GLOVES OFF!! Mombasa Governor Nassir destroys Gachagua after his 'fruitless' drug meeting in Mombasa

  Рет қаралды 39,613

Kenya Digital News

Kenya Digital News

Күн бұрын

Пікірлер: 93
@ngumalimau5427
@ngumalimau5427 9 ай бұрын
Drug dealers ndio hawa....Amezungumza nn hapa cha mhimu ?...Dealers wahame
@TwalaaTaib
@TwalaaTaib 9 ай бұрын
Mashallah Allah Bless u ❤❤❤ Love u Allah Akuzidishie na kuweke akupee.umri mrefu na afya
@davidndungu8619
@davidndungu8619 9 ай бұрын
stadium miaka ngapi hata haiishi material hata hakuna maji hakuna kwa mifereji
@awadhjamal3430
@awadhjamal3430 9 ай бұрын
STOP DRUGS COAST LEADERS NO MORE BLAH BLAHH
@jaffarblacks7038
@jaffarblacks7038 9 ай бұрын
tulia tuko busy twaskia speech plz
@ALIHASSAN-dx7ie
@ALIHASSAN-dx7ie 4 ай бұрын
Wallahi wanaompinga huyu Gavana hawana Nia nzuri na wananchi,mungu azidi kutoa viongozi kama Hawa Insha Allah 🤲👍
@mansnotndutch9249
@mansnotndutch9249 9 ай бұрын
These are the drug barons talking back..they are mad..Gachagua deal with them!!!
@mourice1669
@mourice1669 9 ай бұрын
Gachagua himself is not clean bwana
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 9 ай бұрын
Jicho pevu alitoa orodha ya watu wangapi. Na polisi walipewa kazi hiyo baadaye wakauawa.. So wasilaumu viongozi wa pwani jambo la madawa ni la nchi nzima wanajulikana
@mansnotndutch9249
@mansnotndutch9249 9 ай бұрын
@@mourice1669 atleast he doesn't deal with stuff that kills the young generations
@mourice1669
@mourice1669 9 ай бұрын
@@mansnotndutch9249 corruption is destroying the youth it causes joblessness and its also one of the reasons the youth are into drugs because they are idle. No jobs due to corruption.
@KaregeaAhmed
@KaregeaAhmed 9 ай бұрын
Kazi nzuri sana Allah akuzidishiye 😊
@abuubilal6586
@abuubilal6586 9 ай бұрын
Hapo hakuna ukweli wwte unaozungumza kama wauzaji wa drugs mwawajua...kesho mutakwenda kuyajibu mbele za Allah
@davidndungu8619
@davidndungu8619 9 ай бұрын
wakati dawa zimetajwa mnaaza kuja kwa viombo za habari tuungane sasa lakini wakati mapanga yanaendelea kisauni maunga wanafanya mambo yao hayo kimyaaaa sasa mmepatikana
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 9 ай бұрын
Maashaallah mungu amuhifadhi governor
@MohamedIsmail-bz7qq
@MohamedIsmail-bz7qq 9 ай бұрын
Nyinyi viongozi wote wa Mombasa mumetuuza.. Mumeharibu mji wetu.. Kutoka joho mpaka Wewe Sasa puppet wa joho.. Wafkiri Nani hajui wacontroliwa tu! Midomo tu hamna maendeleo yoyote. Shame on all of you!
@chrisogonas
@chrisogonas 9 ай бұрын
Well spoken, Mr. Governor 👏👏👏✊✊✊
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 9 ай бұрын
Basi maaliza madawa .mombasa nitajua wewe ni .kweli
@bernardkariuki6183
@bernardkariuki6183 9 ай бұрын
Kunao wanakufa kama Akasha. Haribuni tu watoto wa Mungu na drugs. Your families will never stand.
@rizikiawadh9489
@rizikiawadh9489 9 ай бұрын
Simbaa Nassir
@SuleimanSalim-p6s
@SuleimanSalim-p6s 9 ай бұрын
Mungu akulinde na hasad wewe umtu mwenye utu wenye chuki binafsi wachana nao
@saidali2981
@saidali2981 9 ай бұрын
Kisauni nyumba hazina wapangaji kwasababu ya mateja
@jm.scylla
@jm.scylla 9 ай бұрын
Drug baron amekaa hapo nyuma bwana speaker mwenyewe😂
@abdallahchege1601
@abdallahchege1601 9 ай бұрын
Wachana na mambo ya madawa ya kulevya imalizwe.Shame on you and you have no capacity of anything.Most useless governor in the country.
@user-ProphetTBSara
@user-ProphetTBSara 9 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah amen
@ALIHASSAN-dx7ie
@ALIHASSAN-dx7ie 4 ай бұрын
Ya Allah,Ya Raheem,Ya Jabar bless our true governor to lead us in the right path,and Allah protect him inshallah 🤲
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 9 ай бұрын
Mbona hakuna mtu wa pwani a naenda bara kugawanya VIONGOZI wao Ila ss WAPUUZI wapwani hatuna akili tunachukuliwa kiholela
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 9 ай бұрын
Mtu analumbana halafu anasema kuwa wangine ndio wanalumbana. Is this fella okay?
@ZubedaMahad
@ZubedaMahad 9 ай бұрын
Muungwana uko juu
@kyaloEmmanuel-yu2oe
@kyaloEmmanuel-yu2oe 9 ай бұрын
Keep up that spirit hon , mey God help you.
@HassanAli-lt4xm
@HassanAli-lt4xm 9 ай бұрын
You're the best governor for msa ,wacha wakutukane,uko sawa sana na usirudi nyuma.Allah atakulinda Inshaalla.
@johnkei1984
@johnkei1984 9 ай бұрын
What a visionary leader. We need your leadership, sir. Show Gacagua the way.
@saidali2981
@saidali2981 9 ай бұрын
Uongozi nivitendo kweli kabisa
@swadikomar9996
@swadikomar9996 9 ай бұрын
Congratulations governor wetu umeongea maneno mazuri Mashallah Allah akupe imani na subra na nguvu za kufanyia kazi
@nahasonmutethia6150
@nahasonmutethia6150 9 ай бұрын
Kiongozi bora nakukubali
@RiazJuma-v9k
@RiazJuma-v9k 9 ай бұрын
What have u done to improve the situation of mombasa..what happen regarding the mombasa stadium
@ElmiM-j4n
@ElmiM-j4n 9 ай бұрын
Maintain the roads n pick up the gabage!! Build roads ..show us ur intelligence!! Madawa !!
@yaakarisa7666
@yaakarisa7666 9 ай бұрын
❤❤❤❤ nicely voice
@saidali2981
@saidali2981 9 ай бұрын
Kweli Muishimiwa
@MahatHassan-kf2zc
@MahatHassan-kf2zc 9 ай бұрын
Very true
@acapulco4842
@acapulco4842 9 ай бұрын
Huwezi uongozi Jiji huiwezi
@lalijimmylalijimmy1857
@lalijimmylalijimmy1857 9 ай бұрын
Umeshindwa ku deal na Machokoraa barabarani wanaibia watu na kuiba kila chuma cha vinifiko vya mashimo...Waongea upuzi tu...drug barons si ndio Waliokuweka uongozini ? pamoja na kundi lenu la kupinga serikali... Wewe wawajua vizuri sana na hao wanaokushangilia...Wewe si Govornor anza wewe kusafisha mji na uwataje kama mume kweli...Domo kaya tu
@JM-eo3wo
@JM-eo3wo 9 ай бұрын
Kila siku tutawashika iyo story irikweko tangu 1990s akasha arikua atembea mchana na ile benz yake ya blue
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 9 ай бұрын
Rudi shule usiandike vitu havisomeki
@honnesthonnest5013
@honnesthonnest5013 9 ай бұрын
Umeongea kitu hapo ....kamata Hao watu weka ndani
@manjothi1
@manjothi1 9 ай бұрын
He keeps on talking about drugs why can't this drugs dealer is cought ?????
@badmeetsevil7643
@badmeetsevil7643 9 ай бұрын
Mombasa hatuna habari nao basari tume ziona miaka 10 sasa huyo muha ni mnafiki tu hana jipya kazi yake ni unafiki mbona haja taja majina wazi mbele ya kila mtu 😂
@japhetlagat1544
@japhetlagat1544 9 ай бұрын
Means unauza drugs pia
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 9 ай бұрын
Yule anauza drags unamjua nugu hii, ni mkalee
@smartcyber7531
@smartcyber7531 9 ай бұрын
ukweli
@mansnotndutch9249
@mansnotndutch9249 9 ай бұрын
Yeess they are clearly the drug barons
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 9 ай бұрын
​@@mohamedmanga8391mkale ako Mombasa?!. Wanishangaza
@ZaytoonaKarama
@ZaytoonaKarama 8 ай бұрын
Hapo umenena muungwana n vitendo empty debes ndio wanapiga kelele
@omyamy5505
@omyamy5505 9 ай бұрын
👍
@MahamudZenden-ro2ke
@MahamudZenden-ro2ke 9 ай бұрын
The PENTAGON is back..Don't worry about Small fish such as gachagua & Mohamed Ali ...Fanya Kazi na RnR!!! I mean RAILA & RUTO .Trust me Ruto anapenda saana Mwalimu wake Wa kisiasa RAILA AMOLO ODINGA ndo maana wamekubaliana kuwa RAILA awe Rais Wa AU na Ruto Rais wa KENYA!
@fakhrunnisaversi5796
@fakhrunnisaversi5796 9 ай бұрын
I liked your speech great Now please one more request what about those street children? Are they not supposed to be in schools? Their mothers are young sleep on pavement mostly on Makadara ground, do all sorts of dirty things , bear children and these children are made to beg or get pregnant. Please Sir stop this ans sweep these children and let them also enjoy normal childhood and education in schools and their moms to be sent home to work
@honnesthonnest5013
@honnesthonnest5013 9 ай бұрын
Kwani gachagua ndiye alileta madawa ???
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 9 ай бұрын
JICHO PEVU NI MPUMBAVU HASIDI SANA HAPENDI MAENDELEO YY NI CHUKI NYINGI HANA HATA MOJA
@piusnyaboga903
@piusnyaboga903 9 ай бұрын
Unaongea vizuri lkn niambie kazi ama project ya huyu governor hata moja
@marickjaka5599
@marickjaka5599 9 ай бұрын
​@@piusnyaboga903 alfu wewe niambie uyo deputy amefanya nini tangu aingie 🤷🏾‍♂️😂yeye ndo ako kwenye head government kubabake
@piusnyaboga903
@piusnyaboga903 9 ай бұрын
@@marickjaka5599 nipe list ya kazi za deputy president in Kenya kwanza ...Ama ama unaongea tu sababu uko na mdomo
@saidali2981
@saidali2981 9 ай бұрын
Dj anatumiza masikio twata kusikia maneno muhimu
@sultankhan-sw8vb
@sultankhan-sw8vb 9 ай бұрын
💯
@jameskagiri1007
@jameskagiri1007 9 ай бұрын
Contradictory headline. Can you do better? Otherwise your show is good.
@piusnyaboga903
@piusnyaboga903 9 ай бұрын
Mr governor akuna kitu umefanya mombasa danganya waswahili sababu unawapikia chai rangi na pilau wanaona hiyo n maendeleo
@ZaytoonaKarama
@ZaytoonaKarama 8 ай бұрын
Governor 001 usisahau mti wenye matunda ndio unaopurwa mawe
@saidali2981
@saidali2981 9 ай бұрын
Wanakula hongo Mweshimiwa
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 9 ай бұрын
Big up our Governor, usimsikilize Parrot wa UDA jicho chongo.
@honnesthonnest5013
@honnesthonnest5013 9 ай бұрын
Kweli ndunia kuna mambo.
@smartcyber7531
@smartcyber7531 9 ай бұрын
Hawa ndio drug barons na wako matatani
@salimmashjary8028
@salimmashjary8028 9 ай бұрын
Hakuna kitu watafanya gachagwa anajuwa drugs dealers ambao wengi wako mt kenya
@robloxgirlplayer6676
@robloxgirlplayer6676 9 ай бұрын
Hujaongea hapo you'll parish alone bro you're the one who's destroying mombasa
@MgangaMwavita
@MgangaMwavita 9 ай бұрын
Akuna kazi una fanya uswahili mwingi tu apo
@philipchirchir7035
@philipchirchir7035 9 ай бұрын
Wewe ni shenzi sana watoto ya mazikini wanakufu every where in Kenya na hizo madawa inatoka mombasa,kumbavu wewe zura kama tumbile.This Arabs should not be given a chance in Kenya at all costs.
@kevinotieno2495
@kevinotieno2495 9 ай бұрын
Uko na evidence
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 9 ай бұрын
Mimi sikumchagua huyu gavana na wala sipendi uongozi wake but he's not an Arab......stop victimising Arabs.....acha ukabila sio kila ngozi nyeupe ni Arabs
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 9 ай бұрын
Sasa huyu ni mjaluo au?
@dhadkanmain7842
@dhadkanmain7842 9 ай бұрын
​@@Khalid-mf3iuKipchirchir Blady Mameno inje pia anakutishia nkt 😂😂😂
@adnanaljabry800
@adnanaljabry800 9 ай бұрын
Tutakupata tu
@ramzanqarim4977
@ramzanqarim4977 9 ай бұрын
Na atakaye jua siri hii ya madawa wanakula copper anapelekwa kwa baba mbinguni.. Kama uongo ile sakata ya jicho pevu ni wangapi walipoteza maisha
@RiazJuma-v9k
@RiazJuma-v9k 9 ай бұрын
His partner in Crime 😅😅😅😅thas y he opposing it
@RiazJuma-v9k
@RiazJuma-v9k 9 ай бұрын
HOE CAN HE OPPOSE REGARDING THE DRUGS BY THE DEPUTY PRESIDENT
@alimangale9599
@alimangale9599 9 ай бұрын
Mohamed Ali yeye anaongea eti nmejenga shule sasa turudi tena primary schools tusome tena ebu wacheni ujinga bana kazi ndio twataka
@MeYou-g9x
@MeYou-g9x 9 ай бұрын
Tuambie mambo ya madawa wacha porojo zako
@marickjaka5599
@marickjaka5599 9 ай бұрын
Jinga sana wewe leo ndo wajua kuna drugs mombasa sio??unafikiria kama gachagua tu🚮😂
@MeYou-g9x
@MeYou-g9x 9 ай бұрын
@@marickjaka5599 unaonekana wewe ni muza madawa Mombasa sio
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
RUTO'S WORST MISTAKE THAT WILL COST KENYANS EXPOSED FEARLESSLY
11:52
Je, Mwambao Uliuzwa?! - Makala ya Tano.
21:48
Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Рет қаралды 6 М.
DONE AND DUSTED: This will FINISH Ruto...
1:07:13
Herman Manyora
Рет қаралды 34 М.
Je, Mwambao Uliuzwa?! - Makala ya Pili.
15:45
Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Рет қаралды 11 М.