Fanya kitu roho inapenda,,,,dhambi kila mtu anazo😂
@officialkinghimself26373 ай бұрын
Poleni mnao ona Mungu alikosea kuwaumba na Mungu awasamehe kwa kutukuza ushenzi wa shetani
@BarakaJosephat-d1s3 ай бұрын
yaan bc tyu sijui watajibu nini afu wakiumwa watusumbue
@MwanaherySalary3 ай бұрын
😂😂😂gigi embu malizeni hilo igizo ukuje apa nikuchape😁😁😁mana sio kwa ujinga huo😂😂
@KhadijaMasoud-m6u3 ай бұрын
Duu Mbona alikuwa anashep yk tu nzuri
@jastinimhila63463 ай бұрын
Ila salehe kwa kula uko vizurii.
@kitonekantasha16873 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@sophiaomari72872 ай бұрын
Anakula had chakula cha mgonjwa💔😂😂
@saeedahhenry7113 ай бұрын
Promotion iyo Gigi hawezi kufanya iyo ishu hata siku mojaaa 😂😂😂😂😂😂😂
@KhadijaMasoud-m6u3 ай бұрын
Kafanya huyo nimemuona ana shepu ss hv
@saidaali93792 ай бұрын
Nice African moviee
@maernov42573 ай бұрын
Mwenyez MUNGU naomba atusamehe watoto wako
@hildazablon34113 ай бұрын
Mmhh mungu anisamehe, hospital ya sugery mbaya kinoma ni uchochoron hapana msiende hapo issue ya kuongeza shep ni sensitive nyie
@Zaburi-3 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@nikrahayubu-sz3pw3 ай бұрын
We uliendaa huko
@Habibtyjojo3 ай бұрын
Na dawa nazo tusemeje
@KhadijaMasoud-m6u3 ай бұрын
Mm mungu tu aniepushie km Shep hii hii niliyo nayo inatosha siwezi jichimbiya kifo na kaburi nikamkosoa mungu ww dada mpa unazijuwa hizo hospital za kufanya hyo bila shaka na ww ulienda
@StellaPaul-et9df3 ай бұрын
Hatr mungu atusaidie tu
@Peace.20183 ай бұрын
Madhara yapo tu tena makubwa kwanza kumkosoa Mungu,pili huo mwili kukatwakatwa na kumeza madawa hayo sio madhara?mwisho wake unakuwa mbaya halafu Mungu huyo huyo uliyemkosoa utamuomba akusaidie kukuponya hilo jambo halipo sawa.Mungu atusamehe kwa kweli sio kila jambo ni la kuiga,inawezekena upo kwenye tangazo ila ujue unajichumia dhambi kuwahamasisha watu wengine wafanye hivyo, ushauri wangu kinadada au kina mama tujikubali tulivyo na tumshukuru Mungu kwa alivyotuumba.
@AkiliNjemahalisi3 ай бұрын
Kwanza shepu yake ipo vizuri hawezi fanya hivyo uwongo labda kama anatatizo lingine.
@ChikuIssa-iz5bz3 ай бұрын
Sidhani kama kweli gigy anaweza fanya surgery ni promo ya hospital watu wajanja jaman
@twiseghekisilu88453 ай бұрын
Promo kivipi!!!si tusubirie matokeo
@sleeprelaxation84313 ай бұрын
promo bila matokea ita saidia nini?
@chany99503 ай бұрын
Duuuh gigy fyuuu
@angelightpallangyo66832 ай бұрын
Amefanya kweli dear
@aishermtamilwa96143 ай бұрын
Haji my class mate Mungu azidi akupe umaaruf
@hasinaaljabri15022 ай бұрын
Unataka uzuri wazurika ukikutana na mungu wako utamjibu nini mwenyenzi mungu atunusuru yaarab tusifike hivo Yeye ameuba lazima tukubali alivo tuumba 😔😔 napesa zinatuzuzuwa
@fauziasultanikilewa76023 ай бұрын
Saleh unakula vya hospital😮😮😮
@tigejuma98653 ай бұрын
Bila Shaka n movie inasukwa...juu mbn hakuna ulinzi apo kma kwel n hosii...hicho chumba hakikai mahabara ya huo uhandisi....giggy anajua Ku act... eti anaumia kwa uchungu...lakin akapewa bangi apo anavuta vzur xna... nkutoa Moshi Kwa pua😅😅😅😅
@abdulsalum28523 ай бұрын
AAH Salehe msosi hadi kwa mgonjwa Duh
@ummySheikh723 ай бұрын
Mroho swalehe😅
@DelightfulMacawBird-tl5hf3 ай бұрын
Kwaio ukifanya sajal unaumwa ivo shida zoote z nini jamanii 😂
@Raïssalaboss3 ай бұрын
Asipo lipwa tutajuwa ukweli😂😂😂
@faudhiasalum72793 ай бұрын
Muacheni mtu ale jamni 😢😢😢mroho mroho 😢😢mi nili umwa juz hata kula sikuweza.. Saleh kula tena kula aswa.. Na nikirud omani njoo na kwang nakupikieee ule had ule tena
@OmanSohar-d7z3 ай бұрын
Limekaliya uwongo tu😂😂😂😂miye simuamini uyo😂😂
@Tuu20193 ай бұрын
Makubwa swalehe kaambiwa avae kofia but anayemuuguza na kushindaa na mgonjwa ajavaa kofia 😅😅😅😅😅😅😅Haya nimatangazo a mgonjwa hajavaa special gauti for OP
@LEO01-t2y3 ай бұрын
Kwan Iyo kofia ndio inasaidia nn?
@veronicaMnankaАй бұрын
@@LEO01-t2yusafi,
@nururaymond53 ай бұрын
Matangazo bhana msitutanie
@elizabethcosmas78523 ай бұрын
Gigy nampenda lakn kwa surgery ajanipata
@mimibusarachibu3 ай бұрын
Ila sauti Bado mbaya sana😂😂😂
@christinebelinda34983 ай бұрын
Kuwa maskini imeniepusha peer pressure ya ulimwengu 😂😂😂😂😂
@Fear_Allah3943 ай бұрын
Hayo hayategemeani na utajiri yanaendana na ujinga. Ujinga ni mzigo
@EditherWilliam3 ай бұрын
Doctor nae anapenda udaku😅😅😅
@vicresiavedasto3 ай бұрын
Pole mwaya utapona nautakuasaw mwaya
@SisoPotashiumz-c7n3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂gigi bahna daaah hii ngoma nzito
@Jassmin-media-official3 ай бұрын
Sarehe unapenda kula hadi haibu mpaka hospital 😢unakula loh
@naimanimo49253 ай бұрын
But giggi said she will naver do surgery what changed her mind she said she will put on vigodoro only that she fears knife's
@sophiakimaro51743 ай бұрын
Jigy pamoja na kuonekana ka hazimo lakin najua hawezi kufanya huo ujinga.akili yake inafanya kazi vizuri japo mdomo ndio unaomponzaga.
@nasrachimamy3 ай бұрын
Alishawah ulizwa akasem hajawahi na hatowahi anakwambia mdom wote lakin muoga
@hosnakamees54543 ай бұрын
Kafanya ya maziwa
@nasrachimamy3 ай бұрын
@@hosnakamees5454 apo sawa asa jamn mazoez yalojaa hay kuwek mwili sawa mpk mtu ukapasuliwe
@nasrachimamy3 ай бұрын
@@hosnakamees5454 nakweli Gigi hakuwa na maziwa hayo madogo hivo
@KhadijaMasoud-m6u3 ай бұрын
Ht shepu nimeona ss hv anayo kubwa kafanya
@janelleosumbasvlog42413 ай бұрын
Eeeh is it by force 😮😮😮😢
@ireneallen95473 ай бұрын
Igizo zuri 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@agriparose39423 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅sio kweli
@lisahhans2953 ай бұрын
kaka chafin sana.unakula bila kunawa.unashika mashuka hijanawa mmmmm chafu mpaka nimehic kutapikaa
@elinsiamwanga2768Ай бұрын
Yaan nikajua Niko pekeyangu
@israeluronu99583 ай бұрын
😂😂😂😂😂yani salehe bana,, at naomba nione kidogo tuu
@omanoman20443 ай бұрын
Watengeneze tuy siku yakioza waje waombe misaad sie tupo hapa tunawaangalia tuy
@husseintayar6993 ай бұрын
Ushamba tu unawasunbua kwahyo Kila ifanyacho kutangaza ili iweje
@LilianLilian-bx1ec3 ай бұрын
😂😂😂 gigy money ni Kiki 😂😂😂😂😂
@veronicaMnankaАй бұрын
😂😂😂
@SesiliaMorice3 ай бұрын
Ila kama kweli kazi wanayo si operation iyo jmn😂😂😂😂
@nancyg86643 ай бұрын
😂😂biashara ni matangazo, hapo ukute wanapigia promo hospitali hyo
@Iamzaqee3 ай бұрын
Sindio
@thuraiyaally7023 ай бұрын
Kwan hospital Gani hiii😂😂😂😂
@umfahad26092 ай бұрын
Nawewe unataka kwenda shosti….????😂❤
@TightnotChome-fn2jy3 ай бұрын
Kama uzuri mpaka hivyo mmmh acha nibaki kimbao mbao ila hii nikweli au ni vituko vya Gigy 😂😂😂😂😂
@KhayratAbdurahman3 ай бұрын
Ungemwita ata mayra bas ss huyo wakiume ana kusaidia nn yy na cm na cm na yy.... kofia yenyewe hajavaa😅😅
@getrudamatoto52773 ай бұрын
😂😂😂uongo huu
@Godfreyvanessa3 ай бұрын
Hahahaha alivyoshituka alipomshika😅😅😅😅
@antonivndunguru13663 ай бұрын
hahaahahaaha mgonjwa ndo anatoa permission. mjitaid kuweka uhalisia bhana
@esthermatisho26042 ай бұрын
Inaitwa private hospital 😅
@antonivndunguru13662 ай бұрын
@@esthermatisho2604 🤣 hao n wametengeneza content tuuuuu
@janelleosumbasvlog42413 ай бұрын
Pear pressure is so bad weee Venye matako uwa Ina kawia kupona weeeh nijikute, I you dnt like me the way I am songa uki songaga😢😢😢
@Bertha-b416 күн бұрын
rudi shule kwanza
@jiiwolf29003 ай бұрын
Watu wa p Didy😅
@zennahmtoto18673 ай бұрын
Gigy muongoo ajafanyiwa
@veronicaMnankaАй бұрын
😂😂
@lightnesstippe90063 ай бұрын
Kwahyo mnatuona c watotoooo 😂😂😂 anyway kazi nzuri
@fatmaathumani71163 ай бұрын
Huu mkono wenye kanyo ya kuwekea dripu jinsi anavyoukita chini ili apige magoti dhahiri hamna kitu 😂😂😂
@BlandinaHiza3 ай бұрын
Nampendaga huyu dada jmn
@ChikuIssa-iz5bz3 ай бұрын
Mmmmmh kumkosoa mungu
@Zaburi-3 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@alineolivia23923 ай бұрын
Saleh anajipendea kula hama mimi hapa 😂😂😂
@ZawadiHemed3 ай бұрын
Ila Saleh Kwa msos tuu😅😅
@chunaabdullah13333 ай бұрын
Ungefanya sugar ya sauti mana ndio mbaya,, shep yako nzuri mbona mko na Shida si
@eddiebilly34753 ай бұрын
Jamaa flan hana kofia😂
@ZamyIsmaily3 ай бұрын
Tangazooo ilooo tumewagundua🤣🤣🤣🤣
@eunicegerminus19315 күн бұрын
Acheni kelele nila mtu na afanye anachopenda maana hata hao madaktari mahalifa wamepewa na MUNGU kuhusu dhambi kila mtu anazo na dhambi zote ni sawa Humu kuna watu wanajichubua,kucha bandia kope watu wanafanya mazoezi ya kutoa mafuta tumboni kwaanini msiridhike.
@mohdnasser36203 ай бұрын
Sasa hayo yote sikujitesa eti myezi mitatu uko kitandani kweli ila pole sana
@DainessDaniel3 ай бұрын
Niwapi huko nataka nishep miguu yangu
@aminaali7923 ай бұрын
Jamani Saleh eti kishepu tayari kimetokea😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mamabetty79253 ай бұрын
Sasa mafuta umeyamaliza na semgongwe wametoa mafuta waaaapih gigy bhana tushushe😂😂😂😂
@edithaeugeni96953 ай бұрын
Tumewashutkya hyo ni uwongo kwanza mnaachaje chakula cha mgonjwa wazi 😂mhii nahosptal gani watu wanabisha hodiii ila jamanii hyo hospital ilivyo kimya utasema kuzimu😮 hata mapokezi hakuna mtu mjipange upya kutudanganya hii hapana
@rajabdibwa64153 ай бұрын
Yaani salehe amebisha hodi hospital 😂😂
@edithaeugeni96953 ай бұрын
@@rajabdibwa6415 anatuona ndo tunafika mjini leo 😂😂😂😂😂
@Fatmahajj-u1l3 ай бұрын
Saleh hajawah kuenda sehem asile chakula😂
@CarolineMutiso-rb3lx3 ай бұрын
Nampenda gigy ukua mkweli
@alexvenas26993 ай бұрын
Hiyo itakuwa hospital ya kuchora tatu 😅😂
@salmakiti15173 ай бұрын
Huyo aliye kuja angalia mgojwa ana maswali kweli 😂😂😂 nacheka to mm ila pole gigy
@veronicaMnankaАй бұрын
😂😂😂halaf ni mbeya sana
@FatmaHamad-g6s3 ай бұрын
Salehe yy Hana Habari ya shepu anapiga mpaka mifupa😂😂unene kwake sio ishu
@najbaday1653 ай бұрын
Jaman surgery inauma unasikia maumivu makali ulali kwa raha😢😢
@olivazaituni24403 ай бұрын
🤣🤣 Madaktar sura za Watangazajiiii
@chany99503 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu zinauma jmn
@HabibaLukinga3 ай бұрын
Yaani uchomekwe kibomba cha sindano alafu uweze kuuegemea mkono kuufanya nguzo ya kunyanyukia mmmh unauvumilivu we dada
@RahemaJumany3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sjui Ata nacheka nn
@ashapearubart26243 ай бұрын
😂😂 shida yote ya nini mungu wangu.
@queenmilan20243 ай бұрын
sidhani kama gigy amefanya😅
@Misa-j9j14 күн бұрын
Ni wapi na mie niende
@ChristinaOnditi-el3xo3 ай бұрын
Gigy jamani kwani nahapo siunajitangaza mwenyewe? uko ulipoenda doh, lkn pia una shape nzuri sana mbona, huko sasa?? unatafuta nini?
@esterMahenge3 ай бұрын
Kiki akuna lolote😂
@EmmanuelChrispin-bo5xh3 ай бұрын
Bora maaana maumbileyake tulikua tuyajua hataakivaa nguo kwhy hiyo sajali itasaidi kidogo kuvutia wana
@ummySheikh723 ай бұрын
Haha mimi siamini Naona Ana ectopic huyu
@ashurajengela39263 ай бұрын
Surgery yanini wakati Tako analo natural tangu kitambo, uo ni uongo mnataka muwapige watu na midawa yenu 😢😢
@leilasaid36233 ай бұрын
Ummh tumrudie mola wetu😢
@Fortune-x5q3 ай бұрын
Mimi na t tatu sina shida na upumbavu huo
@aicatv70953 ай бұрын
Hapa ni wapi naomba kuja kujitolea kazi🤣🤣
@monicaalute31433 ай бұрын
Hawapo makinj na hilo igizo Lao mbona huyo mkaka mwingine hajavaaa kikofia😂😂😂😂😂
@nadianyamuraka3 ай бұрын
Sale ni mmbea snaa eti anataka ashike😂😂😂
@humphreyroberty89823 ай бұрын
Camera man pia hajavaa si una muona
@jumazulfa18703 ай бұрын
Mmpia nlitaka kusena....mbona yule kwenye kiti hajavaa kofia😅😅😅😂
@veronicaMnankaАй бұрын
@@nadianyamurakaumeona ee😂😂😂
@siscarmaguno20443 ай бұрын
Mbona mateso HAYO 😅😅😅😅
@chany99503 ай бұрын
Docta mwenyewe pusi😺😺😺 Duuuh🤣🤣🤣
@raheemsaleh143 ай бұрын
Dogo aliambiwa ngoja nikuchukulie kofia haturuhusu kuingia kichwa wazi ila naona braza pale anachat kichwa wazi na ata km alipewa ila kaivua “doctor alivoingia hajamuona kweli? Maea usiju haturuhusu watu mgonjwa anatakiwa dawa saiv then apumzike ,aya braza yule pale ana chat ata dalili ya kufutika (kuondoka) haipo 😂😂😂
@Careencriss3 ай бұрын
Kwanini asitumie vidonge kama nikuongeza shepu🙄🤔
@bellasfoundation29283 ай бұрын
Vidonge gani
@DxbYae3 ай бұрын
Salehe akili una 😂😂😂😂unataka kuona 😂😂😂kidogo
@MarkaraChamii3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅uwongo huo gigi akilewa atatwambia ukweli TU
@israeluronu99583 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@MohamediKalanje3 ай бұрын
Akilewa halaf sasa asilipwe kweny hii promo wee aaah tutajua ty
@MarkaraChamii3 ай бұрын
Ngoja inyeshe tutajuwa panapo vuja TU
@treshazchismo17643 ай бұрын
😅😂
@kamarhelo3 ай бұрын
Jamani mtanivunja mbavu zangu mim 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aty tutakua tu asipo lipwa