GODFREY STEVEN - SHORTCUT ( official Audio Lyrics )

  Рет қаралды 23,498

Godfrey Steven

Godfrey Steven

Күн бұрын

SHORTCUT.
Singer : Godfrey Steven
Writer : Godfrey Steven
producer : Zakayo Sindwani

Пікірлер: 95
@ENOCKVOICEANDLYRICSSOUNDSEnoch
@ENOCKVOICEANDLYRICSSOUNDSEnoch 4 ай бұрын
Ni kweli naona huruma moyo ila short cut ina gharama maisha ni hatua kwa hatua, tukae tukiungojea wakati wa Bwana, ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana, Mungu azidi kukupa hatua na hatua zaidi, amen
@YusuphNestory-x1j
@YusuphNestory-x1j Ай бұрын
Yaan me huwanabarikiwa sana na nyimbo zako brother hakika najifunza sana kutoka kwako barikiwa sana Mungu akuinue zaid
@WinnifridaDenis-se1ql
@WinnifridaDenis-se1ql 4 ай бұрын
apenda saan nyimbo zako kaka angu,, na mimi napenda saana kuimba,, natamani siku nije toa wimbo na wewe japo bado sijapata wakuniunganisha na hili🙏
@mkojeragodsonofficial4664
@mkojeragodsonofficial4664 4 ай бұрын
My brother
@barakamakaya3604
@barakamakaya3604 3 ай бұрын
HUJAWAHI KUTOA KAZI AMBAYO HAIGUSI MAISHA YA WATUU, MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA HIVYO APENDAVYO, USHAURI WANGU JITAHIDI PIA KUTOA NYIMBO ZA VIDEO KWA KUONYESHA ALISIA WA WIMBO
@franksaga3413
@franksaga3413 Ай бұрын
Melody za kuburudisha Moyo, ujumbe wa kuelimisha Ubongo na maneno ya kugusa Roho. Big up Bro.
@victormkello9575
@victormkello9575 4 ай бұрын
Shortcut ina gharama, ni heri kusubiri njia sahihi ya BWANA MUNGU. 🎉🎉 This is it Man of the God. #GodfreySteven🖐️
@josephmash581
@josephmash581 4 ай бұрын
Amazing revelation Am blessed by the song My God keep giving you more songs to bless many
@FatumaMvungi-u5h
@FatumaMvungi-u5h 2 ай бұрын
Amen hakika ujumbe mzuri na una unagusa maisha
@mfalmekeffah5049
@mfalmekeffah5049 4 ай бұрын
MUNGU akubarik sana brother, kupitia nyimbo zako naona utukufu wa MUNGU 🎉
@mathiaswalichupa
@mathiaswalichupa 4 ай бұрын
HII NI KUBWA SANA AISEE
@estamsungu1016
@estamsungu1016 Ай бұрын
Nyimbo zote zipo vzurii lkn huu wimbo umenihudumia Sana kila hakika kinaenda kwa hatua,,,, Mtumixhi MUNGU aendelee kukupa mafunuo mengi mengi na zaidi blessed
@HabakukiPeter
@HabakukiPeter 4 ай бұрын
Short cuts kazi nzuri
@bloodofjesus7542
@bloodofjesus7542 4 ай бұрын
Hii nyimbo naiskiliz mara kumi kumi maana vijana wa sasa wanependa shortycut
@YasintaShemu-ot7xy
@YasintaShemu-ot7xy 3 ай бұрын
Wao ni wimbo mzuri sanaaa,umeelezea uhalisia wa maisha penda sana❤,Mungu akubariki kakaaa
@eliwazamakala3897
@eliwazamakala3897 Ай бұрын
Huu wimbo masikioni hauchoshi mzuri sana. Hongera sana Mtumishi Mungu aendelee kukupa kibali usonge mbele zaidi🎉🎉🎉
@tajikasanga5028
@tajikasanga5028 4 ай бұрын
Nyimbo nzuri hii
@JanethJoseph-d9h
@JanethJoseph-d9h 2 ай бұрын
Uko vizur san utafika mbli
@niyibigiraesperence7772
@niyibigiraesperence7772 2 ай бұрын
Amen mungu aendelee kukubariki na kukuongezea maarifa ya kweli Napenda sana nyimbo zako
@ModeBig-o9g
@ModeBig-o9g 2 ай бұрын
Amino us mwenye hekima
@charleschito6341
@charleschito6341 2 ай бұрын
Yep Mtu wa MUNGU Godfrey ' mm na sisi tuna fahamu ùmepokea na unapokea MAFUNUO Halisi kwa Ajili yetu..
@chiko_55
@chiko_55 4 ай бұрын
Wimbo mkali sanaaaaaa
@JosephinaStephano
@JosephinaStephano 3 ай бұрын
Uko vzur nanyimbo zako. Mungu akutie nguv
@elizabethmjema1730
@elizabethmjema1730 2 ай бұрын
Nakupenda Sana ubarikiwe
@Nedyjr
@Nedyjr 3 ай бұрын
Wow my favorite gospel artist another new sing ❤❤
@SteveSufi
@SteveSufi 3 ай бұрын
I am blessed 🙌 🙏
@fridarottson
@fridarottson 4 ай бұрын
MUNGU akutunze mtumishi wa Bwana nyimbo zako zinabariki mno
@babuuclassic
@babuuclassic 7 күн бұрын
Keep it up bro
@BenyDaniel
@BenyDaniel 4 ай бұрын
Nice one...❤👍
@law93king
@law93king 15 күн бұрын
unajua kaka🙏🏾
@Yustamgaya276
@Yustamgaya276 4 ай бұрын
Asanteeh kaka angu nabarikiwa sana na nyimbo zako
@jonasikagoma5540
@jonasikagoma5540 4 ай бұрын
mungu atupe moyo wa subira
@mino_tv
@mino_tv 4 ай бұрын
Blessings, keep the spiritual music alive
@babuuclassic
@babuuclassic 7 күн бұрын
Tupe Video ya huu wimbo bro
@pendomangi8400
@pendomangi8400 4 ай бұрын
Godfrey you are blessed.
@YusufuJoseph
@YusufuJoseph 4 ай бұрын
Mungu aendelee kukufunulia zaid
@neemavalery
@neemavalery 3 ай бұрын
I love this song
@ChristianMlelwa-uw4sq
@ChristianMlelwa-uw4sq 3 ай бұрын
God bless you
@georgejohn6070
@georgejohn6070 4 ай бұрын
Nyimbo nzuri mno ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@BenyDaniel
@BenyDaniel 4 ай бұрын
Kazi ni nzuri sana mtumishi wa Mungu🎉❤
@kennethkache5511
@kennethkache5511 4 ай бұрын
be blessed brother @Godfrey Steven
@alphabartazary9692
@alphabartazary9692 3 ай бұрын
Wow, be blessed
@barakakamili
@barakakamili 4 ай бұрын
Love song Ubarikiwe sana umenikumbusha kitu
@rutinginyaneysam.5087
@rutinginyaneysam.5087 3 ай бұрын
Mzuuur
@BettyChriss
@BettyChriss 4 ай бұрын
Akika kaka wimbo mzuri mungu akuzidishie maarifa zaidi
@emmanueljohn7737
@emmanueljohn7737 4 ай бұрын
Shortcut ina gharama
@EditingTrial01
@EditingTrial01 4 ай бұрын
Safiiiiiii sana sanaaa
@paulomkwela
@paulomkwela 4 ай бұрын
Kwakwel ubalikiwe sana Godfrey
@mkojeragodsonofficial4664
@mkojeragodsonofficial4664 4 ай бұрын
Highly recommended 😢😊
@jamesmwene5085
@jamesmwene5085 3 ай бұрын
James n❤❤🎉
@SamwelMkumbo-ji4oo
@SamwelMkumbo-ji4oo 4 ай бұрын
Salute 🙏
@jamesnyariru5604
@jamesnyariru5604 4 ай бұрын
Beutifull song bro 🙏🙏🙏
@RogersJames-zz1mq
@RogersJames-zz1mq 3 ай бұрын
Congrats broo. kweli kabsa shortcut inagarama.
@ignasankoma5383
@ignasankoma5383 4 ай бұрын
Niko hapa since Day 1 ( in the wilderness akapela) ... Godbless kaka ....❤❤
@isackadriano2067
@isackadriano2067 4 ай бұрын
Ubarikiwe sanaa mtumishi Kwa wimbo mzuriii sanaa wenye ujumbe mzitoo🎉
@LUPIMO_TV
@LUPIMO_TV 4 ай бұрын
Barikiwa Sana Kaka Mkubwa
@NaomiBinamunguKabate-gr6sv
@NaomiBinamunguKabate-gr6sv 3 ай бұрын
kwel shortcut Ina gharama ee Mungu tusaidie🙏🙏🙏🙏
@BeatriceExavery
@BeatriceExavery 4 ай бұрын
Keep burning brother.
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 2 ай бұрын
Ubarikiwe Zaidi 🥰🥰 Mtu WAMUNGU 🥰🌹🎉🎉🎉🎉
@SuzanDaud
@SuzanDaud 3 ай бұрын
Waoo ❤❤❤❤❤❤
@BenyDaniel
@BenyDaniel 4 ай бұрын
Amen amen mtumishi
@Abilimgeni137
@Abilimgeni137 4 ай бұрын
Barikiwa mtumishii
@mariarjb16
@mariarjb16 3 ай бұрын
Amen ❤
@AlvinSway
@AlvinSway 4 ай бұрын
Amina sana❤❤
@stewartmwakasege
@stewartmwakasege 4 ай бұрын
Great Message Mtu Wa Mungu 🎉
@shambatheshamba
@shambatheshamba 4 ай бұрын
My Song❤❤❤
@janethdeogratius0724
@janethdeogratius0724 4 ай бұрын
be blessed 🙏🙏
@Ngendaruheze
@Ngendaruheze 4 ай бұрын
❤❤ mwimbaji wangu
@DianaNeatson
@DianaNeatson 2 ай бұрын
Amen🙏
@KibongeWaYesu
@KibongeWaYesu 4 ай бұрын
Shortcut inagharama sana🙌🙌
@GosproAlex
@GosproAlex 4 ай бұрын
Wow!
@amaniapoul7374
@amaniapoul7374 4 ай бұрын
Shortcut Ina garama sanaa
@freddypro7509
@freddypro7509 4 ай бұрын
Good work 🎉
@MtanashatiWaYesu-mw2hm
@MtanashatiWaYesu-mw2hm 4 ай бұрын
Good song
@juliusgeorgeofficial
@juliusgeorgeofficial 4 ай бұрын
Kazi njema Sana Kaka. ✔️
@EmiliaLaban
@EmiliaLaban 4 ай бұрын
Kweli tusipende shortcut jaman
@samsonnyaluke6785
@samsonnyaluke6785 4 ай бұрын
Amina🙏🙏
@christsontarimo5803
@christsontarimo5803 4 ай бұрын
Congrats broo
@tumaininicodem1906
@tumaininicodem1906 3 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@mosessimkoko9364
@mosessimkoko9364 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Gracemartha-pr3ou
@Gracemartha-pr3ou 3 ай бұрын
Wimbo mzur Sana kaka
@joshuangao4147
@joshuangao4147 4 ай бұрын
Umebalirikiwa mno G
@pascodeeofficial289
@pascodeeofficial289 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@SusanAbigailOkumbe
@SusanAbigailOkumbe 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@denismaston3503
@denismaston3503 3 ай бұрын
Kaliiiiiiii hii🔥🔥🔥
@dramas1284
@dramas1284 3 ай бұрын
Barikiwa kaka
@NeemaAswexo
@NeemaAswexo 4 ай бұрын
Nzuri sana ❤❤❤❤❤❤
@mussangenge19
@mussangenge19 4 ай бұрын
🔥🔥🔥🙏🏼
@JPM_Rec
@JPM_Rec 4 ай бұрын
❤❤❤❤🎉
@lutelewa
@lutelewa 4 ай бұрын
🧡🧡🧡🧡🧡🤝🤝🤝🤝🧡🧡🧡🧡🧡
@sekesekestudiokjay1025
@sekesekestudiokjay1025 3 ай бұрын
Amen ❤
@emmanueljohn7737
@emmanueljohn7737 4 ай бұрын
Shortcut ina gharama
@gracendege8964
@gracendege8964 4 ай бұрын
❤❤❤
@getrudyngowi1677
@getrudyngowi1677 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
GODFREY STEVEN - MALENGO ( Official Audio )
4:51
Godfrey Steven
Рет қаралды 151 М.
GODFREY STEVEN - JOURNEY ( Official Audio Lyrics )
4:16
Godfrey Steven
Рет қаралды 24 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 64 МЛН
Michael Msungu Ft Stephano Mikwego_Wanitosheleza (Official Video Lyrics)
4:22
Minister Michael Msungu
Рет қаралды 341
GODFREY STEVEN - STILL NOT YOUNG ( Official Video )
4:20
Godfrey Steven
Рет қаралды 718 М.
GODFREY STEVEN - FAINALI ( Official Video )
3:37
Godfrey Steven
Рет қаралды 2,7 М.
Paul Clement Ft Bella Kombo - Nafasi  ( Official Video )
8:30
Paul Clement Official
Рет қаралды 395 М.
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD 2
42:15
Irene Uwoya
Рет қаралды 46 М.
GODFREY STEVEN FT IRENE UWOYA - TUNATEGEMEANA ( Official Video )
3:54
Godfrey Steven
Рет қаралды 1,7 МЛН
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 197 М.
Neema Gospel Choir - Victory Declaration (Live Music Video)
5:45
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 68 М.
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
UFUNUO CHOIR
Рет қаралды 5 МЛН
Asagwile - Ndoa (Official Music Video)
5:13
Asagwile Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН