Пікірлер
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 49 минут бұрын
KWA KWELI HUYU NI WAKILI WA KWELI ..YUPO SAHIHI KABISA . -KWA NINI,KILA KITU NI:DAR ES SALAAM ..?? -ARUSHA IPO...MOROGORO...MWANZA..NK. -KODI AU MAPATO YOTE NI DAR...NAJIULIZA SANA
@LuluFwalo
@LuluFwalo 4 сағат бұрын
Kila laheli timu yanguuuu❤❤❤❤❤
@ShakiraKwesa-pv4pb
@ShakiraKwesa-pv4pb 5 сағат бұрын
Kila la kheri simbaaaaa ushindi leo
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 8 сағат бұрын
Nakumbuka Wananchi wa Mtwara walivyopoteza maisha wakipinga Bomba la Gesi kupelekwa Dar es Salaam wakati kwao gesi amna wakati chanzo cha gesi kipo Mtwara, Hiyo inanifikirisha Wananchi wa Kanda ya ziwa Maji kwao ni anasa wakati huo Mkoa Mkame wa DOM maji ni ya Kumwaga.
@cloudjulius-sf6nw
@cloudjulius-sf6nw 9 сағат бұрын
Home boy tunakukubali sana mbeya fanyeni mpango jiji la mbeya mgawane na sugu
@mwabulambomoses9871
@mwabulambomoses9871 10 сағат бұрын
Alichosema Mwabukusi ni sahihi kabisa, hili jambo lipo katika katiba mpya ila kwa wale wenye akili finyu watalitazama kisiasa.
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 10 сағат бұрын
Akili ndogo sana huyo
@rahimzuberi2673
@rahimzuberi2673 10 сағат бұрын
Akili ndogo sana huyo
@pueblo148
@pueblo148 10 сағат бұрын
Mpk siku tukiamua kuukwamisha huu uovu
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 10 сағат бұрын
Mimi pia nilishangaa kila kitu Dar mmh kuna nini?
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 10 сағат бұрын
Watanganyika amkeni
@knight6757
@knight6757 8 сағат бұрын
😴😴 nzitoooo..
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 10 сағат бұрын
Mwarabu amesha beba dar es salaam,
@knight6757
@knight6757 8 сағат бұрын
Au Tanzania ?
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 сағат бұрын
Huyo Mwarabu wampe tenda za kujenga highways kwa njia sita mpaka nane. Hii itapunguza ajali kama siyo kuzimaliza kabisa Tanzania nzima
@ChristerKoku
@ChristerKoku Күн бұрын
Amepoteza sifa tangu lini? Sio wewe ulikuwa unampamba ahamie ccm.au ndo siasa.
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila Күн бұрын
Chalamila.nikicha.
@Josephukijiji
@Josephukijiji Күн бұрын
Wataiua..timu..kumbe..wanatufanyia..biashara..kijanja..
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Күн бұрын
Hizo habari za ndani za Yanga mnazipata wapi? Eti tetesi...., pumbavu sana!
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Күн бұрын
Kama vile Ally Kamwe anapoteza dira.... Tunajua vijana mna matamanio na ndoto za kufika mahali fulani kupitia barabara mbalimbali, lakini isiwe kwa njia hii. Itikadi na imani za kidini na siasa zinapingwa katika tasnia ya michezo popote duniani.
@Amedeus-i8b
@Amedeus-i8b Күн бұрын
Alikamwe Hatutaki Usenge
@jacktonetiibuza9970
@jacktonetiibuza9970 Күн бұрын
Mpira wa TZ umejaa uCCM inakera sana
@ZephaniaNdaki-vq1ti
@ZephaniaNdaki-vq1ti Күн бұрын
Kidogo kidogo, polepole mtawafikisha wapenzi na mashabiki pabaya sana! Umeanza kujisahau, yanini haya? Mtasababisha hasira namafarakano ndani ya clab.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Күн бұрын
Waizi haooo
@CharlesEmmanuel-t2w
@CharlesEmmanuel-t2w Күн бұрын
Ccm hatuipendi,tutaondoka
@CharlesEmmanuel-t2w
@CharlesEmmanuel-t2w Күн бұрын
Kwa utaratibu huo tutahama wengi hii timu,huu ni ujinga,tambua tupo kwenye hii timu watu wa cdm,habari za uchama hadi kwenye clabu,waovyo kweli
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 күн бұрын
Hovyo kabisa
@maligiretongora3333
@maligiretongora3333 2 күн бұрын
Ally Kamwe acha ujinga wa ushabiki wa vyama. Tutahama!!
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 күн бұрын
Toeni hizo pesa wananchi tunashida sana hacha kabisa upuuzi wa kishenzi.
@JohnMtundu-f4z
@JohnMtundu-f4z 2 күн бұрын
Jeshi la porice ringefutwa tubaki na jeshi ra wanchi
@nyucletkikonamaluhe2274
@nyucletkikonamaluhe2274 2 күн бұрын
Hizo tshet na vitenge tusambazieni tutanunua Kwa wingi
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 күн бұрын
Hiyo ni club ya mpira inajumuisha vyama vyote mambo siasa achaneni nayo yatahalibu emage ya mpira
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 күн бұрын
Kabisa
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 2 күн бұрын
Kupitia mpira wa Tanzania,siku sio nyingi mtaliingiza taifa letu kwenye machafuko makubwa,kuna mpuuzi namsikia anasema eti Simba na Yanga ni timu za CCM?,Rubbish.
@ElieshPoul
@ElieshPoul 2 күн бұрын
hawo ni chawa wa chama tawala
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 2 күн бұрын
Toa namba tuchange
@JaneMkinga
@JaneMkinga 2 күн бұрын
Mungu atusaidie padre ambae anachunga kondoo ndiye shetani wa kwanza kuuwa? Mie haya mambo ya kuungama siyataki, unatubu nini kwake? Kumbe mtaalamu wa waganga harafu anavaa ngozi ya kondoo huku mnafki. Wanyongwe tuu mtoto wamemchinja mzima mzima maumivu gani aliyasikia. Mungu ampumxishe Asimwe kwa amani.wapende sana watu ila tusimwamini mtu.
@OlasaJuliusMlawa
@OlasaJuliusMlawa 3 күн бұрын
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 3 күн бұрын
Chadema nyie mnatafuta pesa mnawapa ccm kwaajili ya kufanya kampen lengu la ccm ni kuwafilisi tu maana wanakusanya pesa za kuhonga watu ila muwe macho wasimpoteze tena mungu amsaidie atakuja kuwa kiongoz mkubwa sana.
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 күн бұрын
❤❤❤❤Simba yangu jaman
@bevinmtendo8714
@bevinmtendo8714 3 күн бұрын
Nyie wachambuzi mnajisemea tu! Kipi kilitangulia? Dk ya 15 tu unaonewa utakosa kutoka mchezoni? Kama Kayoko angekuwq fair Wala hayo makosa mengine yasingetokea, watu walishavurungwa ujue so wakaona liwalo na liwe
@amiryhassan1725
@amiryhassan1725 3 күн бұрын
Tanua screen hyoo
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 3 күн бұрын
Huu ni uzushi tu kura zinaandikwa vituoni
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 3 күн бұрын
Ccm.nimashetanitu
@esgardmmanyi3060
@esgardmmanyi3060 3 күн бұрын
HUO NI MPANGO MKAKATI WA POLISI NA CCM ILI WAWAKAMATE CHADEMA
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 3 күн бұрын
Mh huyo kali ya fungal mwaka
@RehemaMbilinyi-i2e
@RehemaMbilinyi-i2e 3 күн бұрын
Uwe makini maana usije ukatekwa SI unajua
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 күн бұрын
ILA MSIJE MKAWA MMEMTOA AF BADAE MUMPOTEZE AF MSEME M POLICE 😢😢😢 TUNAJIA HUYU MNATAKA KUMTUMIA KISIASA KWAN KUNAWATU WANGAP WAKO JERA WANAHITAJ DHAMANA NA HAWAJATOLEWA😢😢😢
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 3 күн бұрын
Haya asubiri kupotezwa ss mungu amuhifadhi
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 3 күн бұрын
Police wanaupiga mwingi Kama mama yao, maua yao tafadhali 🎉🎉🎉🎉🎉🎉.Hahahaaaa madeleka bwana! Noma sana
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct 3 күн бұрын
Wafiche sana lkn ushindi upo palepale
@asteriashios1852
@asteriashios1852 3 күн бұрын
Waibe tuu maana unaulinzwa jina tuu eti ni basi huo ni uhuni wa waizi Sasa km ndo hivyo si watajaza majina tuu hata km hujajiandikisha Bora ambao hawakupoteza muda muda Kwa kweli binafsi nimejiandikisha lakini sikupenda
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 3 күн бұрын
Chadema wana mtindio wa ubungo,