Shukran kwa kwa majibu kwa wasio jua volunteer nini ndugu zangu volunteer nikaz za kujitolea kwa mtu yeyote mwenye sifa ama a nataman kupata fursa nchi za ulaya hii ni nafasi nzuri ya kuanzia sababu haina ulazima wa elimu ya juu zaid naaina kiwango cha umri unaweza tuma maombi na ikawa bahati yako watanzania tunachelewa nataarifa tunapewa
@ShaniAbdala9 ай бұрын
Kazi zuri kaka mwenye kusikia na asikie
@salomemuthoni67096 ай бұрын
Asante kwa hio mpasho
@trueone_tz9 ай бұрын
Hi brother 🤝 Asante kwa kuendelea kutuchanua
@ChrisZLC9 ай бұрын
Naona raia hawana mzuka, maana view hazifiki 40
@dorahbenard18375 ай бұрын
Mkuu hii Bado ipo au Isha pita muda wa kuapply??
@ChrisZLC5 ай бұрын
Hii huwa ipo kila mwaka, nikuifuatilia tu kwenye sites nilizoweka kwenye description