GODBLESS ATOA TAMKO KALI, MBOWE NA LISSU KUGOMBEA NAFASI MOJA CHADEMA!! ATOA KIFUNGU CHA BIBLIA

  Рет қаралды 4,471

Machachali Tv

Machachali Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@andrewkitema9838
@andrewkitema9838 11 сағат бұрын
Always you been giving messages of wisdom.
@BARAKAKinana-n4y
@BARAKAKinana-n4y 4 сағат бұрын
kaka yangu lema Mimi baraka kinana nimeumia sana ulipo ondoka kaka lakini ni seme tu mungu akubariki sana sana pamoja na familiya yako uko kanada huuuu ya kaka ulikuwa ukipigsnia Haki setu kaka da
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 сағат бұрын
Chadems ni kituko tu. CCM songa mbele zaidi❤
@laupetpet7779
@laupetpet7779 2 сағат бұрын
Mbowe hamwez tundulisu labda amwibia kura kwakua tundulisu ni mtu waki yy wizi wakura hawez
@reubenhebron2506
@reubenhebron2506 2 сағат бұрын
Mtazamo wake 👍
@andrewkitema9838
@andrewkitema9838 11 сағат бұрын
Napingana na wote wanaosema Mbowe anagombea kwa muhula mwingine kwasababu tu haoni mtu sahihi wa kumwachia chama na kikawa salama. Ina maana ikitokea Mungu akimchukua Mbowe sasa hivi kwahiyo Chadema inakufa? Kama waliopo wote anaona hawatoshi imekuwaje kwa miaka 21 ya kuwa Mwenyekiti ameshindwa hata kuandaa mtu anayeweza kumrithi? Hili ni tatizo la viongozi wengi wa kiafrika kujiona ni wao tu ndio wana uwezo wa kuwa kwenye hivyo viti. Tabia hii haikubaliki kwenye vyama vinavyojiita vya kidemokrasia.
@maikojohn-xr5cg
@maikojohn-xr5cg 2 сағат бұрын
Mbowe umekubali kutumiwa na ccm
@laninjeje8290
@laninjeje8290 54 минут бұрын
Bora Mbowe Ambae hakimbii nchi kuliko Lisu anaekimbilia Ubeligiji kwa kuwambia ccm 😂
@ShukuruNzenzule
@ShukuruNzenzule 44 минут бұрын
Niwakati wa tundulisu kuipeleka chadema mbele zaidi mbowe pumzika
@BeneMafunga
@BeneMafunga Сағат бұрын
MIMI MZALENDO WA KWELI NAOMBA KUWEPO NAMAPUMZIKO KATIKA UONGOZI MUNGU AWAPE HEKIMA
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 7 сағат бұрын
HATA HUYO SHOGA AKILITOBOWA "TUNDU" JAHAZI MWAMBA MBOWE ATAENDELEA KUTUVUSHA SALAMA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤✌✌✌.
@MeddySekija
@MeddySekija Сағат бұрын
Museveni wa bongo
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 Сағат бұрын
Lema unamtabiria nnn mbowe? Je unaona ndio anakufa?
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 2 сағат бұрын
INASIKITISHA MBOWE ANADHANI CHADEMA NI MALI YAKE BINAFSI. HUO NI UDIKTETA MBOWE HAFAI TENA.
@EMMANUELALFRED-q1v
@EMMANUELALFRED-q1v 8 минут бұрын
Mti unaopopolewa na mawe ni ule uliobeba matunda. Natabaase nagaya.
@erickkaaya7160
@erickkaaya7160 10 сағат бұрын
Mbowe unazidisha unacho kiuburi sicho we ni dktet ata ukiingia ikulu kama raisi autakubali kutoka ikulu kiangalieni chadema kwa jicho la. 3
@benswai8099
@benswai8099 55 минут бұрын
Sikilizeni Chadema. Ccm wanawaogopa kama ukimwi na wanawachezea akili. Lisu ni mwanasheria na hajawahi kutumia taaluma yake kusaidia kisheria pale ccm wanavyofanya uonevu kwa kukiuka sheria. Kuengua wagombea, kuiba kura, kuzuia mikutano ya hadhara, kuzuia shughuli za kisiasa, kuiba kura, kukataa form za wagombea na kubambikizia wapinzani kesi. Yeye amesaidia nini? Naona wanaenda kwa mihemko ila ccm wanawachezea. Mbowe mwachie Lisu maana hajui anachochewa kwa ccm.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 сағат бұрын
TUNAMTAKA MBOWE 🎉🎉🎉, MBOWE ANA HEKIMA NA NDIO ANATUFAA
@JumanneKigori-fm1nn
@JumanneKigori-fm1nn Сағат бұрын
Kweli Wana ccm tunamtaka Mbowe hatutaki mtu wa kutuumiza vichwa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Сағат бұрын
@JumanneKigori-fm1nn mie sio ccm
@FurahaFurahaAnangisyemwandalim
@FurahaFurahaAnangisyemwandalim 4 минут бұрын
😂😂😂😂
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
UJUE MSIMAMO WA TUNDU LISSU KUGOMBEA UENYEKITI CHADEMA
7:08
Wasafi Media
Рет қаралды 12 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН