 good
@KimaniWaGikimah-c9t
@KimaniWaGikimah-c9t 2 ай бұрын
Rais ana wakati wa kupoteza kweli
@David-if6nk
@David-if6nk 2 ай бұрын
Kwani ana kazi gani ya maana hadi asipoteze muda
@mariammohamed6762
@mariammohamed6762 2 ай бұрын
Hata kupumzika asipumzike jamani?
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 ай бұрын
Jeshi lenye nidhamu😊😊
@dennisnjiro7922
@dennisnjiro7922 2 ай бұрын
Tarabush 😊😊
@eugeniombambe821
@eugeniombambe821 2 ай бұрын
Paredi nimeipenda inakomaza kusililiza, na wepesi unachoambiwa na kijua lakulifanya
@emmanuelmunuo7529
@emmanuelmunuo7529 3 ай бұрын
Daah historia nzuri
@tuyisengepascal518
@tuyisengepascal518 2 ай бұрын
I think is security company?
@ArnoldMhozya
@ArnoldMhozya 3 ай бұрын
Mbona ukakamavu yanawazidi na askari polisi😂
@JM-eo3wo
@JM-eo3wo 2 ай бұрын
Hapa kenya iyo kobia irikua ya home guards wa wabebero
@RichardHanga
@RichardHanga 2 ай бұрын
❤❤❤
@MutaiIrene
@MutaiIrene Ай бұрын
😂kumbe hata tz wako na vituko zao😂
@aterapaul2647
@aterapaul2647 2 ай бұрын
Mshahara duni
@RamadhaniOmerdy
@RamadhaniOmerdy 3 ай бұрын
😂😂😂 Tanzania ndo charnel ya vichekesho mbingu 🙌🙌
@YusufAbeid-v9h
@YusufAbeid-v9h 2 ай бұрын
Allahu allahu allahu mambrui
@AllanMnzava
@AllanMnzava Ай бұрын
Wakoloni walikuwa na akili sana sijaona mjeda nwenye kitambi hapo😂😂😂😂
@DennisMuigai-eh2kr
@DennisMuigai-eh2kr 2 ай бұрын
I guess this are comedians 😂😂😂😂😂
@Joy-t4s3q
@Joy-t4s3q 23 күн бұрын
🎉🎉
@FelixMacharia-y3w
@FelixMacharia-y3w 2 ай бұрын
😂😂😂auui hii ni drill ama drama,,hawa askali wakikuja kenya tunawapatia scouts wacompet na wao,,,bado wanavaa kaptula ?😅
@vincentoluoch-dt5iu
@vincentoluoch-dt5iu 2 ай бұрын
😂😂😂😂 this parade is full of fun kujeni kenya muone real parade hakuna kucheka na hii mchezo naona kikosi inafanya mbele ya rais
@shukranbulilo8132
@shukranbulilo8132 2 ай бұрын
the fact that it's funny in your eyes, it has fulfilled the original intention
@Joysmuna109
@Joysmuna109 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 2 ай бұрын
​@@Rogers_MuyaOfficialwakikuja ndo nini
@Rogers_MuyaOfficial
@Rogers_MuyaOfficial 2 ай бұрын
​@@JoshuaSabu-r2p UWAKATE NYUMA.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
twaja mkuu. tutafurahi mkitufundisha eti? 😄😄
@MohamedAbdallahSaid
@MohamedAbdallahSaid 2 ай бұрын
Wale wanakosoa hio parade labda wakati huo ndio ilikuwa ya kwanza Africa Masharika na udhaifu wake
@fabricejosephamanikayani7014
@fabricejosephamanikayani7014 2 ай бұрын
Siyo mzembe Bali ni njaa
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 2 ай бұрын
Hapo nimaigizo tu ndugu yangu
@Rasho4995
@Rasho4995 2 ай бұрын
Kazi gani hii kwasasa
@RobertMwinuka
@RobertMwinuka 4 күн бұрын
Tanzania tuko vizur itakumbukwa
@NAPHTALLEYAMEKEYA
@NAPHTALLEYAMEKEYA 2 ай бұрын
Mie mkenya namkosa Daktari magufuli ,rip
@AmanRafael-o9k
@AmanRafael-o9k Ай бұрын
@wamaemargaret3838
@wamaemargaret3838 2 ай бұрын
Bado wanavaa kaputula
@IREENKAIRUTHI
@IREENKAIRUTHI Ай бұрын
Askaris are human too
@JosephWanjala-t9u
@JosephWanjala-t9u 3 ай бұрын
Tanzania imetoka mbali...nawapenda sana jirani
@qedoshyisrael
@qedoshyisrael 2 ай бұрын
Hii ni sarakasi ama gwaride maalum la Jeshi 😂 😂 .
@LawrenceGingo-u2h
@LawrenceGingo-u2h 2 ай бұрын
Kamampira ulikua umetokanje ilitakiwarefa atoekona hirorefa likaipenderea Simba ndaana wakaazibiwawote nalefawao
@kepla9896
@kepla9896 2 ай бұрын
😂😂😂hii n comedy
@evancelimumba
@evancelimumba 2 ай бұрын
Those uniforms inakaa Kenya scout uniform
@alexandernjengaalex0442
@alexandernjengaalex0442 2 ай бұрын
Hakuna kitu hapo...mnafanya kama makurutu...kujeni kenya muone silent drill
@jean6030
@jean6030 2 ай бұрын
Intentionally done for comedy like enterrainment
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
twaja boss wangu tuko njiani mkuu
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 2 ай бұрын
Ebu we tuonyeshe yako bas
@wilsonthuo9639
@wilsonthuo9639 3 ай бұрын
njeshi lenye vinyaza😮😮
@malishainvestment-i2i
@malishainvestment-i2i 2 ай бұрын
Msemaji ana lugha fasaha
@daudimuha3904
@daudimuha3904 2 ай бұрын
Kazi ngumu sana na pesa duni
@evancelimumba
@evancelimumba 2 ай бұрын
Huku kenya hio sauti ni wanajeshi na polisi wana tumia kwa training
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 ай бұрын
ivi kumbe?
@marwa_chacha
@marwa_chacha Ай бұрын
Do you understand the essence of that show?!!
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@janetnanjalakanianga7835
@janetnanjalakanianga7835 2 ай бұрын
Kumbe Kuna nongwe Hadi Tz😅
@AminaBakari-gi4dr
@AminaBakari-gi4dr Ай бұрын
Kwendaa
@BLackPEsa777
@BLackPEsa777 2 ай бұрын
Damm they look like police from the 1900s during colonial times.. hiyo uniform mbaya sana.
@jean6030
@jean6030 2 ай бұрын
Done on purpose for entertainment.
@Permi-q5n
@Permi-q5n 2 ай бұрын
This is called replica. They are dressed as of that time period.
@HassanMelelek-v4f
@HassanMelelek-v4f 2 ай бұрын
I agree 💯 Percent Bulishit old colonial Era , My fellow African wake up this 2024 totally Bulishit it's time to throw away the colonizing mindset... Tanzania 😂 wat fxcck is going on 😂😂😂
@AminaBakari-gi4dr
@AminaBakari-gi4dr Ай бұрын
😂😂
@wilsonthuo9639
@wilsonthuo9639 3 ай бұрын
si waende Haiti
@samuelanjema3463
@samuelanjema3463 2 ай бұрын
Eeish unataka watoto wauawe😂😂😂
@jacobxj387
@jacobxj387 Ай бұрын
Tz is good in drama
@peternjuguna3475
@peternjuguna3475 2 ай бұрын
Tanzania ni mzaha pekee,,
@carolelangat-fortune4557
@carolelangat-fortune4557 Ай бұрын
Mzembe?!! That is so judgemental! Do you know what he might be dealing with?! Such as his medical situation?!
@GetrudaMrelwa
@GetrudaMrelwa 2 ай бұрын
Mahotola tv
@MedronundersonMkuyu
@MedronundersonMkuyu 5 күн бұрын
Kwanini tuzidi kuendeleza upumbavu tulioanzishiwa nawashenzi wazungu tunataka uhuru halali ,kiuchumi,kiutawala,kidini,kimila,kiutamaduni,kielimu,siotu uhuru wa bendera
@happykazikuboma2427
@happykazikuboma2427 Ай бұрын
Nimecheka sana
@muhirepatrick4342
@muhirepatrick4342 26 күн бұрын
Tanzania ni inshi ya amani
@DaudyJoseph-j5u
@DaudyJoseph-j5u 19 күн бұрын
Yanga sport
@_JOETHEBEST
@_JOETHEBEST 21 күн бұрын
Hawa ni askari wa jeshi gani tena
@florencenduku4427
@florencenduku4427 2 ай бұрын
Ee fateni askari wa Jeshi la Wokovu mjue kumatch
@allanmadete-m5l
@allanmadete-m5l 2 ай бұрын
was jeshi la wokovu neccesasry 😅😅
@IGANASCOSMAS
@IGANASCOSMAS 2 ай бұрын
Wamependeza na mavazi hayo.😂😂
@lameckNovat-i5z
@lameckNovat-i5z Ай бұрын
Good
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 3 ай бұрын
Raia hawatakiwi kutushws wanatakiwa kukindwa viraza nyie
@DoriceMoyo-x7r
@DoriceMoyo-x7r 3 ай бұрын
Du hii nch jmn vituko habiish
@richardmugoh6801
@richardmugoh6801 2 ай бұрын
3😂😂 Tanzania yule Jirani ya Samia ndio army general 😂😂😂
@fabricejosephamanikayani7014
@fabricejosephamanikayani7014 2 ай бұрын
Inabidi waongezwe mishahara
@RobertBigwanyi
@RobertBigwanyi 3 ай бұрын
Mwandishi anazingua kichwa Cha habar hakiendan na tulicho kitazama
@thuweinmassoud9062
@thuweinmassoud9062 2 ай бұрын
sijapend kuona hawa watu wanamtukana sultani wa zanzibar kwakweli utawala wa sasa ndan ya zanzibar na wa kumwaga damu utawala ulio mwaga damu hauna uwezo wala haqi ya kupata utukufu
@EvansMwatate
@EvansMwatate 2 ай бұрын
Tanzanian mko n vituko hizi uniform n zaa ukoloni ama
@naima5220
@naima5220 2 ай бұрын
Hizo drills😂 na osungu😂
@EXPERIUSMANTYOTYO
@EXPERIUSMANTYOTYO 3 ай бұрын
😂😂🙌🏾saf kabisa
@leonardkoech7474
@leonardkoech7474 2 ай бұрын
Natamani mwanadada wa Kitanzania
@AminaBakari-gi4dr
@AminaBakari-gi4dr Ай бұрын
Njoo kwang
@erasmusshauritanga8485
@erasmusshauritanga8485 2 ай бұрын
Nyie wakenya mnavichwa vigumu kweli mmeshindwa kuelewa Kwamba Hilo ni onyesho jinsi askari wakikoloni walivyokuwa waki-deal na askari kipindi Cha ukoloni.
@PauloAmos-r1r
@PauloAmos-r1r 2 ай бұрын
🎉
@kapasswordmweene
@kapasswordmweene 17 күн бұрын
Sasa kama nitacheza nife kuna haja gan ya kutazama
@AbrahamMutai-je3bq
@AbrahamMutai-je3bq Ай бұрын
Kumbe watanzania wanaweza kuongea kizungu
@eugeniombambe821
@eugeniombambe821 2 ай бұрын
UMAKINI
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 Ай бұрын
Hizi nidhamu zifundishwe magereza wafungwa wawe wakakamavu
@ngowidyness3464
@ngowidyness3464 2 ай бұрын
Alooooo kumbe zaman ndio yalikua mambo kama haya😂😂😂😂
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 665 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 7 МЛН
MWANAFUNZI MALAYA
13:01
MR BIGI BIGI
Рет қаралды 1,4 МЛН
RAIS SAMIA ASHUHUDIA MAKOMANDO WAKIPIGANA MMOJA ABURUZWA NA GARI
10:00