GIGY MONEY ALIVYOMCHAMBA ZUCHU BAADA YA KUACHANA NA DIAMOND/MAPENZI YA USTAA HUYAWEZI/NIMEFURAHI

  Рет қаралды 149,042

CHAZY MEDIA

CHAZY MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 256
@ZAMYLFILM
@ZAMYLFILM Ай бұрын
Waallahi Gigy anaakili sana waallahi ukitaka kumfanyia interview Gigy lazima ujipange, hakuna mwanamke mwenye akili bongo Dem kama Gigy nakupenda dadangu Allah akujaalie uwe muislam dadangu.
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 Ай бұрын
Ni upeo wako ndio unaona kuwa ana akili sana majibu yako ni kwa ajili yako usiwadharau wanawake wengine kwa fikra zako za kumuona huyo Gigy kuwa ana akili zaidi
@reginaakumba9509
@reginaakumba9509 Ай бұрын
Gigi is funny
@suleydamour4059
@suleydamour4059 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 huyu dada nampendaga aise❤
@MariyimJumanin
@MariyimJumanin Ай бұрын
Uko kama mim nikiangalia intavyu yake huwa nacheka
@23568982
@23568982 Ай бұрын
Anapata pesa na picha za ngono.mchafu sana
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Off course hata mimi namkubali sana hafake Maisha.
@mutungachengo
@mutungachengo Ай бұрын
Wallahi nampenda Gigy Money bureee
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Ай бұрын
I like the way she speek ggy 🎉
@Rosemary-x4p
@Rosemary-x4p Ай бұрын
Nampenda sana Gig
@moja6907
@moja6907 Ай бұрын
Giggy....ni Gansta for real..!😂😂😂
@jimwafula4733
@jimwafula4733 Ай бұрын
You are always true ndio maana nakuheshimu mini
@ZawadianaMwangosi-is2jm
@ZawadianaMwangosi-is2jm Ай бұрын
Nampenda gigy❤❤ mbai mbai mambo ni motoo
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v Ай бұрын
Nampenda huyu dada❤❤❤
@glorymanga3650
@glorymanga3650 Ай бұрын
Gigy nakupendaga bure❤sichokagi kukusikiliza
@edinamwafongo9130
@edinamwafongo9130 Ай бұрын
Nakupenda Mimi Gigy Mambo yako tu
@mwajumayusuph1445
@mwajumayusuph1445 Ай бұрын
Nakupenda gg❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@monicawaryana5537
@monicawaryana5537 Ай бұрын
Nakukubali sana Gigymoney..!❤
@MaryMtui-k9u
@MaryMtui-k9u Ай бұрын
❤❤❤ mdada nimpendae kla itwapo leo❤❤❤
@Michelleayo-w5m
@Michelleayo-w5m Ай бұрын
i love yuh Gigy
@RaheemKareem-l5w
@RaheemKareem-l5w Ай бұрын
Giggy money siku zote😂💞💞💞
@OlivaGara
@OlivaGara Ай бұрын
😂😂😂😂nimshauri mim mama yake aakaah koma we 😂😂😂 nakupenda gigy money wangu ❤❤❤❤
@MankaMatayo
@MankaMatayo Ай бұрын
Jaman dadakeee nakupenda mana uogop mntuu
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 13 сағат бұрын
Ah!😳 😂😂😂😂😂😂. Gigy Money network yake Iko busy ni kama inaendea kuwa unreachable! 😅😅😅😅😅
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le Ай бұрын
Nanyie nanyi bado mkahoji watu mnaenda kuhoji viatu😂😂😂😂
@Faridashmosha
@Faridashmosha 23 күн бұрын
😂😂😂 nakupenda gigi wangu
@Maryam-e2x8p
@Maryam-e2x8p Ай бұрын
Gigy una tabu we ❤❤saudi 🇸🇦
@TumainiSawee
@TumainiSawee Ай бұрын
Ila mzuri🥰
@EricRutta
@EricRutta Ай бұрын
@@TumainiSawee unaumwa macho! Huyo 70 percent of her body is fake🤣🤣 msubiri akiamka asubuhi 🤣🤣
@liliansuzymlay9398
@liliansuzymlay9398 Ай бұрын
Ila Giggy 😂😂😂😂😂😂 Nakupenda bureeeeee.
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
Anapenda tako , liwe feki, liwe puto liwe OG,, ilimradi lipo😂😂
@FatmaHasan-is6hb
@FatmaHasan-is6hb Ай бұрын
😅😅😅😅Nimshauri mm mama yake 1:38 akaah koma ww😂😂😂
@msindimalugendo8252
@msindimalugendo8252 Ай бұрын
Acheni ujiga, kwani nimara ya kwanza kusema waneachana, wenzenu wanawachezea tu akili, kwakuwa mmezoea kushabikia maisha ya watu,
@AishaNgoyi-vi2ku
@AishaNgoyi-vi2ku Ай бұрын
Mjinga pia n ww maana umekoment 0:43
@SakinaValy
@SakinaValy Ай бұрын
Hapo sawa yaani wataponda kumbe wengine wanamtaka hata diamond
@Shuu.A
@Shuu.A Ай бұрын
Weye mzuri lol
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 Ай бұрын
i love ur EYELASHES
@josehsonga2175
@josehsonga2175 Ай бұрын
Gigs money chizi sana daaa pamoja sana
@saudahassan1128
@saudahassan1128 Ай бұрын
Gigy nakupendaga tu
@HellahMugambi
@HellahMugambi Ай бұрын
Gigy jamani Wewe noma aweee 😂😂😂😂
@IssaIssaFredrickmgoba
@IssaIssaFredrickmgoba Ай бұрын
unayaweza Gi go y
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 Ай бұрын
Napenda gigy ni mkweli tu 😂😂😂
@janethedwin8068
@janethedwin8068 Ай бұрын
Ilove u Gigy ❤
@loreenfilbert2395
@loreenfilbert2395 Ай бұрын
Hiyo heren nimeielewa
@RamlaHassani
@RamlaHassani Ай бұрын
Nampenda Gg jaman
@nurdinibrahimu7312
@nurdinibrahimu7312 Ай бұрын
Yani Leo ndo namjua gigy kiundani kiucheshi na ki really 💃🤣🤣🤣
@EstaDaffi-wg5cr
@EstaDaffi-wg5cr Ай бұрын
Bodyguard wa gigy unaekaziiii
@rosemuna5569
@rosemuna5569 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@SimoniThomasi
@SimoniThomasi Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@MishaHass
@MishaHass Ай бұрын
PUMBAAAV la jiji😂
@Chaznyqlassikoficial
@Chaznyqlassikoficial Ай бұрын
My Gig uyo ❤😂😂
@nururaymond
@nururaymond 27 күн бұрын
😂😂😂..jamani gigy nakupendaga bure😂😂
@ElizaNdjila
@ElizaNdjila Ай бұрын
Nakupendaga sana
@Antoniner-s1l
@Antoniner-s1l Ай бұрын
Giggy nakupendq buree❤❤
@everlynechepkoech5649
@everlynechepkoech5649 Ай бұрын
My sweet gigy
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj Ай бұрын
Nyie mitangazaji hivi mnaakil kweli afu kuweni professional na matamshi eti bleki😅😅😅
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r Ай бұрын
Huyu angekuwa ni flash 64GB
@AshaMuhidini-g1y
@AshaMuhidini-g1y Ай бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
😂😂😂😂😂 G una mambo😂😂
@Mwasity-h5u
@Mwasity-h5u Ай бұрын
Ilove ugigi
@SaumBakari-po7re
@SaumBakari-po7re Ай бұрын
Gigy nakujua vizur nilikuana kule kumbe gigy hauna mzigo
@BigoIshanshu
@BigoIshanshu Ай бұрын
😂😂😂😂😂 jmn ila gigy daah ❤❤
@rukyomar1955
@rukyomar1955 Ай бұрын
sio watu maaruf ata sis kila siku tunaachana😂
@petermarcus6475
@petermarcus6475 Ай бұрын
😂umenena
@MuntuwimanaYona
@MuntuwimanaYona Ай бұрын
Ata na Burundi 🇧🇮 tunampenda Sana Gig anasamesha ukwelli kbx
@ZainabOmar-l6p
@ZainabOmar-l6p Ай бұрын
Gigy mwanangu atakuja kukuoa❤❤❤❤❤❤
@benjaminmartin4548
@benjaminmartin4548 Ай бұрын
Zuchu sio kosa lake mapenzi ni kipofu na kiziwi husikii na huoni. Ila ukweli ni kwamba Diamond angekuwa anakupenda angesha kuowa.Anashidwa kukufukuza anataka utoke mwenyewe.
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Kwani hakujua kama mondi ni mshenzi, alimchukua mondi akiwa na rafiki yake Aaliya ambaye allikuwa wanaishi pamoja. Karma is real.
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Ай бұрын
Giggi akili nyingi saana🤣🤣🤣👊
@Yus1nsekanabo
@Yus1nsekanabo Ай бұрын
Huyu kijana Diamond ni Zaidi ya Balthazar Belo
@lydzcmyth5881
@lydzcmyth5881 Ай бұрын
😂😂😂😂😂new song loading tulikuwa tumewasahahu na maisha ya ruto must go
@KaltasiKigelulye
@KaltasiKigelulye Ай бұрын
Huyo mlinzi si acheke tu atapasua bandama😂😂😂
@StarRene-v3v
@StarRene-v3v Ай бұрын
Daaaaa ila gigy ni kiki kweli
@vumimartin901
@vumimartin901 Ай бұрын
Huwa nakupanda sana gg
@OfficialPachelie
@OfficialPachelie Ай бұрын
Uyu gigy muhuni jamani😅😅😅
@mwanamkuumohamed7344
@mwanamkuumohamed7344 Ай бұрын
Gigy sio mzima
@TausiHasheem
@TausiHasheem 28 күн бұрын
Gift jmn😂😂😂
@duruboyzofficial
@duruboyzofficial Ай бұрын
Uyu demu wazimu sanaaa
@ShtukalessOfficial
@ShtukalessOfficial Ай бұрын
Gygy mwishooo
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 Ай бұрын
Nakupenda sana GIGY
@SwamaduMtoima-q8r
@SwamaduMtoima-q8r Ай бұрын
Zuchu muislam atafute ndoa sasa❤❤❤❤ love ZUCHU
@EricRutta
@EricRutta Ай бұрын
Uislam ndo nini!?
@SwamaduMtoima-q8r
@SwamaduMtoima-q8r Ай бұрын
@EricRutta kuma ww
@EricRutta
@EricRutta Ай бұрын
@@SwamaduMtoima-q8r kama ya mamako!
@EricRutta
@EricRutta Ай бұрын
@@SwamaduMtoima-q8r we mbwa Tu, ungeelewa nasema nini msenge baridi wee! Kuolewa na kuoa HAKUNA DINI! mababu zetu walioa na mabibi zetu waliolewa pasipo ukristu au uislam! Hivi ni vitu tumeletewa Tu! Unajua what are civil marriages, traditional marriages? Hizo ndoa hazipo!? ACHENI kuishi like robots! Wangapi waislam wanafunga ndoa, Kesho Yake kila MTU kivyake? Zuu, anajitambua KULIKO MAZUZU nyie! ufikia MDA wake alompangia Mungu, atafanya hivyo ! SIO kwa sababu ya wapiga matarumbeta mso na KAZI! Leave the gal alone!
@SwamaduMtoima-q8r
@SwamaduMtoima-q8r Ай бұрын
@EricRutta kuma ww
@nataliaserapiao1408
@nataliaserapiao1408 Ай бұрын
Zuchu trust God! He will take care of you, he will send you the right Real Man for ❤ he is saving you from that rotten family!! We love you!
@joyhylton7901
@joyhylton7901 Ай бұрын
I love Zu🇺🇸
@vickynyakio7346
@vickynyakio7346 Ай бұрын
Zuchu ndio maji lazima kila mtu anywe😂😂😂😂yasni hawasemi watu lakini jina lake kwa midomo ya kila asubuhi😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Ndiyo alivyotaka mwenyewe 😂😂😂😂
@vickynyakio7346
@vickynyakio7346 Ай бұрын
@MsAggie5 haha idle people acha waongee
@Hapygideon
@Hapygideon Ай бұрын
Nawakirudi kuwananga😂😂😂😂gigy naona utakapa makeup nyeusi usionekane niko hapa,mi zuchu na diamond hata sileti ushobo kabisa kilanga kiliisha kipindi kile,,na tukaimbiwa mtasubiri sana😂😂😂
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Lakini giggy kasema mwanzo kabisa, sio mala yao ya kwanza kusema wameachana, na kamshauri Zuchu amrudie kwani wanawake wengi wanatamani kutoka na Mondi
@Asina-r4r
@Asina-r4r Ай бұрын
Asipak mek up kwann akat ggy ajasema vibaya kasema kama. Ni mzik mtajuaj🤣🤣🤣sikia kabl ya kuty
@BaderGalaxy
@BaderGalaxy Ай бұрын
Hahaa 😂 love 💕 giggy
@SaumuOmary-y8g
@SaumuOmary-y8g Ай бұрын
Umeuminya dadaaa😂😂nakupendaga tyuu
@MariamAmin-q3f
@MariamAmin-q3f Ай бұрын
Me nakupenda sana unaongea ukweli
@JamilaRajabu-g8p
@JamilaRajabu-g8p Ай бұрын
Mhhhhh gigy bhnaa😂😂😂😂
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Ай бұрын
Giggy anapenda vijibwa Vimkaushe oil😮😮,,, je k yake ki antena bado kipo au washakisukuma ndani wapopo na miguu ya mtoto?
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Ай бұрын
Acha kumsema Dangote kuhusu mdomo yuko vizuri sanaa hebu toa mek up tuone ulivyo
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Ай бұрын
Usikilizege interview vizuri ndy uanze kucomment hajamsema kamsifia mdomo wake yupo vizuri akiimba ile masimba Dangote au hukuelewa 😂😂😂😂
@EricRutta
@EricRutta Ай бұрын
Bila zuchu na mondi,hawaishi hawa!
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Kabla yao walikufa?
@EricRutta
@EricRutta Ай бұрын
@@MsAggie5 uliwajua!
@Fiddkim
@Fiddkim Ай бұрын
Kenya❤😮
@MohamedSeif-r1g
@MohamedSeif-r1g Ай бұрын
Kwan gigy yup saw kiakili 😂😂😂
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Una mdomo kweli kweli
@TasmaAlly
@TasmaAlly Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂eti nimshaur mm mama akeeee jaman😂😂😂😂😂
@ReinaLusajo
@ReinaLusajo Ай бұрын
Kichwa hicho unakijua mwenyewe
@ElizabethDaudi-b6v
@ElizabethDaudi-b6v Ай бұрын
Gigy,mone nakupenda sana,mpaka natamani nikuone live wewe noma sana,Napenda akili yako
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje Ай бұрын
Gigy na chid wana akili xn kwenye interview zao
@SilyaNtobi
@SilyaNtobi Ай бұрын
Gigy bwana
@derislove7691
@derislove7691 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 Ila Gigy
@rukayyaaliy9713
@rukayyaaliy9713 Ай бұрын
Gigy unanikosha mie ebu nitafue shoga nakupenda sn gigy
@tsumiduwe1406
@tsumiduwe1406 Ай бұрын
hilo bezi sasa
@EstherMmassy
@EstherMmassy Ай бұрын
Ila gigi ni mzuri jamani
@rahelmasawe5365
@rahelmasawe5365 Ай бұрын
Ila. Gigi 😂😂😂😂😂
@LizzybethRwezaura
@LizzybethRwezaura Ай бұрын
mimi ukweli sijui nyimbo za gigy ila interview zake mingi naocheck😂😂😂
@HeriRamadhani-e8b
@HeriRamadhani-e8b Ай бұрын
Dah 😂😂😂 ila Gigy
@sajdatomar6025
@sajdatomar6025 Ай бұрын
Ila huyu nyie khaa😊😊
@MariamKanyungu
@MariamKanyungu Ай бұрын
Watoto kwanza utamu hauishiiii
@SharifaGaganda
@SharifaGaganda Ай бұрын
😂😂😂😂huyu dem chiz
@SahilMtumba
@SahilMtumba Ай бұрын
😂😂😂 ila gigy
@UwimanaFarida-k9e
@UwimanaFarida-k9e Ай бұрын
Yani gigy anaongeaga kwa kujiamini saaana ivi huyu havutagi Bangi kweli
@MwanaidyMgonja-ek5ls
@MwanaidyMgonja-ek5ls Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ila gigy
@MsAggie5
@MsAggie5 Ай бұрын
Chizi huyu 😂😂
@DianaShao-t7r
@DianaShao-t7r Ай бұрын
Jmn gigy apana jmn
@GiselaWilliam-e9o
@GiselaWilliam-e9o Ай бұрын
❤❤❤❤
@kjah345sophialuvuno9
@kjah345sophialuvuno9 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kutoka mpaka wapi😂😂😂😂😂😅
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
KIMAMBI ZUCHU HAPATOSHI.
3:08
CHIDDOH TV
Рет қаралды 8 М.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
YahStoneTown
Рет қаралды 365 М.